🤣🤣🤣🤣🤣ndio mkuje vyama vingine mchangie sio blablaa maendeleo hayana vyama👏👏👏👏wallah rais kauzu eti na ww sio unakaa tuu nyuma yng na ww unachangia ngp . Asante mr president
Kweli nimeamini hali ngumu mbele ya raisi watu wana pledge mapaka laki🙆🏽♀️🙆🏽♀️ tena kutoka kwenye ofisi za selikali na taasisi🤪🤪mimi ni nani hasa nikaone aibu kupredge elfu kumi kwenye michango ya harusi 🙄🙄🙄