Тёмный
No video :(

NI SHUGHULI YA KUMCHAMBA MTU KWA SARE NA MZIKI JUU 

Geah Habibu
Подписаться 368 тыс.
Просмотров 651 тыс.
50% 1

Hili tukio lilitokea Mbagala Charamabe jijini Dar es salaam ambapo kuna dada anajiita Rais wa Charambe aliandaa shughuli yake ya kuchambua mchele akaunganisha na kichambo ambapo alikuwa akiwachamba shoga zake ambao anadai nawao waliandaa shughuli kama hiyo wakamchamba.
Tizama mwenyewe shughuli zima ilivyokuwa
#geahhabibu #GeahTv #Hekaheka

Опубликовано:

 

6 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,2 тыс.   
@julianajangandu1064
@julianajangandu1064 5 лет назад
Uyu mama anakasura karefu kazuri nahisi alivyokuwa kijana alikuwa tishio, shida tu amepata bahati mbaya yakuishi uswazi
@gwakisaezekiel2576
@gwakisaezekiel2576 5 лет назад
Juliana Jang'andu 😂😂😂
@zenaramadhani3117
@zenaramadhani3117 5 лет назад
Juliana Jang'andu mzuri sana
@shukurujustin3843
@shukurujustin3843 5 лет назад
Ata ww Juli mzur tu
@tktastytreats1882
@tktastytreats1882 5 лет назад
kweli asee
@zainabuabdul7852
@zainabuabdul7852 5 лет назад
Mzuri anaitwa Rehma
@annaupendo4768
@annaupendo4768 5 лет назад
Wa mama tulio okoka kweli tunaraha na wanaotuzunguka wako salama 👏
@lazaisblessings2695
@lazaisblessings2695 5 лет назад
Natamani wanawake wangejua kua kwa Yesu kuna raha
@mohameddamka922
@mohameddamka922 5 лет назад
tena nyinyi mnao jifanya mmeokoka ndio malaya wakubwa.
@marthawiliam8883
@marthawiliam8883 5 лет назад
Hahahaaaa kwa Yesu kutamu mambo haya kwetu upuuuuuuuuzi,asante Yesu Wetu mzuuuuuuuri
@elizabethlengeju4851
@elizabethlengeju4851 5 лет назад
umesha sema wanao jifanya sio walio okoka,, ila tuliokoka hasa ni raha tu
@tifundinzeberi1379
@tifundinzeberi1379 5 лет назад
@@elizabethlengeju4851 ; dada hawa tuliookoka ndio hatari maana kuna kitu kilitokea nilishangaa mlokole kutoa kashfa za ajabu
@queenshebasheba3595
@queenshebasheba3595 5 лет назад
Harafu kuna MTU anatoka hapo anasema wanawake wote nisawa thubutu tusichukuliane poa
@nassrapatrickpatrick5545
@nassrapatrickpatrick5545 5 лет назад
Umeonaa eeee
@mashahassan2193
@mashahassan2193 5 лет назад
Queensheba Sheba kweli kbsa syo sawa
@juniorhassan4311
@juniorhassan4311 5 лет назад
Umeonaee queen wallah tuko tofaut
@happynessmushi5600
@happynessmushi5600 5 лет назад
Queensheba Sheba aise we ni Sheba wa Kampala nin
@nisilemwalwiba4639
@nisilemwalwiba4639 5 лет назад
Bigap sana my sio wanawake wote wengine daaa
@victoriaalisen3865
@victoriaalisen3865 5 лет назад
Kwaakili hizi mafuriko hayatoisha dar, MUNGU awasaidie
@zozokulwa1627
@zozokulwa1627 5 лет назад
😂😂😂
@julianacharles5720
@julianacharles5720 5 лет назад
😂😂😂😂😂😂 wanawake tutakuwa hatuendelei
@johnleonard6705
@johnleonard6705 5 лет назад
Hahahahhahhahahhahahahhahah mafuriko hayaishi
@asiaokeay1654
@asiaokeay1654 5 лет назад
kweli
@rukiamngoya6383
@rukiamngoya6383 5 лет назад
😂😂😂😂😂
@sarahezekiel6498
@sarahezekiel6498 5 лет назад
Kumcha bwana ndio chanzo cha maarifa kama unakubali tupia like hapa
@winslowzirops3598
@winslowzirops3598 5 лет назад
Sure
@joycelema6371
@joycelema6371 5 лет назад
Sarah Sostenes kabisa uko right
@onesmosimon9485
@onesmosimon9485 5 лет назад
pamoja sana
@mwanahamisikijangwa3460
@mwanahamisikijangwa3460 5 лет назад
Kwani ukichambwa halafu ukakaa kimya unapungua nn?kwakweli sisi wanawake Mwenyezimungu aturehemu🤔
@banshbansh2329
@banshbansh2329 5 лет назад
Kabisaa kuliko kubishana wanachamba wee kula bunda tuu
@cwttnana128
@cwttnana128 5 лет назад
Awee wa uswahilin achambwe anyamaze subutu😂😂😂
@khadijamisayo7476
@khadijamisayo7476 5 лет назад
wapumbavu hao wanawake
@nurumnyota8615
@nurumnyota8615 5 лет назад
Mwanahamisi Kijangwa ndiyo maana tunaambiwa Motoni tutajaa wanawake.
