Тёмный
No video :(

MWIJAKU KWA UNYONGE AOMBA MSAMAHA MASOUD KIPANYA/NILIYO YAONGEA NI UWONGO NAOMBA ANISAMEHE 

Carrymastory
Подписаться 468 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

MWIJAKU KWA UNYONGE AMWOMBA MSAMAHA MASOUD KIPANYA/NILIYO YAONGEA NI UWONGO NAOMBA ANISAMEHE #MWIJAKU #MWIJAKUMASOUDKIPANYA #MASOUDKIPANYA #MWIJAKUMSAMAHA #MSAMAHAMASOUDKIPANYA #carrymastorytv

Опубликовано:

 

13 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 42   
@OnlyRuky
@OnlyRuky Месяц назад
Safi Saan KP otherwise sheria ichukuwe.. mkondo wake nilishangaa saana why amekuchafua vile for no reason. Tena usimchekee hata kidogo wala usiruhusu akusogelee hata kwa bahati mbaya na kukuzoee km alivyo zoweya wengineee...Ahahhahahah umejua kunifurahisha kaka Kp big up👊👊👊👊 ikiwezekekana mburuze kotini huu msamaha wake wakinafiiii ili sikunyingine asirudie kwa wengine
@Swahili_land001
@Swahili_land001 Месяц назад
Unaropoka sana mzee Mwijaku
@janechacky3810
@janechacky3810 Месяц назад
Hana adabu huyu mjinga. Kaka Massoud usimchekee amezoea kuchafua watu.
@evancpeter8149
@evancpeter8149 Месяц назад
Brother Kp, tafadhari sana ebu kula kichwa hii ng'ombe. Pls usisamehee hii kitu😂😂😂. Kula kichwa... angekula B baba Levo tungemwombia msamaha lkn huyu no! Pita nae plz.
@mmassyferguson4959
@mmassyferguson4959 Месяц назад
Saf sana mr mwijaku kuomba msamaha ni busara mtu wa maana kabisa ww ❤
@martinmendrad3531
@martinmendrad3531 Месяц назад
Huyo kaomba msamaha wakinguvu sio ridhaa yake, hapo kwakuwa katishwa mambo yakisheria walimtaka aombe radhi sio dhamira yake
@alfakassim603
@alfakassim603 Месяц назад
Anashoboka now,,, huyu wamkazie atazoea chizi huyoo🤣🤣🤣
@Mgema001
@Mgema001 Месяц назад
Kiarabu kingiiii, ulizani unamwambia dotto kumbuka Kp is very educated na anainfluence watu kama mm,...mzee umeyatimba
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc Месяц назад
😂😂😂😂kumbe umeona!!!!! Wacha alikute
@dominickmahela1581
@dominickmahela1581 Месяц назад
Kuonywa alishaonywa sana lkn sio wa kujifunza sasa ashughulikiwe inavyostahili kiukweli Masoud akanyagie apoapo mafuta mengi
@user-zb2mj5nd5g
@user-zb2mj5nd5g Месяц назад
KP tafadhaliniko chini yamiguu yako hii nguruwe iburuze kwapilato hicho anafanya hapo wala hakuombi rwadhi , bali akudhihaki tu, mfundishe adabu huyu kjenge kazoea watu sana mshamba wa Kazulamimba huyu
@hamynas
@hamynas Месяц назад
huyu punga anafanya masihara na dini ya kiislamu katika mambo yake ya upuuzi upuuzi hada adabu kabisa huyu bwege
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc Месяц назад
Utakumbana Na mahakama!!!! Hutaamini
@danieledward2294
@danieledward2294 Месяц назад
Hapo nkupongeze umejiongeza vzr,Mungu akusaidie ktk maisha
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc Месяц назад
Na mahakama
@boraimanijumamahenge7554
@boraimanijumamahenge7554 Месяц назад
