Тёмный

SIMULIZI: MIAKA 25 YA MV BUKOBA KUZAMA NA KUUA WATU ZAIDI YA 1000 "FAMILIA MOJA ILIPOTEZA WATU 18" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 20 тыс.
50% 1

Ni miaka 25 tangu meli ya mv Bukoba ilipozama may 21 mwaka 1996 na kupoteza maisha ya watu zaidi ya 1000 huku ikiacha vilio na simanzi kwa watanzania wengi waliopotelewa na ndugu zao.
Ayo Tv na millardayo.com imempata Respicius John ambaye alinusurika katika ajali hiyo samabamba na Salum Mohammed ambaye familia yao ilipoteza watu kumi na nane na hapa wanaeleza hali ilivyokuwa huku wakisimulia maisha wanayoyaishi kwa sasa

Опубликовано:

 

13 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 16   
@dioclesbuberwa8172
@dioclesbuberwa8172 3 года назад
Hakika ni huzuni Sana Kwa Sisi ambao tulipoteza ndugu jamaa na marafiki mwenyezi mungu azidi kuwapa pumziko la milele
@user-hq2xn1ob8k
@user-hq2xn1ob8k 7 месяцев назад
Kwa ambao tumezaliwa tukaikuta ajali tujuane
@Tausishaban-he5io
@Tausishaban-he5io 6 месяцев назад
Tumezaliwa2000 imebK story ty km tulivyoikut
@user-ih6in8fg1h
@user-ih6in8fg1h 6 месяцев назад
Yamungu mengi Hata Bibi yangu halikaemo We mwenyezi mungu zilaze loho zamaleemu mahali pema peponi Amina
@hugolloris6314
@hugolloris6314 3 года назад
Wa mwanzo kucoment km umeguswa na msiba huu na unamkubali Millard ayo gonga like km zote
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 3 года назад
Habari nzito kama hii , inakumbusha msiba mzito unaandika comment ya kuomba like kweli ???
@oman7710
@oman7710 3 года назад
Subhanallah Mungu awarehem wenzentu waliotangulia mbele ya haki amiiin.
@PR_TZ
@PR_TZ Год назад
Ameen
@Gersah
@Gersah 3 месяца назад
Amiin
@agathajoseph2874
@agathajoseph2874 3 года назад
Hii ajari ilihuzunisha sana sana jamanii
@comicvisual8661
@comicvisual8661 5 месяцев назад
MZEE WA MWISHO AMEONGEA KWA BUSARA KUBWA
@mariethamkulo1983
@mariethamkulo1983 3 года назад
Daaa kila kitu ni Mungu
@danieltoroka7281
@danieltoroka7281 3 года назад
Poleni sana wakubwa mnao ongea hapa mungu anawapenda sana pia walio poteza ndugu poleni
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 3 года назад
Kwani kila mwaka kukumbusha mv bukoba ina maana gani ? Mungu kawaonea au mnahudhunika au nini maanake
@Gersah
@Gersah 3 месяца назад
Kwann usiulize na nyerere au karume day???
@JoramJames-ih6jk
@JoramJames-ih6jk Год назад
Bro unajitaid
Далее
ну это жиза...  #standoff2
00:13
Просмотров 83 тыс.
a hornet bit me on the nose 👃😂
00:16
Просмотров 3,3 млн
ну это жиза...  #standoff2
00:13
Просмотров 83 тыс.