@mwajabukudra4868
@mwajabukudra4868 5 лет назад
Mwanahamisi Kijangwa hahahaha
@mwanamisidihoni1610
@mwanamisidihoni1610 5 лет назад
Kuishi mjini sio kazi, kazi kuyajua hayo mambo maana usubutu unahitajika,wanawake wanachezea fedha sana
@zenamshana6852
@zenamshana6852 5 лет назад
Mtangazaji nimekupenda sana mungu akuweke unajua mama hukuacha kuchua sehemu yoyote yaani MB,,,,,,,zangu sizijutii
@priscamallya9774
@priscamallya9774 5 лет назад
wajinga mpaka majitu mazima lo ata haya
@sifambukwa7866
@sifambukwa7866 5 лет назад
mdomana tunaowea mke wapili
@luciaalfred6213
@luciaalfred6213 5 лет назад
Ninauchungu namaisha jamani nimeajiliwa lakini maisha bado naona magumu hizo pesa ningepewa Mimi nipeleke kijijini kwa wazazi nikaongeze mafanikio
@daudkihava8528
@daudkihava8528 5 лет назад
Wakupe pesa alafu wenzio watapata wap pesa ya kukodi mziki wa kuchambia watu.
@danielx8
@danielx8 5 лет назад
Pambana na hali yako
@nablynataly7108
@nablynataly7108 5 лет назад
Najionea tabuuu mieeee..MB zangu sizijutiiii KABISA #Geah
@doramwanyika5826
@doramwanyika5826 5 лет назад
😄😄
@catherinekihengu354
@catherinekihengu354 5 лет назад
Wanawake wa dar wanachambana mikoani tuko busy na utafutaji
@rachellemson4491
@rachellemson4491 5 лет назад
Kweli kabs
@aminamohamed7202
@aminamohamed7202 5 лет назад
kabisa dia kunywa soda kwa mangi nakuja lipa
@catherinerichard6354
@catherinerichard6354 5 лет назад
Catherine Kihengu kabisaaa wajinaaaaa
@abelysamsony5756
@abelysamsony5756 5 лет назад
Mikoani hatuna mida michafu sisi kazi kazi michambo tunawaachia wa dar hawana kz za kufanya kazi kubadilisha taarabu, khanga, vigorous, vibarazani
@janenyambura5357
@janenyambura5357 4 года назад
😂😂😂😂😂
@gracemwanjabala8073
@gracemwanjabala8073 5 лет назад
hizoo ndo akiliiii za wanawakee wajingaa pumbavuu saana wanawakee wasiojitambuaa
@tuphujekumuhkunonyiile3739
@tuphujekumuhkunonyiile3739 5 лет назад
Wananichefua kweri baada yakufanya yamaana kazikunufaisha watu
@selouscarlos9831
@selouscarlos9831 5 лет назад
hivi huwaga mnalipwa au, jamani nyinyi wanawake wa uswaz mnatabu
@sasherbaiby7277
@sasherbaiby7277 5 лет назад
ha haha haha ukiskia watu wazima vishet ndohao
@aishashaibu5641
@aishashaibu5641 5 лет назад
Mambo ya uswahilin hayo
@mbwelwatumpejulius5156
@mbwelwatumpejulius5156 5 лет назад
Grace Mwanjabala
@manalibaby4192
@manalibaby4192 5 лет назад
Mwezi mtukufu huu subhana allah..mwezi wote huu mwachambana astaqafuruallah ..mwenyezi mungu atusameh..peponi tutapasikia tu...Allahu aalam.
