Тёмный
No video :(

MWANZO MWISHO: Shuhudia shangwe za Wanaukara Mv. Nyerere ilivyotolewa majini 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 363 тыс.
50% 1

Leo September 27, 2018 ni siku ya 8, tangu kuzama kwa meli ya Mv. Nyerere na hadi leo ni siku 4, tangu zoezi la kukinasua Kivuko kutoka ndani ya maji lianze linaongozwa na Mkuu wa Majeshi Venance Mabeyo.

Опубликовано:

 

29 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 344   
@mickcharles2756
@mickcharles2756 6 лет назад
Mambo hayo kama unatoa support kwa jeshi gonga like hapa
@peteryusuph7085
@peteryusuph7085 6 лет назад
Like
@saidibrahim4631
@saidibrahim4631 6 лет назад
nawapa ongera jeshi letu ta tanzania
@davis6692
@davis6692 6 лет назад
Hongera???... Wakati walilala usiku mmoja hawakuokoa watu.. Wakaacha wafe tuu af et HONGERA?? unafki huo qmmke meli na binadam kwel kipi cha thaman?
@halimasaleh5705
@halimasaleh5705 6 лет назад
Wanaume kazini, hongereni sana na poleni sana kwa kazi nzito mungu awabariki sana
@salmakhamis4600
@salmakhamis4600 6 лет назад
Alhamdulillah japo watu walibeza miundo mbinu mibovu lkn Allah amewezesha
@halimasaleh5705
@halimasaleh5705 6 лет назад
Salma Khamis c unajua tena binaadamu hawana jema
@allyjama3552
@allyjama3552 6 лет назад
Watanzania kitu gani cha kufurahiya hapo?.... Watu wangapi wamepoteza maisha Yao?.. It's very sad story to see people clapping and happy, remember how many families are grieving. Sijaona cha kufurahiya hapo.
@michaelmmbaga1570
@michaelmmbaga1570 6 лет назад
Nakupa like kaka mi pia sijaona walicho chekelea apo
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 6 лет назад
I was shocked to see people screaming loh! Crazy people, I think hawana uchungu wa zile grieving families
@iddyhamis4084
@iddyhamis4084 6 лет назад
Wamefurahia kwa sababu wapo watu wengi wanategemea huduma ya kivuko katika shughuli zao
@haliimomar1692
@haliimomar1692 6 лет назад
Ndio ujue watanzania mataira
@ummysuleiman5200
@ummysuleiman5200 6 лет назад
mataira kweli kweli 😤😤😤
@marthamasue4009
@marthamasue4009 6 лет назад
Asante Mungu. Hongereni sana sana kwa juhudi kubwa mlioifanya, Mungu mwenyewe awabariki
@geofreysolomon8532
@geofreysolomon8532 6 лет назад
Mungu amebariki nini asee...😂
@davis6692
@davis6692 6 лет назад
Juhudi kubwa wakat usiku ilipozama walilala wakaacha kuokoa watu🤔🤔🤔
@fatumahengo6849
@fatumahengo6849 6 лет назад
Dah yaani hongereni sana kwa kazi kubwa mliyoifanya
@justineelius4972
@justineelius4972 6 лет назад
hongeleni sana jeshi letu la tz pia hongeleni sana AYO TV kwa update zenu za uwakika mungu azidi kuwapa nguvu na afya njema ili mzidi kutupa habari za uwakika masaa 24. BIG UP BROTHER MILLADIAYO salute kwako kaka👏👏👏👏👏👋
@kakamau0384
@kakamau0384 6 лет назад
Gonga like wa kwanza kuangalia na ku comment
@dicksonfrancis268
@dicksonfrancis268 6 лет назад
all arms congratulation for good work
@annamoshi4395
@annamoshi4395 6 лет назад
nakupokeza kwa kazi nzuri hongrreni
@MsDarkrabbit
@MsDarkrabbit 6 лет назад
Wanaolaumu watu kushangilia, fikiria kama una ndugu yako amefariki na bado hujapata mwili wake. Hii ni fursa kwa wafiwa kujiridhisha. Kwa imani nyingi za kitanzania msiba bila kupata mwili unakuwa na majonzi makubwa. Kuna familia zinashinda ufukweni kusubiria labda watapata miili ya wafiwa wao. Wana kila sababu ya kufurahia kivuko kutolewa ili wapate miili ya wapendwa wao wakawapumzishe. Tujiweke kwenye nafasi zao kidogo
