Тёмный
No video :(

NABII WA GAIRO ANAWATAKASA WAUMINI KWAKUTUMIA UUME WAKE 

Geah Habibu
Подписаться 368 тыс.
Просмотров 38 тыс.
50% 1

Huyu jamaa anajiita Nabii au mtumishi wa Mungu hukuGairo Mkoani Morogoro jamaa huyu anatuhumiwa kubaka wake za watu na mabinti kwa kuwadanganya kuwa anatakasa kwa kupitia uume wake na hatimae amempa ujauziti Mwananfunzi wa Kidato cha tatu.Fwatilia tukio hili ambalo Mkuu wa Wilaya ya Geita amelisimamia mwanzo mwisho hadi kumpeleka polisi huyo jamaa..
#geahhabibu #GeahTv

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 296   
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 4 года назад
Kwanza karne hii hakuna nabii Wala mtume wote waliyobakia matepeli Ila mungu anawasubili
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 4 года назад
Bible imesema wapo wa ukweli na waungo pia wapo. So ujui kitu
@ashurar2721
@ashurar2721 4 года назад
MMH najivunia kuwa muisilam namshukuru mungu kunijaza imani moyoni mwangu
@zulfamohamed4549
@zulfamohamed4549 4 года назад
Nikwel tunajivunia kwail
@alishai4328
@alishai4328 4 года назад
Kweli kabisa dear 👌🏼
@allykutenga2862
@allykutenga2862 4 года назад
Yaani ni miongoni mwa neema kubwa m2 ukijaaliwa kuzaliwa ukiwa Muslim coz ni dini ambayo haina mazonge na iko wazii..hakuna nabii wala cjui mtume waislam wote wanajuwa biashara hiyo ishaisha hakuna mtume mwngn kwahiyo huwezi kumdanganya muislam yeyote juu ya mambo hayaaaa..
@mamahustru
@mamahustru 4 года назад
Kwahiyo nyie stori za maustaadhi/mashehe huko mitaani mnajidai hamjazisikia au?
@zulfamohamed4549
@zulfamohamed4549 4 года назад
@@allykutenga2862 nikwel kabisa kabis
@rosekingalu4403
@rosekingalu4403 4 года назад
Watu hawamuogopi Mungu 😭😭😭😭astaghafirullah
@aishandayishimiye5127
@aishandayishimiye5127 4 года назад
Mh 😂😂😂wanapona awo nimapepo anatupia watu kisha anawachezea danganya toto. Amkeni makanisani muache kuchezewa aje msikitini awone atavo tembezewa bakora 😂😂😂😂
@rachelmsekena603
@rachelmsekena603 4 года назад
😂😂😂😂nicheke mie hivi tunakwama wapi jamani kwani wewe mwenyewe huwezi kumuomba mungu akakusikia mpaka uende kwa manabii wa uwongo.
@selemanikumwambe1300
@selemanikumwambe1300 4 года назад
KWENI KUNA NABII WA KWELI KARNE HII
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 4 года назад
@@selemanikumwambe1300 yes wapo na wa uongo pia wapo ndio maana bible imesema utawambua kwa matendo yao
@annamasale3893
@annamasale3893 4 года назад
Duh. Nabii anakula kuku na manyoya yake mama, watoto mama wadogo bibi zao duh wote wamemegwa
@otiliahaule5180
@otiliahaule5180 4 года назад
Dhuu Mungu asante kwakunipa masikio🙉😂
@merypolycalipo2091
@merypolycalipo2091 4 года назад
Umetisha to much we nabii feki.
