Magufuli ulikuwa unafanya kaz nzuri Sana ila ndo hivyo wamekuondoa😭😭😭😭😭 Magufuli tunatezeka Sana maisha magumu Sana amuna kinachoendelea ni vitu kupanda Bei tu Kila kukicho. Hamuna kitu magufuli. Ulikuwa shujaa magufuli Mungu akulinde huko uliko.
Sisi tunao Ishi na IMANI YA HATUJUI SIKU WALA SAA NDO TUNAO UMIA NA KIFO CHA JPM.😭😭😭 LAKINI WENGINE WANA MIKATABA NA MUNGU,NDO MAANA WANAJIROPOKEA KUSEMA WENYE ROHO MBAYA WANAKUFA,.........😭😭😭😭 INAUMA SAAANA.
Daah, dira ya 400 mill. euro!! Nilidhani kua ni sisi wakenya tu ndio wafisadi.Mimi niliishi ulaya miaka mingi na Romania ni baadhi ya inchi zilizomasini katika bara la ulaya na wanajulikana kwa ufisadi na wizi na hawana technologia ya kuuza inje!! Hata hati zao za University hazitambuliwi ulaya nzima.Anaweza kuhitimu kwao kama Ing. lakini kazi hiyo hapewi, sababu wanajulikana kuwa si waminifu. Good Job JPM!!
Hivi wale makafiri (wapingaji) huwa wanasoma commenti niaibu kusema huyu binadamu alikuwa mtu mbaya yupo mioyoni mwa watz atadumu mpaka kizazi hiki kipite
wow wow wow wow wow wow wow wow !!! i will always watch this man's speeches and videos every resting days and time even when i am sipping my drinks in weekends !!! Great great man !!! with the God !!
I guess im asking the wrong place but does anyone know of a trick to get back into an instagram account? I was dumb lost the account password. I would love any tricks you can give me!
Lazima uwe mtu wa watu ilo kujua na kuelewa mengi ya wananchi kama kiongozi, tizama magu alivokuwa mtu wetu ndo utazipata sofa zote za kiongozi Bora katika taifa ama nchi yotote, tutakukumbuka kipenzi chetu
Kweli kabisa Baba yetu mzee magu mollah akupe afya njema uzidi kuipigania Nchi kwa moyo mkunjufu inatia uchungu kwenye nyoo za wa Tanzania kodi zetu mollah akupe umri mrefu mzee wetu hatutakusahau daima kwa uzalendo ulio nao mollah m'bariki mzee magufuli mollah Ibariki Tanzania,
Safi Sana mazuri yote ulo yafanya tutakukumbuka daima uongozi wako ulikuwa poa Sana ulitujali wanyonge kwa vitendo muda mwingi ulitembea na ahadi zako. Rip jpm pimzika kwa Amani.
RAIS mrejeshe CAG Assad atakusadia sana. Lugola alimkataa Assad sasa unejionea mwenyewe kama hao ndio wabaya wako nataifa Wala sio Assad. Pole sana Mr president ndio viongoz wetu hao!!
Lugola alisema et hamna kufanya mikkesha makanisan tunapiga kelele akasingizia rais amemtuma sasa lugola baba TULIKUPENDA SANA 1.5TILION ZIMEKUPENDA ZAID
Kwanza Mimi sijaamini kwamba mzee wetu umetuacha, Ila Mimi nina mjonzi makubwa kwa kupoteza nguvu kazi kubwa kama jpm, inchi sasa imebaki gizani Allah tusaidie
Ilichukua miaka 23 ujenzi wa Taifa enzi za Mwalimu Nyerere. Bahati mbaya misingi hiyo ikabomolewa na walio mfuatia. SASA RAIS MAGUFULI ANAJENGA MISINGI YA NCHI UPYA. KWAHIYO TUNAOMBA KATIBA IRUHUSU MIAKA KUMI NI UJENZI WA TAIFA. TUNA ONGEZA KUMI MWINGINE. VIVA LPM
Big Bossman Bossman Uhuru is Uhuru , magufuli is magufuli, do you grasp, if you want Uhuru to be magufuli who will be Uhuru? Uhuru is is a smart guy but but because you r ignorant and blind you can't see
@@said306nyatu9 Hayo yote yametoka wapi mwambie asitukan bas utapo sema mama au baba umeunganisha wazazi wote hali yakua hawajui alicho kisema mtoto wao hum niushauli tu
I just like the way this president ran the country Tanzania because it's like it comes from his heart, always he wants the country to move forward. Am a ugandan but i would love such people like him to be presidents of uganda. Tanzania you are like,big up and shukuluni mungu kwa jambo hilo.
Touch and hold a clip to pin it. Unpinned clips will be deleted after 1 hour.Tap on a clip to paste it in the text box.Use the edit icon to pin, add or delete clips.
Hivi we mzee ulikuwa wapi cku zote?, mbona Tz tungekuwa mbaaali wangekuwepo watu kama magufuli???? Uishi milele mh. President , nakupa tena miaka 5 , hao wapenda dili watanyooka tuu