Тёмный

NAMTAKA BABA YANGU | FINAL| 

BHAILAM
Подписаться 101 тыс.
Просмотров 45 тыс.
50% 1

#Bhailam#Naomy
⭐ Disclaimer
This Content is Totally made by us, Don't use sound or Reupload otherwise we are not Responsible for your Channel!
Subscribe hapa : / @bhailamkhan
Subscribe to Comedy Plus: / @comedyplustz
Like Ukurasa wetu wa Facebook : profile.php?...

Кино

Опубликовано:

 

14 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 195   
@josephdaud-rh8xq
@josephdaud-rh8xq Месяц назад
Kazi nzur bhaila tupo pamoja tunapenda kaz zako ila tunaomba uwe unatuwaishia
@stellahwafula-tn3gd
@stellahwafula-tn3gd Месяц назад
Much love from Kenya I need some likes
@WILLY_SKY1
@WILLY_SKY1 Месяц назад
Unataka uzipeleke bungoma ama 😂😆😆 Sina ubaya
@Fabromi4be
@Fabromi4be Месяц назад
Hhh
@MichaelMiker1
@MichaelMiker1 Месяц назад
Akika hiyo cinema kuazia up to end mzee bhailam umefikiria sana God be with you every minute with your family member of that video keep it up brother your talent
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Месяц назад
Mchezo mzuri, lakini khairati mzuri Zaidi mashallah. Vipi bhailam tuje kaleta posa mtaturuhusu kutoka omn .
@hassankalu540
@hassankalu540 Месяц назад
Muachne mtoto asome,jmn
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Месяц назад
@@hassankalu540 basi wamsitiri Zaidi maana mh. Kwani anamiaka mingapi ?. Nitamtunza🫣. Hilo Ni totoz sio mtoto😁.
@hassankalu540
@hassankalu540 Месяц назад
@@hilalkhalfan1452 miaka 30 inakuhusu bro ohooooo
@samwelimoshi5614
@samwelimoshi5614 Месяц назад
Waislam bhna kupenda vitotooo😅
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Месяц назад
@@samwelimoshi5614 waislamu tunaoa, nyie mnawabaka kesi zenu kibao polisi. Sasa Nani Bora?. Pili. Mtoto hazai, weye unamuona mtoto huyo umemuona kuwa hajavunja ungo?. Weye unakaririshwa na wazungu TU.
@MICKEYBOYHB
@MICKEYBOYHB Месяц назад
KAMA UNAMWAMINI BHAILAM TWENDE KAZI❤
@eggysulle7988
@eggysulle7988 Месяц назад
Na bubu
@ggfwtgg1652
@ggfwtgg1652 Месяц назад
Nakukubali sana hairati na shepu yako mjini 😅😅😅
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Месяц назад
Khairati wangu usitake kuniibia bosi wangu, nishamuwahi😁
@nasraemmanuel
@nasraemmanuel Месяц назад
Kazi nzuri sana bro na waigizaji wote mmeweza tuko pamoja
@kelvinachoki289
@kelvinachoki289 Месяц назад
Napenda sana kufwatilia❤❤ much love from kenya❤❤
@TANZANIA01TANZANIA01
@TANZANIA01TANZANIA01 Месяц назад
hongereni sana kazi zuri mno
@user-ef1zl5gi1k
@user-ef1zl5gi1k Месяц назад
Ailat itakuwa psi badae mashallah mzur kafungaaha kama Naomi nyuma😂😂❤❤❤
@user-zj6uz6dt9j
@user-zj6uz6dt9j Месяц назад
Umeish vbay yan , htujaon htma y mzee bhailam n wenzake
@Djroydaniel
@Djroydaniel 28 дней назад
Mi nilizani Île Namtaka Baba yangu yazamani, kumbe Mme irudiya tena 💥💥
@nancyg8664
@nancyg8664 Месяц назад
aisee kama huo ndo mwisho kabisa kabisa, basi umefeli sana
@maryammsang202
@maryammsang202 Месяц назад
Hii Bado haijaisha Mana hatajajua hatima ya bhailam na shangaz
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 Месяц назад
kabisa,wamefeli kuimalizia
