Тёмный
No video :(

BASI LINALOTOKA TANZANIA HADI SOUTH AFRICA, NAULI LAKI 3 NA NUSU, SAFARI SIKU 3 “MMILIKI MTANZANIA” 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 418 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 581   
@dominamabebe6691
@dominamabebe6691 11 месяцев назад
Huyo konda very professional kwa kweli, anajieleza vizuri sana. Mmiliki amfikirie na kumwangalia kwa jicho la tatu
@nickhealthcare5612
@nickhealthcare5612 11 месяцев назад
Mmiliki anamacho mawili tu!
@user-tn5ym5gd6s
@user-tn5ym5gd6s 11 месяцев назад
😂😂😂
@ellysha8096
@ellysha8096 11 месяцев назад
​@@nickhealthcare5612😅😅
@jumakessy7560
@jumakessy7560 11 месяцев назад
Konda ni mpambanaji sana, mtoto wa ilala pale
@fatmamdihiri4164
@fatmamdihiri4164 11 месяцев назад
😂 😂 😂
@edwardouma1630
@edwardouma1630 11 месяцев назад
Hongereni nduguzangu watanzani wenzangu kwa hatua ya kimaendeleo tunayoyapiga 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇰🇪👏
@SophlaJackson-nt1nc
@SophlaJackson-nt1nc 11 месяцев назад
Sijui kama ataweza vumilia mbona royer tour arichemka
@SalamaAkilimali-ly3bu
@SalamaAkilimali-ly3bu 11 месяцев назад
Kwa kuwaibiwa pesa zenu na hiyo gari Kwa faida ya aliyewaibia na familia yake
@kingyeskingyes2263
@kingyeskingyes2263 11 месяцев назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-U9EBaCtGjN8.htmlsi=pd54pFleg0QKzPbJ
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 11 месяцев назад
Congrats to them but kenya hiyo gari mbona iko yatoka msa mpaka kisumu
@SophlaJackson-nt1nc
@SophlaJackson-nt1nc 11 месяцев назад
@@yasminoluoch169 nyamazeni tuu Kenya Tanzania ote hamna mabasi mazuri nitakataka njoo south Africa uone 🥰
@cimpleweston6327
@cimpleweston6327 11 месяцев назад
Usafir mzur wenye utalii ndani yake kuusu muda siku 3 adi 4 c mbaya nadhani ni sababu za kiusalama zaid nawapongeza sana wausika wote
@SophlaJackson-nt1nc
@SophlaJackson-nt1nc 11 месяцев назад
Hakuna nimbari mno mimi kwa sasa napandia lusaka rakini siku ya 3 asubui ndyo tunafika South
@bernard7689
@bernard7689 5 месяцев назад
I highly respect the state of Tanzania. Bernard from central Kenya.
@IamRaySmartTz
@IamRaySmartTz 11 месяцев назад
Tunafurah kwa hili Ayo kutuletea new update Wale wa south tulio fika Gonga like
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 11 месяцев назад
Hongera sana mkombe luxury, serikali jitahidini kuongeza upana barabara ya dar mpaka tunduma coz ndiyo njia kuu ya safishaji Tanzania
@milogrouplimited1628
@milogrouplimited1628 11 месяцев назад
Mkandarasi yupo site , vipi hauna taarifa ? na fedha tayari zilishatengwa kwa ajili ya kipande kutoka Igawa-mbeya-songwe hadi tunduma karibu kilomita 167.
