Alilala na bb arusi cku 1 kabla ya arusi na wala so bwana arusiii bado mnanishaurii arusi...Aisei bado nipo nipo kwanza..nani amekubali ino mistari Mwaka 2022..
Nani anakumbuka hii songs ilitoka mwaka gani?? Make mi nikivuta kumbukumbu zangu ni kama miaka 11 nyuma lakini mpaka Leo ngoma kama ndo imetoka Leo daah kama unaikubali gonga like 2021