Тёмный

NAMNA YA KUSHUGHULIKIA UCHAWI BILA KUPATA MADHARA - PASTOR SUNBELLA KYANDO 

Reality of Christ Church
Подписаться 75 тыс.
Просмотров 65 тыс.
50% 1

Zaburi 74:20
[20]Ulitafakari agano;
Maana mahali penye giza katika nchi
Pamejaa makao ya ukatili.
Anaongelea eneo(location) katika nchi(ardhi) ambapo mambo yanayotendeka hapo ni ya ukatili,kama mambo hayo yanatendeka ina maana wapo wanaoyatenda hayo na wanakaa juu ya nchi.
Uchawi upo,wachawi wapo..na hawa watu wanaweza kuwa mtaani kwako na usiwajue ila ukabaki unajua kuna vitendo vya uchawi vinavyotendeka mtaani kwako.Hawa watu hufanya kazi kwa kujificha sana na ndio maana mchawi anaweza kukuroga ukashindwa kutembea na asubuhi ndio akawa mtu wa kwanza kuja kukusaidia.
Wakati Mungu anamtuma Musa kwenda kuwatoa waisraeli Misri alimpa pia ishara za kufanya ili Farao aamini kuwa ni Mungu aliyemtuma,na mojawapo ya ishara hizo ni kuangusha fimbo na kugeuka nyoka.Baada ya Musa kwenda kwa Farao akafanya hivyo kama Mungu alivyomuagiza,lakini Farao naye akawaita wachawi na waganga wake nao wakaangusha fimbo zao chini na zikageuka kuwa nyoka.Maandiko yanasema kuwa nyoka wa Musa akawameza wale nyoka wote wa wachawi.Ndani ya nyoka mmoja Mungu aliweka uwezo wa kuwameza nyoka wengi.Ndani yako kuna uwezo ambao Mungu ameuweka,ukiuangalia unaweza ukajiona kuwa una uwezo mdogo bila kujua kuwa kwa uwezo huo unaweza kutenda mambo makubwa sana kuliko fahamu za wanadamu zinavyofikiri.
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our RU-vid: ru-vid.com/show-UC67L...
Also Subscribe Roc worshippers youtube channel: / @rocworshipperz
and Subscribe Pastor Sunbella Kyando RU-vid
/ @pastorsunbellakyando

Опубликовано:

 

28 сен 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 125   
@danstonecool1734
@danstonecool1734 2 года назад
tangu nianze kufuatilia mahubirii from reality church maisha yangu yamebadilika kwa wema sawa sawa na maombiii
@mariathomas4850
@mariathomas4850 2 года назад
Mungu akubariki pastor Sunbella,nami napokea kwa jina la Yesu!
@ezekieljob8679
@ezekieljob8679 2 года назад
Roho mtakatifu nakusihi usinipte Bwana nijaze maarifa yako ndani yangu
@karolshirima8935
@karolshirima8935 2 года назад
Ninachojua Mungu niliyenaye ni mkuu kuliko wachawi....waungane wachawi wote Tanzania au Africa...maadamu ninaye Yesu...ni sisimizi tu hao
@olivermfinanga9387
@olivermfinanga9387 4 месяца назад
@karolshirima8935 nilikuw na ufahamu kam wako Ila kilichonipat n huzun 😂😂upande wa giza wanamaarifa afu pia wanatumia kanuni zle zle ambzo Mungu alizitoa so n laxm uwe smart ili kuweza kudeal nao
@neemashabani5860
@neemashabani5860 Год назад
MUNGU nikonboe kupitia madhabah hii ameen
@AdelaKauki
@AdelaKauki 4 месяца назад
Nabarikiwa ila upande wa mkono wa kushoto hauko vizuri.Naomba maombi.
@El9a
@El9a 2 года назад
Somo tamu halichoshi kusikiliza... Nimebarikiwa na maarifa ya Neno la Mungu🙏
@moseskimaro7430
@moseskimaro7430 2 года назад
Wisdom at peak. You are a blessing to this generation . I desire your Grace Sir
@pastordrmathewmaholla8789
@pastordrmathewmaholla8789 2 года назад
Pastor Sunbella am so proud of you. Roho mtakatifu anakutumia sanaa, Mungu akubariki sanaa napata maarifa yakunivusha sanaa in many circumstances.... Utukufu kwa Bwana Yesu...