@halimams2127
@halimams2127 5 лет назад
Katika kiama mwanawake tutachelewa kuiyona pepo mungu atunusur
@shamimkingazi8925
@shamimkingazi8925 5 лет назад
Ameen
@nezryallyan6344
@nezryallyan6344 5 лет назад
Da geah wye nakupenda bure mwaaaah unanikosha we acha tu mwaaaaaaah
@shumbanamussa6237
@shumbanamussa6237 5 лет назад
Mwezi mtukuf apoilikua bado
@KhalidKhalid-ox4pg
@KhalidKhalid-ox4pg Год назад
DA GEA UYO DADA NI MSHUWA SANA YAANI MUNGU MWEUSI HANA BIFU LA MOYONI
@ummalqitat5091
@ummalqitat5091 5 лет назад
80% ya Wanawake wa Tanzania hawako serious na maisha angepaka nyumba yake rangi kwanza kuliko kuweka ngoma na vijora kuchamba mtu
@JBB875
@JBB875 5 лет назад
umm alqitat kwel kabisa 😂
@mbwelwatumpejulius5156
@mbwelwatumpejulius5156 5 лет назад
umm alqitat pp
@maryamashmrei9999
@maryamashmrei9999 5 лет назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@rehemaomary2432
@rehemaomary2432 5 лет назад
Hawa ni wanawake Wa dar ndio maana mvua haziish
@nchiyaahadi93
@nchiyaahadi93 5 лет назад
Kapanga huyo sio nyumba yake
@fisadikiwembe9787
@fisadikiwembe9787 5 лет назад
loh kuazimana sigiria na chupi looh mungu annusuru😀😀mtandio tu sitoi ijekua sigiria kwanza vinyonyo vyng vidogo vyanitosha mwenyewee😀
@bahatihadijabahati7456
@bahatihadijabahati7456 4 года назад
😂😂😂
@florahfidelis1883
@florahfidelis1883 5 лет назад
ila geah kweli wewe mama LA mama upo vizuri ktk kazi yako penda sana wewe hapoooo
@annafundi7098
@annafundi7098 5 лет назад
Umesahau Sifa moja kubwa LA umbeaa. Haahaahaa . Big up kwake
@azizaurembo47
@azizaurembo47 5 лет назад
hatari gea huko juu
@maryamali1992
@maryamali1992 5 лет назад
Wanawake wabongo Allaah anawaona Badala muende madarsa Umbea mtupu halafu yanapenda shughuli
@sarahmwaluko2480
@sarahmwaluko2480 5 лет назад
Huyu mama mzuriii sema shetani tu amemwingia
@emmypaul7455
@emmypaul7455 5 лет назад
Duuuuuu sema mama nimama tyuuu bora cjazaliwa uswahilini😍😍😍😍😁
@hamidudongo1879
@hamidudongo1879 5 лет назад
Uswahilini kutamu wewe. 😁😁😁😁
@manyandakasubi1201
@manyandakasubi1201 5 лет назад
Emmy Paul
@Nadia-fg8yr
@Nadia-fg8yr 10 месяцев назад
Wa mama wa dar hongeren kwa kuchambana jameni
@yaninihiyali3470
@yaninihiyali3470 5 лет назад
Dada Geah umezingua sauti
@munadlebobo5234
@munadlebobo5234 5 лет назад
🤣🤣🤣🤣🤣watanzania mmeniacha hoi...eti kuchamba uuuiii wakenya em njooooni mjione🤣🤣🤣🤣
@viviancorner162
@viviancorner162 5 лет назад
Hio pesa ya mziki angenunua mito ya makochi ! Na nyavu za dirishani! Hahaha tz mnajua kufurahia na mna mda mwingi sana
@joycswai2114
@joycswai2114 5 лет назад
kweli kazi ipo
@milkaauma6312
@milkaauma6312 3 года назад
😂😂😂😂
@sarahpatricks9800
@sarahpatricks9800 5 лет назад
Kichambo hakijasikika jaman, picha na maneno vyaenda tofaut da Gea
@marrybeauty9793
@marrybeauty9793 5 лет назад
Sarah Patricks uhondo wote finito
@khadijanasoro6510
@khadijanasoro6510 5 лет назад
Hiyo pesa uliyotumia bora ht ungekarabati nyumba unayoishi hizi ndio akili zawanawake wasiojua Maendeleo
@hassanmkwama9900
@hassanmkwama9900 5 лет назад
Wazimu mtupu
@bernadethamalanje6219
@bernadethamalanje6219 5 лет назад
uyu mama kuma
@laymizztaaa1568
@laymizztaaa1568 5 лет назад
Khadija Nasoro omg kweli Yani ni noma
@zainabzanzibar1518
@zainabzanzibar1518 5 лет назад
Yaani ni shidaa kweli kweli
@saidamvungi3717
@saidamvungi3717 5 лет назад
Duuuu wanawake wauswazi Mungu awasamehe tu hiyo pesa yamziki na yamchele pamoja na kijora nipora hata ungetengeneza hiyo nyumba yaurisi lkn makabila haya ndoyalivyo unanunuwa mchele kazi kufaidisha watu kesho ukiamka Asubuhi huna hela yakula unaenda kukopa hao hao mashoga zako uliyo walisha wanaanza kukusema hela yaenyewe yamkopo wakinamama jmn Duuu nishida makabila haya
@fatmahchambo2037
@fatmahchambo2037 5 лет назад
Hivi ni vituko uswahili...aaaah aah uswahili kuna vituko 😂😂😂
@fransiscamatemu987
@fransiscamatemu987 5 лет назад
Fatmah Chambo sana sanaa
@lizykeswick4122
@lizykeswick4122 5 лет назад
daaah uswahili kuna vituko jmn....uyo mama c mtu mzm jmn iyo ela c bora angetafuta biashara afanyee dooh mji mzito huu
@imeldabamba3779
@imeldabamba3779 5 лет назад
Mji mzito kinoma yaani,naona hata hiyo nyumba anayoishi kama chafu chafu hivi hixzo pesa si angenunua rangi apakae hiyo nyumba.
