Тёмный
No video :(

MR MONEY_EP 01 

LIKOMA
Подписаться 97 тыс.
Просмотров 277 тыс.
50% 1

#mzeelikoma#mrmoney#kpnazebuu

Опубликовано:

 

11 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 755   
@user-sy9cu5ef5q
@user-sy9cu5ef5q 28 дней назад
Yani nkiona mzee likoma na Mr dibozi nacheka taar bila hata kujua inahusu nini jamani 😂😂😂 nawapenda sana nikiwa Kenya 🇰🇪
@user-ex6tg6di7r
@user-ex6tg6di7r 28 дней назад
Kp na zebuu mnapendeza , hii movie 🔥🔥🔥🔥👏👏🇰🇪
@AnithaStiven
@AnithaStiven 28 дней назад
Jamani sijapenda mashabiki wa kp hamutendi haki kwa likoma kumbukeni likoma kafanya tumujue zaidi lakini video za likoma eti watu mupo 78 kweli sio sawa like zipo 691 sio saw😢
@rozeyousef9823
@rozeyousef9823 28 дней назад
Jitaidi kushea link na kuhamasisha wengine ili tufike kiwango kwa sapoti zaidi😊
@christinamethod2364
@christinamethod2364 27 дней назад
Muwe mnaniita mapema😁
@AmosBudoya
@AmosBudoya 27 дней назад
Kabisa jaman let's support likoma
@josephluomba8807
@josephluomba8807 27 дней назад
Hatukuwa tiyari 😅😅😅
@user-sc7sn6ux2v
@user-sc7sn6ux2v 24 дня назад
together
@OUTLAWDRILLERS
@OUTLAWDRILLERS 28 дней назад
Sijachelewa pia mm kutoka kenya,,likes kwangu
@abdallahassan6378
@abdallahassan6378 28 дней назад
Kp nilikua naumia kuona move yen ni moja tu nilitamani kuona kil kipindi cha wamangush mzee wagiza na dada ,yaani hongeren sana 🎉🎉🎉🎉kwa kuongeza move
@nasorohusein-uz4hv
@nasorohusein-uz4hv 27 дней назад
Mzee likoma KAZI nzuri mungu akuongezee maarifa zaidi utazidi kufanikiwa
@JohariJohari-rv5js
@JohariJohari-rv5js 28 дней назад
Nguo zashule zimewapendeza
@modostar
@modostar 28 дней назад
Kazi nzuri na mm ni msanii natamani kufanya ksz na nynyi
@Therapist_kicha
@Therapist_kicha 19 дней назад
Why message kama hii huwa hawaijibuu
@simbeyrugata8745
@simbeyrugata8745 28 дней назад
The best movie, congratulations to you all actors, especially kp,zebu,diboz and likoma
@NipherKwamboka
@NipherKwamboka 28 дней назад
Kutka Kenya Leo nimekufa number 5 nipeeni like hata kumi jamani
@Zainab_salat
@Zainab_salat 28 дней назад
Umekufa? Mbona una comment😂😂❤😂😂
@purityneema218
@purityneema218 28 дней назад
Kufa tena ?😂😂
@PendoRobert-ph6ux
@PendoRobert-ph6ux 28 дней назад
Umekufa namba 5😂😂😂😂
@Laxy_Talent
@Laxy_Talent 28 дней назад
aya bwn
@PoliceNdizeye-rt2ml
@PoliceNdizeye-rt2ml 28 дней назад
Musalimie yesu 😂😂😂
@ruth1377
@ruth1377 27 дней назад
Wow hii nzuri nimeipenda ad raha🔥🔥🔥🔥❤️❤️💯💯💯💯
@JanetSanga-b6p
@JanetSanga-b6p 28 дней назад
Kazi nzuri nawapenda nyote
@yohanemwanzalima2777
