Mwili wa aliyekuwa katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro Dkt Tixon Nzunda umewasili uwanja wa ndege wa Songwe tayari kuelekea Mji wa Tunduma Wilayani Momba Mkoani Songwe ambapo utakapopumzishwa mwili huo.
Tixon Nzunda anatarajiwa kuzikwa kesho Juni 22 katika eneo la msinde Halmashauri ya Mji Tunduma Wilayani Momba.
15 сен 2024