@aishaally2730
@aishaally2730 4 года назад
ALHAMDULILAH kwa Neema ya Uislam wala hatuangaiki alhamdulilah
@gracerossiejohnny9887
@gracerossiejohnny9887 4 года назад
Kwani amna ma shekh wako na tabia izo
@hemedirajabu9010
@hemedirajabu9010 4 года назад
@@gracerossiejohnny9887 hakuna shehe mjinga
@veronicacharles9993
@veronicacharles9993 4 года назад
Misaada ipo huku ndo mn wizi umekua mwingi lkn ata biblia ilisema siku za mwisho manabii wa uongo watatokea , , hivyo mimi kama mkirsto hawa manabii wa kishetani awanitishi kabisa na watapata hao wasiomjua kweli Mungu
@aishachambo3293
@aishachambo3293 4 года назад
Kweli kabisa kwetu huna jitu litajiita jina ilo majinga waliwao
@ashorass4431
@ashorass4431 4 года назад
Usiseme hivo kama sio mfatiliaji wa mitandao, na ikumbukwe dini sio imani
@mamoulovecherry5121
@mamoulovecherry5121 4 года назад
Subhannallah innalillah wa innalillah raji'un
@magejuliani5293
@magejuliani5293 4 года назад
Tutulie tu kwenye imani zetu, omba chochote kwa imani utapata
@tatutatu1570
@tatutatu1570 3 года назад
uyu mchungaji mwenyewe afya mgogoro ajaasilika kwel uyu😭😭
@SalamaAkilimali-ly3bu
@SalamaAkilimali-ly3bu Год назад
😂😂
@latriciah01augustino67
@latriciah01augustino67 4 года назад
Innah lilah wahnailah rajoun......! Hivi watu hawakuwa na dini zao uko mwanzo? Kwanini wakina mama wepesi sana kuamini vitu yani Wanawake khaaaa
@irenemacha7457
@irenemacha7457 4 года назад
Wakina mama wanamatatizo mengi sana
@maryjonh311
@maryjonh311 4 года назад
Mambo ni mengi mda ni mchache
@mgesibabere4743
@mgesibabere4743 4 года назад
Na kweli mpk wanamini uume eti
@abubakaryalmas7673
@abubakaryalmas7673 4 года назад
@@mgesibabere4743 😀😀😀
@bananatz4216
@bananatz4216 4 года назад
Innalillah wainna ilayhi rajiun
@husnahassan6289
@husnahassan6289 4 года назад
Da huu mic u so so much and welcome back
@zakyahya4645
@zakyahya4645 4 года назад
Da Geha iyo ya Mganga yalinikuta mimi lakini nashukur niliweza kuliepuka aliniambia anataka kunitoa nuksi lakini inaitajika shaahawa ili tuzipate inabidi tunye ili anifanyie dawa mimi nilimjibu tu siwezi kufanya ivyo Mganga akasema sasa itakuaje na Usha ingia apa lazima hii dawa tuifanye da Geha uwezi amini nikajikuta nalia moyoni baadae nikapata wazo nikamuuliza iwezekani kufanya na mtu mwingine tofauti na ww ili tuzipate izo shahawa? Mganga akajibu uku akiwa na hasira akasema inabidi awe mtu ambae ujawai kutoka nae kimapenzi me nikamwambia Sawa nilicho kifanya da Geha nilienda muita mwanaume wangu akaja pale kwa Mganga chaajabu Mganga akazidi kuleta kikwazo eti tufanye yeye akiwepo kwakua mwanaume wangu nilimwambia kila kitu baada ya kuona yamenishinda ikabidi akubali na tu kafanya yeye akiwepo baada ya kutoka pale kufika nyumbani nilipo Kea kipigo na bwana Wang so cha nchi hii baada ya apo siku rudi tena kwa nyule Mganga na adi sasa apa nilipo sisubutu kwenda kwa ao mashetani wa nchi kavu
@jamilamursal4437
@jamilamursal4437 4 года назад
😂😂😂😂... Pole
@elizabethmabula101
@elizabethmabula101 4 года назад
Mimi mwenyewe niliharibiwa maisha na mganga wa kienyeji. Ndg muombe mungu
@gloriakimario9173
@gloriakimario9173 4 года назад
Huu ni unyanyasaji wa kijisinsia tunaomba serikali ichukue hatua kali dhidhi ya huyu mtu na pia serikali iwe inahakiki haya madhehebu yanayoibuka kila kukicha kabla hayajapewa kibali cha kuhubiri
@stellalagwelagwe5539
@stellalagwelagwe5539 4 года назад
Huyo nabii hana kosa hao wanawake wamejipeleka wenyewe na shida zao hakuwafuta majumbani mwao kama walikuw hawapendi wanachofanyiwa kwanini hawakuwahi kumshitaki na walinyamaza kimya inamaana huyo msichana asingepata ujauzito siwangeendelea? Hao wanaume wadili na wake zao kwanini walikubali kuvua chupi na wakati wanajijua ni wake za watu? Nabii kafaidi kweli 😂🤣🤣
@gloriakimario9173
@gloriakimario9173 4 года назад
Lakini alitumia madhaifu yao kuwanyanyasa kingono. Na kilichowapeleka pale ni matatizo always mgonjwa huwa anaenda alipo daktar ili apewe dawa apone.
