Тёмный

MWANZO MWISHO:Dakika 15 Za Mlima KITONGA Kuelekea IRINGA Ni Balaa! 

Ananias Edgar
Подписаться 221 тыс.
Просмотров 243 тыс.
50% 1

MWANZO MWISHO:Dakika 15 Za Mlima KITONGA Kuelekea IRINGA Ni Balaa!
ATTENTION: Hii Video Haikuchukuliwa hivi karibuni, ni video ya siku za nyuma imewekwa kwa lengo la kukuonyesha mandhari ya mlima wa Kitonga kuelekea mkoani Iringa Tanzania.
JE,UNATAKA KUTANGAZA NA ANANIAS EDGAR TV?
WASILIANA NASI KUPITIA: +255659982764 /+255629977724
EMAIL: ananiasedgartv@gmail.com
Follow Us On Instagram
/ ananiasedgartz
/ ananiasedgartv
SUBSCRIBE
bit.ly/2ZWGBXo
Copyright Disclaimer: Under Section 107 of the Copyright Act 1976, allowance is made for fair use for purposes such as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship, and research.
______________________________________________________________________________________________
SIMULIZI ZA MATUKIO: bit.ly/2XlNCzg
HISTORIA ZA VIONGOZI: bit.ly/3ezWg2X
ELIMU ZA UKOMBOZI: bit.ly/3eCOK7m

Опубликовано:

 

22 авг 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 96   
@raymondsospeter1176
@raymondsospeter1176 24 дня назад
Kama unaangalia 2024 mwez wa 7 like tujuane😅
@felixkato6283
@felixkato6283 Год назад
Mwenzenu naogopa kwenda Iringa kwasababu ya Huu mlima
@Nyanda506
@Nyanda506 4 года назад
Yaani bila ving'amuzi sasa tungeendelea kuzikwa tu madreva wetu wanaovertake kwenye kona bila kujari..Wanakuwa na pressure zawapi...ukifika salama unashukuru MUNGU
@rafathealfa2237
@rafathealfa2237 3 года назад
Asanteni kwa kunipotezea dakika 17 za maisha yangu
@shalonbufabusha4535
@shalonbufabusha4535 3 года назад
Nashangaa uo mlima sioni bonde Sion ushuzi mtupu
@immanuelmwaipopo1605
@immanuelmwaipopo1605 2 года назад
😜😜
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 2 года назад
Subhanaallah huyu mwenye basi la brue haina abiria yuko speed sana na barabara ni mbili kwenda na kurudi hatari sana
@daudycharles9312
@daudycharles9312 4 года назад
Aisee njia ni ya hatari,ni kumuomba Mungu ufike salama
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 4 года назад
Kwa madereva wa kibongo wasivyo na nidhamu, hii itakuwa death point.,maana wakiona to lami speed utafikiri wanakimbizwa. Dereva wa bus ana overtake kwa kona damn
@michaelelikana1309
@michaelelikana1309 2 года назад
Yule Dereva was Bus ana hatari sana
@frimmbits
@frimmbits Год назад
Kama huyo dereva was basi 09:08
@Nyanda506
@Nyanda506 4 года назад
Imagine kama pangelikuwa hakuna lami Gari ngapi zingeanguka..sasa nimeona gari kadhaa zimeanguka
@sundaymbapila4309
@sundaymbapila4309 2 года назад
Kwa Sisi wenyeji wa huko ni kilima cha kawaida sana....Si umeona Alsaed alvyopotea kama upepo?
@mama_mlezi7744
@mama_mlezi7744 Год назад
Mbona kitonga kwetu ukisi ziwa nyasa tungefika apo ndio Kama unamalizia kupumua,,maanaake gari inapita moja na lami hamna halafu umbali wa korongo Ni Kama unachungulia kuzimu,,,Ani kitonga ingekua kwetyu tungelala usingizi
@eddohkinondoni
@eddohkinondoni 2 месяца назад
Hii sio Kitonga, acha kupotosha umma. Hizi ni Kona za Iyovi, mbali sana kutoka Kitonga hapo
@cmdfeboy1810
@cmdfeboy1810 4 года назад
Aghalau serikali ingefikilia kutanua njia hii
@liviaG87
@liviaG87 10 месяцев назад
Hivi Afrika tumeshindwa kabisa kujenga reli za mikoani😢 Hizi hatari tungekua timeziepuka sana
@benomwazembe4765
@benomwazembe4765 3 года назад
Kama umemuona bodaboda akiwa speed Kali gonga like hapa
@kondesaidi2040
@kondesaidi2040 4 года назад
Ndo mmeanza ile safar ya mikoani au?
