Тёмный

Mwenda kwa miguu/Dereva usifanye MAKOSA haya kwenye ALAMA ZA PUNDAMILIA| Adhabu zake 

Dar24 Media
Подписаться 724 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Mkuu wa kitengo cha elimu, mafunzo na uenezi Makao Makuu ya Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, SP. Abel Swai ameeleza makosa ambayo watumiaji wa barabara huyafanya sehemu zenye pundamilia na adhabu zake.Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com
#Madereva #zebracross #UsalamaBarabarani

Опубликовано:

 

5 май 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 5   
@anordjoseph6644
@anordjoseph6644 Год назад
Hongera sana afande na pia mandishi pia nao umeuliza maswali mazulivi hongera pia na wewe
@masudyrashid8156
@masudyrashid8156 4 года назад
Uko vizuri kamanda waache mapuuza
@mohamedlakha4450
@mohamedlakha4450 4 года назад
Tuna Shukuru kwa elinu
@MrKanuya
@MrKanuya 4 года назад
NINASHUKURU SANA KWA ELIMU NZURI, ILA PIA JARIBUNI KUTAFUTA MBINU YA KUWABANA WAENDESHA PIKIPIKI KWA KUWA WAO HUWA HAWAJALI MAHALI PENYE ZEBRA. MVUKA KWA MIGUU AKIFIKA KWENYE ZEBRA BADO ANAKUWA SIO SALAMA KWA KUWA GARI LIKIMRUHUSU KUVUKA MWENDESHA PIKIPIKI YEYE HUWA HAPISHI UTAKUTA ANAPITA TUU..
@saimonjoseph46
@saimonjoseph46 Год назад
Nawatembe kwa miguu wengi hawana uerewa wa matumizi ya balabala
Далее
President William Ruto dissolves Cabinet
11:40
Просмотров 135 тыс.
Беда приходит внезапно 😂
00:25
Просмотров 668 тыс.
Телеграмм-Колян Карелия
00:14
Просмотров 184 тыс.
MICHORO NA ALAMA ZA BARABARANI
5:21
Просмотров 15 тыс.
USAFIRI WANGU
11:59
Просмотров 25 тыс.
Udereva wa kujihami
5:30
Просмотров 3,1 тыс.
Usalama barabarani
6:22
Просмотров 89 тыс.
Padre Dkt Kamugisha : TAWALA USO / TAWALA ULIMI
12:20
ZIJUE ALAMA ZA USALAMA KWENYE GARI LAKO
14:55
Просмотров 72 тыс.
Una leseni ya udereva bila cheti? Kiama kinakuja
7:11