@josephjohn2114
@josephjohn2114 4 года назад
@@stellalagwelagwe5539 ana kosa kimungu na kiserikali kwa sababu kama mkristo anatumia biblia na uzinzi na uasherati unakatazwa. Serikali itamuuliza ametumia maandiko gani, hataweza kujitetea so jela inamgojea.
@rehemaramadhan8742
@rehemaramadhan8742 4 года назад
Kweli shetan yupo kazin
@mariam1chuwa542
@mariam1chuwa542 4 года назад
Huyu anafana na Kaka yangu anatumia jina la chuwa akasema katokewa na yesu nitapeli mchonganishj mungu kamueza ananifanya miombea watu wawe matajiri na uponyaji wakati yeye mwenyewe no fukara anaumwa kila siku tuepuke .atapeli
@maryamkhatau9445
@maryamkhatau9445 4 года назад
Ukiwa na shida tawadha Kisha swali rakaa mbili mlilie Mola wako na yeye ni mwingi wa kuskia shida za watu Allah kasema niombeni niatawajibu kwanini uenda kwa mwanandam mwenzio Hali na yeye anashida km zako
@tatutatu1570
@tatutatu1570 3 года назад
zinaa Mungu haitaki sasa utabalikiwa vp
@JuliusMwita-vt2yp
@JuliusMwita-vt2yp Год назад
Dunia inaenda kasi sana yani wamama watafika mbng wame choka sana😂😂
@fediliaulomi4969
@fediliaulomi4969 4 года назад
Mtatombwa sana mkitafuta miujiza pumbavu
@nurafedrick378
@nurafedrick378 4 года назад
Wamama mjiongezee mm nitabakii kumwamini Mungu tuuu
@nanagreco814
@nanagreco814 3 года назад
Huyo anaejiita nabii hana shida wenye shida n hao wanaotafuta manabii hawantafuti Mungu alie hai,,, Mungu anaweza kumsamehee huyo nabii,,, na akawaangamiza hao waliomfata huyo nabii,,, na nais na wanawake,,, wanawake ndo wanaviele ele
@evelinelema3395
@evelinelema3395 2 года назад
Dini zote zilizopo chini ya jua ni miungu ya kizungu iliyoketwa na wakoloni ili kuendelea kututawala kiimani kwa Haya na mengine mengi mfuate Imani Mcimbwa RU-vid ili ijue namna wazingu walivyo tudanganya kwa kutuletea dini na sisi tukazipokea bila kuzichunguza
@aishaally2730
@aishaally2730 4 года назад
Da huu well come back
@vero57
@vero57 4 года назад
SALI NYUMBANI KWAKO NI SAWA TUU MUNGU YUKO KILA MAHALI JIOMBEE MWEYEWE MUNGU ANASIKIA HUNA AJA YA KUOMBEWA
@barakakusa7606
@barakakusa7606 Год назад
Dah! Hii ni Gairo nayoijua mim au nyingine,
@ameyashey3174
@ameyashey3174 4 года назад
ALHAMDULILLAH 🙏
@matridamwandambo9656
@matridamwandambo9656 10 месяцев назад
Ndo maana mi nipo nyumban tu namwita Yesu nyumban kwang manabii 😂😂😂
@ZainabZainab-tv9ir
@ZainabZainab-tv9ir 4 года назад
Subhanallaah
@ZainabZainab-tv9ir
@ZainabZainab-tv9ir 4 года назад
Mambonimazito subhanallaah
@omaryjuma7268
@omaryjuma7268 4 года назад
Dah mbona huyu jamaa simjui alafu nakaa hapahapa aiseee dah uyu noma sana
@nurjanhaidar740
@nurjanhaidar740 4 года назад
Kkkk kani lazima?
