Sio hivyo tuu TPMS inasaidia ku-save mafuta tairi zikiwa na hewa tofauti, kuna kitu kinaitwa road resistance gari linaserereka au move kwa shida barabarani
Kwanini mnapenda kuharibu taaluma za watu wewe mwandishi na mpiga picha kwanza mtaumia mic ya kamera eneo mlilopo kuna mwangwi hebu kuweni makini na kazi zenu