Тёмный

Nafasi ya Kanisa Katoliki katika kuuvunja Uislamu - Sheikh Stambuli 

Kalamutz
Подписаться 147 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Part 1

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 64   
@سعدياقوت-ت2خ
@سعدياقوت-ت2خ 5 месяцев назад
Ma shaa allah endeleza tafadhali ni muhimu sana kujua
@rojasimtui2757
@rojasimtui2757 5 месяцев назад
Nimependa sana endelea kutupasha habari nzuriiiii kweli
@shekhamuhham9044
@shekhamuhham9044 5 месяцев назад
Barakallah fiika sheh wetu
@hamidakhamis-ir5qv
@hamidakhamis-ir5qv 5 месяцев назад
Asante shukran Allah awajalie hao wote walokufa kwajili yake awali pe janah
@ramiamisanya9873
@ramiamisanya9873 5 месяцев назад
Waalaykum sallam. Shukran shekhe tunatamani iendelee
@saidijuma9800
@saidijuma9800 5 месяцев назад
Inshaallah iendelee
@silimazdu1100
@silimazdu1100 5 месяцев назад
Ahsante tufafanulie ukweli
@racsomutunga
@racsomutunga Месяц назад
Twede nalo mzee stabuli,,, Ukambani and upper Tana river iko love
@saulopanda6516
@saulopanda6516 5 месяцев назад
Makala bora..... Mwenyezi mungu akuzidishie uelewa na afya upate kutupa elim hii adimu
@jumahamad3723
@jumahamad3723 5 месяцев назад
Walio weng hatujui history shukraani kwa taarifa Allah akuzidishie elimu
@RashidAhmed-h7t
@RashidAhmed-h7t 5 месяцев назад
Historia mzuri sana
@asilclub
@asilclub 2 месяца назад
جزاك الله خيرا وبارك الله فيك ومشكور على المعلومات القيمة يا دكتورنا العزيز
@NassibMbuguni-n1d
@NassibMbuguni-n1d 5 месяцев назад
Ahsante Sheikh Stambul kwa ukweli uliofichika
@chenodigganyika297
@chenodigganyika297 5 месяцев назад
Makala iendelee insh' Alah!
@abdulrazaqjuma6571
@abdulrazaqjuma6571 5 месяцев назад
Allah Atawalipa wte inshallah
@HabibuMudhwahir
@HabibuMudhwahir 5 месяцев назад
Mwalimu hongera
@Logicentric
@Logicentric 5 месяцев назад
Nyinyi mnatarajia wakatoliki waje wawajengee uislamu wenu... Na nyinyi fanyeni la kufanya sio mtarajie hisani kutoka kwa wakatoliki...
@NassibMbuguni-n1d
@NassibMbuguni-n1d 5 месяцев назад
Elewa vizuri maelezo ubaya ni pale wareno walipowafanyia ubaya wenyeji wao
@Logicentric
@Logicentric 5 месяцев назад
Sio kwamba sielewi ila waislamu tuna matatizo. Hivi umeona wanachokifanya nchi za kiarabu sasa hivi. Wanavyowakumbatia wauwaji wa Gaza na waungaji mkono wao licha ya dhulma na mateso wanayofanyiwa watu wa gaza. Hivi ni nani hajui kama wamagharibi wote ni maadui wa Uislam. Hivi dunia hii hakuna mbadala? Halafu tunakuja tunakaa tunalaumu.... Nioneni mbaya lakini nitasema kwamba kuna tatizo kwetu.
@FASSALEHALIB
@FASSALEHALIB 5 месяцев назад
Wacha pupa. Soma, uliza, elewa kabla ya kuanza.
@sikandarsuleimanTV
@sikandarsuleimanTV 5 месяцев назад
Waalaykum asalaam warahmatullahi taala wabarakatuhu, Makala iendelee
@Shukurukoll
@Shukurukoll 5 месяцев назад
Makala hii iendelee
@mohamedlalimahazi9932
@mohamedlalimahazi9932 5 месяцев назад
Kazi yako nipeke yako
@SingoMedia
@SingoMedia 5 месяцев назад
Maashallah
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz 5 месяцев назад
Mashaallah
@MinskBelarus-il2tl
@MinskBelarus-il2tl 5 месяцев назад
Kazi iendelee
@mustafakanani6763
@mustafakanani6763 Месяц назад
Endelea ilitufahme historia yetu ashante
@FASSALEHALIB
@FASSALEHALIB 5 месяцев назад
Nakala liendelee IN SHAA ALLAH.