@yohanemwanzalima2777 28 дней назад
Kp na zebuu napenda kazi zenu zote nzuri
@user-xd8qy1cx2b
@user-xd8qy1cx2b 27 дней назад
Jamani move nzuri sana likoma big up 💪💪
@hamzaIlunga
@hamzaIlunga 27 дней назад
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi kaka mkubwa likoma tupia like zangu apo
@ZitoAntonioNhanga-ms6uj
@ZitoAntonioNhanga-ms6uj 28 дней назад
Nampenda sana mze likoma❤
@ShanBaby-dy4db
@ShanBaby-dy4db 28 дней назад
Samahani am from Kenya the capital city of Africa nipeni like zangu❤❤❤
@madymag6926
@madymag6926 28 дней назад
Likoma na dibozi wow Nawependa bure kazi nzuri sana❤❤❤❤😂😂😂😂😂
@MauaroseMauarose
@MauaroseMauarose 28 дней назад
Hahaha haaaa jamani jamani mpaka tumbo linaniuma
@bakariomari6735
@bakariomari6735 12 дней назад
Kwann likuume❤
@tobiaschirwa9364
@tobiaschirwa9364 28 дней назад
Unyama Sana Mzee Likoma & Dibozi nawapenda kutoka malawi tuko pamoja tutasubiri mwendeleo 😂😂 mumependeza Kp na Zebuu ❤❤❤❤❤
@Mariamjaromedevu
@Mariamjaromedevu 4 дня назад
Mzee likoma na kibozi mnanifurahishag san❤❤
@SamuelAloo-qv3kg
@SamuelAloo-qv3kg 28 дней назад
Mfuasi wa mzee likoma na dibozi manuva kutoka kenya 🇰🇪
@WardaMohhamed-xx9mv
@WardaMohhamed-xx9mv 11 дней назад
Nimeipendasana
@NishimweDeo-th6qw
@NishimweDeo-th6qw 2 дня назад
Nabapenda sana kabisa.kebi na zébu narikokoma.napenda muvie zébu 🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤❤❤❤
@user-md2ct5fl7h
@user-md2ct5fl7h 27 дней назад
Mzee likoma unauwa sababu ya dhahabu kali sana
@EdwardTz.
@EdwardTz. 28 дней назад
Hatari sana itanoga kuliko mzee wa giza ❤❤❤❤
@AmosBudoya
@AmosBudoya 27 дней назад
Jaman from Tanzania nipen likes zang
@lucyrif-np8ik
@lucyrif-np8ik 28 дней назад
Nimebaki tu nikicheka yaan likoma wewe et tumbo linahifadhi vyakula vingi😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
@jaymapepefatma5936
@jaymapepefatma5936 23 дня назад
This is love from Mozambique 🇲🇿❤
@MalakiKapesa
@MalakiKapesa 8 дней назад
Kazi nzr Sana likoma nakubali sana
@user-op7tg4wq2g
@user-op7tg4wq2g 27 дней назад
Nakubali wapi like za mzee likoma
@EdalyDaud
@EdalyDaud 24 дня назад
Dog sele
@brenduemmanuel7540
@brenduemmanuel7540 21 день назад
Kaz nzur nawapend saaan jamn mnafany naenjoi nikichk move zen
@user-dy2zp2iw6z
@user-dy2zp2iw6z 28 дней назад
Jmn zebuu Hilo shangazi kaja 😂😂😂
@user-yg7dy8ls9e
@user-yg7dy8ls9e 14 дней назад
😅😅😅😅aisee nmecheka mpaka nmepaliwa
@FaithAdela
@FaithAdela 9 дней назад
Wow kp n zebuu munawezanga sn na pia hao wengine munambamba sn ongereni sn timu zebuu