@emanuelalwambano621
@emanuelalwambano621 2 года назад
Hbb
@halmakalage4566
@halmakalage4566 2 года назад
Nmejifunza kitu Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu
@farajimgonja8042
@farajimgonja8042 2 года назад
Ubarikiwe sana Mtumishi wa MUNGU nakufuatilia sana Baba una wanafunzi wengi sana online
@truthforthelastgenerationt6920
@truthforthelastgenerationt6920 2 года назад
Amina nafuatilia kutoka Kenya barikiwa mtumishi
@chantalmwipata8820
@chantalmwipata8820 2 года назад
Mimi niko canada 🇨🇦 I am touched up by your messages
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 года назад
Wapi huko mie niko Montreal Quebec
@chantalmwipata8820
@chantalmwipata8820 2 года назад
@@trophywilson7211 ottawa
@edinashaurishauri5223
@edinashaurishauri5223 2 года назад
Barkiwa Sana mtumish kwa fundisho zur
@neemashabani5860
@neemashabani5860 Год назад
Najiungamanisha na madhabah hii
@paulchristian5071
@paulchristian5071 Год назад
Barkiwa saana
@elizabethkivuruga5351
@elizabethkivuruga5351 2 года назад
Pastor naelewa mno!!unakarama ya ualimu endelea kutumika na Ubarikiwe mno!!
@sesiliabahath4806
@sesiliabahath4806 Год назад
Pastor Leo natoa Kwa sadak kwajina layesuu naamin nitafanikiwaa amen
@leytcastle9402
@leytcastle9402 2 года назад
Huna Mungu huna shetani haki nmecheka 🤣🤣 Tunashukuru sana kwa Somo tukutane kesho kanisani
@danstonecool1734
@danstonecool1734 2 года назад
nikumbuke kwa maombi pia uchumi wangu watawachia in jesus name
@ArumeruMlili
@ArumeruMlili 7 месяцев назад
barikiwa sana pastor!!!
@danstonecool1734
@danstonecool1734 2 года назад
tuned from kenya
@annadaffi1273
@annadaffi1273 2 года назад
Yaani baba, sijawahi kuchoka kusikiliza masomo yako🙌 Asante kwa powerful message🙌 Mwenyewezi Mungu azidi kukutunza🙏
@faridajohn9231
@faridajohn9231 2 года назад
Amina BWANA YESU nirehem na kunisaidia
@florencekwamboka9717
@florencekwamboka9717 Год назад
Mungu nikumbuke nami
@patriciakanote5465
@patriciakanote5465 2 года назад
Namtukuza mungu kwa ajili yako mtumishi hakika nimepata kujifunza kitu.
@jaelmudoga2542
@jaelmudoga2542 2 года назад
I'm learning alot through this channel. We bless the name of the Lord.
@maryandason1815
@maryandason1815 2 года назад
Kukupenda Dad Sanbella kyando.tu ndo najuwa...toka nmekujua sijawai choka kukufatilia on line....Niko nakusubir ukienda Dom..tu.nakujaa..wallah!barikiwa Sana pastor Sanbella kyando 🙏🙏
@barmedastv
@barmedastv 2 года назад
Asante sana unafundisha vizuri sana imekuwa destuli silali bila kukusikiliza najifunza
@happynescostat7420
@happynescostat7420 2 года назад
Ni usiku Niko chumbani usingizi imekosa watoto wangu wanajirusha rusha ,siku nyingine nakuta wa kiume amegeuzwa,Asante Sana nimejifunza kitu, muombee na familia yangu,najisikia kuokoka!
@SecretglowbymsBecky
@SecretglowbymsBecky 2 года назад
Muendelezo wa hili somo 🙏🏽 Mungu akubariki pastor Sunbella
@julietmboya3021
@julietmboya3021 2 года назад
May God continue blessing you Mtumishi wa Mungu,
@loycekatorogo828
@loycekatorogo828 2 года назад
Amina
@frankmshana1331
@frankmshana1331 2 года назад
GOD BLESS YOUR
@tupokengwala2027
@tupokengwala2027 2 года назад
Asante Bwana Yesu kwa jinsi unavyomtumia mtumishi wako kutufundisha.
@josephinshana4653
@josephinshana4653 2 года назад
Ninaamin utumishi ulionao,Ni really!!!
@meshackmanofgod8151
@meshackmanofgod8151 2 года назад
Mtumishi Mimi napatikana morogoro nidreva wa mabasi makubwa nakuelewagasanaaaaaa haisee nafunguka kupitiawewe
@sethkambaza5946
@sethkambaza5946 7 месяцев назад
Amen
@breakingnewstz8396
@breakingnewstz8396 3 месяца назад
Amen 🙏🙏
@khadijakisingo7920
@khadijakisingo7920 2 года назад
Nabarikiwa Sana mchungaji
@andrewmukuru6357
@andrewmukuru6357 2 месяца назад
YESU ni BWANA!!!!!
