Тёмный

SHK OTHMAN MAALIM AELEZEA HISTORIA YAKE YA ELIMU TOKEA AKIWA NA MIAKA 10 PAMOJA NA THAMANI YA MTUME 

Saimu gwao Online tv
Подписаться 231 тыс.
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Saimu Gwao Online Tv ni chanell inayojihusisha sana na vipindi vya dini vyenye mafunzo kwa jamii na matukio tofauti yenye manufaa Tunapatikana Masjid Mtoro Jijini Dar Es salaam. Kwa mawasiliano zaidi 0713471090

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 53   
@silvergibson2656
@silvergibson2656 9 месяцев назад
Masha Allah sheikh wetu,nakupenda sana...Allah Akupe kheri......
@AndulHida-hs5py
@AndulHida-hs5py 9 месяцев назад
Mash Allah tabarak Allah feeq, Jazzak Allah kheri shekhe wetu Mola akupe elimu nyingi Zaid umri na afya ilituendeleekunufaika inshaallah.
@neemaahmada2619
@neemaahmada2619 8 месяцев назад
Masha Allah mashekhe WETU ALLAH awlipe kheri inshallah
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 8 месяцев назад
Mashallah, Jazakallahu kher shekhe Othman Maalim Allah akulipe kher inshallah,, Nakupenda kwaajili ya Allah shekhe Othman Maalim 🙏
@hafswanaaman2911
@hafswanaaman2911 8 месяцев назад
Mashaallah mashaallah mungu akupe kheri akupe umri twawili
@mohamedamiri4597
@mohamedamiri4597 9 месяцев назад
Mashaallah mazazi ya mtumi swalla Allahu alayhi wasallam yapingwa ajabu na wanaojiita waislamu lakushangaza sana Jambo hilo
@kaidiSaid-ot9nl
@kaidiSaid-ot9nl 9 месяцев назад
Allah akupe umr .kher na maghufira ukiigizo chema huhangaiki na ria Bali kuzindua
@kaidiSaid-ot9nl
@kaidiSaid-ot9nl 8 месяцев назад
Wazungu kuaminika maka ni history inaetafsiri mapinduzi ya uislam kutolewa hijazi na kuingia tahidi tatu
@hawasafiki522
@hawasafiki522 9 месяцев назад
Allah awadumishe umoja wenu na elimu zenu zizidi kutunufaisha .
@a.856
@a.856 9 месяцев назад
Jazakallah khayran
@sallyandmozachannelchannel37
@sallyandmozachannelchannel37 9 месяцев назад
MaashaAllah
@ummusulaish5586
@ummusulaish5586 9 месяцев назад
JazakaLlahu kher
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh 9 месяцев назад
Mashallwha shekhe
@AlhajiMswaki-de3kb
@AlhajiMswaki-de3kb 8 месяцев назад
Wallaah shekh Othman nishekh wakuigwa
@rizikibakari3598
@rizikibakari3598 9 месяцев назад
Mashallah mashallah 🙏
@jaliangaluma2826
@jaliangaluma2826 9 месяцев назад
Maaashaalah
@mubirirashidi
@mubirirashidi 9 месяцев назад
Mashaaallah ❤️❤️❤️
@hawasafiki522
@hawasafiki522 9 месяцев назад
Mashallah kuna mazingatio makubwa hapa ila kwa watu wenye akili.
@AhmadMfaume-te8xn
@AhmadMfaume-te8xn 9 месяцев назад
Mashaallah,,,,
@Ahmadasshii-raazy8888
@Ahmadasshii-raazy8888 9 месяцев назад
رضي الله عن اساتذتنا وشيوخنا
@jumamohamed4808
@jumamohamed4808 9 месяцев назад
Mashaallah
@selemankishema5780
@selemankishema5780 9 месяцев назад
Mnajua masheikh kuna wakati mnajichanganya saana sasa sheikh othman wewe mbona haunaga msimano yaani wewe multipurpose mungu atuongoe jamaa do!!!
@ayoubrashid8392
@ayoubrashid8392 9 месяцев назад
Hivo kuwa yeye hana msimamo .....hiyo level hiyo nadhan utakufa huifiki
@abubakarmustwafa-lg8fe
@abubakarmustwafa-lg8fe 9 месяцев назад
Daaaaah,hivi watu wengine Mbona mnatafta madhambi kwa nguvu?!!Ebu kuweni na inswaf,mtakufa vibaya kwa hizo tabia na mambo ya hovyo...Kama mkeo kakushinda kumtawala msmamo huna,unaulizia msmamo kwa mtu aliyekuzidi sabini elfu Marat?Mwenzio hadi mkeo anamkubali,umebaki wewe tuuu😄😄😄hiyo inaonyesha ni jinsi Gani hufai kwa nafsi yako na kwa wengine pia hufai.Acheni husda,mtakufa Nazo hizo