@ednaedmund6319
@ednaedmund6319 5 лет назад
Bora hata huyo mama kuna bibi angalieni vizur
@madamehatibu9324
@madamehatibu9324 Год назад
Mkitoka hapo mnaanza ooooh wanawake wote Ni sawa shiiiiiiiindwaaaaaa mi Hilo kundi mnitoeeeee labda nitakua nimeleft group
@gottacheckintorehab7697
@gottacheckintorehab7697 5 лет назад
Ushwahili raha 🤣🤣🤣🤣..kuna dada alirudishiwa kabati na MATARUMBETA Kisa kamtunxa mwenzie kabati feki 🤣🤣🤣
@winnymshana7753
@winnymshana7753 5 лет назад
Hot Topics hahahhaaaaaa huhuhuhuuuuu raha sana
@nikitarewis2598
@nikitarewis2598 5 лет назад
Hot Topics 😂😂😂😂😂😂
@lykamlaki1218
@lykamlaki1218 5 лет назад
😂 😂 😂 😂 😂 😂
@susanahyera7110
@susanahyera7110 5 лет назад
Hahahahhahahhaha
@gottacheckintorehab7697
@gottacheckintorehab7697 5 лет назад
@@iamnormal8648 kuna makabati ya mchina sku hiz kama upo mjini utaelewa 🤣🤣🤣
@helena0018
@helena0018 5 лет назад
Wanawake twapenda umbea...hii midomoo nikama tulikula miguu ya chura...kelele haziishii😎😎
@user-dg8qe9rf9h
@user-dg8qe9rf9h 5 лет назад
Inna lillah Wainna Ilayhi Rajiun
@faridadominick8469
@faridadominick8469 5 лет назад
Mungu awasamehe kwa kweli maana sio kwa ujinga huo mnaoufanya wamama wazima
@advelahezroni1613
@advelahezroni1613 5 лет назад
duuuu hizo pesa simngesaidia yatima mungu waokoe wanadamu
@ummyleylahadya5202
@ummyleylahadya5202 5 лет назад
Angekarabati nyumba yake kwanza pumbav!!
@banshbansh2329
@banshbansh2329 5 лет назад
@@ummyleylahadya5202 Kabisaa kuliko kufanya ujinga huo
@selouscarlos9831
@selouscarlos9831 5 лет назад
hizo pesa fungueni biashara nynyi wanawake acheni uchiz
@mumasuu455
@mumasuu455 5 лет назад
Advela Hezroni niukweli
@theonlyonebeautiful3726
@theonlyonebeautiful3726 5 лет назад
Usiende mbali angetengeneza mazingira anayoishi kwanza yaani wanawake jamani tuna kazi
@jiddahadam578
@jiddahadam578 4 года назад
Yan ndoman corona ime piga brek Tz shikamo jmn ni nchi yangu lakin wallah in mambo
@irenemsangi7221
@irenemsangi7221 5 лет назад
Sijategemea watu wazima wanawezaa fanya huu ujinga...Mungu awasaidie..
@wandomligite7889
@wandomligite7889 5 лет назад
irene msangi haswaaaaa kbs maana huu ni ujinga kbs watu wazima kama watt
@user-us9gl8jg4l
@user-us9gl8jg4l 5 лет назад
Kabisa yani nashukuru nimezaliwa uswahilini lkn nashukuru nimerithi tabia za bibi yangu mzungu wa kireno
@bernadethamalanje6219
@bernadethamalanje6219 5 лет назад
rais gani uyo mashavu yamemshuka km mashavu ya kuma
@zawadiabdallah6382
@zawadiabdallah6382 5 лет назад
🤣🤣🤣🤣🤣yaan n mambo yakushangaza ila watu wa pwani👐
@godfreymbogo8947
@godfreymbogo8947 5 лет назад
irene msangi
@julianakatonge9693
@julianakatonge9693 5 лет назад
Ni bora uokoke umtukuze Mungu kuliko huu ujinga wanaoufanya jamani Mungu aturehemu
@jescampangile9522
@jescampangile9522 5 лет назад
Tena sana mungu atureem
@lazaisblessings2695
@lazaisblessings2695 5 лет назад
Wanawake wa Tanzania( Baadhi yao sio wote)mbona msichambane kuinuana kiuchumi?😂😂😂😂😂😂😂😂hamna kazi kodisheni mashamba mlime jameni!Huku kote ni kukosa kazi,kazi nikukaa vibarazani
@marymabubakary1561
@marymabubakary1561 5 лет назад
Hamna kazi za kufanya m ashamba yapo ndugu yangu acheni utt
@margaretkanina6247
@margaretkanina6247 5 лет назад
Maombiiiiiii mbeleeee.
