Mbwela mbwela mbwela ni kk mmoja fundi sana nitafurahi siku nikija nikiona amepokea tunzo ya muugizaji Bora wa kiume anajituma sana huyu kk anajua mpk anajua tena ❤❤❤❤❤❤
Nilicho jifunza wanaume wengi wanapo toa msaada kwa wanawake wanitaji rushwa ya ngona rakini hapa imekuwa tofauti basi Hiro ni fundisho kwa wanaume wapumbavu respect sana kwa jeb
Bongo movie imerudi kiukwel nimekubali san kazi yako mzee baba kitambo sana nakufatilia muda sana toka unafanya kazi na madebe utafika mbali sana endelea kuwa mbunifu usikate tamaa man tuko pmj san dua👊💰📸🤝👍💪💪💪🙏