Chuo Kikuu Mzumbe kampasi ya Dar es Salaam, chaendesha mafunzo maalumu kwa wanafunzi wake wa shahada ya kwanza waliopo ndaki ya tegeta, lengo likiwa ni kuwaandaa na kuwajengea uwezo wa kukakabiliana na ushindani katika soko la ajira
11 сен 2024