@kingyeskingyes2263
@kingyeskingyes2263 11 месяцев назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-U9EBaCtGjN8.htmlsi=pd54pFleg0QKzPbJ
@kingyeskingyes2263
@kingyeskingyes2263 11 месяцев назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-U9EBaCtGjN8.htmlsi=pd54pFleg0QKzPbJ
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 11 месяцев назад
Serikali ya Zambia ndio inafeli sana Barbara toka nakonde kuelekea Lusaka hivyo sana
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 11 месяцев назад
Lakini jmni overtaking marufuku ili kuzuia ajali..Karibuni nitakuwa mteja wenu..Hongera❤
@mohamedshariff9699
@mohamedshariff9699 8 месяцев назад
Hongera Tanzania jee ukiwa na passport ya another country but from East Africa anaweza safiri from Tz to S.Africa without visa ya South Africa
@Mpakauseme
@Mpakauseme 6 месяцев назад
Google
@Nyatojr1eddy
@Nyatojr1eddy 4 месяца назад
Tz hatutakiw kuwa na visa kwa south Africa
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 11 месяцев назад
Route ndefu hiyo mtafeli ...muwe na mabasi matatu....moja linaishia zambia lingine linapokea zambia mpaka zimbabwe linapokea lingine zimbabwe to south Africa
@zenasalum2231
@zenasalum2231 11 месяцев назад
Wazo zuri sana
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 10 месяцев назад
Swala si kupokezana bali watu ndani ya basi siku 3 labda ankuwa anataka kutalii
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 10 месяцев назад
​@@blandinamwarabu5025mi nilitokea Lusaka,tukapita Harare Zimbabwe then jorbeg....24 hrs🙌 Kutoka Tz , nililala tunduma, kutoka tunduma nikalala Lusaka.... So ni yaleyale tu Hawa nao wanapumzika lzm
@Mpakauseme
@Mpakauseme 6 месяцев назад
Wabongo bwana yani mnachukulia maisha easy sana , huyo mfanyabiashara anayafahamu hayo
@LucasMatonya
@LucasMatonya 5 месяцев назад
Acha ushamba wewe hiyo gari ni aina ya MARCEDES BENZ inamudu hiyo route
@FoxJr-lh4fe
@FoxJr-lh4fe 11 месяцев назад
Ndo moja wapo yamaendeleo mungu ambalik milik🎉🎉🎉
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 11 месяцев назад
Ameen
@bahatimwakabenga2808
@bahatimwakabenga2808 10 месяцев назад
Nimewapenda nimefurahia kazi yenu, nimesafiri kwa kuenda pitia Malawi na Zambia, sasa ni safi,asante kutuinua Wa TANZANIA.
@mikesamba8465
@mikesamba8465 9 месяцев назад
Good job...may Allah bless that company to go far and helping East Africa people
@nyabyendajeanpaul264
@nyabyendajeanpaul264 11 месяцев назад
Congratulations brothers from Tanzania. Make sure you connect the company to the rest of East Africa Rwanda, DRC Burundi. More customers are coming , by the way tell us what is required for a non SADC citizen
@user-qj9dd7tb9n
@user-qj9dd7tb9n 11 месяцев назад
Hongera sana .Mtanzania🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
@josephvenus3259
@josephvenus3259 11 месяцев назад
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥 Tushindwe ndege, meli, hata Kwa basi eh!
@kingyeskingyes2263
@kingyeskingyes2263 11 месяцев назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-U9EBaCtGjN8.htmlsi=pd54pFleg0QKzPbJ
@thelastship2455
@thelastship2455 11 месяцев назад
That's awesome we need this from Tanzania to Mozambique maputo
@maureenn.canhandula2381
@maureenn.canhandula2381 11 месяцев назад
Via Tete Mozambique👍🏾
@AbeidJuma-ei9qg
@AbeidJuma-ei9qg 11 месяцев назад
Good job na wapata nikiwa kenya kwakweli nasikia raha nikiona nchi yangu ina piga hatua asanteni sana viongozi wa nchi kwakutoa vibari hivyo naiwe chachu yawatanzania walio wengi kupanua mawazo kwani tuta kuwanyuma mpaka lin Tanzania tuchanga mkeni jamani
@kingyeskingyes2263
@kingyeskingyes2263 11 месяцев назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-U9EBaCtGjN8.htmlsi=pd54pFleg0QKzPbJ
@lenakassian-pr3dy
@lenakassian-pr3dy 11 месяцев назад
Wale tulio safili 2019 ,2020 na taqwa ya kuunga unga tujuane kwa like 😂😂😂😂
@zainabwage4658
@zainabwage4658 11 месяцев назад
Mbona taqwa iko powa tu kipind kile
@ramamrutu4914
@ramamrutu4914 11 месяцев назад
Ivi sa kuna nini mbona watu wanaenda sana
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 11 месяцев назад
@@ramamrutu4914 kuzuri
@Zainab-sq1tc
@Zainab-sq1tc 11 месяцев назад
Hahaha mm hapa
@raheemamoosa5224
@raheemamoosa5224 11 месяцев назад
😂😂😂 tupo
@AnethEdward-nf6sc
@AnethEdward-nf6sc 11 месяцев назад
Hongera nyingi , inatufundisha wa tz tukiamua kupambana tunaweza .
