Тёмный
No video :(

NAMELOK SOKOINE Aapa Kupigania Heshima ya Baba Yake Monduli 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 48 тыс.
50% 1

Namalok Sokoine Mtoto wa Waziri mkuu wa Zamani wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine ambae pia ni mjumbe wa mkutano mkuu wa chama cha Mapinduzi amesema kuwa kumuenzi na kumlindia heshimima baba yake ni kwa watu wa monduli kuendelea kukisaporiti chama cha Mapinduzi na Kumchagua Julius Kalanga kwenye uchaguzi wa marudio unaotarajiwa kufanyika siku ya jumapili .
bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe ww.youtube.com/... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe...,
Suazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 35   
@marthamungure1777
@marthamungure1777 4 месяца назад
JP hana maneno mengi. Straight to the point
@annetmsafiri6704
@annetmsafiri6704 6 лет назад
Mpo vizuri mungu awpiganie
@binurarassi8156
@binurarassi8156 6 лет назад
Kwa kumuenzi Mh. Sokoine, Na Kudumisha Chama Cha Mapinduzi, Hata mimi nakuunga mkono, Jamani mpeni Kura nyingi huyu Dada.
@hamisi8
@hamisi8 6 лет назад
the election is about the future Not the past ..Sokoine time is gone
@halimamasai2234
@halimamasai2234 6 лет назад
Sawa kabisa lazima tumuenzi kipenzi chetu moringe sokoine
@godymashana1968
@godymashana1968 6 лет назад
Kalanga na Nani atampigia kura wakati mwenyewe amekataa ubunge, kalanga ingetakiwa afungwe maisha jela make ni mhujumu uchumi anaharbu kodi zetu
@richard.rkilonzo7538
@richard.rkilonzo7538 6 лет назад
Aubu tu Watanzania wasiobadilika. Hizo nguo zikiondoka hamuwaoini tena mpaka uchaguzi wa 2020.
@edwardgwaspika4943
@edwardgwaspika4943 6 лет назад
Hahahaaa! Pigeni kazi kila mtu kwenye eneo lake mwanasiasa apige kazi, mkulima apige kazi mfugaji kwenye eneo lake na mfugaji na taifa litasogea tunakila sababu ya kusonga mbele! Aridhi tunayo ya kutosha nchi ina amani...!
@evansmlalo4049
@evansmlalo4049 4 года назад
KALANGA HAFAI KUWA MBUNGE WA MONDULI NA PANDE MBILI. NAMELOK MUUNGE MKONO FRED SOKOINE NI NDUGU YAKO. KALANGA NI MSALITI WA CHADEMA ACHA LAANA YA MBOWE IMTANDIKE. KUMBE WATU WA MONDULI HAWAJUI KUSOMA ALAMA ZA NYAKATI.
@barakamwangama3453
@barakamwangama3453 6 лет назад
kuna watoto warembo baraa sehemu gani huko jaman
@maisatou
@maisatou 4 года назад
Eh mr.Baraka kweli vitoto vizuri sana,Tanzania oyeeeeee A.R.Msimbazzy
@yousufharthy6876
@yousufharthy6876 6 лет назад
Sasa hawo watu miya piya wanakura za kuweza kushinda
@aminamaulidi1788
@aminamaulidi1788 4 года назад
CCM oyeeeeeeeeee
@michaelmrema8024
@michaelmrema8024 6 лет назад
kura mmepata au mkopo mmepata.
@mfubwakilua5380
@mfubwakilua5380 6 лет назад
Kweli singeli hakuna
@tanzanite9944
@tanzanite9944 6 лет назад
KWa hali hii CCM ikishinda kweli ina mkono mrefu.! Yaani hata ni aibu unayesema eti itashinda kwa kishindo. Acheni WIZI CCM wananchi watawapenda. Achaeni Moringe wa watu alale kwa Amani msimchanganye na wizi wenu wa kura.
@abbyrwilemela4354
@abbyrwilemela4354 6 лет назад
inategemeana ni sehem gani maana kuna vijiji vina watu wachache sana.
@ulandamashindano9612
@ulandamashindano9612 4 года назад
Ñññ
@mussahamis5860
@mussahamis5860 6 лет назад
Nitajifunza kitu nikisikia ccm imeshinda
@robertmagere2447
@robertmagere2447 6 лет назад
waiten wale wanaopita nyuma kule wasogee tuongezeke
@chambimagele6726
@chambimagele6726 6 лет назад
Chadomo hawapeeendi 🤣🤣🤣🤣
@saningolaizer892
@saningolaizer892 6 лет назад
hamna kitu kalanga amekataa ubunge aje aombe kura tena hatuumpi
@katarinawilliam9960
@katarinawilliam9960 6 лет назад
Haki ipi?Baada ya miaka mingapi??Wakati ilisemekana aliuwawa kwa njama.Miaka ile ndo angetafuta huko.Siyo leo.HIZI KIKI ZA PIKIPIKI hatuzitaki.
@mfangavosaidi4395
@mfangavosaidi4395 6 лет назад
Usishangae ukisikia kashinda ccm kiboko
@petercosmas4376
@petercosmas4376 6 лет назад
Hii ishu ya kuongea kilugha imesababwa na mkuu wa nchi
@annagabriel9255
@annagabriel9255 6 лет назад
Utashangaa nini sasa kawaida2
@stephanokaaya1881
@stephanokaaya1881 6 лет назад
Hongera zako Mzee JD
@omarynyenyebwe5530
@omarynyenyebwe5530 6 лет назад
Dada kimasahi uricho ongea kama ungekuja kimanzichana mkuranga mimi diwani birayaubishi
@melikiorimunisi6142
@melikiorimunisi6142 6 лет назад
Kumbe unapigania heshima ya baba yako badala ya matatizo ya wananchi kweli huna Sera wewe
@mfangavosaidi4395
@mfangavosaidi4395 6 лет назад
Mbona hakuna watu kabisa
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 6 лет назад
Siyo watu tuu hata miti hakuna
@danfordaugustino3461
@danfordaugustino3461 6 лет назад
Magufuli kakusahau ata aujapewa cheo chochote.
@jaffarimguwa6869
@jaffarimguwa6869 6 лет назад
Danford Augustino we huna AKILI huyo ni mbunge wakuteuliwa
@shamslukumay2627
@shamslukumay2627 6 лет назад
Ha ha ha ha ha h aaaa!!!!! Wee nawe
@babucheenyahega2778
@babucheenyahega2778 6 лет назад
wajinga ndo watakaompigia karanga kura
Далее
SPONGEBOB POWER-UPS IN BRAWL STARS!!!
08:35
Просмотров 18 млн
🛑самое грустное видео
00:10
Просмотров 49 тыс.
SPONGEBOB POWER-UPS IN BRAWL STARS!!!
08:35
Просмотров 18 млн