Тёмный

MZEE WA UPAKO | Manabii Wachungaji Sio Huduma Ya Kukimbilia | Mchungaji Antony Lusekelo 

Mzee wa upako
Подписаться 25 тыс.
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Askofu Antony Lusekelo ni kiongozi wa kiroho mwenye ushawishi na maono. Yeye ndiye mwanzilishi na mchungaji mwandamizi wa kanisa la Tutashinda.
Watazamaji zaidi ya million 5 hutazama jumbe zake za kutia moyo kila wiki kupitia runinga ya channel ten na zaidi ya watu milioni 1.7 wanaungana na Mzee wa upako kupitia majukwaa yake ya mitandao ya kijamii ulimwenguni.
Mzee wa upako anaweza kusikika 24/7 kwenye channel zake za RU-vid Mzee wa upako na TUTASHINDA CHURCH. Ungana na Askofu Antony Lusekelo kwenye Instagram Mzeewaupakotz.

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 13   
@peterndumbalo6637
@peterndumbalo6637 Год назад
Amina 🙏🏿 MUNGU akubaliki Sana mzee wetu
@gilbertkalanda9354
@gilbertkalanda9354 Год назад
Nakuelewa sanaa
@gilibethkapelembe2367
@gilibethkapelembe2367 3 года назад
Nakukubali mwamba wa injili
@ananiaskamkwenera659
@ananiaskamkwenera659 3 года назад
Asantheee mchungaji,,,,kila ninapotaka kuanguka mahubir yako yananiinua tena
@sammwaga4935
@sammwaga4935 4 года назад
Nakukubali sana mtumishi
@boscofelix4004
@boscofelix4004 4 года назад
Amina sana baba
@salimambwani9153
@salimambwani9153 4 года назад
Nakubali mtumishi
@nikoransimwanga1201
@nikoransimwanga1201 3 года назад
Mchungaji fungua tawi mwanza
@waytvtz2549
@waytvtz2549 Год назад
Wanaojiita watumishi wa Mungu mmejaa wivu na kiburi Kwan si ufanye yakwako uliyoitiwa Kwan unadhan unaweza kupendwa na watanzania wote Kuna wajinga wakwako na Kuna wajinga wa mtu mwingine kula Shiba nenda choon huna kitu Cha tofauti na wengine
@victorishengoma4599
@victorishengoma4599 3 года назад
Nabii hana kanisa.
@goldensensemedia.7906
@goldensensemedia.7906 3 года назад
Huo ni uongo mkuu.
@goldensensemedia.7906
@goldensensemedia.7906 3 года назад
Mkuu unatudanganya kweupe, kasome 1 Samweli 9:7 na kuendelea. Utamuona Sauli akipeleka Sadaka kwa Samweli. Huo ni mfano mdogo tu. Fundisheni neno acheni kutafuta ujiko wa kupondana na kuchafuliana huduma kwani ninyi Wote mnafanya kazi ya Mungu.
@Najdi358
@Najdi358 2 года назад
Kwan ww unamfuata Sauli au unafuata mafunzo ya Yesu, hebu isomeni bibilia vzr maana yesu hajaja na bibilia, sasa jiulize ni nani aliye kujana bibilia baada ya injili, inamaana Yesu yy hana akili hata akafundusha injili, alie kwambia mutumie bibilia nani
Далее
Самый БОЛЬШОЙ iPhone в МИРЕ!
00:52
MKONO WA MUNGU
1:08:12
Просмотров 9 тыс.
UKWELI KUHUSU MAJI,MAFUTA YA #UPAKO HUU KAPA !!
17:19
Mahubiri kuhusu shetani
1:16:39
Просмотров 26 тыс.
KUOMBA NA KUABUDU
17:29
Просмотров 2,7 тыс.
Самый БОЛЬШОЙ iPhone в МИРЕ!
00:52