@helinasubila987
@helinasubila987 Месяц назад
Poa lakini mwiso wenu sio poa mujalibu kumalisia juu tulikua tunagoja kubuka kwa wasawi sasa vipi hapo mimi sio musani lakini mwiso ue tamu kuliko mwaso from kenya❤
@WinifridaKisinga
@WinifridaKisinga Месяц назад
Nasir bailam hujawahi tuangusha brother but haijaisha vizuri.
@nzegeatv6355
@nzegeatv6355 Месяц назад
Wabongo mnazingua sana hamjui kumaliza muv
@JojoJose-tp7pj
@JojoJose-tp7pj Месяц назад
Yani mimwenyewe nashangaa kweli mbon movies iishe hivo kweli 😢😢😢 duuh au tusubili season 2
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Месяц назад
@@JojoJose-tp7pj MIE KAMA HAYUPO KHAIRATI WALA SITIZAMI HIO MOVIE. Hawajui kumalizia wakati mwisho ndio kwenye uhondo. Bahati Mie sitizami mchezo, khairati TU😁😁😁
@tuombemamila1364
@tuombemamila1364 Месяц назад
Nguvu za mwenyezi Mungu zipo juu ya nguvu za giza Amina
@zainaabdallah809
@zainaabdallah809 Месяц назад
Asante sana bhailam kazi mzuri Big up aya tusalimiane team WiFi team kupambana nawapenda mno 🥰 kazi kazi 🇴🇲🇴🇲🇴🇲
@HAWAMAULIDI-zl5xd
@HAWAMAULIDI-zl5xd Месяц назад
Ila khairat anakaa kama binti yake bhailam wametaka kufanana
@josephdaud-rh8xq
@josephdaud-rh8xq Месяц назад
Tulio kuwa mwanza mpka mwisho wa flam yetu .hongeren team bhaila
@23Maryamu
@23Maryamu Месяц назад
Kazi nzuli ❤Alhmdoulillah tumemaliza salaam🤲🤲
@user-vo7yb6wp1m
@user-vo7yb6wp1m Месяц назад
Hii ni nzuri sana aaishe🎉🎉❤
@user-bi9pl4eu2o
@user-bi9pl4eu2o Месяц назад
Brilliant kazi nzuri bro bhailam Naomi kheirat big up sana guys
@user-tp4vd9mh2b
@user-tp4vd9mh2b Месяц назад
😂 😂 Nimefurahi kuona mzee uzuri anaimba nyimbo za kwetu
@arifyussuf7900
@arifyussuf7900 Месяц назад
Umezingua ndio imesha vip
@seifhamood8993
@seifhamood8993 Месяц назад
Mmezingua sana move imeisha kishamba sana
@Kamoste
@Kamoste Месяц назад
Oya team kilifi kikambala ngoloko msumarini mferejini kibaoni mnarani pitieni❤❤❤
@ramadhanmbwana2603
@ramadhanmbwana2603 Месяц назад
Tuko fully
@saumbliz8983
@saumbliz8983 Месяц назад
Team mavueni
@user-zp4zc2ln2n
@user-zp4zc2ln2n Месяц назад
Ndo uzur umeyatimba😂
@condeboy257tv9
@condeboy257tv9 Месяц назад
Hapa Umezinguwa xana Mzee Bhailam.
@hawamohammed9740
@hawamohammed9740 Месяц назад
Move mzur sana lkn imeishia vibaya jee shangazi na bhailam wameishia vipi na khayrat wangu kamuumbuaje shangazi imeishia vibaya move khayrat nakupenda mama ❤❤❤
@isayabryson8857
@isayabryson8857 Месяц назад
Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Ila sija penda kabisa neno FAINAL
@yasrynyawita5540
@yasrynyawita5540 Месяц назад
Umaliziaji kama wa jobe Umamaliza muvi vibaya kaka hatujapenda
@evarlneambiyo881
@evarlneambiyo881 Месяц назад
Jamani watu tunalala usiku na watu wanaroga ❤❤❤❤❤
@mhinajerome5964
@mhinajerome5964 Месяц назад
Sasa ndio Imeishaje hivyo bwana bhailam
@ransbeatz2626
@ransbeatz2626 Месяц назад
Nampenda Sana yule binti mdogo
@bakarimakame4694
@bakarimakame4694 Месяц назад
Bailam ww ni noma
@shadyarif653
@shadyarif653 Месяц назад
Mmemaliza vyenye haifai
@teddysananga
@teddysananga Месяц назад
Hivi ni macho yangu au bas🙆
@user-wv4ct2ip6l