@lucyngoje1546
@lucyngoje1546 2 года назад
Muendelezo wa somo pastor
@mauricekipchemboi9656
@mauricekipchemboi9656 Год назад
waaaa waaa ufunuo wa ajabu ... napenda sana....
@davidndungukihara1589
@davidndungukihara1589 2 года назад
Amen 🙏 I bless the name of the Lord God Almighty. Thank you Lord for the my redeemer and Saviour Jesus Christ and your Holy Spirit one God forever and ever 🙏 Thanks for your servant. Bless and keep him safe in Jesus name 🙏
@rispathequeen
@rispathequeen 2 года назад
Amen 🙏
@irenesilas2614
@irenesilas2614 2 года назад
Shaloom pastor! Mungu aendelee kukutumia...
@neemashabani5860
@neemashabani5860 Год назад
Mtumishi mimi nakukuelewa amen
@beatricemwaura786
@beatricemwaura786 2 года назад
Powerful preaching and teachings , am learning something
@muhanika77
@muhanika77 2 года назад
mtumishi na mimi nataka kuachana na waganga ila naogopa madhara yake ya kushughulikiwa au kuandamwa maisha yangu....nashukuru wa neno hili...
@mutuadickson7120
@mutuadickson7120 4 месяца назад
Usiogope Mungu ni kila kitu kwenye maisha yetu
@eliethaudax9360
@eliethaudax9360 2 года назад
Thank you so much dady🙏🏻Mungu akutunze
@marymasanja1564
@marymasanja1564 2 года назад
Nimebarikiwa na hili somo nakufatilia muendelezo wake mtumishi.
@friedamkiramweni9500
@friedamkiramweni9500 2 года назад
Asante Yesu kwa somo hili. Nijalie kujifunza na uelewa zaidi.
@gilbertwanje
@gilbertwanje 2 года назад
Ameni, nabarikiwa sana sana nikiwa Kenya🇰🇪
@danstonecool1734
@danstonecool1734 2 года назад
Gilbert you will be blesssed
@gilbertwanje
@gilbertwanje 2 года назад
Amen
@christinesavai884
@christinesavai884 2 года назад
Unatumaje sadaka yako kutoka kenya to Tanzania maelezo tafadhali
@joycemaige6838
@joycemaige6838 2 года назад
@@christinesavai884 tumia hiyo namba kuwa Chek whatsapp utapewa maelekezo mpedwa
@joycemaige6838
@joycemaige6838 2 года назад
@@christinesavai884 kutumia hizo namba zao hapo juu kwenye iyo video utapewa njia zote
@elizabethwilliam520
@elizabethwilliam520 2 года назад
Thanks alot Man of God ,it have much blessed teaching
@Miriam84Akizimana
@Miriam84Akizimana 2 года назад
Jesus is lord amen
@rahelmunuo1415
@rahelmunuo1415 2 года назад
Asante sana kwa hili Somo lenye ufunguo mkubwa
@mercynanjala6053
@mercynanjala6053 Год назад
Amen from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@starluzenja9861
@starluzenja9861 2 года назад
Always a blessing to be here
@gemalucas5863
@gemalucas5863 2 года назад
Plz mwendelezo hamjaweka wa hili somo
@anthonymoligi1352
@anthonymoligi1352 2 года назад
Amen Ndugu yangu.
@gaudinamosnchobe4909
@gaudinamosnchobe4909 2 года назад
Nakupenda Sana mtumishi wa mungu
@rehemakilibwa714
@rehemakilibwa714 2 года назад
Asante kwa kuachilia maarifa
@tumpedaudi6681
@tumpedaudi6681 2 года назад
MUNGU AKUBARIKI SANA MTUMISHI
@merinachillonwa6646
@merinachillonwa6646 Год назад
God Bless you
@paulineonkoba5792
@paulineonkoba5792 Год назад
Very insightful
@danielbasila7555
@danielbasila7555 2 года назад
Amen my mentor
@peterngulili7301
@peterngulili7301 Год назад
Haleluya Amina
@zawadielgasper8804
@zawadielgasper8804 9 месяцев назад
Pastrer jamani Mimi namfuatilia mafundisho jamani ni siku TU ya tati ila du mafungiliwa sanaa
@Nahomi_Laurenne
@Nahomi_Laurenne Год назад
Amen Amen 🙏
@Miriam84Akizimana
@Miriam84Akizimana 2 года назад
The bible says my people are perished for the lack of knowledge.