@MaryamSafi-vm6or
@MaryamSafi-vm6or 28 дней назад
Jmn chukuen maua yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤ Kaz nzuri
@TamashaAwadhi
@TamashaAwadhi 16 дней назад
Nawakubali sana haswa kp
@user-xm4uu7he9c
@user-xm4uu7he9c 28 дней назад
Kazi nzuri sana likoma n kundi lako❤❤❤
@mussa-w5t
@mussa-w5t 19 дней назад
Wazeee mnatisha saààna nawap hongela
@user-su5oi5wb6c
@user-su5oi5wb6c 27 дней назад
Nawakubali sana kp na zebuu mumerudi shule na mumependeza 😂😂😂😂❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@paulinekombe3753
@paulinekombe3753 27 дней назад
Kazi safi sana mzee likoma🎉🎉
@user-yu9qn4oi3g
@user-yu9qn4oi3g 28 дней назад
❤❤❤ kazi nzuri sana 👍🔥🔥
@jacksonminani9782
@jacksonminani9782 28 дней назад
Kazi nzuri sana likoma Suraj yupo wapi kwenye plan b??love kutoka burundi
@joycemaregesi18
@joycemaregesi18 28 дней назад
Haya ndo maswali ya kuulza suraji toka sonaa haonekani lakini watu kuomba like tu kuchangia vitu vya musingi aaaaaaah 😮
@mary-lx3hr
@mary-lx3hr 27 дней назад
😂😂pia mm nlikua nataka kuuuliza hivyo suraji Yuko wap
@joycemaregesi18
@joycemaregesi18 27 дней назад
@@mary-lx3hr si ndo hàpo sasa lakini watu kila anayecomment anaomba like utadhani zinapunguza ugumu wa maisha😏
@jacklinefatma6263
@jacklinefatma6263 24 дня назад
​@@joycemaregesi18wa kuomba like waulize wapost nn
@joycemaregesi18
@joycemaregesi18 24 дня назад
@@jacklinefatma6263 nawaulzaga wanaomba like kwa kipi wamefanya😏dalili moja wapo ya ushogha ni kuomba like ambazo hujafanyia kazi
@johnfilbert5915
@johnfilbert5915 28 дней назад
Kumbe ndo maana plan b inachelewa ,,kina seasin nyingine
@feisaldesign4156
@feisaldesign4156 7 дней назад
Likoma ume perform vzur ktk senior yko good
@TantineZuzu
@TantineZuzu 27 дней назад
Hongereni kwa kazi nzuri sana 🎉🎉❤❤🇧🇮🇧🇮
@AnoriteMungusa
@AnoriteMungusa 27 дней назад
Nawakubali sana ❤💪
@MussaMasondore
@MussaMasondore 21 день назад
Najisikia raha sana hawa wazee kuliko kp
@DianaKatyetye
@DianaKatyetye 27 дней назад
Kazi nzur vipenzi nimewapenda bule
@BrayMark-d3z
@BrayMark-d3z 25 дней назад
Tupe hii baba achana na plan b
@gershomchallo
@gershomchallo 22 дня назад
Likoma upo juuuuu saaaana ❤️
@JemaMsule
@JemaMsule 28 дней назад
🎉🎉🎉kazi kazi jaman
@agapitshayo-cy7vy
@agapitshayo-cy7vy 28 дней назад
Sijachelewa big up likoma
@MbataMbataa
@MbataMbataa 21 день назад
Mzee rikoma nooma❤❤❤ namuelewa sana
@user-fb8cd2kc8l
@user-fb8cd2kc8l 27 дней назад
Nafurah mko pamoja kazi nzuri
@philohmutua2968
@philohmutua2968 27 дней назад
