Тёмный

Mwijaku: Rayavnny Kapotea kimziki! Hamisa Kamuacha Vunja Bei! Kamzidi HELA! Harmo na Posh Queen! P4 

LilOmmyTV
Подписаться 545 тыс.
Просмотров 28 тыс.
50% 1

Mwijaku amesema atamkaribisha Diamond Platnumz kwenye nyumba yake! adai kuwa Hela yake ya kwanza kuanza ujenzi ilitoka kwa Diamond, na amepokea ujumbe wa kufurahisha kutoka kwa Simba!
Tazama full interview hapa, Susbcribe, Like, Comment & Share!
Kijana tumia kinga, Zingatia uzazi wa mpango. #Sitetereki

Развлечения

Опубликовано:

 

9 янв 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 67   
@benedictinelusambo069
@benedictinelusambo069 6 месяцев назад
Hii ya rayvanny ni kama Kuna ukweli Fulani ivi ukifikilia
@jaymandy8136
@jaymandy8136 6 месяцев назад
Hakuna kitu kama hicho brother, Drake na Nicki Minaj waliondoka katika lebo ya young money cash money ya Lil Wayne na wakaendelea kua washkaji mbona hawakushuka kimuziki??
@vanemmy6043
@vanemmy6043 5 месяцев назад
Siyo kweli mashabiki wa konde, niwale mashabiki wa kiba wanae mchukiya monde
@armanysafe2429
@armanysafe2429 5 месяцев назад
Hakuna ukweli wowote tena vannyboy kachia vyuma
@ursulinenyandindi3051
@ursulinenyandindi3051 5 месяцев назад
​​@@jaymandy8136 chui anajiongoza kwa sasa, hana mtu wa kumuelekeza au kama yupo hamsikilizi. Atabaki kuwa juu kibongo bongo sababu ya uteam na kila kitu lakini ukichek hata youtube (platform wanayopenda wabongo) anastruggle especially kwa content anayoupload siku hizi. Ni vile tuu mtu ukisema unaonekana mpinzani au nini lakini kuna kitu kinamiss 😅😅
@shery-bf8xh
@shery-bf8xh 6 месяцев назад
Raivanny atazidiwa ata marioo soon😮😮😮😮
@Nihadshighadi
@Nihadshighadi 6 месяцев назад
Ushasema
@danielkenedy4357
@danielkenedy4357 6 месяцев назад
Fact
@diipesa
@diipesa 6 месяцев назад
Huyu jamaa akiamua kukusifia utaenjoy subiri siku akukosoe utakaaa🙌😅
@tiffanyakramJr822
@tiffanyakramJr822 6 месяцев назад
Watanzania wanapenda maugomvi.. rayvanny kafundisha jamii kutoka kwa mtu si uhasama
@neepepatrick1844
@neepepatrick1844 6 месяцев назад
This guy is intelligent
@furahachuma9039
@furahachuma9039 6 месяцев назад
Kweli kabisa, Rayvanny kapotea.
@Yusufu940
@Yusufu940 6 месяцев назад
😂😂 Mujaku aunakosea kumu linganisha Amisa na Junja bei alihachika
@Konde442
@Konde442 6 месяцев назад
My brother mwija kama unaona flani ivi kusema kweli ray ajiangalie vzr😂😂😂😂😂😂
@teedullah5708
@teedullah5708 6 месяцев назад
😂😂😂Wah mwijaku mwisho yani wasipatane
@AsantaeliMunuo-md7zg
@AsantaeliMunuo-md7zg 6 месяцев назад
Yes kwa rayvany kweliii
@thetas08
@thetas08 6 месяцев назад
Bongo Kuna wanaume wa ajabu sana miaka hiii since 2010 till now Kuna wanaume sijue tuwaitaje anyway bongo oreee
@armanysafe2429
@armanysafe2429 5 месяцев назад
Vannyboy bado yuko vizuri bana acha wivu mwijaku
@mucochanella1672
@mucochanella1672 6 месяцев назад
❤❤
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 6 месяцев назад
11:12 huyu jamaa msenge nini sasa hamisa ana pesa gan ya kumzidi vunjabei 😂😂😅