@dickgood5723
@dickgood5723 6 лет назад
Ukimaliza kushangilia usipoupata mwili unaoutarajia kinafuata nn? Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Naendelea kuwaombea wenzetu waloondokewa na Wapendwa wao, Mwenyezi Mungu azidi kuwapa Faraja, Yatima walioachwa tuungane kuwasaidia
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 6 лет назад
Ajali inapotokea sio mwili unapopatikana mzee sasa usione hilo dude ndo lililofcha hao watu pengine hata hawapo apo wako sehemu nyingne washapelekwa namaji huezi jua
@beatricekamengekamenge5543
@beatricekamengekamenge5543 6 лет назад
Hongeren sana wote walifanikisha kukiinua kivuko chetu mungu awap nguvu zaidi amen
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 6 лет назад
Hongereni sana wahusika Mungu awabariki mmepambana💪💪
@johnpesambili4806
@johnpesambili4806 6 лет назад
Hongereni sana kwa kazi nzuri
@helgaaporinaly2811
@helgaaporinaly2811 6 лет назад
Hongeren kwa kazi kubwa, Mungu azidi kuwaweka hai
@amanjohnmrisho2210
@amanjohnmrisho2210 6 лет назад
hii sio kazi kubwa, kaz kubwa ilitakiwa ionekane kwny kuokoa ndg waliopotea
@vedastinavedasto888
@vedastinavedasto888 6 лет назад
+AMAN J MRISHO kweli
@jovinajovin4637
@jovinajovin4637 6 лет назад
Wa kwanza Ku watch 😊 thanks Millard kwa update
@tuddiek4961
@tuddiek4961 6 лет назад
Ongereni . But swali langu kwann hii nguvu yote ya majeshi msinge itumia kwenye kuokoa watu punde tu ile meli ilipo zama? Hamdhani mngeokoa raia wengi wasio kua na hatia na watoto wao. Leo mnaekeza nguvu kwa ajili ya mabati na vyuma. Haya tunawapa ongera sanaa. Mungu awalaze mahali pema peponi ' ameeiiin. Mbele yao nyuma yetu.
@kindolek9257
@kindolek9257 6 лет назад
Jua likiwaka jua mvua ikinyesha mvua, ndo binadam hao
@filberthabashi3366
@filberthabashi3366 6 лет назад
Maggie John like kama zote,,, inauma sana kuwekeza nguvu kwenye vtu ambavyo having uhai wakati walishindwa kuokoa uhai
@suleimanali4762
@suleimanali4762 6 лет назад
Acha usenge wewe hajali haina tarifa km watu wajiandae mkundu we acha siasa
@tuddiek4961
@tuddiek4961 6 лет назад
@@suleimanali4762 kuma kumalamako msenge ww na baba ako asie kufundisha adabu m2 humjui unanza kumtukana .
@ethanuk9437
@ethanuk9437 6 лет назад
Uokoaji si kitu cha mzezo inahitaji preparation ....kwa nchi zetu za Africa na umaskini tulio naoo ...Hatuko ready hujuwi wapi na lini .....recently Uk gorofa limeuwaaaa watu wengi kwa moto na msaadaa haukuwepo ...Acheni kelele
@fahadfahmy
@fahadfahmy 6 лет назад
Ayo Tv asante kwa ubora wa picha kwakweli umepiga hatua.
@user-nt9ex8tx2z
@user-nt9ex8tx2z 6 лет назад
Yaan kazi kubwa iyo baraaa kunasua MV nyerere
@mariampolesanajanjarorajah9942
Hongeren sana kwakaz nzuri
@rehematawalani7472
@rehematawalani7472 6 лет назад
Alhamdulillah Alhamdulillah Zetu ni du'aa Allah afanye wepesi
@jenipherchristopher2230
@jenipherchristopher2230 6 лет назад
Hongera sanaa jeshi letu
@bilalishauri9823
@bilalishauri9823 6 лет назад
Shangwe zann sasa
@davis6692
@davis6692 6 лет назад
Yann sasa wakat wa2 wamesha ded?
@silveryluboja6796
@silveryluboja6796 6 лет назад
B
@hassanmasoud8167
@hassanmasoud8167 6 лет назад
Hahahaaaaa. Kweli. Sis wanaadamu ....wepesi wakusahau ..Mara hii tushasahau wenzetu waliopoteza maisha tunashangilia vitu ambavyo havina maana yoyote ......