@naomikalinga3042
@naomikalinga3042 2 года назад
Amen amen
@frankmshana1331
@frankmshana1331 2 года назад
Songa mbeleeeee dadyy
@danielbasila7555
@danielbasila7555 2 года назад
Powerful word
@linetayuma202
@linetayuma202 2 года назад
Amen🙏🙏🙏👏👏🇰🇪
@florencekwamboka9717
@florencekwamboka9717 Год назад
Amen 🙏
@godwinmamkwe9825
@godwinmamkwe9825 2 года назад
Mungu anikomboe kupitia Nadhabahu hii. Nilipata usingizi alasiri ya leo jumapili sebuleni,niliota kuwa kuna mtu anakata ndizi kwenye shamba langu hapa nyumbani,mara nikaota nikitoka chubani ili nimchungulie kwa sieiahani.Nilikutana nae,mwanamke amekaa kwenye kigoda uchi mtupu,ana chata ya tatuu ya nyota ubavuni mwake, anachobga kiazi alichonionesha amekichimbua shambani mwangu. Niliona yuko pia na kijana.Nilijitahidi kumtoroka ili nikawaite majirani ila nilipotoka nje kuelekea nje ya boma langu yule kijana alinishtukia ninachotaka kukifanya akaanza kunidhibiti.Alikuwa na nguvu za ajabu kwani nilichukua ubao nikaanza kumpiga nao kwa nguvu kubwa kichwani hadi nikamjeruhi ila aliendelea kunibana hasa vidole vya mkono mmoja akaving"ata kama vile anavinyonya damu hadi nikaishiwa nguvu. Nilishtuka usingizini nikaanza kutafakari hadi sasa namwomba Mungu anilinde na kunipatia ushindi dhidi ya nguvu hizo. Nimekuwa natafakari hadi sasa sijaweza kuhisi atakuwa ni nani.Jirani au ni kutoka wapi. Naombeni maombi yenu watumishi wa Mungu na mlioko kwenye hii huduma.
@olgerahendera9807
@olgerahendera9807 2 года назад
Always blessed when hearing your teachings ,be blessed 🙏🙏🙏
@chihiyofesto6286
@chihiyofesto6286 2 года назад
Ameni babaa
@georgebugangazpoa4975
@georgebugangazpoa4975 2 года назад
AMEN
@hwenys
@hwenys Год назад
JESUS REIGNS, ASANTE YESU
@suzansuzzan5344
@suzansuzzan5344 2 года назад
🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️
@jeanbaptiste5512
@jeanbaptiste5512 2 года назад
Mweshimiwa Mchungaji MUNGU Akurefushie siku za kuishi ukiendelea na kazi yake ipasavyo. Hakika nimepata musada kupitia somo hili. Lakini baba tafadhali nipe fursa tuzungumze baba tafadhali. Nilisha tuma ujumbe kwa ile namba lakini naona bado tafadhali nipokee.
@jackiemaggy2484
@jackiemaggy2484 Год назад
Ameeeeeeeeeen
@gilbertbada8385
@gilbertbada8385 2 года назад
Powerful
@florencendatila9183
@florencendatila9183 2 года назад
👏
@andrewmwasomola6161
@andrewmwasomola6161 2 года назад
Natamani kujua mahali kanisa. Hili lipo
@rosecruiz4348
@rosecruiz4348 2 года назад
Ameeeen
@tumainimutatembwa4343
@tumainimutatembwa4343 2 года назад
Nimebarikiwa sana Mtumishi Amina sana
@dianaobadia6107
@dianaobadia6107 2 года назад
Amen nakufuatilia Baba
@issackwillium7246
@issackwillium7246 2 года назад
Dear Man of God, Mm kama wengine ni mfuatiliaji, na mafundisho haya yananisaidia sana, natamani siku moja nipate nafasi ya kuabudu nanyi. RU-vid humu tupo pamoja. Wekeni humu kwa ajili yetu tuliombali. Mungu awabariki na kuwatunza Amina. Rgrds Isaac Mathayo
@jeriahbarongo4219
@jeriahbarongo4219 2 года назад
Mamangu siku sote huniambia mweshimu tena mwogope mchawi nimeamini maana nawajua watesi wangu hao wachawi ni watu wangu wa karibu sana ombi langu nikujazwa na roho mtakatifu ili niweze kuyashinda haya majaribu
@heleminaamani5810
@heleminaamani5810 2 года назад
Naomba huduma
@lucyshedrack189
@lucyshedrack189 Год назад
Nimejifunza kitu hapa Mungu akutunze mtumishi
@gretagonga2966
@gretagonga2966 2 года назад
Natafakari kitu Kwanini Mungu hakumponya Mussa kigugumizi hadi amtuma Aruni aende nae?