@kingyeskingyes2263
@kingyeskingyes2263 11 месяцев назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-U9EBaCtGjN8.htmlsi=pd54pFleg0QKzPbJ
@sarahrashidabdallah3109
@sarahrashidabdallah3109 11 месяцев назад
Naiona hiyo south Africa soon inshallah 😅😅
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 11 месяцев назад
Safi Sana jaman hakika huyu ndio kaupiga mwingi
@mussamtupa
@mussamtupa 11 месяцев назад
Niona tangazo lenu Tiktok nika pingia ndugu ya ngu Akaja kukata Tkt Kafika Jobek Salama kabisa Asanteni sana Sikuamini mwanzo.
@loisewanjiku3974
@loisewanjiku3974 10 месяцев назад
Their contact ni gani please
@williammagese9489
@williammagese9489 11 месяцев назад
Iliwahi kiepo Matema Beach Slipping Coach miaka ya tisini mwishoni route ya Dar Joberg
@fatmakhatib2935
@fatmakhatib2935 9 месяцев назад
Zambia njia zake ni mbaya sana zinamilima na kona mbaya ndio 7bu ya kuzuia gari zisitembee usiku kiusalama zaidi Mungu awabariki katika utaftaji wenu
@abdullatifhassan9399
@abdullatifhassan9399 11 месяцев назад
Masha Allah...... Safi Sana.... Hebu tuambieni hii Gari inapita wapi mpk kufika south africa.... Mm nipo limpopo nahitaji kusafiri nanyi
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 10 месяцев назад
Kutokana na maelezo Yao,wanapita Lusaka,Zambia,Harare Zimbabwe
@abdullatifhassan9399
@abdullatifhassan9399 10 месяцев назад
@@christinewomanoffaith5479 waweke mawasiliano tuongee nao
@YFM-rq9td
@YFM-rq9td 9 месяцев назад
Jamaa kacheza sana walau nchi tatu kagusa madereva,,,huyu ma Tanzania anaendesha hadi malawi analala hapo atapitiwa route ya kurudi,,,anakamatia wa Malawi nae ananyonga hadi south mwanzoni anaikamatia msouth anaanza kuchana mikoa ya huko,,,
@salmanmagwe222
@salmanmagwe222 11 месяцев назад
Hizi ndio habari tuzitakazo sio kila wakati ni siasa tu na porojo zao,wa Tz hizi habari zitatusaidia kujua ni wapi kuna fursa ili maisha yaendelee
@kingyeskingyes2263
@kingyeskingyes2263 11 месяцев назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-U9EBaCtGjN8.htmlsi=pd54pFleg0QKzPbJ
@lissamsalu12345
@lissamsalu12345 11 месяцев назад
Big congratulations brother pigeni kazi jaman
@ernestlocken4500
@ernestlocken4500 9 месяцев назад
Mkombe luxury hongereni Sana hicho ndicho watanzania tunatakiwa kufanya tupo pamoja
@zayumar2955
@zayumar2955 11 месяцев назад
Wow nmependa nikipataga mwenyeji ntaendaga au nikiwa na pesa😂😂❤❤❤
@Jmedia_Tv
@Jmedia_Tv 11 месяцев назад
Haya ndio mambo tunataka, sio udaku utawale, ikibidi leteni taarifa za kwenda nje tujue gharama na maisha inaweza kuleta motisha ya kufika mahali flan
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 11 месяцев назад
Kabisaa yani Kama mm nimesha tamani kwenda south ase naweza kukutana hata na fursa za biashara
@syliviakente9460
@syliviakente9460 11 месяцев назад
Maisha SA yamepanda sana zamani ilikuwa nafuu uchumi wao ulikuwa juu saa hizi mhh , vitu ni ghali sana pia wana utaratibu wa kulinda viwanda vyao lakini.kutokana na hali ya uchumi kuporomoka mambo mengi yamebadirika, pia na hali ya kiusalama ni mtihani, jipange sio ukurupuke !
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 11 месяцев назад
@@syliviakente9460 dunia ya Leo ukisema ujipange ndiyo uanze kufanya kile kitu ambacho ndiyo lengo ase utabaki kulia kila siku mfano una plani ya biashara ambayo Ina hita milioni 10 ukisema ukusanya mpaka ifike ndiyo uanza biashara ase kutoboa ni asilimia 5 tu asilimia 95 ni tuombe MUNGU mm Nina ushuhuda wangu mwenyew huu ni mwaka wa 5 natafuta million 15 sija fanikiwa kufikisha hata 10 nakila nikifikisha 5,7,8 inaibuka Vita ambayo sijui inatoka wapi Ila linifanikiwa kupata darasa kidogo na kwasasa najaribu kuanzia chini kabisa yani nafanya mchezo wa Simba kumkamata swala 🤣🤣
@kingyeskingyes2263
@kingyeskingyes2263 11 месяцев назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-U9EBaCtGjN8.htmlsi=pd54pFleg0QKzPbJ
@mosesbarnabas3379
@mosesbarnabas3379 11 месяцев назад
Safi sana ila huyo driver anasema watanzania ni wakarimu sana ,ushauri wangu na yy akawe balozi kwa wasouth wenzake waache kuwanyanyasa wageni .