@kaidiSaid-ot9nl
@kaidiSaid-ot9nl 9 месяцев назад
Msimamo UPI?
@abouswaleh7375
@abouswaleh7375 8 месяцев назад
Amiiiiiiin
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 9 месяцев назад
Sijaona historia yyte ya kusoma hapa zaid tu alipokuw ana miaka 10 mwaka 83. Kisha akakaririshwa Nyimbo za kuimba Na Ametuimbia hapa. Duh!sas historia ipo wap ya Kusoma kwake.
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 8 месяцев назад
Ww ni hasidi mungu atakushinda ila ww usijifananishe na sheikh othman malim amelimisha wengi
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 8 месяцев назад
@@saba-gv3mj ametuelimisha kwa Visa vya urongo.Hyo sio Elimu. Haya niletee Darsa zake japo kitabu Bulughul maraam.mlango wa Twahara!????
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 8 месяцев назад
@user-qe8xp6ii1u ww zako za ukweli ni zipi huyo si kassim mafuta wakutaka sifa ki historia ametuilimisha ww wataka kusema visa vya mtume s a w na maswahaba ni za urongo wacha chuki na uhasidi ww wahabi toa ww visa zako za ukweli siku yakiyama utajikuta mwenye hasara mungu akuongoze ww na sisi heshimu mashekhe utajuta na hao mashekhe zenu wanao wabandikiza chuki
@abouswaleh7375
@abouswaleh7375 8 месяцев назад
​@@أبوفيصل-د3شHAWAWEZI KUKUELEWA HAWA AKHY ISIPOKUWA MTU ALIYEKAA CHINI AKAISOMA DINI YAKE NA AKAIFAHAMU KAMA WALIVYOIFAHAMU MTUME WETU NA SWAHABA ZAKE. MWENYEZI MUNGU ATUTHIBITISHE SISI NA WAO KATIKA ELIMU SAHIHI YA "AMESEMA ALLAH NA AMESEMA MTUME, WAMESEMA MASWAHABA" NA HAPO NDIPO PALIPO NA ELIMU LAKINI WENGI KATIKA WATU HAWAFAHAMU HILO NA NDIYO MAANA UTAKUTA WANASIFIA HATA WENYE KUFUNZA VISA AMBAVYO HAVIJATHUBUTU.
@tanzaniaonmzamiloon8627
@tanzaniaonmzamiloon8627 8 месяцев назад
​@@أبوفيصل-د3ش wew nikenge kwasababu hujui unachokisema unafuata mukumbo andika mawaidha ya Othman maalim utayapata yote
@mishaalabdallah001
@mishaalabdallah001 8 месяцев назад
Hahahaha vituko hivi,sasa Tarikh ya kusoma kwake iko wapi hapa?Yaani aliacha raudhwa Markaz Nur ama n vp?...jamani musiandike vichwa ili kuvutiya watu waview,mcheni Allwah.
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 9 месяцев назад
Maulid hayana shaka Kwamba ni haramu Vyenginevyo Tupe dalili Hatutaki maneno
@mafiatv5479
@mafiatv5479 9 месяцев назад
Acha usenge mbwa wewe, haramu babako na mamako walokuzaa
@harunaramadhanimzule
@harunaramadhanimzule 9 месяцев назад
Jaman achen matus huku
@husseinsaid8021
@husseinsaid8021 9 месяцев назад
Leta Dalili toka kwenye Quran na Sunna
@mafiatv5479
@mafiatv5479 9 месяцев назад
@imsimbe hana dalili aitoe wapi? kubwa ataleta kullu bidaatun dhwalala, na hy hadithi yenyewe hawajaielewa vzr
@mirembesumayah
@mirembesumayah 9 месяцев назад
​@@mafiatv5479kaka huo ndo uisilamu kweli ? kama hulidhiki na hayo omba dalili ila sio matusi jamani tujifunze kuwaheshimu masheikh wetu hata kma wamekosea tuwakosoe kiheshima IshaAllah
@abubakarbakari7042
@abubakarbakari7042 9 месяцев назад
Masha Allah
@adamkilembwe.
@adamkilembwe. 9 месяцев назад
ماشاء الله
Далее
Grand Final | IEM RIO 2024 | BO5 | КРNВОЙ ЭФИР
6:35:24
083 OTHMAN MAALIM   EID EL HAJJ
43:28
Просмотров 2,8 тыс.
HISTORIA YA KANISA ALOLELEWA SH OTHMAN NA KUSALI
7:57
Просмотров 3,9 тыс.
MAISHA NA HISTORIA YA SHEIKH OTHMAN MAALIM
45:49
Просмотров 89 тыс.
Mambo ma 8 muhimu maishani
27:47
Просмотров 46 тыс.