@salimukungulilo2928
@salimukungulilo2928 5 месяцев назад
Rabana zidna ilima
@FASSALEHALIB
@FASSALEHALIB 5 месяцев назад
AMEEN YAA RABB WA JAZAKALLAHU KHAIRAN.
@thedon8467
@thedon8467 4 месяца назад
YAENDELEE
@Abuumunzir-yz9vf
@Abuumunzir-yz9vf 5 месяцев назад
Kabisa
@muna1165
@muna1165 5 месяцев назад
Yaendelee
@thedon8467
@thedon8467 4 месяца назад
MAKALA HAYA YAENDELEE
@thomassalvatory8303
@thomassalvatory8303 5 месяцев назад
ujue dunia ni mbovu watu wote wametoa maoni yao kisa yako upande wao hutasikia tatizo nikitoa maoni yangu kisa niko opposite mm mbaya so inamaana wote tukubaliane na wanachozungumza ni tatizo kubwa mnooooo
@abdulhakimhasan7673
@abdulhakimhasan7673 5 месяцев назад
Mambo bado , maisha ni kutafuta haki na ukweli.
@Umlai3
@Umlai3 5 месяцев назад
Ustadh Stambuli, nataka kujuwa sultan Hassan babake Sultan Yusuf , alizikwa Allidina au Rabai?
@thomassalvatory8303
@thomassalvatory8303 5 месяцев назад
wanalalamika ulaya uchina africa kila sehemu, 75 ya vita dunia wao ni source angalia kuanzia africa, middle east. zaidi eti jamii mbili zinapigana au nchi mbili zinapigana utaisikia vita nchi a vs Uislamu hii kitu ni shida y wengine hawalalamiki ni wao tuuu
@Umlai3
@Umlai3 5 месяцев назад
Assalamualaikum
@thomassalvatory8303
@thomassalvatory8303 5 месяцев назад
wanaolalamika dunia nzima ni waislamu sijawahi sikia wajesh, wahind wa budha wakilalamika duniani kote ni waislamu kuna shida kwenye hii dini
@lwagamwakalinga8038
@lwagamwakalinga8038 5 месяцев назад
Hahahaaaaa hawa jamaa Bana hata wakijikwaa njiani huwa wanajua ni wakristo tu,hata wakilala njaa tu lazima wasake mchawi na utawaona mbio ni wakristo na mayahudi tu wamefanya haya
@emmadora7848
@emmadora7848 5 месяцев назад
Vichawani mwao kumejaa malalamishi tu ,yaani hata akishindwa kulisha familia utasika wakristo ,akiumwa hakuna hospital atalaumu wakristo
@husseina.sattar1434
@husseina.sattar1434 5 месяцев назад
Kwa sababu makafiri wa kila aina kila rangi wanatupangia njama, freemason wote, wachawi wote wanatupangia njama lakini hamtaweza!
@emmadora7848
@emmadora7848 5 месяцев назад
@@husseina.sattar1434 nendeni shule mkasome ,tatizo lenu elimu mnaikimbia mwisho wa siku mnabaki kulalama ,hakuna anayewaonea Wala kuwapangia njama ila ujinga na upunga umewajaa sana ,Kila kitu lawama hata mkishindwa lala ma wake zenu ohhh wakristo ,kasomeni mtoe ujinga alaaaa
@lwagamwakalinga8038
@lwagamwakalinga8038 5 месяцев назад
@@husseina.sattar1434 Dunia nzima nyie ndio walalamishi kwahiyo watu woote wapo kupanga njama dhidi yenu tu ? Ndio tofauti Kati ya dini ya majungu na dini ya maendeleo,wakati nyie mnaendelea ku promote majungu na malalamiko wenzenu wanazidi kuwaacha mbali kimaendeleo !
@salimkadau8257
@salimkadau8257 5 месяцев назад
Makala yaendeleee
@akimzeli5030
@akimzeli5030 5 месяцев назад
Lafudhu ya mzee kama mwenyeji wa pwani ya Ziwa Tanganyika. Kwa mara ya kwanza Nyerere aliingia katika mji wa Kigoma Ujiji 1957 mji wa waswahili, waislamu watupu! akakutana na kinamama wa kiislam wanaongea kiswahili kimenyooka na hawajawahi kufundishwa sarufi wala nahau kokote akashangaa sana. Hajua kwamba mji mkongwe wa Ujiji ulikuwako miaka 300 kabla ya Mzizima (Daslam), watu wakiishi pamoja kindugu. Wazungu walikuja Ujiji akiwemo yule Explorer maarufu David Livingstone kujenga na kueneza ukristo lakini wenyeji waislamu wakagoma kuingia ukristo. Mpaka sasa, kuna makanisa wanayachomeka chomeka lakini wanaosali ni watu kutoka huko mbali, sio pale kwa wenyeji Ujiji.