@haomawifihawanatofautinama6790
😀😀😀😀👌
@soyakisinza9464
@soyakisinza9464 5 лет назад
lazais blessings
@carolinejulius9710
@carolinejulius9710 5 лет назад
Nimekupenda geah nakupataje
@mwamvualivingstone9009
@mwamvualivingstone9009 4 года назад
Caroline Julius
@dianafyondi3265
@dianafyondi3265 5 лет назад
Mmmmmh.! Uswahilini kuna vituko
@allykahema3064
@allykahema3064 5 лет назад
mh ni shidaaaaaaaaaaaaaa?
@mariamsenyagwa6784
@mariamsenyagwa6784 5 лет назад
unapoteza hela muda kuandaa ujinga wanawake tunakwama wapi,sijawaji sikia kichambo cha wanaume😕😕😕😕😕
@annamarkmbwilla7878
@annamarkmbwilla7878 5 лет назад
ndiyo maana dah maji yanajaa bila sababu
@masoudmasasi1801
@masoudmasasi1801 5 лет назад
kuna jamaa hapo pembeni wakati huyu dada anahojiwa naona naye anachomekea dah wanaume wa dar kazi ipo
@princessmammu5796
@princessmammu5796 5 лет назад
Masoud Masasi 😀😀😀😀
@masoudmasasi1801
@masoudmasasi1801 5 лет назад
@@princessmammu5796 Kazi ipo aiseee yaani mwanaume kamili uwezi kufanya ujinga huo tena kwenye camera
@ibrahimaboubakar1215
@ibrahimaboubakar1215 5 лет назад
Muogopeni mungu jameni ,kifo kiko karibu sana mtaenda kumwambia nini mwenyezi mungu,aceni ujinga
@sabrinamohamedy1040
@sabrinamohamedy1040 5 лет назад
Kwann hiz helanusipake rang nyumbaan mbadilishe masofaa
@godfreymbogo8947
@godfreymbogo8947 5 лет назад
Sabrina Mohamedy
@mkonjesamnimbo936
@mkonjesamnimbo936 5 лет назад
Yaani bora hiyo pesa angemalizia nyumba yake kuanzia plaster, rangi na madirisha. Ujinga tuu na waume zao nao wa naangalia tu looh maendeleo ni shida
@rukiamngoya6383
@rukiamngoya6383 5 лет назад
kweli kbisa
@aminaseleman3041
@aminaseleman3041 5 лет назад
Mkonje Samnimbo 😂😂😂😂
@kabaiyukyasnider6797
@kabaiyukyasnider6797 5 лет назад
Umeona
@prettyaysha7892
@prettyaysha7892 3 года назад
😅😅😅😂
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Год назад
Geah tume missss aya mambo 😂🤣🤣🤣🤣🤣2023 geah hbn
@doramkolo1745
@doramkolo1745 5 лет назад
Mjusi kafiri....dera kuiva...maneno ya uswazi bana🤣🤣🤣 geah unakutana na mengi shoga angu🤣🤣
@lykamlaki1218
@lykamlaki1218 5 лет назад
😂
@saumumwakisese7567
@saumumwakisese7567 5 лет назад
@@lykamlaki1218 bñ j
@salamasaidi7363
@salamasaidi7363 5 лет назад
Mtihani mno tujenge japo kibanda cha chumba kimoja
@ashamwamba9088
@ashamwamba9088 3 года назад
Ingekuwaaa.niiibadaa
@asmaafamau8307
@asmaafamau8307 5 лет назад
Mashaallah da geah umpendeza Sana Hilo vazi
@khadijahkhdoo6387
@khadijahkhdoo6387 5 лет назад
Sasa mtu kama kachambwa bila kutajwa jina, unajuaje kama n wewe ndio uliochambwa? Au wewe ndio mjusikafiri?😂😂😂😂
@khadijahkhdoo6387
@khadijahkhdoo6387 5 лет назад
Balaaa hizi
@fatmaabdallah3765
@fatmaabdallah3765 5 лет назад
Mungu niweke mie hii hatar ila wanawake wote hatuko sawa msituchukulie poa jamani
@Jessiefrank872
@Jessiefrank872 5 лет назад
Watoto wenu wajifunze nn ? Loo wamama wazma mmekosa haya!