@davidcurtis175
@davidcurtis175 11 месяцев назад
Ushauri wako wa bure kabisa wasouth walio wengi wameziba masikio na kazazi cha sasa wamepagawa kabsaaa ila wanajua ukweli kama waTZ tumechangia kwa kiasi kikubwa kwenye uhuru wa nchi yao
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 11 месяцев назад
Leteni na kampala uganda jamani
@blackblue9729
@blackblue9729 11 месяцев назад
South Africa raia raia wake wame pagawa yani awasikii lolote
@nareensaleh4957
@nareensaleh4957 10 месяцев назад
Wa south wanajali sasa 😂😂😂 kama hawa weusi bora wacoloured wanautu kidogo lakini weusi ndio kwanza wanakuitwa makwerekwere wakuja😅😅
@AnnoyedLimePie-lc5sw
@AnnoyedLimePie-lc5sw 7 месяцев назад
Ameshafariki huyo dereva
@zuwenashaffi2576
@zuwenashaffi2576 11 месяцев назад
Jamani mbona sisi tuliondoka tunduma na gari ya saa tisa jioni kuelekea lusaka tulitembea usiku kwa usiku hadi saa 7 ndio tukapaki hotel 😢😢
@kingyeskingyes2263
@kingyeskingyes2263 11 месяцев назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-U9EBaCtGjN8.htmlsi=pd54pFleg0QKzPbJ
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 10 месяцев назад
Sahivi Zambia wamebadirisha utaratibu huo Kusafiri ni mchana tu! Ila hapo nyuma ilikuwa hivyo! Mi pia nilisafiri usiku kwenda lusaka
@user-db4xu7vv1z
@user-db4xu7vv1z 11 месяцев назад
Mm nakumbuka nilisafili na bas today dar hadi South afrika siku 5 ndo nafika South
@Fantsonmpango-uz3jw
@Fantsonmpango-uz3jw 11 месяцев назад
Mkombe, walindaulii . Hiyo ni mpanda ufipa. Hongera sana
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 11 месяцев назад
Nipeni Ajira ya kuhudumia Abiriya , kuwapa Vinywaji 🙏.
@kingyeskingyes2263
@kingyeskingyes2263 11 месяцев назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-U9EBaCtGjN8.htmlsi=pd54pFleg0QKzPbJ
@frankmwakalinga7455
@frankmwakalinga7455 9 месяцев назад
Hongera sana tutaenda kwa madiva bila shida,🙏🙏
@vincentauxerbius7554
@vincentauxerbius7554 11 месяцев назад
Hii imeenda😂😂😂😅😅 lazma nipande hii siwez kuikosa hii kabisa
@albertkatuga2434
@albertkatuga2434 11 месяцев назад
Uwe na milioni mbili mfukonia
@Official83640
@Official83640 11 месяцев назад
Kaka zetu wanazidi kupigwa bunduki kwa wizi wao wanaouendekeza na hii sasa ndy watazidi kufa maana nchi ishaharibika wanachomwa hovyo aisee wawe pole
@zuhurakhasimu969
@zuhurakhasimu969 11 месяцев назад
Huyo dereva mbona kavaa mlegezo makalio yanaonekana 😂🤣
@magrethemanuel9372
@magrethemanuel9372 11 месяцев назад
Ww sema tu siku nne ndugu yangu naujua huo mwendo wa basi kiulweli ni siku nne kabisa
@marabtourssafariszanzibar1040
@marabtourssafariszanzibar1040 3 месяца назад
Big up sana kwa maelezo - nafikiria kufanya safari yangu ya kwanza kwa basi mwezi October kwa ajili ya utaliii, je natakiwa lazima kuwa na invitation letter
@jamesukombozi5216
@jamesukombozi5216 11 месяцев назад
Hongereni sana mmeupiga mwingi mngekuwa na gari 2 mkitoka katikati mnafaurishaa nyie mnageukaa
@ahz6907
@ahz6907 11 месяцев назад
Ili iweje?