@neemadeo7803
@neemadeo7803 4 года назад
Mbna handsome tuu
@rukiamohammed5031
@rukiamohammed5031 4 года назад
Ck zote mtenda Mabaya kwa watu wasiokuwa na hatia ipo ck mungu atamuumbua na mungu akulaaan ww mtumishi wa uongo jela miaka 30 yakuhusu kazeekee huko kaka mwili huna kwa unyanyasaji wa kijinsia 😢😢😢
@azaboicomedy
@azaboicomedy 4 года назад
Duhhh kwl nmeamini sisi wanaume tuna MBINU za kumuuliza kabisa 🤣🤣🤣🤣
@immtm4930
@immtm4930 4 года назад
Tunatumia udhaifu wa wanawake tutakavyo
@shebaminde7656
@shebaminde7656 4 года назад
Kwahyo siku hizi uume ni dawa sio!? Umenishinda tabia utajua mwenyew na Mungu wako hukumu yako yaja!!
@ndolepeter2770
@ndolepeter2770 2 месяца назад
shida watu wanapenda utajili wa haraka wa bila jasho
@emmymatigula4870
@emmymatigula4870 5 месяцев назад
Imani isiyo ndani ya Biblia Takatifu ni imani ya shetani Nabii huyo anatumia mapepo or majini kutambuwa shida sa watu Ni nguvu za giza (uchawi)
@kautharsalat6449
@kautharsalat6449 4 года назад
Huyu jaman amefaidi wake za watu 😁😁😁😁😁😁
@nelsabugo3613
@nelsabugo3613 4 года назад
Mungu atuhurumie ...watuwamekosa hofu ya Mungu
@hemedmnyambwa5502
@hemedmnyambwa5502 4 года назад
Milango ya manabii na mitume ishafungwa siku mingi Sana'a Kama unabisha nyosha kidole juuuu
@wasalimie11
@wasalimie11 2 года назад
ilitokea kwa familia yangu na mama alikua amekaa hapo nje nilikua na miaka kumi na nne😭😭😭na madada zangu pia
@catamandus3628
@catamandus3628 2 года назад
Mmalaya tu uyoooo fala au kaasilika
@vero57
@vero57 4 года назад
WANAWAKE WENZANGU TURUDI SHULE TENA NAONA, UTAAMINIJE VITU KAMA HIVII,
@monicajoseph4748
@monicajoseph4748 4 года назад
Mmmh balaaa LA dunia mh
@jescaizengo9722
@jescaizengo9722 3 года назад
Hahahahaha nyorokoo hasara
@elizabethmaro1835
@elizabethmaro1835 3 года назад
Dunia Umeisha Sijui hatatunaelekeawapi
@niachiemahehee2523
@niachiemahehee2523 4 года назад
Hikamoo nabii
@faridamtipa3815
@faridamtipa3815 4 года назад
Like kwangu
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 3 года назад
Mungu aturehemu na hawa wanao jiita watumishi wa Mungu
@aminasultan7287
@aminasultan7287 Год назад
Kwetu matangini kiwalani kunamchungaji nae amemchukua mke wa mtu anasema kaotelshwa na bwana atembeenae
@rechohilu6605
@rechohilu6605 3 года назад
Hatali sana
@mwanaishahussein2635
@mwanaishahussein2635 4 года назад
Huyo Nabii wanGairo, MUNGU amlani tena sanaa na sisi wamama tufikie Jambo kabla ya maamuzi😳😳😳🇰🇪
@dullamburu1718
@dullamburu1718 4 года назад
Yupo sahihi wakosa nyie dada zetu muna waume wa ndoa halafu unamruhusu mtu mwengine akuvue nguo akuingilie kisa yeye nabii au mtume hiyo mitume ya kweli haijawahi kufanya hivyo mue na akili nyinyi wadada pumbavu zenu mnatia hasira Sana mambo mengine haina haja ukae darasani usomeshwe
@mgesibabere4743
@mgesibabere4743 4 года назад
Hao waumini nao walisoma wapi kutakaswa na uume?? Mambo mengine jmn
@zuuothman9170
@zuuothman9170 4 года назад
Imebidi nicheke tu😆😆😆😆😆😆😕😕😕
@thamanimusictarakea2747
@thamanimusictarakea2747 4 года назад
kimsingi uhalisia wa mungu hauna uhusiano na vitabu vyote tulivyoletea wakati wa utumwa mungu ni uhalisia ama ufahamu sahihi wakuishi na uhalisia unaotuzunguka basi
@abdallahmangayamba1510
@abdallahmangayamba1510 9 месяцев назад
kwaiyo nao wanakubar mpumbavu
@helgahussein5597
@helgahussein5597 4 года назад
Duh!