Naipenda sana likoma amekuwa Nigerian walai
@user-gg5ed4wt2v
@user-gg5ed4wt2v 28 дней назад
Nimefurahi,sana liko na dibozi❤❤
@furahandalu4765
@furahandalu4765 25 дней назад
Mko vzr sana aiseee maua yenu❤❤
@AmosBudoya
@AmosBudoya 27 дней назад
Hongera sana likoma nakuona mbali san kaka
@user-lf5ud8vb5j
@user-lf5ud8vb5j 28 дней назад
Samaani nipeni like zangu from 🇨🇩 nakupenda sana likoma
@JuliaAyuma-z5w
@JuliaAyuma-z5w 24 дня назад
Hadi mimi nawapenda sana kp na zebuu
@Chebaibaiever
@Chebaibaiever 21 день назад
From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🎉🎉🎉
@NAOMICOM-my4ql
@NAOMICOM-my4ql 27 дней назад
Heheeeeeee mnanipa Sana raha mm nawaombea mdumu wote msitengane
@LinetOpio-uj2eb
@LinetOpio-uj2eb 25 дней назад
😂😂😂🤣🤣🤣 likoma acha uzembe ukalime bana na venye nilikua nmekufia hivi, ucfanye nchange mind🙆🙆🙆🙆🙆
@MwanaidiAmanzi
@MwanaidiAmanzi 26 дней назад
Safi saana sio kila siku mke na mume
@NoelaKirwegye-bc5rw
@NoelaKirwegye-bc5rw 20 дней назад
❤❤kazi nzuri sana 👍🎉
@neemamichael-iv3jp
@neemamichael-iv3jp 25 дней назад
Jamm honger kaka b kazi nzur😘😘
@NoelaKirwegye-bc5rw
@NoelaKirwegye-bc5rw 20 дней назад
❤❤kazi nzuri sana 👍
@Joycekwolola7
@Joycekwolola7 Час назад
Nimeanza kuangalia mc money
@Asia-dq3rt
@Asia-dq3rt 28 дней назад
Aki nmecheka kwa saut so kwa hayo masomo 😂😂😂😂😂
@AbdulBushiri-b6o
@AbdulBushiri-b6o 6 дней назад
Ninawapenda sana hawa watu kifupi nina iipenda group lao 😅 kutoka tanzania dare ssalaamh
@SmahgloryHamis
@SmahgloryHamis 28 дней назад
Mim Leo wa mwish
@sanetag2173
@sanetag2173 26 дней назад
Kazi nzuri ila Hawa wazee wawili Huwa mwanifurahisha sana
@tommroverdose1242
@tommroverdose1242 28 дней назад
mzeee likoma ana vituko kweli nampenda lakn bona ukorome
@user-rl5zb1jc9k
@user-rl5zb1jc9k 28 дней назад
Unyama mwingi 🔥 much love from Kenya 🇰🇪😘
@user-nw6jl2uw1q
@user-nw6jl2uw1q 24 дня назад
Nzuri jmn hongeren sana
@EvaSimpson-m4t
@EvaSimpson-m4t 17 дней назад
Of course likoma anafanya vizurii sana
@Lovekidoti32
@Lovekidoti32 27 дней назад
Dah Likoma tunaomba ep2 chap chap can't wait
@janethmshahara4048
@janethmshahara4048 25 дней назад
Hahhaha mawanafunzi majinga sana😂😂😂😂😂😂😂
@GentilKakule-rd2pz
@GentilKakule-rd2pz 28 дней назад
Hii inaonekana itakua kali sana 🔥🔥🔥 ongera sana mzee likoma kwaku tuletea kitu kikali
@issakabezi
@issakabezi 26 дней назад
😂Salfate tam saana
@Tikijmlengo-rj8ed
@Tikijmlengo-rj8ed 28 дней назад
Kitu kipya kabisa 🎉🎉🎉
@CarolinePeter-gc8fp
@CarolinePeter-gc8fp 27 дней назад
Kiukweli mmejua kutusuprise but hongereni sana kwa kazi nzuri be blessed guys