@mussamgonola3983
@mussamgonola3983 11 месяцев назад
Chuma cha mjerumani hiko Benz hiyo baba ni fire
@vanny387
@vanny387 11 месяцев назад
Mi niko South African lakini Zambia wapi kunachangamoto nyingi lakini Zimbabwe safi snaa
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 10 месяцев назад
Zimbabwe hakuna shida wao wanataka passport tu, yellow fever card..hawana mambo mengi
@malikyayo-og2sr
@malikyayo-og2sr 5 месяцев назад
Mimi nataka kusupport Niko Joburg mkenya itatakiwa vipi nina safari io
@josephmakau8254
@josephmakau8254 5 месяцев назад
Mi nakuja nayo April...kuko aje Joburg?
@KSACTV
@KSACTV 11 месяцев назад
hili ni game changer wabongo mumeupiga mwingi ila kwa sisi majirani tunaruhusiwa kusafiri pia
@mereyamhomesmariamhomes3464
@mereyamhomesmariamhomes3464 11 месяцев назад
Muhimu uwe na vitu walivyo sema basi hakuna mipaka
@KSACTV
@KSACTV 11 месяцев назад
@@mereyamhomesmariamhomes3464 asanti Nita zingatia
@zamalisaide3209
@zamalisaide3209 10 месяцев назад
Wallah konda upo vinzuli MashaaAllah mungu akutangulie
@Satier47
@Satier47 10 месяцев назад
Kazi nzuri sana wazee.🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪✔️
@niyonkurufadhoulillah4916
@niyonkurufadhoulillah4916 11 месяцев назад
Atakae potea south africa aseme alekezwe mimi naishi around end street🇿🇦
@labanbishirabandi3740
@labanbishirabandi3740 11 месяцев назад
Mh! Kweli?
@niyonkurufadhoulillah4916
@niyonkurufadhoulillah4916 11 месяцев назад
@@labanbishirabandi3740 yeah kweli
@labanbishirabandi3740
@labanbishirabandi3740 11 месяцев назад
Nitumie namba yako ya Whatsapp
@shubejimison6288
@shubejimison6288 11 месяцев назад
nasikia fursa kidogo ni pw
@deogratius8501
@deogratius8501 10 месяцев назад
Number zako za WhatsApp please
@elviskibet1786
@elviskibet1786 9 месяцев назад
As a Kenyan I woud love to take this trip
@jaro5603
@jaro5603 9 месяцев назад
Why do you have to say your nationality , nobody cares.
@laudadeusredemptorysidinda2750
@laudadeusredemptorysidinda2750 8 месяцев назад
​@@jaro5603kwani akisema kuna tatizo gani, acha ujinga
@james008BOND7
@james008BOND7 8 месяцев назад
​@@jaro5603unajibu kama mtu ambae hakuenda shule,,tumia hekima🙏
@selvestarjoseph2649
@selvestarjoseph2649 10 месяцев назад
Kwaiyo kuna viza nako😮
@Nyatojr1eddy
@Nyatojr1eddy 4 месяца назад
Noo
@SelijusiMalambo-zx8gg
@SelijusiMalambo-zx8gg 11 месяцев назад
Hiyo kampuni mhusika yupo Zambia ila kabila lake ni mmambwe alianza nabasi moja ilikua inaishia nakonde,boda kutokea Lusaka
@najmaalbajun
@najmaalbajun 11 месяцев назад
Unaambiwa mtanzania
@sultandihomba4359
@sultandihomba4359 11 месяцев назад
Tatizo abiria amna wa kutosha wa njia iyo Moja kwa Moja ndo waliacha walio jalibu uwezi kwenda bondeni na abiria 15 na kurudi 13 bus la abiria 60 kweli nani anaweza kudumu na biashara ya asara ivyo
@mishlay8164
@mishlay8164 9 месяцев назад
Kwakweli mjipange sana . Na Mungu atawabariki sana
@samuelmuthui4699
@samuelmuthui4699 10 месяцев назад
Hongera Sana. Si mungeanzisha safari ya Nairobi-jorburg?