@sangafaiko.s.3960
@sangafaiko.s.3960 6 месяцев назад
Mwijaku
@bigirumanalululouise4540
@bigirumanalululouise4540 6 месяцев назад
Mwijaku mwehu😂😂😂😂😂
@daylight1707
@daylight1707 6 месяцев назад
😂😂😂😂 ukiamua kua wa blue kua wa blue sio kua mweusi
@wakali_wa_masauti1884
@wakali_wa_masauti1884 6 месяцев назад
Mmmmh apo penye kutumia condom ameieleza vizuri sana lakin kwa wake waelewa
@user-wd6ou7vn4w
@user-wd6ou7vn4w 5 месяцев назад
Bro unajua
@user-nq4md3sj6d
@user-nq4md3sj6d 6 месяцев назад
Rayvan sio kweli, sababu Cash Money na Young Money kila member ana leble yake na wanahang pamoja na deals zinakuja
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 6 месяцев назад
CLIP USHAIONA AU BADO.
@augustinenjesi3215
@augustinenjesi3215 6 месяцев назад
Mond alishaambiwa amefeli,Harmo alishaambiwa amefeli,na sasa hivi mnamsema Rayvanny kafeli 😂😂 sasa subirini tu Rayvanny anawazoom kama hawaoni vile.Ila kusema ukweli #rayvanny kufeli ningumu sana na mtasubiri sana,mi namjua ray atawashangaza na nguvu ya tsunami kuliko wasanii wote bongo hamtakaa muamini
@zeinababdi4757
@zeinababdi4757 6 месяцев назад
Ni kama kuendelea kuishi nyumba moja na mke mlieachana😂😂😂😂😂😂
@catherinekiwipa9271
@catherinekiwipa9271 6 месяцев назад
😂😂kabisaaaa kabisaaaa kabisaaaa
@MJ-rr6dy
@MJ-rr6dy 6 месяцев назад
huyu mjinga atuachie mond wetu, matusi anayomtolea leo amkaribisha kwenye huo uchochoro wa nn, aache kujipendekeza km alikupa mwanzo usitegemee mond ana moyo wa jiwe
@shimadosun
@shimadosun 6 месяцев назад
About ray vanny msahau kabisa he is a super star 🌟 kupotea sahau alaf mwijaku aache umbwakini na wivu ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-AYSA4uYKR0U.htmlsi=NTEOQCwNln9JBlrl
@habari254
@habari254 6 месяцев назад
BALAAAAAAAA
@jaymandy8136
@jaymandy8136 6 месяцев назад
Yaani jamaa halioni hata soni kuongea uongo aisee 😂😆
@FilbertHabashi-zn1qu
@FilbertHabashi-zn1qu 6 месяцев назад
Hpo umeongea ukweli sana kuhusu chui
@user-zj1ep6hn4p
@user-zj1ep6hn4p 5 месяцев назад
Leo mefel mwjaku Vunja bei amzd vunja bei mzgo mmmm
@bekatv1009
@bekatv1009 6 месяцев назад
Mtu anaumia within ama inside
@ursulinenyandindi3051
@ursulinenyandindi3051 6 месяцев назад
Chui kweli kila siku yuko nao, sasa aliondoka au zilikuwa ngonjera tuu
@JaymbwanziOg
@JaymbwanziOg 6 месяцев назад
Unaambiw siku zote uoga ndyo umasikini wako.. ndyo km rayvan anasema kaondoka wcb lakin bado tunamuona. tena kazidisha collabo ukaribu tofaut na alivyokuw wcb yenyew.
@officialprincohb249
@officialprincohb249 6 месяцев назад
Sema mguu wa mwijaku Bana 😂😂 ume Pauka 😢
@aminnoour4788
@aminnoour4788 6 месяцев назад
😂😂 uyo siomgu unaitwa mgumba kupauka
@MtuSafi
@MtuSafi 6 месяцев назад
mm nilijua kavaa soks😂
@user-iq9bu7dm5b
@user-iq9bu7dm5b 6 месяцев назад
Ile nature misa anajenga gorofa kubwa sana na karibuni atawashangaza watu
@Nihadshighadi
@Nihadshighadi 6 месяцев назад
Kwahio ile anaoishi yakupanga ama ile mlimchangia alipokosana na chibu