@naamohamed9964
@naamohamed9964 5 лет назад
Yani wananikera mie jaman
@Jessiefrank872
@Jessiefrank872 5 лет назад
@@naamohamed9964 sio wewe tu
@mariamusemboja7952
@mariamusemboja7952 5 лет назад
Irene Frank ..
@ashajuma970
@ashajuma970 5 лет назад
Geah pambee tu nime kumiss my mie Habity from group rusharoho wadau 😍
@violetmunuo5053
@violetmunuo5053 5 лет назад
jamani Geah nakupenda Sana yaani ukiongea tuu napenda
@chantalmulasi5663
@chantalmulasi5663 5 лет назад
Jamn kuazima mpaka chupi 😆😆😆😆😆😆😆
@lykamlaki1218
@lykamlaki1218 5 лет назад
😂 😂 😂 nimeshangaa hadi nimechoka
@princessmammu5796
@princessmammu5796 5 лет назад
Chantal mulasi 😀😀😀😀😀
@happypa2027
@happypa2027 4 года назад
Nishida sana
@mealemalika7565
@mealemalika7565 5 лет назад
Wamama mmekosa heshima hamna hata hofu ya mwenyezi Mungu na mwezi mtukufu huu hamujieshimu alafu mwaijiita waislamu
@billieevans9951
@billieevans9951 5 лет назад
🤣🤣🤣 ...sijui nimefuata nini huku jamani mimiii :-/
@marymabubakary1561
@marymabubakary1561 5 лет назад
nawashukuru wazazi wangu kaka zangu Dada zangu kwa kunilea kwa mapenzi ya kunifahamisha na kunielimisha life style
@jacklinemosha3705
@jacklinemosha3705 5 лет назад
Billie Evans hahahaaa,umepotea njiaee
@billieevans9951
@billieevans9951 5 лет назад
Marym Abubakary mmmmh kwa kweliiii yani Ni vyema kuwashukuru
@billieevans9951
@billieevans9951 5 лет назад
Jackline Mosha yaaaaanii sio kidogo
@SefrozaMafuru
@SefrozaMafuru 5 лет назад
😂😂😂
@allyduwa9914
@allyduwa9914 5 лет назад
Hila geah wewe ni noma ata mumeo kazi anayo
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 5 лет назад
Kwa mtazamo huu wa mambo, itachukua miaka mingi, kuifikia TZ ya viwanda. (B) Wataalam wa lugha, nao waliangalie upya hii neno "kuchamba," mbona lina ukakasi mwingi?
@susanahyera7110
@susanahyera7110 5 лет назад
Ukakasi mnooo
@saidahj2543
@saidahj2543 5 лет назад
Wallai Geah hii kazi inakufaa😂😂😂😂😂..ila umetubania hatujasikia vichambo
@marygaspar6429
@marygaspar6429 5 лет назад
Kule kwetu watoto haturuhusiwi miguu ya kuku, tunaambiwa tutazura kama Geah!
@mwanahamisiabdi3320
@mwanahamisiabdi3320 5 лет назад
Kweli kabsa tusichukuliane pow eti wanawake wote sawa washenz nyie hamna kaz sura mbayaaaa
@arafazakir1763
@arafazakir1763 5 лет назад
Uuuuuwwwiiiiiiiiiiii kamweneeeeee😅😅😅😅😅😅👌👌👌👌
@salomesingano7985
@salomesingano7985 5 лет назад
Celewi naona habari zajirudia tu
@zuwenaalamini4158
@zuwenaalamini4158 3 года назад
Mtihan wallah
@RoseJames-ed5hv
@RoseJames-ed5hv 5 лет назад
Mhhh kuna sherehe na Sare za kuchambua mchele,uswahilini kuna mambo
@princessmammu5796
@princessmammu5796 5 лет назад
meona eee kaziyamana hawana kazi umbey ila siku moja akipigwa ndiyowatapunguz
@dianashaban7358
@dianashaban7358 3 года назад
Njoo mwanz kwetu hayo mambo y kiswahl hakunaga rah2
@glorytarimo9730
@glorytarimo9730 5 лет назад
Duh kwelii watu wanakosa kaz
@gerickgerald9081
@gerickgerald9081 5 лет назад
Umeona eeeh
@asnathmwaipopo6877
@asnathmwaipopo6877 5 лет назад
Mmh asante MUNGU kwa kuwafanya wazaz wangu kutoish uswahilini inawezekana binge copy na ......!!