@danielnsindagi9408
@danielnsindagi9408 22 дня назад
❤🎉 Kazi njem
@RaissaKit-ul5vj
@RaissaKit-ul5vj 26 дней назад
Nakubali sana tupeni yakufuata
@benedictepimaki4170
@benedictepimaki4170 18 дней назад
Kazi ikopwa sana
@ThumahSalush
@ThumahSalush 12 дней назад
Mambo napenda movie zenu mnajua kuakti wow ❤😅😅 mwaaaa
@BarackGetere
@BarackGetere 11 дней назад
Nimeipenda hii 🎉🎉
@BayusaMakame
@BayusaMakame 13 часов назад
Hongeren ila mi naulizia Kwa msanii wetu Sureji kaaish wap mbona cku iz hatumuon jaman
@CharlesMashaka-gv7mo
@CharlesMashaka-gv7mo 28 дней назад
Nyie noma sana nawakubali
@JuliaAyuma-z5w
@JuliaAyuma-z5w 24 дня назад
Natoka kenya siku moja natamani sana niwaone macho kwa macho nyie ndugu zangu watanzania
@user-jd9jb3ri4u
@user-jd9jb3ri4u 27 дней назад
Shangazi kaja inakimo kuzidi mbebaji,,,,,,,si kwa kukwea hko jaamaan. 😍😍😍
@user-dq1lm2be2u
@user-dq1lm2be2u 26 дней назад
Kazi nzuri 🎉
@FREDRICKotieno-li2vo
@FREDRICKotieno-li2vo 28 дней назад
Gained a new subscriber ❤❤
@user-tb3rj7yg6h
@user-tb3rj7yg6h 19 дней назад
Jamani kazi muli sana❤
@SleepyBonsaiTree-pt9xi
@SleepyBonsaiTree-pt9xi 28 дней назад
Kazi nzur likomo
@PedrocesarmsuyaMsuya-k9p
@PedrocesarmsuyaMsuya-k9p 27 дней назад
Kati yao nan mdebwedo wa ukweli😂😂😂❤
@AyubuMalando
@AyubuMalando 25 дней назад
Nakuaminia sana mzee kijana, fanyakaz😊
@ALAINMUFUNGIZI-gb2gs
@ALAINMUFUNGIZI-gb2gs 27 дней назад
Kp wewe nduguyangu ningekuwa uko tz ninge jiunga na wewe tatizo niko congo
@user-wn9xk7ys7n
@user-wn9xk7ys7n 9 дней назад
😂😂😂😂mwanzo hiy nyimbo ya pochi nene nlkua nme imiss san mzee lkoma
@LayanLayan-np6qb
@LayanLayan-np6qb 28 дней назад
Kazi nzuri sana🎉🎉🎉 ila nmecheka hatari 😂😂😂
@user-dv2wl3gh4n
@user-dv2wl3gh4n 28 дней назад
😂😂 mkiwa pamoja nina imani itanoka nawapenda sana
Далее
MR MONEY_EP 02
21:43
Просмотров 186 тыс.
MR MONEY_EP04
27:37
Просмотров 114 тыс.
Идея под заказ😂
00:20
Просмотров 407 тыс.
🎙ПОЮ твои ЛЮБИМЫЕ ПЕСНИ💥
3:10:10
BABA YANGU KIPOFU Full episode /25/ #love
37:14
Просмотров 30 тыс.
PLAN B _ Episode 9
27:15
Просмотров 118 тыс.
Ugomvi wa Kisima na Gudegude_Massanja official 🙏
4:41
MTOTO WA AJABU Season 2 Episode 01
10:58
Просмотров 545 тыс.
Kp Na Zebuu | KIHEREHERE
19:55
Просмотров 343 тыс.
MR MONEY_EP 03
15:39
Просмотров 147 тыс.
INTERVIEW:MZEE LIKOMA(Zebuu,Dibozi,Sheila,Suraj )
7:23
HOUSE GIRL  EP 01 || love story💕💞
19:15
Просмотров 487 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /24/ #love
30:52
Просмотров 278 тыс.
Идея под заказ😂
00:20
Просмотров 407 тыс.