@mcmackone1958
@mcmackone1958 6 лет назад
Sielewi, sijaelewa sababu inayompa mtu nguvu ya kupiga makofi na shangwe kwenye kuinua kivuko, bado nasikitika uhai wa ndugu zangu hawapo tena, msiba kama huu watu wanafurahia kivuko kuinuka?
@azizaabeid123
@azizaabeid123 6 лет назад
Ahhahaha
@stanislastv3786
@stanislastv3786 6 лет назад
Kwaupande wangu mini sizani Kama kunafuraha ya kivuko hichi kilicho tumaliza kuibuka tena nisingelipenda MV NYERERE hisihibuke tena Maana nikama inakuja kuleta msiba mwengine. Kila tuonapo MV NYERERR msiba unarudi nieri kinge potelea mbili Haijalishi kinamsaada to the country 🙏🙏🙏🙏🙏🙌
@azezaalkh8536
@azezaalkh8536 6 лет назад
nibora Mara mia kingebakia humo humo km MV Bukoba
@danielsayi3574
@danielsayi3574 6 лет назад
Stanislas Tv nyie wapinga jitihada hamkosekani
@foziaabdullah9053
@foziaabdullah9053 6 лет назад
Pongezi kwa serekal yetu ya tanzania pia nikupongeze Millard ayo pamoja na wafanyakazi wake mpo makin sana na kazi zenu hongeren sana tupo nje ya tz lakin tunajivunia kuwa na ayo tv
@joyceamsi6396
@joyceamsi6396 6 лет назад
Waoooo God be the glory, na MV Bukoba nayo itolewe pale ilipozama.
@dicladaud252
@dicladaud252 6 лет назад
Mungu ni mwema hongereni kwa kazi
@florameza3491
@florameza3491 6 лет назад
Asante YESU
@asteriambwei95
@asteriambwei95 6 лет назад
Vilivyotolewa sasa mmeona hizo hela Na skeleton ya MTU ikiwa kwenye box ndo imechukua watu mnzee
@natashamwenera2874
@natashamwenera2874 6 лет назад
Mungu mkubwa.Asante yesu kwa kufanikisha hili haleluya
@chizochivihi4915
@chizochivihi4915 6 лет назад
Amekupa nn yesu uyo
@florameza3491
@florameza3491 6 лет назад
@@chizochivihi4915 kama humujui huwezi jua uzuri wake
@pascalpembamoto8172
@pascalpembamoto8172 6 лет назад
Dogo kamera yako nzuri tunatazama vizuri, jeshi kweli wanahuruma na wananchi wao, naliheshimu jeshi letu nawaheshimu sana waliookoa watu 40 ,jeshi lingekuwepo karibu wangeokolewa wengi.
@davisalphonce7001
@davisalphonce7001 6 лет назад
duuh hiyo boat iloandikwa CHATU inaonekana imepiga sana kaz ma'ake nimeiona kila clip tokea uokoaji. hongereni kwa kaz nzuri
@Mamatonny2065
@Mamatonny2065 6 лет назад
Hongera Mheshimiwa mkuu wa majeshi venance Mabeyo pamoja na wananchi wote walioshiriki Kwa kufanya KAZI usiku na mchana. Kukisimamisha kivuko hicho. Ombi langu kivuko hicho kisitumike tena.
@RichFeelingsForex
@RichFeelingsForex 6 лет назад
Mungu ni mwaminifu. Pongezi kwa jeshi pia
@katusmanumbu2311
@katusmanumbu2311 6 лет назад
Mkuu wa majeshi wewe ni kiongozi wa kuigwa kwakweli upo site toka mwanzo mpaka sasa! Hongera sana kamanda
@projestusmuta4712
@projestusmuta4712 6 лет назад
Ongereni kwakazi nzr tuamie hupande wa 2 MV bkb nayo tuitoe
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 6 лет назад
Kwa mbaaali ukiangalia vizuri utaona wengi kama sio wote walioingia ziwani kushiriki zoezi wamevaa life jacket. Ilishindikana awali, lakini sasa hii timu ya uopoaji kivuko wote wana life jacket. Basi iwe ni sheria kila anayepanda kivuko ni lazima awe na life jacket. Ikishindikana ni bora tubebe tube za gari tu huenda zikasaidia lolote likitokea
@matumizitonny1841
@matumizitonny1841 6 лет назад
Hongela sana jeshi letu
@romanomlanda655
@romanomlanda655 6 лет назад
hongera sana kwa kufanikiwa kukiinua
@elisanjichanyange5485
@elisanjichanyange5485 6 лет назад
Amen mbarikiwe
@anisiamedard3775
@anisiamedard3775 6 лет назад
Mungu awatangulie kwa kila hatua
@zenasluanda2368
@zenasluanda2368 6 лет назад