@msuyayusuph9968
@msuyayusuph9968 3 года назад
mnazingua hiyo mbona nikutokea iringa na wala sio kwenda iringa. Hapo gari linashuka na sio kupanda
@angelkafuka3933
@angelkafuka3933 2 года назад
Khaaaaa hapo anaenda iringa hzo lory ndo zaenda dar
@mackylacelesmarais3823
@mackylacelesmarais3823 2 года назад
Barabara bado ndogo zina hitaji kutanuliwa na halama za barabarani ziongezwe sehemu za hatali kama nchi za wenzetu ina hitajika 4 way na matuta madogo dogo sana
@JIWE-G-UNIT
@JIWE-G-UNIT 3 месяца назад
4 way ndiyo ltakuwa babkubwa maana barabara ni nyembamba sana
@christianmatanda4255
@christianmatanda4255 2 года назад
The first time I passed this road I was like Jesus Jesus
@ibrahimmohamed1994
@ibrahimmohamed1994 4 года назад
Mara yakwanza kupita ilikuwa 2004 nilienda Msalimia late uncle sikuwa na uwoga wowote
@philipipasiani8754
@philipipasiani8754 Год назад
Duh Nina kumbuka nilipita hapo mwaka 2021 kwenda KWA uncle nilijihisi kutapika Ila baada ya kuona nyani nika enjoy zaidi na uwoga wangu palepale
@nyepembemaganga
@nyepembemaganga 10 месяцев назад
Noma sana
@KassimChalamand-tf1vm
@KassimChalamand-tf1vm 4 месяца назад
Mm hii noma
@vailetheanyambilile9749
@vailetheanyambilile9749 2 года назад
Wana mbeya tuna weka roho mkononi tukienda mbeya tu dar
@touches4lifeonlinetv46
@touches4lifeonlinetv46 Год назад
Mwanang #Allysaid kaitandika hiyo speed kaacha manyoya tu huku nyuma
@philipipasiani8754
@philipipasiani8754 Год назад
Umeonae
@cmdfeboy1810
@cmdfeboy1810 4 года назад
Aiseee njia ni nyembamba sana
@jumarswedi2714
@jumarswedi2714 3 года назад
yan hiyo sim ilivypanguka nlidhan gar imepinduka asee 😌😌
@michaelelikana1309
@michaelelikana1309 2 года назад
Duhuu! Kweli ni hatari sana .....
@AbeidPhoto
@AbeidPhoto 6 дней назад
@yohanabundala9162
@yohanabundala9162 Год назад
Wangetengeneza barabara ya kwenda na ya kurudi zikatengana kabisa
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 Год назад
Ni hatari ila ile barabara ya kupitia mlima magara ukitokea arusha kwenda Haydom, ni hatari zaidi. Mlima ni mkali zaidi na kona ni nyingi sana.
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m 8 месяцев назад
Nafahamu sana mlima magara, ukitoka Arusha kuja Mbulu afu kuja Haydom. Ni balaa, unaambiwa magara ina kona zaidi ya 200. Inatisha kwelikweli.
@zammillunally4497
@zammillunally4497 2 года назад
Siku ya kwanza kuupita roho ju n presh aisee ni mkubwa mno
@AbeidPhoto
@AbeidPhoto 6 дней назад
Uku mbeya kuna kona za mkoa ni hatar
@amrikagobe1540
@amrikagobe1540 4 года назад
Hivi walikosa pakupitisha njia
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 2 года назад
Ni milima na mabonde makubwa!!