@virginiakiratu4119
@virginiakiratu4119 7 месяцев назад
Weee 😂😂😂😂
@habibuhabibu9728
@habibuhabibu9728 10 месяцев назад
Aisee nitaenda kumbe lack 7 nitaenda Inshaallah
@shilagijisandu3101
@shilagijisandu3101 11 месяцев назад
Nilitoka dar mpaka msoma mgongo ulikuwa Kama umegongelewa misumali,nawaza south Africa itakuaje🤔
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 10 месяцев назад
Km gari ni luxury sio issue Shida kibongo ma basi mengi sio luxury Kwa maana ya luxury! Luxury ni basi ambalo ukichoka unaweza rudisha nyuma kiti kiwe kama Kitanda
@AnicetGatera
@AnicetGatera 10 месяцев назад
Congratulations, fanya mipango ya Dar-Kigali
@omaryhussein-kq7vp
@omaryhussein-kq7vp 11 месяцев назад
Wow🎉 atar san@amaizing
@user-mx2tx5eg9x
@user-mx2tx5eg9x 10 месяцев назад
Kama unapenda kutalii safiri na huu mchuma, vinginevyo kwea pipa. Siku 3 halafu laki 350,000 parefu😂
@syliviakente9460
@syliviakente9460 9 месяцев назад
Hiyo nauli 700,000 ni tkt ya ndege kwenda na kurudi watanzania fanyenyi utafiti , hiyo safari ni ndefu yataka moyo !
@user-mx2tx5eg9x
@user-mx2tx5eg9x 9 месяцев назад
@@syliviakente9460 kama unatalili sio mbaya, vinginevyo chukua ndege tu
@KhalidKhan-ud9cz
@KhalidKhan-ud9cz 10 месяцев назад
Tanzania Dar Esalam mzuri Sana kweli nakupenda sana kweli 💖💕💖
@shabanikitula645
@shabanikitula645 11 месяцев назад
Mtangazaji naomba niombee kazi
@mathiasmsumeno8516
@mathiasmsumeno8516 11 месяцев назад
Fipa boys on the Map.,bravo MUKOMBE!
@kingyeskingyes2263
@kingyeskingyes2263 11 месяцев назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-U9EBaCtGjN8.htmlsi=pd54pFleg0QKzPbJ
@simonsadala2386
@simonsadala2386 11 месяцев назад
Hongeraaaaaaa sanaaaa mfipa Mwenzangu Kwa kusubutu usisahau chumba 1 toka Dar mpaka sumbawanga kwetu
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 11 месяцев назад
Yaaaa tunao piga trp dar to south Africa tujuane kheir hii Laki Tatu na nusu NDEGE GHALI MNOO LAKI 7 MBK LAKI8 KHEIR NIPANDE GALI UKU NA ENJOY UTALII
@user-go3du6or5v
@user-go3du6or5v 11 месяцев назад
Tafuta hera usafili wa basi sio utalii,utalii utalii na usafili ni usafili,
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 11 месяцев назад
@@user-go3du6or5v IVI WEWE UNA COMMENT HAPA USHAWAI KUMILIK HATA PASSPORT KWELI 😁 NENDA KWANZA KATAFUTE PASSPORT NDIO UJE KUCOMMENT MAANA NIMESHAKUACHA MBALI SNA,, MWENZAKO SIGOMBANII UGALI WA LENGELE TOKA MIAKA 17SASA WEWE MIE SIO MWENZAKO UKISHAZIJUA LAND, RIAL, DINAL, DIRHAM, DOLLAH BASI NDIO UJE TUBISHANE KWA POINT BADO MTOTO MDOGO KWANGU
@Oscarokran8133
@Oscarokran8133 11 месяцев назад
​@@user-go3du6or5v😂😂😂
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 10 месяцев назад
​@@user-go3du6or5v😂😂😂😂
@Nyatojr1eddy
@Nyatojr1eddy 4 месяца назад
​@@user-go3du6or5v😅😅 daah sijapendaaa kwa kweli
@user-gg4xj1yt3r
@user-gg4xj1yt3r 11 месяцев назад
Jamani mie nina taka kwenda kutembea tu na kurudi na ruhusiwa au kuna vigezo gani? Nina nauli yangu na porket maney na asport ninayo tafadhali nijuzeni
@user-ed6fd4sy4v
@user-ed6fd4sy4v 9 месяцев назад
Upo kama mimi jamniiii sina ndugu,jamaaa au rafiki ila nimetamani kutembea je wanaruhusu?