Mkuu wa majeshi anastahili pongezi sana si mtu wa ofisini ni muwajibikaji kwelikweli ingekua wengine angeongelea ofisini lakini anakesha eneo la tukio hatua kwa matua hongera sana mkuu
@jokhaamour8062
@jokhaamour8062 6 лет назад
Wawooo !! Safi sanaaa@@
@lucylameck8580
@lucylameck8580 6 лет назад
Yaani mlishindwa kufanya kazi hiyo kwa watu waliokuwa humo Leo hii mnakesha kwa ajiri ya kugeuza vyuma hivyo. Hata taa hazizimi tena
@Kelvin-s8p
@Kelvin-s8p 6 лет назад
That's good🆒🆒🆒🆒👏👏👏👏👏👏
@gamamassinga1848
@gamamassinga1848 6 лет назад
god has made it#tag-mv nyerere
@rogerkemibala4328
@rogerkemibala4328 6 лет назад
Hongera walio husika
@kidawaramadhan2801
@kidawaramadhan2801 6 лет назад
Eeeeee jeshi LA nawakubali sana,,shikamoni
@mohamedikibasa418
@mohamedikibasa418 6 лет назад
hongereni aiseeeee
@lucasolobiis7614
@lucasolobiis7614 6 лет назад
Wangetoa msaada hivi wakat wa kuokoa Maisha ya Watu ningewaona mashujaa
@khamismohammed5466
@khamismohammed5466 6 лет назад
tuyathamini maisha ya binadamu wenzetu, muone jemadari wetu pamoja na mafanikio ya juhudi zake kwa uokozi wa kivuko, haonyeshi furaha 7bu nyuma yake upo msiba mzito kwa watanzania.
@gamatajr3699
@gamatajr3699 6 лет назад
Tunasahau mara moja maafa yaliyotokea, sasa hv watu wanashangilia kuvutwa kwa kivuko. Ujinga wa kiasi gani huu!? Alafu mnao upload hz video acheni captions za kizushi tukio lile siyo movie ni janga.
@happyjulius5667
@happyjulius5667 6 лет назад
Hongeren jaamn
@jamessilwamba2862
@jamessilwamba2862 6 лет назад
kazi nzuri imefanywa na wenzetu wa jeshi lkn lazima tukubali aina hii ya uokoaji ni ya kizamani sana kuvutwa na bulldoser,tushukuru ilikuwa jirani na nchi kavu je ingekuwa kimezamia mbali kidogo na nchi kavu kingenyanyuka leo kweli jamani ajali kwa vyombo vya usafiri iwe angani,barabarani na majini zipo tu iwe kwa bahati mbaya au kwa uzembe tujitahidi kuwa na vifaa vya kisasa vya uokoaji wa haraka watu mia mbili sio mchezo kupotea kwa mara moja Mungu awarehemu.
@dianarenard5853
@dianarenard5853 6 лет назад
Mungu azidi kuwaongoza
@reginandege7196
@reginandege7196 6 лет назад
Hongela.munguawabaki.kwamsaanda.mzuli
@khalidkhalid-ks6wd
@khalidkhalid-ks6wd 6 лет назад
Mashaa Allah Millard Ayo kwa kutufanya kujua kila kinachoendelea hata cc tulioko mbali na huko.HD kabisa saafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
@amosbinmahona9947
@amosbinmahona9947 6 лет назад
Good job
@neemamrema1705
@neemamrema1705 6 лет назад
Mungu nimwema
@victoriachesco35
@victoriachesco35 6 лет назад
Mungu mwema mnastahili pongezi wapendwa
@mazoniutah4742
@mazoniutah4742 6 лет назад
Ili maisha yaendelee lazima wengine wakosee ili wengine wapate pongezi... Akhsante mungu na serikali yetu
@georgemutasingwa9912
@georgemutasingwa9912 6 лет назад
Kazi nzuri hongereni
@Mwakasyuka1803
@Mwakasyuka1803 6 лет назад
Gamata jr kabla hujasema hayo tafakari kwanza kwann hawa watu wanashangilia shida ni hicho kivuko ndo barabara yao ndo usafir wao Kwa maisha yao, ukisema upuuzi ww barabara kwako ipo hupiti majin ,tafadhari muweni na kauli za busara
@agnesteacher7036
@agnesteacher7036 6 лет назад
Ni week sasa hatuna ndg zetu bt naishukuru serikali kwa kukuinua kivuko hicho RIP my family from Ukerewe
@berthersylivestet1368
@berthersylivestet1368 6 лет назад
ogeleni sana jeshi letu kwa kazi na wananchi kwa ushilikiano wenu
@rosenabilyerose638
@rosenabilyerose638 6 лет назад
THANK YOU LORD THXS FOR THE JOB
@khamismohammed5466
@khamismohammed5466 6 лет назад
wenzangu mmepitikiwa mmasahau vifo vya mamia ya binadamu wenzetu?