Kuomba msamaha wala sio jambo baya lkn natamani sana Mwijaku utiwe adabu japo kidogo ili unyooke😂😂 Naongea hivi kwasababu wewe umekuwa mtu usiyetumia hekima na busara...Mara nyingi unaongelea mambo kwa mihemko...Chuki na Roho mbaya bila kuzingatia utu na binaaadamu...Sasa umekutana na wataalamu wanaojua kurekebisha watu wa aina yenu..Ulidhani Masoud Kipanya ni Diamond Platinum?😂😂😂. Pambana Mzee
@emmanuelnkwabi8610
@emmanuelnkwabi8610 Месяц назад
Hujaomba msamaha zaidi unajigamba
@khalifamilulu9109
@khalifamilulu9109 Месяц назад
Huyu sio wakusamehewa kabisaaa.
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 Месяц назад
Jela tu wewe, usilete dini hapa, Wakati ukiwasrma watu vibaya Uliona sifa sasa leo umekutana na mwamba ,
@jumabuckary7698
@jumabuckary7698 Месяц назад
Asisamehewe bwege wakuja huyo B zetu tano uzitoe kama auna jela mjinga wee
@floridakagemulo3183
@floridakagemulo3183 Месяц назад
Punguza mdomo mwijaku..unaongea kama umemeza betri
@severinemabirika2249
@severinemabirika2249 Месяц назад
Acha kutumia maneno ya Mungu kulinda uropokaji wako ....
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi Месяц назад
Co we unataka amuombe shetani sioo
@mswadickbushumbiro6923
@mswadickbushumbiro6923 Месяц назад
Ngoma ikilia Sana?,,,,,,,
@RebecaMackenzi
@RebecaMackenzi Месяц назад
Mnafiki mkubwa wewe, hayo yote ya kwamba ni kaka yako sijui ni legend hukuyajua mwanzo. Unajifanya kiarabu kingi sasa hivi. Acha usekwe mahakamani ili upunguze mihemko
@willenmtafungwa1920
@willenmtafungwa1920 Месяц назад
Kwakweli huyu Mwijaku linakera sana! Linaleta ujuaji wa kiha
@user-zb2mj5nd5g
@user-zb2mj5nd5g Месяц назад
Kudadadeki safari hii umekutana na KP mtoto wamjini kakutia roba kwenye kona hufurukuti nakujamba juu kenge wewe
@hanspop6961
@hanspop6961 Месяц назад
Sheikh Masud Msamehe mdogo wako amekosa
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc Месяц назад
No huyu amezidi! Umesahau akimtukana bi kopa
@ibrahimpatrick5871
@ibrahimpatrick5871 Месяц назад
Kwan hii inshu ilikuaje wakuu??
@hassankongolilo8408
@hassankongolilo8408 Месяц назад
unaleta masiala we fala. umeambiwa utoe maelezo ya kina unaishia kulamba lamba lifsi. ngoja mara hii utapanda kizimbani
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 Месяц назад
Punguza sifa kidogo mzee
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo Месяц назад
KP kuka kichwa huyu ili asisahau hadi anaingia kaburini
@hamynas
@hamynas Месяц назад
kipanga endelea na kesi hili dubwana likaozee jela kelele zipungue mtaani
@fatmamasafu8606
@fatmamasafu8606 Месяц назад
😂😂😂
@user-rj5cz8og6f
@user-rj5cz8og6f Месяц назад
Pungunza mdomo we muha wa kigoma
@issajambi2417
@issajambi2417 Месяц назад
nataka kucheka kabda cjasikiliza mpkak mwisho
@chancedallas9077
@chancedallas9077 Месяц назад
Itakuwa ilijinga Alina hata mwana cheria Ili yani kaingizwa Chaka aombe msamaha Ili azidi kuwa nakosa zaidi
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc Месяц назад
Huyu hajapmba msamaha!! Anajigamba anajua quran na kiarabu!! Anajifanya mjanja tuu!!! Amesema ujinga.. sijaona msamaha hapo
@hassankongolilo8408
@hassankongolilo8408 Месяц назад
bado ujasema mbuzi wewe
@MonicaMarealle
@MonicaMarealle Месяц назад
Ufungwe tu unamdomo sana
Далее