Тёмный

MZAZI KALETEWA MTIHANI WA BIOLOGY NA MWANAE AMSOMEE 

Geah Habibu
Подписаться 369 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 54   
@aminasalim8708
@aminasalim8708 4 месяца назад
Kuna umuhimu wa wazazi kusoma jmn na kuwaelekeza watot wetu mfano hapo inachekesha ila inafundisha umeona mtoto anajua mama ajui sasa apo ngumu mtoto kumwambia mama amuelekeze kam kitu ajakielewa...ila zai ni mama mcheshi yupo free kwa mwanae mashallah❤🎉
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui 4 месяца назад
Kupatwa kwa kingereza❤❤❤ zai.
@israeluronu9958
@israeluronu9958 4 месяца назад
Ila zai mbona hivyo lkn😂😂😂😂😂😂😂😂
@btylove1870
@btylove1870 3 месяца назад
Zai Mungu akuweke wallah nimecheka asubuhi hii na stress zimepungua 😂😂😂😂
@jestinamagembe2125
@jestinamagembe2125 4 месяца назад
😂😂😂😂nakupenda we dada
@joycekalago532
@joycekalago532 4 месяца назад
Anavyotasoma sasa khaaaaaa zai
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 4 месяца назад
Inala Munispali 😂😂😂😂😂 zai www 😂😂😂😂 chalestiki izo characteristic au ni nn 😂😂😂😂
@Yusufu940
@Yusufu940 4 месяца назад
Ndio Dada Zai uwa anajituma sn ni mpambanaji watu ata awecheke yy utimiza lengo
@uwimana6533
@uwimana6533 4 месяца назад
Mtihani mkubwa 😂😂😂
@elphinejoshua1914
@elphinejoshua1914 4 месяца назад
Zai kiboko😂😂😂😂😂😂
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 4 месяца назад
🤣🤣🤣 nakupenda zai
@Yusufu940
@Yusufu940 4 месяца назад
Kajitaidi msicheke
@mariammmbaga7007
@mariammmbaga7007 4 месяца назад
Ana confidence sana❤
@btylove1870
@btylove1870 2 месяца назад
​@@mariammmbaga7007 Confidence za Zai sio ya dunia hii😂😂😂
@MonadiNadi-j6s
@MonadiNadi-j6s 4 месяца назад
Zai jmn htreeeee😂😂😂❤❤
@queenlinda255
@queenlinda255 4 месяца назад
Jiulize nimefikaje form 3 🤣🤣🤣🤣
@Lindamkamau
@Lindamkamau 4 месяца назад
My Kenyan 🇰🇪people 😂😂😂😂😂
@ashamahadi5281
@ashamahadi5281 4 месяца назад
Zai unasoma kama unakula bazoka😂😂😂
@annamussa185
@annamussa185 4 месяца назад
Ukisikia kujiamini ndo huku
@christiancalvin2183
@christiancalvin2183 4 месяца назад
Zai kaweza bhana..apewe maua yake
@MchagaUk
@MchagaUk 4 месяца назад
Nimecheka hadi kichwa kinauma
@PriscarMwakarindile
@PriscarMwakarindile 4 месяца назад
Nmecheka ad machoz 😂😂
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 4 месяца назад
Zai mkavu
@aishanekeyshah
@aishanekeyshah 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂Domo ka jibwa
@reginajoel3785
@reginajoel3785 4 месяца назад
nimecheka kwa sauti jamani
@TaarabChannel
@TaarabChannel 4 месяца назад
😂😂😂 hehehe ameongea kilugha
@joycekalago532
@joycekalago532 4 месяца назад
Identify imeniacha hoi alivyoisoma mweeeee
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 4 месяца назад
😅😅😅kazi ipo
@faridapandu7579
@faridapandu7579 4 месяца назад
😂😂jamani dazai kaweza bana ❤❤❤tunampenda huku omani mashagala anatutowa stress za warabu tunapata kucheka😂😂
@zr7808
@zr7808 4 месяца назад
Rudi kwenu upumzike stress za wa Omani na kero zao. Hukulazimishwa
@StellahLivogah
@StellahLivogah 4 месяца назад
​@@zr7808jibu zurii🤣🤣
@NeemaKomba-f1u
@NeemaKomba-f1u 4 месяца назад
Wata wa theaa
@devotha6639
@devotha6639 4 месяца назад
Hapo ni 2-0 zai😅😅😅😅😅
@jaclinejohn2180
@jaclinejohn2180 4 месяца назад
😂😂😂😂me ctk bhn
@ImanSal-z7i
@ImanSal-z7i 4 месяца назад
😅😅😅
@doreenmsafari2945
@doreenmsafari2945 4 месяца назад
Zai🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@gladsmwageni9049
@gladsmwageni9049 4 месяца назад
😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂
@ceomom2213
@ceomom2213 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂
@Nyamko-christmas
@Nyamko-christmas 4 месяца назад
Yani kuweza kusoma hivyo tuu sio kitu rahisi kunawatu kibao hawawez kusoma hata
@btylove1870
@btylove1870 2 месяца назад
Kweli kabisa
@wemagidion6847
@wemagidion6847 4 месяца назад
😂😂
@FridaFesto
@FridaFesto 4 месяца назад
😂😂😂😂😂🎉
@Shadia544
@Shadia544 4 месяца назад
Tulimuona zai tuu stress za waarabu tunazisahau 😂😂😂😂😂
@zr7808
@zr7808 4 месяца назад
Rudi kwenu kama stress za warabu zinakuudhi. Hakuna kulazimishwa kukaa kwa warabu
@Shadia544
@Shadia544 4 месяца назад
@@zr7808 makubwa mbona makasiriko vipi kipenzi kwani nimelazkmishwa huku furaha kipenzi hakuna ata stress ya maisha kipenzi kama kurudi nitarudi inshaallah lakini sio kwa kusofiwa kipenzi huku pesa tuuu kipenzi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ceomom2213
@ceomom2213 4 месяца назад
Kwa nini arudi? Kwani Tanzania hakuna stress? Kwanza ni bora kuwa na stress na hela anayo mfukoni kuliko kuwa na stress and on top of that hujui hata usiku unakula nini. Kilo moja tu ya sukari inawatoa jasho kununua. Wacha watu watoke nje ya nchi kwenda kutafuta hela.
@Shadia544
@Shadia544 4 месяца назад
@@ceomom2213 asante kipenzi changu huku pesa tuuu kipenzi nakupenda kipenzi changu ❤️❤️❤️❤️
@Dareaziz
@Dareaziz 4 месяца назад
😂
@Yusufu940
@Yusufu940 4 месяца назад
Zai kamekosea apo
@shakiralasway8821
@shakiralasway8821 4 месяца назад
Zai utajua,maana huna aibu😁
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews 4 месяца назад
😅😅😅
@tato8979
@tato8979 4 месяца назад
😂😂😂😂😂
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 4 месяца назад
🤣🤣🤣🤣🤣
Далее
BABA ANA DAMU KALI KAFANANA NA WATOTO HADI MKEWE
6:04
UZUSHI WA WATOTO KUCHINJWA UMEINGIA KIJIWENONGWA
8:53
HUYU MAMA KAOGA MAPEMA LEO/WATU WA HUKU HAWAULIZI
9:47