@user-cg9df5nt1f
@user-cg9df5nt1f 23 дня назад
Ety rayvanny
@jonathansimba6749
@jonathansimba6749 6 месяцев назад
Null points
@user-cd6iw9wm3p
@user-cd6iw9wm3p 6 месяцев назад
Acha useng wew asomwe kwa lipi au kwaumalaya alioenda kufanya marekani kwa rick rose 😂😂😂 uyo maraya km maraya wengine tu kaliwa kiboga kapewa mtaji bongo nyoso
@gazzomaster9462
@gazzomaster9462 6 месяцев назад
Timbulo na rayvan😂 mwambwame ana zarau sana
@shimadosun
@shimadosun 6 месяцев назад
Ongeza volume waskie
@njoroboihastla
@njoroboihastla 6 месяцев назад
Hiii ya rayvanny DC kasema ukweli mim ni fun wa vanny lakin havumii mtaani kama harmo
@wennceslausmushi2356
@wennceslausmushi2356 6 месяцев назад
Mwijaku saa nyingine unachanganyikiwa lini fred alisema ana date na hamisa?nyinyi ndio mnafanya hamisa atukanwe
@elishampoki8751
@elishampoki8751 6 месяцев назад
Kwani hao wasanii walio mzidi rayvan wanatuzo gani kubwa , wamewahi kualikwa wap kwenye shoo kubwa anazo alikwa chui , chui bado ni mkubwa tu , atawashangaza soon mtabaki kumsema yeye anachukua tuzo ,
@abdulhakimmuhammad2895
@abdulhakimmuhammad2895 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂
@user-py8ih8jr4b
@user-py8ih8jr4b 6 месяцев назад
Omi umetoka wasaf???
@hanifamziray277
@hanifamziray277 6 месяцев назад
Analea mimba kwanza atarudi
@Pedeshee01
@Pedeshee01 5 месяцев назад
Unatumia condom?
@user-nq4md3sj6d
@user-nq4md3sj6d 6 месяцев назад
shida ya huyu Mwijaku ni muongo saaaana na hata akiongea ukweli unakua ni uongo kwa sababu vingi anavyoongea ni uongo na hapo anavyosema vingi ni vya uongo too much..
@rajabrwambow9660
@rajabrwambow9660 6 месяцев назад
Ni ngumu hamis kumzid vunja bei mzigo Hilo nakataa
@Ryannkae
@Ryannkae 6 месяцев назад
Ni kweli amissa yuko napesa ata kumzindi huyo mondi anahogopa rais wa apo tanzania ila najuwa wamasikini awana macho yakuhona hamissa yuko na pesa kuzindi ata watu wote wenye wapo apo tanzania huyu dada kazi yake nikufanya vitashara vya bangi na madawa ya kulevya ndo kazi yake nilimtabuwa kibindi alikwenda american uwa anakwenda kukutana na wezake ila nyinyi mzana anakwenda kufanya umayaya ila huyu nilimjuwa kitambo
@mrsinia3064
@mrsinia3064 6 месяцев назад
​@@Ryannkaehiv wew ni mtanzania kwer maana ata kiswahili chako sijakierew kbs kwanz chek ulivyoandika 🙄
@wennceslausmushi2356
@wennceslausmushi2356 6 месяцев назад
@@Ryannkae halafu apange?
@sixytntongambele3038
@sixytntongambele3038 6 месяцев назад
😳😳😳😂😂
@Ryannkae
@Ryannkae 6 месяцев назад
⁠@@mrsinia3064ata niwe utanisaindia nini ?. na hogea lugha 10 nazote uzijuwi labda kiswaili tu ndo unajuwa ni kweli sijuwi kiswaili ila nimezaliwa inje ya nchi. Nanimeona ni sikupe tambu ni kuandikie hivyo hivyo maana umeelewa nilivyo kwandikia maana English na Españoles inge kusubuwa
Далее
The Trump rally shooting from a photographer's POV
00:58
We will see who will do it better 😂
00:14
Просмотров 2,5 млн
Каха бизнес-класс
0:48
Просмотров 1,5 млн
ИСПАЧКАЛ
0:30
Просмотров 2,2 млн