@Mpakauseme
@Mpakauseme 6 месяцев назад
kwani amsikilizi maelezo dah wabongo mnamatatuzo sana
@michaelkauzeni8903
@michaelkauzeni8903 11 месяцев назад
Twataizya mkombee ❤❤😊
@KaroliMagana
@KaroliMagana 11 месяцев назад
Kwenye Corona kitambulisho ndo changamoto
@shanimhanga7896
@shanimhanga7896 11 месяцев назад
Tanzania yetu inazidi kusonga mbele hongera sana
@alphaajohn6203
@alphaajohn6203 11 месяцев назад
I will go to SA soon
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 11 месяцев назад
But kwa safari ndefu kama south africa bus linafaa kuwa luxury..sio kwa ivo viti..si migongo itapinda..hawajui luxury hawa wanadhani choo ndani ndo luxury😂😂😂
@julianayesayamwailolo8240
@julianayesayamwailolo8240 11 месяцев назад
Nami nimesema hvyo hvyo mpendwa .Basi si bayaa sema viti sio comfortable kwa safari ndefu.
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 10 месяцев назад
Hapo umeongea ndugu! Hizo basi utazikuta Lusaka Zambia to jorbeg Aisee zile ndo luxury..... Ila hizi siwezi mgongo utapata shida
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 10 месяцев назад
But I think zinaweza kuwa na option ya kurudisha kiti nyuma kidogo kiwe km kitanda
@WaridiTambi
@WaridiTambi 11 месяцев назад
Kama ndege ilivo ❤
@ctssuppliespaynes5554
@ctssuppliespaynes5554 11 месяцев назад
Basi zuri aisee, ila ningependa kujua kwa huku SA huwa linaishia wapi na nauli yake ni kiasi gani kwa kutoka South hadi Dar?
@Lih471
@Lih471 11 месяцев назад
2500r
@jamesraphaelmdima4729
@jamesraphaelmdima4729 11 месяцев назад
350,000Tsh
@syliviakente9460
@syliviakente9460 11 месяцев назад
Hiyo R2500 one way tkt ya ndege
@Lih471
@Lih471 11 месяцев назад
@@syliviakente9460 ndege gani acha uongo au hujaenda kwenu kitambo
@TijoboyMzungumweisi-qb8yi
@TijoboyMzungumweisi-qb8yi 10 месяцев назад
Tunaitaji namba zenu jamaniii
@zoey2635
@zoey2635 11 месяцев назад
Yani sauzi siendi washaanza kufukuza wageni uko operation dudula
@Mpakauseme
@Mpakauseme 6 месяцев назад
😂😂😂😂
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 11 месяцев назад
MashaAllah 🎉🎉🎉🎉nitapanda iyo,
@alizanzibar1586
@alizanzibar1586 11 месяцев назад
Allah Akusimimiyeni wafanyakazi na mmiliki
@husseinmkwattah8601
@husseinmkwattah8601 4 дня назад
Jamani kwa ambaye anajuwa namba zao za ofisini za whtsp naomba anitumie tafadhari
@africanqueenmo
@africanqueenmo 10 месяцев назад
Amen so proud of TZ
@gusa_unate
@gusa_unate 11 месяцев назад
Hawajatoa namba zao tukaombe kazi vijana. @Millad ayo tv
@ellybrown5989
@ellybrown5989 11 месяцев назад
Hongereni sana mkombe...👍
@malikzafarani172
@malikzafarani172 11 месяцев назад
Woow amazing sana 🇶🇦
@user-gn6jz4qf7o
@user-gn6jz4qf7o 11 месяцев назад
Mie niko all rayan hebu nitafute tubonge kiswahili kidogo
@malikzafarani172
@malikzafarani172 11 месяцев назад
@@user-gn6jz4qf7o we mwenyej wa wap?
@malikzafarani172
@malikzafarani172 11 месяцев назад
@@user-gn6jz4qf7o we mwenyej wa wap?
@Msemakweli2024
@Msemakweli2024 11 месяцев назад
Ana nafasi jumamosi narudi TZ na tunampataje?
@user-mm6mw5iv1v
@user-mm6mw5iv1v 8 месяцев назад
For how long it takes
@user-wu9zz1bm9h
@user-wu9zz1bm9h 9 месяцев назад
Naipongeza chombo hicho kuelezea mambo ya msingi kama haya hua yanaifanya nchi isonge mbele.sio udaku tuu na mambo ambayo hayana msingi Wala hayatusaidii wananchi tunataka habar kama hizi.na hongera Kwa mtazamlnia mwenzetu kuwekeza mmefanya vema kumtangaza🙏👍
@jumamboga9652
@jumamboga9652 11 месяцев назад
Iko poa sana aisee
@simonchambo1230
@simonchambo1230 11 месяцев назад
Well done this is massively investment indeed
@GeorgeKikota
@GeorgeKikota 11 месяцев назад
Great Lini mnaanza Dar Arusha na Marangu?
