Тёмный
No video :(

MZEE WA KUDERE ATOA ZA NDANIII ZA AZIZ KI KUBAKIA YANGA SC | MPENZI WAKE WA HAPA NCHINI AHUSIKA 

Main FM Tanzania
Подписаться 712
Просмотров 1 тыс.
50% 1

#MICHEZO: Ricardo Momo maarufu kwa jina la "Mzee wa Kudere" amesema kuwa siri ya Aziz Ki kubaki Yanga Sc ukiachana na mchezaji huyo kuvutiwa na project ya timu hiyo, mambo ya nje ya uwanja pia yamemfanya abaki Tanzania.
Ameyasema hayo wakati wa mahojiano na Main Fm na Main Digital huku na kwamba watu wake wa Karibu akiwemo msanii wa kike wa Bongo movie ambaye hajaweka jina lake wazi kuwa pia anaweza kuwa amemfanya abaki Tanzania kuendelea kuwatumikia Wananchi.
#MICHEZO:Usajili wa Yanga utategemeana na namna kocha alivyohusika katika usajili wa wachezaji ambao wanaenda kitumikia klabu hiyo.
Kauli hiyo imetolewa na Ricardo Momo maarufu kwa jina la "Mzee wa Kudere" wakati wa mahojiano na Main fm pamoja na Main Digital kuhusiana na usajili wa Yanga Sc kuelekea msimu unaokuja wa Ligi kuu na mashindano mengine.
"Kwahiyo tunategemea kile alicho kile walichompa Yanga ni kile ambacho yeye amekitaka?". Ameeleza Ricardo Momo.

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
Wife habit 😂 #shorts
00:16
Просмотров 58 млн
HOW MY FRIEND WAS KILLED IN DAYLIGHT ROBBERY
48:36
Просмотров 2,2 тыс.
UTARAGUO NUU? PART 1
26:00
Просмотров 21
KIMENUKA: HANS RAFAEL vs JEMEDARI SAID/ HII NI BALAA
21:57