@mwanaheribrighton425
@mwanaheribrighton425 4 года назад
Duuuh aisee najaribu kuwaza cpat jibu je kama ni mgonjwa wa ukimwi atakuwa ameambukiza wangap? Ila cye wanawake hatuna akili hata kidogo khaaaaaa hatar
@agreyrecho9285
@agreyrecho9285 4 года назад
Nikweli kbs alichokisema mkuu wa wilaya baadhi ya waumini wanatetea Sana hao watu wanaojiita manabidii hawapend uwaongelee hata kidogo
@naimasaid7763
@naimasaid7763 4 года назад
Mtihani sana
@idynasoro3250
@idynasoro3250 4 года назад
Mmenichekesha had basi huu utakaso bwana
@leiratykisura6718
@leiratykisura6718 Год назад
Nawaomba binadamu wenzangu kama tunamatatizo usilale usku muombe mungu mwenyewe usimuamini mtu sasaiv manabi wa huongo ndio hao dunia imefka mwisho?
@ashazaharan1750
@ashazaharan1750 4 года назад
Subuhanallah haliogopi hata marazi dunia hii sijui tunaenda wapi
@asiajuma8330
@asiajuma8330 4 года назад
Jamani hawa manabii manabii wanajua kuwachota akili wanawake jamani sijui tunakwama wapi 😭
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 4 года назад
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa watu hawataki kusoma neno wanataka kusikiliza unabii,
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 4 года назад
Mtawatambua kwa matendo yao watu wangu wanaangamia kwa kukosa maharifa. Inamana wahumini awasomi bible?mbona Yesu alishatuonya kuusu awa manabii wa uongo kwann watu wasisome bible jamani kila kitu kimesemwa uko wanajitakia awa acha liwakute.
@esthermgonja4475
@esthermgonja4475 4 года назад
Ila jamani kuna watu wanawafunga watu wanajikuta washafanya... huyo ni mganga sio mtumishi... unakuta wamefungwa kichawi hawajielewi kabisaa
@selemanikumwambe1300
@selemanikumwambe1300 4 года назад
HAKUNA UCHAWI HAPO , NI UZEMBE WENU TU
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 4 года назад
Tatizo hawa ndugu zetu ukiwaamsha kuhusu hawa MANABII wa kisasa wanakwambia ushindwe Kwa jina la Yesu ‘ unataka kumchafua mtumishi wa MUNGU...!...umetumwa ...! Ukitoa mawazo Serikali iingilie Haya mambo pia wanakwambia hakuna Acheni imani za Watu’ ..!..Hawa wanaojiita Manabii hakuna hata mmoja mkweli wote waongo’ wanajitajirisha wenyewe na kuwafanyia Watu mambo tofauti...! ...UPAKO KWA NJIA YA UUME...!..hahahahaaa
@immtm4930
@immtm4930 4 года назад
Acha waliwe... 😄😄😄😄
@rastafare878
@rastafare878 2 года назад
Ismail ni kweli kabisa
@roseuwambe893
@roseuwambe893 2 года назад
Kahaba la kiume hilo😅😅🤣🤣
@sophiaalexander6025
@sophiaalexander6025 4 года назад
Uuuwiii jamani tujiadhali na manambii wauongo Kwani maandiko yanasema tutawatambua kwa matendo jamani
