Jazakumllahu khayra shekh wetu OTHMAN...hkk nafsi ni mtihani mkubwa xn.... wallah hii inanipitia unaona umesem Leo uxiku lazima niamk tahajud Allah anakup wepesi unaamk mapem kabisa...Sasa una mlaani sheytwani kutokn n usingiz 😢😢...una kut Kun kitu kinasem bana utaswal siku nyingine Leo lala kidg ... yaaani hapo usipombn wallah hutaswal .. alhamndulillah... Yaa rabbi ziokoe nafsi zetu na fitna za sheytwani Amiin 🤲....mola akubariki shekh wetu ❤️❤️ uhibukii fiy llah kathiyra