@user-ie4wm9uk9n
@user-ie4wm9uk9n 6 лет назад
mungu azidi kuwapa nguvu mfankishe salam amiin
@juliusngala6511
@juliusngala6511 6 лет назад
mzidi kuwa pole WA Tanzania... kwani chenu ni chetu....Julius..nrb kenya
@mapachawatatuvideoproducti3285
Nawapa pongezi jeshi letu
@al-bsaidykhalef6897
@al-bsaidykhalef6897 6 лет назад
Nalipenda jeshiletu mungu. Alibariki
@kambiibrahim415
@kambiibrahim415 6 лет назад
This is it! Much respect to JWTZ
@esterpromy3183
@esterpromy3183 6 лет назад
Majeshi yote yamehusika
@GegoMnete
@GegoMnete 6 лет назад
_BLESSED_
@israelmwasenga9288
@israelmwasenga9288 6 лет назад
Kama nguvu hii ingekutumika tangu awali kilipozama kivuko ingependeza zaidi kwani maisha ya Wengi yangeokolewa
@raphaelgadau2783
@raphaelgadau2783 6 лет назад
Ameni
@sifaelmugitu8018
@sifaelmugitu8018 6 лет назад
Huo muda na gharama za kukinasua hicho kivuko zingeelekezwa kwa watoto yatima waliopoteza wazazi/walezi wao kwenye hiyo ajali na kuangalia watapata vipi malezi. Maana hicho kivuko sidhani kama kina thamani kama mustakabali (future) ya watoto au jamaa za marehemu waliokuwa wakuwategemea. Na sidhani kama kuna mtanzania yeyote atakayetamani kukitumia tena hicho kivuko ... bora wangekinasua kimya kimya na wakikarabati kwa kukibadilisha muundo na kukibadili jina kimya kimya pia
@shawaribakari1226
@shawaribakari1226 6 лет назад
Wamesahau na majangaa juziii wa tz bhnaa
@SheMndagala
@SheMndagala 3 месяца назад
Hicho kivuko hakiko sahihi,kivuko kinatakiwa kiwe kipana ndio baransi sijawahi ona kivuko chembamba hivyo
@matokeombugano500
@matokeombugano500 6 лет назад
Acheni dharau sasa kudharau majeshi yetu,ili mungu siku asiamue utuoneshe umhimu wao.
@directorkingcalvin9001
@directorkingcalvin9001 6 лет назад
kanzi nzuri.ila mtangazaji usiweke neno shangwe.
@stevenjackson1582
@stevenjackson1582 6 лет назад
Daaaa hongera saasaana jeshi letu LA Tanzania na vyombo vingine vyote vilivyoshiriki kufikia hatua hiyo kwani itasaidia pia kujua chanzo hasa ninini
@victorcyprian7120
@victorcyprian7120 6 лет назад
mungu awape nguvu zaidi hongela.saaaaaaaaanaaaaaaaa
@asiazuberi9722
@asiazuberi9722 6 лет назад
Mungu mkubwa aisee....hongereni sna
@samirnaty8774
@samirnaty8774 6 лет назад
Hongera sana washiriki wote waloungana na zoezi lote
@japhetjsphetnoniape4066
@japhetjsphetnoniape4066 6 лет назад
Mungu ni mwema sana
@bernadetharmsamba1159
@bernadetharmsamba1159 6 лет назад
Sumatra kuweni makini jamani,, tazameni roho zinazoangamia bila hatua,,, inaumwa sana
@tematema3101
@tematema3101 6 лет назад
Asant Yesu
@azezaalkh8536
@azezaalkh8536 6 лет назад
Asante yesu kwakutoa hayo mabati?watu wangapi wameangamia ndani yake na walotolewa. niwangapi
@kabaisamtotowamama5226
@kabaisamtotowamama5226 6 лет назад
Yesu ndokatow iyo kitu mpaka unamshukuru au
@azezaalkh8536
@azezaalkh8536 6 лет назад
Hassan Ali yesu yupi unayemzungummzia?