@naamohamed9964
@naamohamed9964 5 лет назад
Duhhh mtihan eti hadi chupi wanaazimana mhhh acheni nikae bira marafikii tu kuliko kupotezeana mda
@helenakipondya6353
@helenakipondya6353 5 лет назад
Naa mohamed mim mwenyewe hoi hapo kwenye kuazimana chupi loh kweli uswazi kunavijimambo
@naamohamed9964
@naamohamed9964 5 лет назад
@@helenakipondya6353 hawajielewi hao
@waridiwaridi7147
@waridiwaridi7147 5 лет назад
Daa gea inaonekana swala tano masha allah mungu akuongoze katika ibada
@zuenampandeni3347
@zuenampandeni3347 2 года назад
Mkorogo sasa
@saidahajimgeni8893
@saidahajimgeni8893 5 лет назад
Yaan ndo maan wanawake tumekutwa wengi motoni😢Upuuzi watu wazima😕
@rakbinhemidi3992
@rakbinhemidi3992 5 лет назад
Saida haji mgeni wallah umesema neno mola atuepushe kwakweri 😢😢
@saidahajimgeni8893
@saidahajimgeni8893 5 лет назад
@@rakbinhemidi3992 ameen yarrabi
@kenanidnundwe4144
@kenanidnundwe4144 5 лет назад
hahhhhaha uswahilini
@kenanidnundwe4144
@kenanidnundwe4144 5 лет назад
ni shidaaaaaaaa
@sadaali9038
@sadaali9038 3 года назад
Ndio mambo ya KWETU charambe nimewamiss ila Niko mbali nisalimieni mm dia wa ukweli
@aminamrisho9825
@aminamrisho9825 5 лет назад
MTU mzima ovyo###loh ebu muwe mnaofu ya mungu jmn
@merryn4891
@merryn4891 5 лет назад
😀😀😀😀😀
@harounali1626
@harounali1626 5 лет назад
Subhanaallaah Hii ya zamani au katika mwezi huu wa Ramadhani
@leonaidinanamala2699
@leonaidinanamala2699 5 лет назад
Wape vidonge vyao
@jacklinamani7519
@jacklinamani7519 5 лет назад
Pumzika kwa Aman mama angu .Mana Hali ya dunia sio nzur
@latefaafreca5486
@latefaafreca5486 5 лет назад
Duh mwanakulitaka upovizur mamaa shughuli nahongera pia wasamehe hawajui watendalo
@abdulqareemabdala2772
@abdulqareemabdala2772 5 лет назад
Hahahaha da gea mbavu sangu eti nakuja mziki ndio huo hatar wanawake wanao penda uswahil na kazi chezea uswahil wewe haya nasubir nione haaa ila mbagal noma sanaa napaheshim sanaa
@levinabyamungu8453
@levinabyamungu8453 5 лет назад
Mbona maneno yamejirudia zaidi ya mara3? Maana hata mwendelezo hatujajua maneno yaliongelewa na huyo mtoto wa hiari.
@mariamshija6445
@mariamshija6445 2 года назад
Ndokwe2 mbagala. Nauyo ndolaisi wa chalambe. Awo wa2 wote nawajua dada zangu
@faridamkesso97
@faridamkesso97 5 лет назад
Mi jamani bora tu niendelee kuishi huku kwetu kijijini , maisha ya mjini siyawezi huku sie tunaishi maisha ya ujamaa na ushirika tuko bega kwa bega ktk maendeleo
@aishaally4864
@aishaally4864 5 лет назад
Da gea ushungi usiuvue umekupendeza Mashallah
@rachelkihaka6720
@rachelkihaka6720 5 лет назад
duuuuuu wa mama nyie kweli mnashindwa hata kupika maandazi tu mkaachana na hayo mautumbo mnayoyafanya
@gabrielmurro7134
@gabrielmurro7134 5 лет назад
Wanamchamba raisi wa chalambe 😄😄😄😄😄jaman uswahili balaha
@zaitunimtemelwa1481
@zaitunimtemelwa1481 5 лет назад
🤣🤣🤣🤣Jamani eti rais
@halimaabdulaziz5143
@halimaabdulaziz5143 5 лет назад
hahahaaa
@honeymakeovertzmakeupartis3451
@honeymakeovertzmakeupartis3451 4 года назад
Huyu mama anaonekana mkalimu sana na n mstaarabu ila mashoga zake walimvuruga....anachofanya n sawa tu
@raikambilinyi2358
@raikambilinyi2358 5 лет назад
Ndomana hawaendelei😧
@tematema3101
@tematema3101 5 лет назад
ibilis kawatawala hawajiuw.kama baaada ya haya maisha kuna mengine
@rosemakatia7377
@rosemakatia7377 4 года назад
Upuuuzi tu....an idle mind is a devil's workshop..style up women
@maryamibrahim3713
@maryamibrahim3713 5 лет назад
Nampenda geah jamani
@salmaiddy7110