@emmadora7848
@emmadora7848 5 месяцев назад
Watu wanaongezeka duniani na maeneo yanakuwa zaidi so usitegemee mambo ya 1950 ndo yawe mpaka Leo ,ndio maana huko kwenu ujiji bado porini kumezidiwa na miji iliyokua juzi Kwa sababu hakuna mawazo chanya
@abdulhakimhasan7673
@abdulhakimhasan7673 5 месяцев назад
ukweli unaumiza.
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 5 месяцев назад
​Ni kweli kabisa ujiji ndio maana bado porini,hata wao wenyewe wa ujiji hawajengi ujij bali wanaenda kujenga katika maeneo mengine ya mji kama vile kilimahewa,mwanga,mji mwema nk,kwa sababu watu wa ujiji wanaufinyu wa maono
@yoliswabontsa8469
@yoliswabontsa8469 5 месяцев назад
Endeleza jambo hilo nimuhimu zaidi sio tuikalie khilafu za wanawazioni pekee.
@tariqbathawab1147
@tariqbathawab1147 5 месяцев назад
HAO NI MA-ZAYONIST NDIO WAMEIVUNJA UMASIIH NA TAYARI WAMEWEKA VIONGOZI KATIKA UTAWALA ZA NCHI ZA KIARABU WENYE UASILIA WA KIYAHUDI NI WAFUASI WA KIZAYONIST MA-ZAYONIST NI MAADUI WA DINI ZA KIISLAAM NA UMASIIH NA UYAHUDI .MA-ZAYONIST NI WAFUASI WA IBLIIS .
@SuleimanmumaniOmar
@SuleimanmumaniOmar 5 месяцев назад
"UMASIIH" ni nini,?? fafanua
@akimzeli5030
@akimzeli5030 5 месяцев назад
Na hiyo ndio Hijra ya kwanza kabisa. Waislam wakihama toka Hijaz kuja Afrika.
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly 5 месяцев назад
Uislam ulishavunjika zamani sana na ndio maana waislam wana-convert to Christianity kila iitwapo leo,maana wanajua kuwa Dini haimpeleki mtu mbinguni,ila Imani ndio inapeleka mtu mbinguni.
@sulealim6325
@sulealim6325 5 месяцев назад
Pls nijuze ni nchi gan zenye waislam wengi ambayo waislam wanabadil kua wakristo?
@MohamedAbdallahSaid
@MohamedAbdallahSaid 5 месяцев назад
Ndoto za mchana.
@Zainabnoor0087-ze
@Zainabnoor0087-ze 5 месяцев назад
Mhhh, bila dini aka njia hufiki mbinguni ndio Yesu akasema mimi ndimi njia: huendi kwa baba ila kupitia njia yng aka dini yng 😊
@MohamedAbdallahSaid
@MohamedAbdallahSaid 5 месяцев назад
@@Zainabnoor0087-ze Bora ubadilishe jina lilingani na imani yako.Zeinab sasa ni jina la Waislamu. Kadhalika unahakika kila liloandikwa kwa Biblia latoka kwa Mungu.Mbona vitabu na aya zagongana. Yes kwetu ni Mtume wa Mungu.Sio Mungu
@abdulhakimhasan7673
@abdulhakimhasan7673 5 месяцев назад
Wewe hiteshkumar ni mkristo ulio shindwa.
Далее
Hii ndio siku ambayo Waislamu walisema inatosha
16:25
Просмотров 3,6 тыс.
Women’s Celebrations + Men’s 😮‍💨
00:20
Je, Wajuwa Waswahili ni Nani?! - Makala ya Pili.
5:28
BAKWATA: Mwiba mzito kwa Waislam Tanzania
43:19
Просмотров 17 тыс.
Je, Wajuwa Waswahili ni Nani?! Makala ya Tatu.
6:09
Просмотров 2,2 тыс.
Huyu ndio Mwanamke aliyemmudu sana Mwalimu Nyerere
43:37
TT COMEDIAN NYAMA CHEMSHA epsd 145
9:58
Просмотров 9 тыс.