@mutegiezekiel3827
@mutegiezekiel3827 2 года назад
Pastor umeogelelea kuusu kufukuzwa na kitu dotoni alafu mwisho unapaa juu....halo sijaelewa hiyo do to pls
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 года назад
Mchungaji ameshiba hasa
@pastordrmathewmaholla8789
@pastordrmathewmaholla8789 2 года назад
Samahan mwendelezo wa hili somo uko wap..
@realityofchristchurch
@realityofchristchurch 2 года назад
Somo litaendelea sehemu ya pili, likiwa tayari tutaliweka RU-vid.Karibu sana.
@healingsschool4630
@healingsschool4630 2 года назад
ECCLESIASTES 10:19....but money answerth all things All traps failed to catch Jesus Christ but when Chief of Priests gave 30 silver coins (money) to Judas they succeed (Mathew 16:15) Abraham the Father of Faith when he was in lack and want, this means he had no money for buying food (when there is famine we can buy from far countries) his wife Sarah was taken because she told kings Abraham is her brother in order to get favour Genesis: 12:16, 20:2, 26:6-11. A rich man got miracle because he gave to people and built a synagogue Luke 7:5. Next an altar of blessings built by Abraham Genesis 12, Galatians 3:13......In the mighty Name of Jesus Christ....
@alisalimnzagu4091
@alisalimnzagu4091 2 года назад
Urongo mtupu huo Biashara hiyo mchangieni azidi kutajirika.
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 2 года назад
Ali Salim wewe nimchoyo Kama mwanasiasa waccm!!!!!
@husseinchea5524
@husseinchea5524 2 года назад
Kweli hujielewi wewe 🤣
@christermlewa8471
@christermlewa8471 9 месяцев назад
Utakuwa mchawi mkubwa wewe
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 года назад
Ni semina au mahubiri??mbona mtumishi hatumii Biblia anatumia Tablet jamani??
@dastanmboera8445
@dastanmboera8445 2 года назад
Elewa technolojia hiyo Bibla imewekwa humo kwenye tablet ndio Ile hajakosea
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 года назад
@@dastanmboera8445 hee kweli wewe umetekwa na shetani,aliyekwambia Biblia Takatifu imekosewa ni nani?naona unamsindikiza Ant Christo wewe,pole saana,na Mzungu hatumii tablet madhabahuni sembuse black huyo
@GloriousRestorationTV
@GloriousRestorationTV 2 года назад
@@trophywilson7211 Kwani mzungu yeye si mtu???? Unaongea nn sasa ww
@happynesssanga9729
@happynesssanga9729 2 года назад
Napend San mafndisho yako mtumishi wa MUNGU
@christermlewa8471
@christermlewa8471 9 месяцев назад
Mchawi mwingine huyu,sisi tunaamini hiyo biblia ipo kwenye tablet Sasa hivi Dunia ipo kiganjani tembelea na biblia Yako kama huna Imani huna tu
@joycesanga6951
@joycesanga6951 2 года назад
Amina
@gwimilajames1167
@gwimilajames1167 2 года назад
Amen
@mhamdahmd7758
@mhamdahmd7758 2 года назад
Amen
@serahrobath7685
@serahrobath7685 2 года назад
Amina
@samuelpmathew4266
@samuelpmathew4266 2 года назад
Amen
Далее
KWANINI HAVITOKEI KWA WAKATI (I) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:03:05
кукинг с Даниилом 🥸
01:00
Просмотров 998 тыс.
IQ Level: 10000
00:10
Просмотров 4,4 млн
ROHO YA UMASIKINI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
30:52
Просмотров 76 тыс.
SADAKA NA FUNGU LA KUMI
48:56
Просмотров 19 тыс.
JUA SABABU YA UGUMU UNAOPITIA - Sunbella Kyando
40:17
MWISHO WA UCHAWI BY PASTOR SUNBELLA KYANDO
56:45
Просмотров 6 тыс.
ROHO ZINAZOZUIA ONGEZEKO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:12:39
VITA  KWA WALIOBEBA MAONO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
23:59