@user-wv4ct2ip6l Месяц назад
Imeisha vibaya
@sofiakinyia2734
@sofiakinyia2734 Месяц назад
Hongereni sana🎉🎉🎉🎉❤❤😂
@user-ce1vh4rl5c
@user-ce1vh4rl5c Месяц назад
Sijaelewa imeishaje ishaje 😢😢😢😢😢😢
@jastinedaudi-qi9vr
@jastinedaudi-qi9vr Месяц назад
We bhailam mseng xn xa nd imeishaj hvo at ieleweki
@sifamalingi3014
@sifamalingi3014 Месяц назад
Huu mwisho sio mzuri hta hamjawapa adhabu hao wachawi
@SadaNusra-dt5tx
@SadaNusra-dt5tx Месяц назад
Sinema nzuri kweli
@FrancoisRamazani-nx2se
@FrancoisRamazani-nx2se Месяц назад
Good morning beautiful 😍❤️
@irenecherotich4975
@irenecherotich4975 Месяц назад
Haikuisha vizuri lazima wachawi waumbuke😂
@HAWAMAULIDI-zl5xd
@HAWAMAULIDI-zl5xd Месяц назад
Ila jamani haikupaswa iishe hivi ao labda mutwambie kama kuna season nyingine
@evelnjuma1834
@evelnjuma1834 Месяц назад
Nzuri sana ❤🇹🇿
@SamsonCharo-pn3dy
@SamsonCharo-pn3dy Месяц назад
Much love from 🇰🇪... I love your work
@user-vw9yx1zg9q
@user-vw9yx1zg9q Месяц назад
Congratulation kwa movie zenu nzuri
@user-pm1nd8nw7v
@user-pm1nd8nw7v Месяц назад
Sijapenda jinsi mlivyo imalizia ata kidogo
@nurafedrick378
@nurafedrick378 Месяц назад
Naommy🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️mm pia
@user-qp4sm2ko1y
@user-qp4sm2ko1y Месяц назад
Hailat anajicho nzuri jmn ningekuw mwanamme daah😂😂❤😊
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Месяц назад
Umeona EEEH, sio jicho TU mtoto Kama kajiumba😍. Akikuelekea asikuelekee Ni mzuri tu. Hata kama mchawi simuogopi hivyo hivyo ntadima nae😁. Kakuzidi kidogo nifanyie mipango
@user-xu5rh6ub5j
@user-xu5rh6ub5j Месяц назад
Naipenda sana
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 Месяц назад
Hailath is the man of the match , nampenda huyu binti
@MushuRwega-qp4zm
@MushuRwega-qp4zm Месяц назад
Mmeimaliza kiboya sana
@yasrynyawita5540
@yasrynyawita5540 Месяц назад
Ivi bhailam na upro wako wote Unamalizaje muvi namna hii Aaah umecheza kama Yikpe
@salumuernest6042
@salumuernest6042 29 дней назад
Mwicho wake mubaya sana kwani hatukuona hatia ya bhailam
@user-pl1qr3xr2z
@user-pl1qr3xr2z 28 дней назад
Wasenge nyie hatujaona mwisho WA bailam na vibaraka wake mmemaliza hovyo😭😭😭😭😭
@mchambikisupi9204
@mchambikisupi9204 Месяц назад
Jamani nampenda khairati
@Yangadamu
@Yangadamu Месяц назад
Bailamu katika kitu ulichotuangusha ni kumaliza
@janethfelix9411
@janethfelix9411 Месяц назад
Good work❤
@bethermassawe929
@bethermassawe929 Месяц назад
imeisha vibaya bhna
@stellamwakyusa7929
@stellamwakyusa7929 28 дней назад
Nampenda sana huyu motto mm
@ChudComputerservices
@ChudComputerservices Месяц назад
mov nzur sana ila umalizaji ndio binafsi sijaelewa
@innocenaAline
@innocenaAline Месяц назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉l
@finegatwiri2597
@finegatwiri2597 Месяц назад
Kuna kuendelea kweli mbona imenonga jamani na mnasema mwisho😢
@user-hb7ct9rb2n
@user-hb7ct9rb2n Месяц назад
Imeishaje ishaje sasa😢😢
@EzraBoboloy
@EzraBoboloy Месяц назад
Ndo uzuri Sasa izo nyama zenye chumvi zingine ziko na kasukari waziria Nini ?? Ndo uzuri nikuchane 😂😂😂😂😂❤❤🇧🇮🇧🇮
@barnabasmarsel3876
@barnabasmarsel3876 Месяц назад