@idynasoro3250
@idynasoro3250 4 года назад
Huyu nabii bwana harafu josee mara anahoji huyo
@naomiabel9929
@naomiabel9929 4 года назад
Makubwa shetani shindwa mbona wanamtumia mungu vibaya huyu pepo na ashindwe kwa damu ya yesu
@khadijaahmada2544
@khadijaahmada2544 4 года назад
Ata mimi iliwahi kunitokea likua nna tatizo sijiskii hamu ya tendo halaf nikiingiliwa naumia boyfriend wangu akanipeleka kwa mtu ambae anafanya dawa za kishwahil tulipofika yeye aliambiwa atoke njee baada ya hapo nilipewa dawa nikakoge choon halalu uliporud ndani kwa yule mwalimu akanambia lala kifud fud nikalala akawa ananikanda mgongo baadae akanambia vua baibui nikavua akanambia nilale nchali akaanza kunishika tumbo akaja mpka chini ya tumbo kidogo namuona anashika sehemu za siri tena amewiva macho anatetemeka na nilikua nimevaa nguo ya mpira kitu kimevimba icho..We nilipiga kelele nikamsukuma akajidia nikifanya tabu jini wake atanizuuru na nikitoka bila kunifanyia tiba atanifanyia kitu kibaya nitazunguka dunia nzima sitopona nikamsukuma nikenda mbio kibaya zaid mlango katia lock kwa ndani ila boyfriend wangu alikua nje baada ya kuskia kelele akaja kusukuma mlango jamaa akajidai nimepandisha jini...tena kibaya zaid kakamata mas hafu mkonon uyo jamaa anaitwa Khamiss akakaa chumbuni Zanzibar
@milkamugeni7940
@milkamugeni7940 4 года назад
Nashindwa kuelewa wewe mwanadamu unamwaminije mwanadamu mwenzako tena wamama sana mtu anajiita mtumishi wa mungu anaanzaje kukuambia utoe nguo Ati nakuombea ushenzi sana
@kurthumngereza2707
@kurthumngereza2707 4 года назад
Hahaa dada yaani mmeni chekesha bhana mna masiala sana hahaaa nimecheka adi baas
@evelinelema3395
@evelinelema3395 2 года назад
Kweli shetani hazeeki
@danforddaud5784
@danforddaud5784 4 года назад
Akapimwe tu akili kwa kweli du!
@maryamm7765
@maryamm7765 4 года назад
Duh mtihan
@aishandayishimiye5127
@aishandayishimiye5127 2 года назад
Hej🤣🤣🤣🤣🤣🤣wanaume kuweni Malin nawake zenu kupenda miujiza mtu kaonja Sasa🤣🤣🤣🤣🤣oho ilibaki amle Baba baada ya Familia nzima
@masudimwabushuti536
@masudimwabushuti536 4 года назад
Mm sioni Kama nimakosa kwasababu hakulazimishi ila unakubali mwenyewe
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 4 года назад
Daaaa jamani kweli hapa inaonekana wanawake tuna matatizo mengi sana kweli mtu unadanganywa kuingiziwa uume ili upate uponyaji kweli? Amri ya sita ya Mungu inasema usizini sasa hapa inakuaje upate uponyaji kwa njia ya uzinzi? Huyu baba ni mchawi kabisa haiwezekani wanawake wote hao afawanyie hao pasipo hata kujitambua.Huyu baba achukuliwe hatua Kali dhidi yake.