@musamaiko1320
@musamaiko1320 2 года назад
Yani apo ndo pazur Sana hamna sehem nyingine
@stewartmsamila5691
@stewartmsamila5691 3 месяца назад
ila barabara zetu ni nyembamba sana
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 2 года назад
Dereva wa basi jamani utadhani amebeba gunia na si binadamu
@juniorfredmbatia8285
@juniorfredmbatia8285 Год назад
Revenue collection at 14:22
@Chazytz1
@Chazytz1 Год назад
Duh ap so kitonga bhanaaaa
@daudmdemu8701
@daudmdemu8701 4 года назад
Sasa mbon wew unashusha akat ulsema ni kupandisha?
@user-yy6gf4my9f
@user-yy6gf4my9f 3 месяца назад
Mmetudanganya
@jameschumbula2344
@jameschumbula2344 4 года назад
Pazur balaa yan kijan bichiiiii
@IbrahimMohamed-fk5cc
@IbrahimMohamed-fk5cc 4 года назад
Yaani Trafic wapo juu ajali ipo chini kwa nini wasigawanyige kutimiza wajibu wao mie kwa wazo langu huo mlima ufungwe Camera then Barabara zitanuliwe kisha pembeni waweke mawe makubwa (kingo za kudumu) pia swala la magari spana mkononi wawe nayo makini sanaaa
@feidhabakari261
@feidhabakari261 3 года назад
Asa mawe sindo hatari waki pindisha ndo wanakufa vizuriii
@simulizitanzania2571
@simulizitanzania2571 2 года назад
Kaka hiyo ni Kitonga? Dah,basi sawa
@petertengo8082
@petertengo8082 4 года назад
Kwan uyo dreva anamkimbiza nani
@capteinchuimchafu7894
@capteinchuimchafu7894 2 года назад
Mbona hicho kinanda Cha FUTURE YEAR 2050,2070,2100 kinachoonesha miaka ya mbele
@khalifanoti6974
@khalifanoti6974 2 года назад
Hii sio kitonga kwa ni kabla hata hujafika Ruaha mbuyuni ukitokea Dar
@philiplenardsylvester6063
@philiplenardsylvester6063 Год назад
Hakunaga gari ya kushinda bas mwendokasi
@salimmohamedsalim4448
@salimmohamedsalim4448 4 года назад
Ww mwenyewe hauko care pumbavu
@mawereremawe1171
@mawereremawe1171 3 года назад
Kumbe kawaida tu.
@hassaniramadhani1103
@hassaniramadhani1103 2 года назад
Barbara yakawaida tu hii we amino GARI lako Galina tatizo haina shida mbona
@godwinsinkamba313
@godwinsinkamba313 Год назад
A see niatal
@amidaJafar-o6x
@amidaJafar-o6x 16 дней назад
Tupunguze mwendo hapo mliman
@felixkato6283
@felixkato6283 Год назад
Waliotengeneza hii Barabara ase nahsi kama walikua buku basi walikamirisha wakiwa jero na iv so poaaa
@meshackkiyabo704
@meshackkiyabo704 2 года назад
Allsayde inatembea kwa sekunde
@ramadhanmaliki3545
@ramadhanmaliki3545 2 года назад
Hatal cana
@barakakusa7606
@barakakusa7606 Год назад
Kumbe ni kawaida TU hata hautishi
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 4 года назад
Naomba kuuliza hv inaruhusiwa kuovateki kwenye kona?
