Тёмный

Mwanamke aliyechochea Haki sawa miaka 60 ilopita sasa Anajuta - Sheikh Shams Elmi 

Kalamutz
Подписаться 152 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 15   
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 7 дней назад
NAKUFATILIA KILA SIKU FROM UK ALHAMDULILAH 🤲🤲
@rukiyatajir8064
@rukiyatajir8064 2 дня назад
Asalaam Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuhu. Mabruk Alfu, Ustaadh umetowa maelezo mazito sana na hasa katika maisha ya sasa. Subhanallah Mungu atuhidi sisi na vizazi vyetu Yaraby.
@saidmasoud7446
@saidmasoud7446 2 дня назад
@@rukiyatajir8064 waaleikum salam Ameen ya rabb
@Sheba4651
@Sheba4651 2 дня назад
Hapo mwisho maalim hupo sawa, ati baada ya darsa yote hiyo, wake zetu waende maofisini wakaandalie chai mabosi, mwisho wake wakishiba itakuaje. Haina faida elimu yako.
@a.856
@a.856 9 дней назад
Jazaka Allah khayran
@saidmasoud7446
@saidmasoud7446 9 дней назад
Sijui tunaelekea wapi na bahati mbaya ukijaribu kutoa ufahamu kwa baadhi ya wanawake kuhusu umuhimu wa mwanamke kua mwanamke unaonekana una fikra za ukandamizaji
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 9 дней назад
Furaha ya wanadamu jinsi wanawake wanavyopotea kuvaa uchi na kufanya vituko vyaajabu wao wanaona kwao nimaedeleo nawazungu ndio wanavyotaka sikuhizi mwanamke akijiheshimu na kumheshime mume wake anaonekana mshamba mungu atunusurutu sisi na wazazi wetu na vizazivyetu atujalie mwishomwema
@sonnyr1899
@sonnyr1899 9 дней назад
Tena wanaokupiga vita asilimia kubwa unakuta ni wanawake wa kiislam. Innalillah wa ina ileh rajiun.
@saidmasoud7446
@saidmasoud7446 9 дней назад
@@sonnyr1899ndio ni wanawake wa kiislam inashangaza kwakweli na madam wanaowapotosha Wana nguvu kubwa bas tuendelee kutarajia Dunia inaenda kua sehemu ngumu kuishi kuliko ugumu tunaouona Sasa hv.
@Sheba4651
@Sheba4651 2 дня назад
Kiama kinakaribia, ukiona hivyo.
@Sheba4651
@Sheba4651 2 дня назад
Zile sababu kiama kigonge hodi ndio hizi, mwanamke afanye atakalo, kizazi kiovu kijae katika mitaa na miji. Kiama hicho.
@KhalidiBoaz
@KhalidiBoaz 6 дней назад
GOD BLESS ISRAEL 🇮🇱 🇮🇱, AMEN AMEN
@Mrsalt-z9m
@Mrsalt-z9m 2 дня назад
Majnun
@Sheba4651
@Sheba4651 2 дня назад
Allah hawezi kubariki taifa lenye kuowana jinsia moja.
Далее
Sifa za Mume Mwema | Sheikh Jamaludin Osman
55:19
Просмотров 4,6 тыс.
Unapomchukia mtu wewe ndie unayeumia zaidi kuliko yeye
1:12:02