@salmaiddy7110 5 лет назад
Jamanii hiyo hela ya shunghuli ungenipa mm mmekosaa kazii za kufanya jamanii njoonii niwap kzii mungu awasamehe
@ilhamswaleh3428
@ilhamswaleh3428 5 лет назад
Hiyo hela ya shughuli ungepiga plasta nyumba yako ,nyumba mbavu nje kuhangaikia upuuzi
@sweetprincess4771
@sweetprincess4771 5 лет назад
Na kwel ndo Maan siye wauswahil wengi wetu hawaendeleii
@lisajackson5867
@lisajackson5867 5 лет назад
kabisa my
@assuntakilibika6789
@assuntakilibika6789 5 лет назад
Ilham Swaleh hahaahahahahah
@cecymaro1374
@cecymaro1374 5 лет назад
Ilham Swaleh 😂😂😂😂😂😃😂😂😂😂
@tallemsengi7046
@tallemsengi7046 5 лет назад
Kwakweli
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Год назад
🤣🤣🤣🤣😂😂Nime mimiss izi mambo 🤣😂😂😂🙌🏿
@aisharamadhan5257
@aisharamadhan5257 5 лет назад
Izo hela za matarumbeta si bora angefanyia ukarabati wa nyumba anayoishi Dooooohhhhhh !!!!!!!!!!! Mama sijui unakili gani maana nashindwa hata pa kukueka ,
@missmwana9779
@missmwana9779 5 лет назад
Uswahilini kunavituko jamani daaah sijapata ona mmmh
@gmmasa7798
@gmmasa7798 5 лет назад
Aisha Ramadhan .
@aisharamadhan5257
@aisharamadhan5257 5 лет назад
@@missmwana9779 sanaaa
@aisharamadhan5257
@aisharamadhan5257 5 лет назад
@@gmmasa7798 mambo
@mussampegele2546
@mussampegele2546 4 года назад
Si kwa michambo iyo uko ndo kwetu uswazi dah gea we nizaidi ya soudy brauwn
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 5 лет назад
Wanawake sisi bwana , hizi pesa tungesaidia wazee wetu kijijini kule mwaka huu korosho wamechelewesha malipo , tunazua shughuli zisizokuwamo ili tuchambe . Looh !!
@florafilimon6686
@florafilimon6686 5 лет назад
Kazi ipo
@joramnunu1449
@joramnunu1449 5 лет назад
@salharunguma4210
@salharunguma4210 3 года назад
Hawa wanawake wauswahilin hko dar nimtihan,,,ningekuwa mwanaume mke wangu nicngemruhusu kwnda kwny hzo shughuli zakuchambana
@sherifaali7268
@sherifaali7268 3 года назад
Siku zote asili haipotei ndo maana ya uswazi na watanzania ni waswahili hasa kushinda nchi yyt haiwezi ifikia tz
@shangeorge8202
@shangeorge8202 5 лет назад
Gea mmbea jmn😂
@halimahasheem7994
@halimahasheem7994 4 года назад
Me nampemdaga anajuwa kunigesha hatar
@summanelson5523
@summanelson5523 5 лет назад
Yaani waswahili mna mambooooo!!!! Ishu hapa siyo wanawake ni uswahili. Mwanamke mie natoka bara muda wa kumchamba mtu sina. We ukinichamba mie napotezea maana hajaniweka mjini. Nimejiweka mwenyewe. Akija kushituka mie niko mbali sana maana nitakuwa nachapa kazi wakati yeye anahangaika na uswahili wa michambo.
@fayzayussuf9525
@fayzayussuf9525 5 лет назад
Hivi kuna wenzangu walio ona video inaendelea lakin sauti imeanza mwanzo
@najmahussein165
@najmahussein165 5 лет назад
Kwel saut imechangany
@lavieestbelle3263
@lavieestbelle3263 5 лет назад
Fayza Yussuf ndio
@eliasjanuary5941
@eliasjanuary5941 5 лет назад
Kweli ndio sauti haijadamshi mwishoni
@saidikambimbaya6739
@saidikambimbaya6739 5 лет назад
Eeeeeh...jmn we mama ushachukua mkopo uchambe mweheee....huo mtaaa salute....naujua A to Z..
@preneruth5110
@preneruth5110 5 лет назад
Mbona mwishon saut zmerudia za mwanzon
@mariamakwinya4156
@mariamakwinya4156 5 лет назад
Ndio mpaka imebia
@hafsazubeir5676
@hafsazubeir5676 4 года назад
Prene Ruth wanawake wa kitanzania jama jielewa bado maana mwanamke mapishi so ugombanishi na mapishi hamuna zaid ya ugomv
@hafsazubeir5676
@hafsazubeir5676 4 года назад
achen zenu izo
Далее
Cute kitty gadget 💛💕
00:23
Просмотров 7 млн