@stevek8318
@stevek8318 4 года назад
Kubahatisha na ni hatari
@ndegemoshi7083
@ndegemoshi7083 3 года назад
Hairuusiwi
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 2 года назад
General rule ni kwamba huruhusiwi kuovertake kwenye solid line... Ila kuna exceptional kwa kila general rule. Mfano gari inaweza kua imeharibika ikasimama na ili upite kulia kulipita ni lazima uvunje hiyo general rule. Vinginevyo inabidi ukae nyuma ya hilo gari hata wiki moja( njia yenu ifungwe ) hadi hiyo gari itengamae... Kuna wakati pikipiki ( 2 wheels) ipo kushoto pembezoni kabisa inatembea taratibu na eneo linaruhusu kupita speed zaid ya 50! Lakini pia kuna solid line , Unaweza kuipita kwa kuingia kidogo kulia. Ila ukikutana na traffic polisi anayekomalia sheria atakupiga faini😁😁
@khalifanoti6974
@khalifanoti6974 2 года назад
Hairuhusiwi
@mwinjemwinje1016
@mwinjemwinje1016 Год назад
Ndioo
@paschazianestorymatunda6490
@paschazianestorymatunda6490 3 года назад
Tumshukuru hakuanguka kwenye hilo korongo maana huyo na gari ndiyo vilikuwa bye bye
@loner_wolf
@loner_wolf Год назад
Sasa unapandisha mlima au unashusha bro 🙄🙄
@ahmetmwandu8499
@ahmetmwandu8499 Год назад
Huyu anatoka iringa anaenda moro
@user-kx3ly1ct1p
@user-kx3ly1ct1p Год назад
hatar mnazijua nyie sio AL SEADY GANGILONGA WAKIWA NA NDUGU ZETU WA BODA
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 2 года назад
Uliandikiwa faini ?😁😁
@ismailismail4771
@ismailismail4771 Год назад
I don't see anything special here ...a normal ride just like any other ride
@lovenessmwaitege5324
@lovenessmwaitege5324 3 года назад
Yaani hapo umetuonyesha barabarani tu na so maporomoko ya mlima kitonga
@Ba63828
@Ba63828 Год назад
Nyie jamani sio waungwana hata KITONGA yenyewe hamjatufikisha. What is it halafu uyarajia kugungua clip zako mbeleni. Business lost.
@yakubuokoky4092
@yakubuokoky4092 3 года назад
Hilo basi la blue lime potelea wapi??
@philiplenardsylvester6063
@philiplenardsylvester6063 Год назад
Bas ni shida yanatembea
@majidaboud7318
@majidaboud7318 Год назад
Watu kazini wala sio utalii
@vigezo
@vigezo Год назад
Sasa hapo ni kuelekea Iringa au kutoka Iringa?
@esaukalanje5378
@esaukalanje5378 Год назад
Kutoka Iringa
@ndegemoshi7083
@ndegemoshi7083 3 года назад
Kitonga.ndo.iko.mkoa.gani
@alexroman7571
@alexroman7571 3 года назад
Iringa
@maishaboraconstruction6347
@maishaboraconstruction6347 3 года назад
Hiyo siyo kitonga bana, hizo ni Kona za mto Ruaha kitonga gari hiziendi speed hiyo basi mpaka inaovateki Chezea kitonga nini wewe . Kitonga iko mbele hapo yani kuisha hizo kona unapanda mlima Wenyewe ukiisha mlima unaipata COMFORT MOTEL.
@Joseph-lu4yj
@Joseph-lu4yj 2 года назад
Unamaanisha kona za iyove
@nickycraudy9374
@nickycraudy9374 2 года назад
Itakua huijui kitonga wwe
@victoriangasa
@victoriangasa 2 месяца назад
Hizi siyo kona za mto Ruaha ni kona za mlima kitonga😂😂
@hassanlikwenangu8471
@hassanlikwenangu8471 Год назад
Hivi Madereva wetu, ni sahihi kuwasha double hazards wakati chombo kinatembea? Na wa mbele na ntuma yako atafsiri nini??
@benniejr12345
@benniejr12345 11 месяцев назад
Yah ni sahihi kwan unampa tahadhar wa nyuma yako
@samirajonh9800
@samirajonh9800 4 года назад
Kwanini unaendelea kumuachia uyu kaka ajui kabisa mimi nipo hapa kwaajili yako Ananias but kama utaendelea kumuachia uyu basi Nita unsubscribes Chanel yako
@ericklukumay1777
@ericklukumay1777 4 года назад
Madereva wa mabas wanatembea na kipindi
Далее
I Built 3 SECRET Rooms In School!
33:34
Просмотров 13 млн
Why Does No One Visit This Stone Town!? (Iringa Town)
21:29