asalam alaikum, shehe wangu Allah akuhifadhi, kunakitu umekosea kidogo, kufunga mikono sio kufunga swala, ndio maana kuna dua baada ya kufunga mikono inayoitwa "DUAAUL--ISTIFTAHI" bali ukimaliza kutoa salamu mwisho kabisa, hapo ndio umefunga sala
na je mm nko kwa madhhabu ya shafi na pia nkaenda p ahali nkapambana na imam ambaye madhhabu ya hanafi na anaswalisha witri tuseme je nkimfuata itakuwa sawa