Kila akiulizwa swali a nasema yeye ana degree,, wako wengi sana wenye degree kumshinda ila hawajiunui wanajiweka sawa tu na wengine. Hicho ni kiburi cha uzima,, sababu ni mzima ndio anatamka maneno hayo. Mungu amusamehe maana hajui atendayo.
Kanye west alipoacham Kim- gadash alitembea na huyu mara yule matokeo akawa anampangia Kim mashart ya kuja kuwaona watoto wake aliozaa nae.. mwisho wa siku akawa atumia gharama nyingi na muda mwingi wa kirudi kwa Kim mpaka na gari limejaa maua.. hayo mambo ya mapenzi yaache yalivyo