Тёмный

NAMNA ROHO YA MAUTI INAVYOFUATILIA - PASTOR SUNBELLA KYANDO 

Pastor Sunbella Kyando
Подписаться 36 тыс.
Просмотров 13 тыс.
50% 1

Baada ya Elisha kukutana na mwanamke mshunami na kukaa kwake, akampa Neno kutoka kwa Bwana kuwa mwakani majira kama yale atapakata mwana, ndivyo ilivyokuwa.Baada ya miaka kadha yule mtoto aliumwa kichwa na akafa.Yule mwanamke alimfuata Elisha moja kwa moja baada ya kifo cha mwanae. Ndio maana ni muhimu sana kutunza mahusiano yako na Mungu hata baada ya Yeye kukupa unachokihitaji, kupewa unachohitaji kusikutoe kwake bali ndio kuzidi kukuweka karibu naye.
Hapa baada ya Elisha kwenda na kumfufua yule mtoto alikuwa ameishinda mauti.
Kuna jambo moja kuhusu roho ya mauti,unapoishinda itatafuta tu namna ya kurudi na kulipa..ndio maana ukiishinda isikufanye ukatulia bali uzidi kujiimarisha zaidi kwa Mungu. Ukisoma mistari michache mbele utaona kuwa ile mauti haikumuacha bali walipopika chakula ilikuwemo sufuriani tayari kwa ajili ya kuwamaliza wote.
Elisha akatoa maelekezo kuwa uletwe unga na akaurusha kwenye sufuria na ile mauti ikaondoka kabisa. Ukivuka hatua moja usimuache Mungu maana ni Yeye atakayekuvusha na hatua inayofuata.
#PastorSunbella#Roho#YaMauti

Опубликовано:

 

11 апр 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 10   
@cymone6159
@cymone6159 2 года назад
Amina sana pastor Sanbella ila hongera pia translator
@petermunuo1657
@petermunuo1657 2 года назад
Amen mtumishi barikiwa sana
@maryandason1815
@maryandason1815 2 года назад
Missing you Dad Sanbella 🙏🙏 blessed pastor Sanbella 🙏
@jacomusford9139
@jacomusford9139 2 года назад
Every time em being blessed my teacher sunbella 🙌🙌🙌
@humphreysangito3099
@humphreysangito3099 2 года назад
Maarifa sahihi sanaaaaaa,Barikiwa Mtumishi wa Mungu
@joanelvalentina9956
@joanelvalentina9956 2 года назад
Glory to all might God
@cssamuel4225
@cssamuel4225 2 года назад
Amen. Glory to God
@lucyfamily4747
@lucyfamily4747 2 года назад
Asante
@christophermwaite900
@christophermwaite900 2 года назад
Safiiiiii Ila tu Soma fupi sana
@veronikaaugustino2258
@veronikaaugustino2258 2 года назад
Asante MUNGU kwa maarifa hayaniachi nilivyo AMINA
Далее
ROHO YA UMASIKINI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
30:52
Просмотров 76 тыс.
Это конец... Ютуб закрывают?
01:09
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
Просмотров 37 млн
ROHO YA MAUTI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
17:47
Просмотров 7 тыс.
Pastor Tony Kapola kama kuna kitu hukielewi omba
2:05
ROHO YA MAUTI NA UHARIBIFU (II) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:28:22
KUNA SAUTI NYINGI KWENYE ULIMWENGU WA ROHO
25:49
Просмотров 14 тыс.
MWL. MGISA MTEBE - NGUVU YA MAUTI - DAY 2
1:46:00
Просмотров 6 тыс.