@elizabethswai7777
@elizabethswai7777 11 месяцев назад
Mambo meusi ukooo🤣🤣🤣🤣
@suleimanalhabsi1139
@suleimanalhabsi1139 4 года назад
Waendelee tu kutakasana kama wanapona wenyewe wana jionea tamu tu wanaitana family nzima pumbavu kabisa🤣🤣🤣🤣
@loner_wolf
@loner_wolf 4 года назад
Hayo maelewano jmn , kwani sisi tunaorubuni kwakujifanya mambo Safi natuna pesa au tunaajifanya waowaji tushitakiwe kwa ubakaji Basi Kama huyo NI mbakaji ....😂😂😂😂 Hao wamechaniwa chupi hao wanawake . Sioni ubakaji hapo
@jwamujini2487
@jwamujini2487 4 года назад
Shikamoo
@aishajuma712
@aishajuma712 4 года назад
@@jwamujini2487 Malhabaa ujambo
@aminamustafa3303
@aminamustafa3303 4 года назад
Mmmh makubwa jamani dunia inaisha
@rukiabaybe8594
@rukiabaybe8594 4 года назад
Kwan kuna andiko linasema ivyo mtu kufanya ngono atolew nuksi uko kwenyebibilia au hao wanawake hawaisomi hiyo bibilia
@monicapatrick3816
@monicapatrick3816 4 года назад
Ata kwetu yupo
@asiakibonge4699
@asiakibonge4699 4 года назад
Mungu wangu mtihani jamani
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 4 года назад
Uyu baba si nabii wala mchungaji bali ni mganga aliyejifanya mchungaji
@jmwaka9316
@jmwaka9316 4 года назад
kina GWAJIMA - MWINGILA na wezie vile wanajifanya wana usawishi na serikali kuwatetea.
@anahna6788
@anahna6788 4 года назад
Huyu nabii WA moto sana
@kulwapaul2721
@kulwapaul2721 4 года назад
Dah! Tumetoka kwa MWAMPOSA timekuna Tena kwingine duh
@sharonchristian3711
@sharonchristian3711 4 года назад
😁asojielewa wataendlea kufedheka na hu upuuzi wamanabii
@samimdhahabu6813
@samimdhahabu6813 4 года назад
Hahahaha kaz kuamin wanadam
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂watu wajifunze kukimbilia Kwa kila mtumishi anayeibuka,
@yusuphsungura736
@yusuphsungura736 4 года назад
Amekura kondoo wake jamani
@leiratykisura6718
@leiratykisura6718 Год назад
Mataperi wapo hadi kwenye uchungaji
@ngwalesma3681
@ngwalesma3681 4 года назад
Anawapiga mbupu tu! Yan watu bana sijui dunia tunaenda wapi!
@gabrielmurro7134
@gabrielmurro7134 4 года назад
Dunia simama nishuke ubungo 😂😂😂😂
@silyadamian5708
@silyadamian5708 4 года назад
Ushuke ubungo tyu,,, mm ikisimama nalamba glucose then naendelea
@otiliahaule5180
@otiliahaule5180 4 года назад
😁😁Ubungo tena
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 4 года назад
Yan watu bado ni matahila jamn
@ashaathumani7787
@ashaathumani7787 4 года назад
Mmmhhh!?? Makubwa haya
@mariamali1887
@mariamali1887 4 года назад
Wanawake lazima wajitambue. Mwanaume anawaingilia kiulain.wakina mama hatuna akili jamani. Mume akupende ili umroge jamani. Hizo dini zingine za ajabu sana duh🙄🙄
@zaerajuma9159
@zaerajuma9159 4 года назад
Kweli mujitambuye Wana mke
@zaerajuma9159
@zaerajuma9159 4 года назад
Kweli jita mbuweni mana mke
@susanejd7775
@susanejd7775 4 года назад
Hao wanawake ni watu wazima wanajua sana kua kuingiliwa na nabii sio dini tena. Lkn kwa nn wanawake wakazidi kuendelea. Mm naona watakua wamependa mchezo wa nabii. Na watakua waelezana mikatiko ya nabii. Mwingine nae anakwenda kuhakikisha. Lkn kusema ati wamedanganywa siamini
@hamadshein498
@hamadshein498 4 года назад
Mwanamke aliumbwa na akili moja tu.ndo maana hawa hakujua kama kile ni kioo na anae jiangalia ni yeye akajua ni mwanamke mwngne.
Далее
HEKAHEKA: DSM haiishiwi mambo, isikupite hii ya Kawe
25:45
Hisani Yangu
6:28
Просмотров 579 тыс.
NI SHUGHULI YA KUMCHAMBA MTU KWA SARE NA MZIKI JUU
24:21
BABA ANA DAMU KALI KAFANANA NA WATOTO HADI MKEWE
6:04