Alhamdulillah shekhe nashkuru ...maana Allah amenijibu mtoto wang alikua anasumbuliwa sana nasikio huvumba asubuhi na kupasuka jioni..lkn niliifanya hiyo nakulia sana ..mpaka sasa nashkur nimzima wa afya
Sheikh Othman nakupenda kwa Ajili Ya Allah😊.... Ma shaa Allah Kila ninaposkiza darsa zako sikosi kupata faidaaa😊 Alhamdulilah ❤ Allah azidi kukupa umry na Afyaa Tuzidi kunufaika na ww 😢
Nimefuatilia video zako sana nakuzifanyia kazi huezi amini mafanikio ambayo nimepata wallahy alhamdulillah Allah akuhifadhi sana akupe mwisho mwema Allah akujalie uwe miongoni mwawatakao pata pepo yake sina malipo zaidi ya kukuombea dua 🤲
Alhamdulillah kwa darsa zako hii clip kwanza niliiona tiktok na leo tena nmeion inshallah ttafanyia kaz haya allah akuweke tuzid kunufaika nawe ameen thumma ameen