Тёмный

Mwanzilishi na CEO wa Telegram Pavel Durov akamatwa Ufaransa 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 12 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 45   
@MwatatuHamisi-lu4cn
@MwatatuHamisi-lu4cn 19 дней назад
Ndomaana Leo telegram ina loading sana Alf ailet new mpya 😮 tutakimbilia wap xx wafuasi wa telegram
@MwatatuHamisi-lu4cn
@MwatatuHamisi-lu4cn 19 дней назад
Amna kitu kitu unachokosa ukiwa telegram xax wakenya walifanya kama mtandao wao vile maana ndo wanaongoza kwa magroup n bot
@JanethMathias
@JanethMathias 18 дней назад
Ndoman haifanyi kazi
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 18 дней назад
Kwa hiyo wote tunaotumia telegram tujuane huku tunaweza kupanga mipango naikaeleweka😂😂
@MaurusMpinga
@MaurusMpinga 19 дней назад
Hapo wako sawa
@auriumlabs
@auriumlabs 18 дней назад
Jamaa anisimamia privacy ya telegram lazima atatoka.
@sonnyr1899
@sonnyr1899 18 дней назад
Mbona mitandao yote.
@yusafbayu7016
@yusafbayu7016 18 дней назад
Wao wana taka I fungwe ili tuendeleye kuaminishwa uwongo na izo media zao acha telegram tuone ukweli bana
@SuryaAneth
@SuryaAneth 18 дней назад
Ndio maana telegram Jana na Leo inazengua
@ibrahgoye8152
@ibrahgoye8152 18 дней назад
Telegram ni mtandao huru kwahiyo kama unaona kuna kitu ukiripoti hakifanyiwi kazi jua ya kwamba sio tatizo ndo maana unaona kuna uhuru mwingi na pia wazungu wanataka kuitumia kwa kupata taarifa nyingi za watu kwa sababu wanaamini ni mtandao upo huru sana
@MohamedLanga-dg4tf
@MohamedLanga-dg4tf 19 дней назад
Mmekamata sbb ni mrusi
@user-wd2bc7bf5x
@user-wd2bc7bf5x 19 дней назад
hujasikiliza vizur au ?
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 19 дней назад
​@@user-wd2bc7bf5xhajasikiliza vizuri kivipi? Ukweli ni kwamba kakamatwa sababu ni Mrusi na wanataka Telegram waicontrol wao
@sofunnystars5557
@sofunnystars5557 18 дней назад
Asili yake ni urusi lakini ana uraiya wa ufaransa Arab Émirates
@NickTrickaddictedboy18
@NickTrickaddictedboy18 19 дней назад
Sky wimbo wa harmonize ujana hatuuoni tena RU-vid
@gamerstech5689
@gamerstech5689 18 дней назад
Kwel kabisa jamaaa ana ugomvi na nani sijui😂😂😂😂
@TuntufyeMwakaluka
@TuntufyeMwakaluka 19 дней назад
Kisa ni mrusi,hawawez urusi
@ibrahim_427
@ibrahim_427 15 дней назад
aisee toka juzi telegram yangu ni mawenge sasa sijui itakuaje
@ConsciousBNB
@ConsciousBNB 19 дней назад
Dah! 😢
@Gulfnas1
@Gulfnas1 19 дней назад
Hao wanacho kitaka ni control ya hiyo Telegram hamna lolote!!
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga 18 дней назад
Hana kosa uyo ni siasa za geopolitics tu,wana lao tu
@neglonino1086
@neglonino1086 19 дней назад
Sema muda wao mfupi sasa hivi tumejua mbivu na mbichi watajisumbua sana kupotezea mambo ila ndiyo wazidi kuharibu
@fakridadyzubery8744
@fakridadyzubery8744 19 дней назад
Western countries wanazingua ,,,
@zachariamwita3926
@zachariamwita3926 19 дней назад
Tunaijua Hiypo
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 19 дней назад
Pameanza kuchangamka wanageukana na watu maarufu na wenye hela ellon musk hawaelewi tena huyo nae tena, pia nayule mwanzilishi wa wickrics ,mabillionea wote walioko Europe wamerudi kwao china
@Thehubby4u
@Thehubby4u 18 дней назад
Huyu jamaa ana stahiri kuwajibishwa telegram ni mtandao wakiharifu
@sonnyr1899
@sonnyr1899 18 дней назад
Acha mihemko mtandao gani hauna mambo ya hovyo?
@bonifacewanyonyi3555
@bonifacewanyonyi3555 18 дней назад
Sana
@user-cp8df8ik5h
@user-cp8df8ik5h 18 дней назад
Bilion au milion?
@UyRonaldo
@UyRonaldo 14 дней назад
Ningewachangia ila shida qmuongeagi siasa za tanzania uwezi kusafisha sebule ya jirani yako wakati uvunguni mwa kitanda chako kunanuka nautaki ata kujuwa nini sababu ya arufu mbaya iyo tanzania inanuka rushwa ,ufisadi,ila amtaki kuongelea au kuchunguza ndokwanza mpo busy na kumsapoti mama wa uarabuni 😂😂😂
@hkaniugu
@hkaniugu 19 дней назад
Sure watu wanapost `pron` nyingi za watoto, af uki report hazifutwi. Japo naitumia Telegram kuingiza hela ila jamaa wamnyoshe kwanza
@allahisone6386
@allahisone6386 19 дней назад
😅😅Ndiooo_🤦🏿‍♀️ 😅😅
@bensonswai-hl6fn
@bensonswai-hl6fn 19 дней назад
Km wanataka waifungie nchin mwao tataz n mamb ya siasa tyu Apo
@Fgldesigns
@Fgldesigns 19 дней назад
Mtandao una uhuru fanya utakacho usichokitaka usikiangalie
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 19 дней назад
Kwani unafikiri kuna mtoto asokuwa na na umri mkubwa zaidi ya 18 anaweza akaijua Telegram?
@hkaniugu
@hkaniugu 18 дней назад
@@MrTop-wj7no Kuna video za uchi za watoto wadogo, na uki report hawazifuti
@bestpriceafrica
@bestpriceafrica 18 дней назад
Kijana anamiaka 19 na billionaire
@adamnkiko5319
@adamnkiko5319 17 дней назад
39 l
@adamnkiko5319
@adamnkiko5319 17 дней назад
39
@MohamedLanga-dg4tf
@MohamedLanga-dg4tf 19 дней назад
Mashoga nyie
@zachariamwita3926
@zachariamwita3926 19 дней назад
Tunaijua Hiypo
Далее
Китайка и Зеленый Слайм😂😆
00:20
How to win a argument
9:28
Просмотров 528 тыс.
Mkasi | S14E03 with Mohammed Dewji Extended version
35:56