@mndigaboy2534
@mndigaboy2534 6 лет назад
Hassan Ali yani watu wengne wasenge sana eti yesu Ndo katoa we akili huna matako yko
@mndigaboy2534
@mndigaboy2534 6 лет назад
Tema Tema yesu kafanyaje hpo yna akili zako zakitosha mwenyew fala wewe
@komboomar8275
@komboomar8275 6 лет назад
Ni kazi mzuri
@leamukebwe1029
@leamukebwe1029 6 лет назад
Wauuuuuuiiiii sukari hongera sana
@teddymeela2791
@teddymeela2791 6 лет назад
Kaz nzr
@christianchristopher6241
@christianchristopher6241 6 лет назад
kiukwl INA penda kuonana ni jinsi gani tuna ummoja mshkamano katika hili INA pendeza ummoja wetu katika majanga kama haya tuwe na mshkamano juu ya majanga makubwa kama haya yaliyo tokea yame tokea tuache ya pite kukitoa kivuko ime onnyesha ni jinsi gani tuna weza hongereni wote mlio shiriki katika zoezi hili pongenzi Kwa wote mlio shiriki ktk zoezi zima
@berthersylivestet1368
@berthersylivestet1368 6 лет назад
ongela sana jeshi letu mungu ni mwema by agnes po
@vivianlenard3618
@vivianlenard3618 6 лет назад
eti mungu mkubwa, yani nyie mungu mkubwa meli kugeuzwa na baada ya kuuwa watu. mi lingeharibika tuu
@dachjunior4766
@dachjunior4766 6 лет назад
Kilichoua ni kivuko ama ni huyo kapteni mzembe na asiyejitambua pia wasimamizi wote wa hicho kivuko?
@pasiankimario2268
@pasiankimario2268 6 лет назад
safi sana cdf na Igp kwa kuongoza vikosi vyenu kufanikisha hili .
@ugaboy4736
@ugaboy4736 6 лет назад
mungu ni mkubwa nawashuluru sana najivunia sana majeshi yetu
@kennethjohny4854
@kennethjohny4854 6 лет назад
"Eti rekodi mda"wabongo sijui tuna matatizo gani asa cha kufurahia hapo nini eti sijaelewa watu wangap wamepoteza maisha apo
@Ishengoma1
@Ishengoma1 6 лет назад
kwanini msinge itoa siku hiyo hiyo, wengine wangepona. sasa eti mnafurahi ili iweje, mpande tena?
@shemsakiobya6146
@shemsakiobya6146 6 лет назад
We kichaa sana shangwe ya nini limeua watu we mjinga haujui watu wanauzunika
@mndigaboy2534
@mndigaboy2534 6 лет назад
yan watanzania bana yani mnacho kishangilia apo me skioni yan mwashanglia mavyuma yakitolewa majini wkat uwo msaada ungetakiwa kabla maafa ayaja eneya alf Leo mwajashanglia mavyuma yakitolewa jmn shitukeni sasa kumekucha Aaah mwaniboaaaa
@khamismohammed5466
@khamismohammed5466 6 лет назад
umekosa ubinadamu! wenzako wameondokewa na jamaa zao, wewe unapiga vigelegele kwa kuibuliwa kivuko. ama kweli dunia sasa inafika mwisho
@juxtncele6956
@juxtncele6956 6 лет назад
God iz gud
@adamkaita3009
@adamkaita3009 6 лет назад
hivi nyie akili zenu timamu kweli hicho kivuko hata kikiopolewa hakina faida tena kimeua watu kibao halafu mnashangilia ujinga ingekua amri yangu hicho kivuko ni marufuku kwa matumizi ya kubeba abiria huo ni uchuro kushangilia kitu ambacho kimepoteza roho za watu wengi.
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 6 лет назад
MILLARD YAO huyo alieandika kichwa cha habari arudi shule. "SHANGWE IPI HAPO. Wana Ukara wana MSIBA sio SHANGWE.
@breymbasa3451
@breymbasa3451 6 лет назад
Shangwe za kazi gani dude lenyewe limepoteza watu walichome moto
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 6 лет назад
Big up jeshi letu💪
Далее
VIDEO: Ndugu wametambua miili na imeanza kusafirishwa.
6:26
what will you choose? #tiktok
00:14
Просмотров 7 млн
MTOTO WA MIAKA 13 ALIVYONUSURIKA KUZAMA NA MELI
18:25
Просмотров 123 тыс.