Ongereni sana watoto wangu wa kigoma for changing negativity to opportunity.. usicheze na watoto wa kigoma ukicheza nao lazima utagoma tu.. niushauri tu... Watoto wa mkoa ulioleta ukombozi Tanzania.
Mwijaku na Baba Levo wanajua kutengeneza soko kwa wasanii wao...Jeshi na Mondi...hivi sasa wanafanya kazi pamoja...those who raise eyebrows on their beef are now hiding...these boys
Kukosa aibu ni mtihani mzito sana! Watu wazima mnajidhalilisha kwa vitoto vidogo sababu tu ya pesa! Ndiyo hata mkiambiwa mtoe roho za walio kuzaeni au mlio wazaa au ndugu zenu wa damu sababu ya pesa mnazitoa roho zao bila breki!