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@hamisihassankengejr4375
@hamisihassankengejr4375 11 месяцев назад
Passport hizi mpya vip zimeeksipayi hii sio kweli maana tz mwaka 2020 ilikua mwisho
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 10 месяцев назад
Labda ilikuwa ya zamani,km ni mpya basi kulikuwa na shida nyingine
@hamisihassankengejr4375
@hamisihassankengejr4375 10 месяцев назад
@@christinewomanoffaith5479 Lakini ujue kua hilo basi limeanza safari mwaka huu hivyo huwezi kutumia passport ya zamani kwenda mahali labda kurudi kwa sababu kabla safari haijaanza konda lazima akague riketi na passport huo ndio utaratibu VIP iwe hivyo
@emmanuelmakongoro8228
@emmanuelmakongoro8228 11 месяцев назад
Good job nawapatakutoka SA hapa
@shubejimison6288
@shubejimison6288 11 месяцев назад
fursa zikoje maeneo ayo kibongobongo au ndo mwendo wa sm t
@habibnjowele7751
@habibnjowele7751 11 месяцев назад
MERCEDES BENZ HII! KWA SAFARI HII INAMUDU BILA WASIWASI Kwa MABASI YA KICHINA MTIHANI LINAWAKA NJIANI KUCHEMSHA!
@dominamabebe6691
@dominamabebe6691 11 месяцев назад
❤❤❤❤❤❤hii nzuri sana aisee
@JaamacIbrahim-ew1vb
@JaamacIbrahim-ew1vb 11 месяцев назад
What are the documents required for the journey,is there any visa needed to pass through those countries
@nareensaleh4957
@nareensaleh4957 10 месяцев назад
Passport Yellow card Invitation letter
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 10 месяцев назад
​@@nareensaleh4957mi nilishawahi safiri Kwa basi, nilitoka nalo lusaka,kupita Harare Zimbabwe.... Yellow fever card, passport,sshv imeongezeka hiyo card ya COVID... Lakini hakuna issue ya invitation letter jmn! Labda km wameanza sahivi!
@nurezdawood8363
@nurezdawood8363 10 месяцев назад
@@nareensaleh4957 salaams. what if am going for a holiday? Do I really need an Invitation letter?
@InnohubGroup
@InnohubGroup 7 месяцев назад
Invitation kwani mtu anaenda marekani mcheeeeww​@@nareensaleh4957
@wynesesthertchuwa2139
@wynesesthertchuwa2139 11 месяцев назад
Unapaki wapi huku Johannesburg jmn
@musababazy1941
@musababazy1941 11 месяцев назад
Kuna gari inatoka johanesbag hadi tz hta me nimekuja nayo juz inaitwa bubele inapita botswana
@user-sm6cz9jv3f
@user-sm6cz9jv3f 11 месяцев назад
Naombeni kazi tu hata ya kufanya usafi ndan ya gari au hata kutangaza mahali tumefika
@keheyemwitamsabi580
@keheyemwitamsabi580 11 месяцев назад
Mkombe luxury mpo poa sana
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 11 месяцев назад
Bei chee kabisa tutamic mashalome Zambia to South mabs noma hayo
@swaloweddingcollection
@swaloweddingcollection 11 месяцев назад
Wanapita njia gani lindi au tunduma boder... Na sisi abilia wa mikoani tujue ili iwe rahis kuwapat🙏
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 10 месяцев назад
Muwe mnasikiliza vzr Wanapita Lusaka Zambia, Harare Zimbabwe
@mpokienock-nh3zz
@mpokienock-nh3zz 9 месяцев назад
Wamesema wanpita lusaka zambia maana yake tunduma boarder
@harunaharrison2435
@harunaharrison2435 2 месяца назад
Kwenye Boda entry kuvuka nchi Hadi nchi mmeandaa utaratibu gani kuhusu visa?? Ni free entry visa au passport hugongwa mihuri ya hizo nchi???
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 11 месяцев назад
SIO HIYO TUU KUNA ROYAL LUXURY BUANA WW VP..KWA HIYO NI KAMPUNI MBILI ..TUNAPOKENGEZA HUU UWEKEZAJI.
Далее
TAJIRI WA MABUS  SUPER FEO ATOA SIRI YA KUWA BILIONEA
10:36
А ВЫ УМЕЕТЕ ПЛАВАТЬ?? #shorts
00:21
Просмотров 1,1 млн
MWANAFUNZI MTUKUTU (PART 2)
15:24
Просмотров 2,4 млн