Тёмный
No video :(

MZEE PINDA AMFICHULIA RAIS SAMIA SIRI NZITO, KILICHOTOKEA AKIWA WAZIRI MKUU 

Uhondo TV
Подписаться 594 тыс.
Просмотров 53 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

19 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 45   
@msamanga2277
@msamanga2277 Месяц назад
Amazing man. Huyu ni mtu anae weza kupiga sim ikulu isikataliwe bado anaunga mstari kama wananchi wengine wakawaida hongera kwake!
@mussaharun7257
@mussaharun7257 Месяц назад
Nakukubali sana Mh PK Pinda. Una busara kubwa Allah amekujalia, una haiba ya uongozi, msikivu, Mzalendo na huna majigambo. Kweli umewatetea Wakulima. Unafaa kugombea urais
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 Месяц назад
Ni kweli yuko vizuri maelezo hayo asingeweza kuongea maneno hayo
@heronimomsefya3190
@heronimomsefya3190 Месяц назад
Hahahaha dah nimependa sana pozi la mama Mheshimiwa Dr Samia Hoyeeeee 🎉🎉😂😂
@abdulhajiahmed8735
@abdulhajiahmed8735 Месяц назад
Kazi iendelee, lets the work continue Kazi njema Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan Kila la kheri na mafanikio. Tazama ramani utaona nchi nzuri !!!🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@eliasboniphacekidanha7596
@eliasboniphacekidanha7596 Месяц назад
Mama naomba ufanye Royal tours awamu ya pili
@amanikudeli5297
@amanikudeli5297 13 дней назад
Safi sana
@MarbleBaswige
@MarbleBaswige 22 дня назад
Mh wiziri mkuu mstafu Mungu aendelee kukulinda na akubariki sana nakumbuka utumishi wako ulikuwa mgumu sana enzi za mauwaji wa albino
@maligiretongora3333
@maligiretongora3333 Месяц назад
Wanaofaidi wanamuelewa sana
@user-xc3yo4ke4p
@user-xc3yo4ke4p 15 дней назад
Mama upo kazini na wanao tunakuona,na tunakuunga mkono mama ni mama 5 tena.
@maryamsharif6926
@maryamsharif6926 Месяц назад
Good job mhe pinda
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x Месяц назад
Kachuo kapo
@wanguwangu34
@wanguwangu34 Месяц назад
Kwani kampeni imeanza?, wabongo shida sana.
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 Месяц назад
Shughuli imeanza rasmi
@francisMhulula
@francisMhulula 28 дней назад
Mzee pinda salaamu alekumu mm nauliza vp ile campuni ya deci pesa zetu
@shabansumaiya4770
@shabansumaiya4770 Месяц назад
Namshauli mama wilaya ya korogwe iwe mkoa sasa maana imekua kubwa
@abdulhajiahmed8735
@abdulhajiahmed8735 Месяц назад
Wilaya ya Korogwe haina maendeleo kubali usikubali Old Korogwe na Manundu bado kupo nyuma sana kimaendeleo. Ingawa katika historia wakati wa kilimo na biashara ya mkongwe Korogwe ilivuma sana na mkoa wa Tanga kwa ujumla nakumbuka anatoka marehemu Shaban Robert mzee wa fasihi ya kiswahili, mara yangu ya mwisho Korogwe ni karibu miaka 35 iliyopita lakini naona katika habari na RU-vid
@rashidkinyasi5645
@rashidkinyasi5645 Месяц назад
​@@abdulhajiahmed8735 Shaban Robert alitokea Wilaya ya Pangani......na Wilaya ya Korogwe SASA hivi ina Halmashauri mbili....ambazo...ni...Korogwe Mjini na Korogwe vijijini....
@user-rn9og1rk3l
@user-rn9og1rk3l Месяц назад
Hiyo hela uliyo fund ya kujenga shule wewe Pinda iliipata wapa kama siyo hela ulizoiba za ESCROW.?????? SHAME ON YOU
@akibabautunzi2393
@akibabautunzi2393 24 дня назад
KAMA KIGOMA MPO NJOONI TUMUSAIDIE YUNUSA GAMBO MIAKA 20 YUPO NDANI ANAPATIKANA MANYOVU WILAYA YA BUHIGWE KIJIJI MWAYAYA KITONGOJI RULOLO
@gracethomas683
@gracethomas683 12 дней назад
Mpingwe wamenuna…….
@jackisonmlaari4556
@jackisonmlaari4556 Месяц назад
Acha sifa za kijinga mzee.huyo mama kafanya nini kipindi hiki kama siyo kutuletea madeni ya ajabu
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im Месяц назад
Kumbe pinda kisukuma hujuwi. Mzee pinda mwambie Rais ukweli. Wanaomusifu ni wengi wanamuziba macho. Tanzania haiendi vizuri kwa ufisadi. Wizi umeshika kazi. Hakuna wa kulkemea
@NDEWARA
@NDEWARA Месяц назад
Pole 😂
@bernardjosephmulokozi3901
@bernardjosephmulokozi3901 Месяц назад
Wewe umeibiwa nini?
@huyu1993
@huyu1993 Месяц назад
Tukuulize wewe umeibiwa nini?
@huyu1993
@huyu1993 Месяц назад
Wacheni majungu nyinyi .fitina mbaya
@user-mp4hk1vv1u
@user-mp4hk1vv1u Месяц назад
Sema wewe na wajinga wenzio Tulio weng tunampenda kwa kuifanya Tanzania Ina amani na maendeleo ya naenda bila kugombana Wala kukatipiana Uwezo wake na wanaomsaidia ni Mkubwa sana anatengeneza mifumo ya kumanage bila kutumia nguvu nyingiiiii Moumbavu hawez kumuelewa huyu mama ila waelevu wanamuelewa
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 Месяц назад
Wajinga watampa tena kula na familia yake
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 Месяц назад
Mmh
@MarcoNtobi
@MarcoNtobi Месяц назад
Mno L😅lu l
@titoamani-e8b
@titoamani-e8b Месяц назад
Tunaomba Samia akataze Harmonize kuharibu accounts za Wasanii wa Diamond kwenye RU-vid na uchawi🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@onesmomwakasege5215
@onesmomwakasege5215 Месяц назад
Kumbe magufuri alikutingisha na wewe dah! Yule kweli kiboko
Далее
MTOTO WA MRISHO MPOTO AWALIZA VIONGOZI KWA UCHUNGU
17:36
Редакция. News: 60-я неделя
41:13
Просмотров 1,7 млн
RC MAKONGORO AWAVUNJA MBAVU VIONGOZI
22:21
Просмотров 30 тыс.