Mwamanye vandu😂😂' ndo uzuli'
@sideboy-ey6iv
@sideboy-ey6iv Месяц назад
Kaka mchezo mzuri ila kwa staili ulio marizia sio mzuri yahn ata shangazi yake ajapokea kibano wala ww amuja pambana mpka moja wenu akashindwa uwo kama ushauli t kaka kazi mzuri ila umeimariza mapema
@fatuma6011
@fatuma6011 Месяц назад
Mbn imeisha ivo 😮😮😮
@nurujainamwile1618
@nurujainamwile1618 Месяц назад
Imeisha vibya mnooo😢😢😢😢😢
@mchambikisupi9204
@mchambikisupi9204 Месяц назад
Khairat nampenda ndugu
@KhidayaNampundu-tx1ie
@KhidayaNampundu-tx1ie Месяц назад
Haijaisha utamu wachawi hawajaumbuka sijapenda😢
@UZURIPLUS
@UZURIPLUS Месяц назад
Airati uko mtupu ndo uzuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@mik-film
@mik-film Месяц назад
Wapi kabisa muna zinguwa sana, amujuwi kumalizia movie, na mukumbuka stven kanumba kabisa.
@Sadiq-lu8xs
@Sadiq-lu8xs Месяц назад
Bailam mwisho umetuzengua bana sasa inafaa ilikua tuone baba kurudi pia wachawi wote wapate mwisho wenye uchungu sasa hapo nalipo yadua nikuregesha alomchukua alafu wachawi waendeke na uchawi wao hiyo dua ilikua itoe wachawi wote nakilio kma vile wajihisi wanachwapwa bana yani wawe namwisho wauchungu
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Месяц назад
NILITAKA KHAIRATI AMPIGE MZINGA WA KICHAWI BHAILAM ASITEMBEE 😂, APATE ADABU YAKE. KISHA UYO BABA HAJAOKOLEWA SIJUI KISHAMLA BHAILAM 😂😂😂
@user-vc6so5cb2z
@user-vc6so5cb2z Месяц назад
Mmemaliza kiuni kazi yenu
@JumaaKombo-fm1fz
@JumaaKombo-fm1fz Месяц назад
ndo uzuri 😁😁😁😁😁😁😁😁
@meshack3266
@meshack3266 Месяц назад
Sa ndo imeisha je ivyo imeboa sana aseee ata uelewi adui zake walipatwa na nn
@Morganpromoter
@Morganpromoter Месяц назад
WA kwanza mimi nipeni like zangu
@PoliceNdizeye-rt2ml
@PoliceNdizeye-rt2ml Месяц назад
Msizani imeisha hii itakuja sehemu yapili
@zulfamangapi1219
@zulfamangapi1219 Месяц назад
Mmemaliz vibay wachawi atujaona kuumbuk
@DaudAshery-ie2pf
@DaudAshery-ie2pf Месяц назад
Mhhhh kumbe hailat ndo alivyo na tako hivyo
@user-qz2if6nc9j
@user-qz2if6nc9j Месяц назад
Umemaliza Vibaya
@aishajuma6706
@aishajuma6706 Месяц назад
Aaah.mbona.tena
@ashahassanhiribae1527
@ashahassanhiribae1527 Месяц назад
Mwamane vandu, ndio uzuli nikuchane😂
@JojoJose-tp7pj
@JojoJose-tp7pj Месяц назад
Mmh imeishaje jamani hivo au kuna season 2😢mbona hatujawaona wabaya wake na shangazi yake wameumbuka
@user-lp3ho7le1j
@user-lp3ho7le1j Месяц назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@khadijahali6856
@khadijahali6856 Месяц назад
Eti mwisho tena jamani sasa Bhailam na shangazi vp mbona mnatueka kwenye njia panda ama itaendelea season 2
@elizabethmahenzo7220
@elizabethmahenzo7220 Месяц назад
❤❤❤🎉
@user-ts1sp7ei6b
@user-ts1sp7ei6b Месяц назад
❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@Msomal47
@Msomal47 Месяц назад
Nice
@AyishaOman-cw4xs
@AyishaOman-cw4xs Месяц назад
❤❤❤❤
@user-qt8sl3sw9w
@user-qt8sl3sw9w Месяц назад
😅😅😅
@everlinekenga437
@everlinekenga437 Месяц назад
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@sadamkirindo
@sadamkirindo Месяц назад
Namba Mojave mimi like zangu
@minabuelysee8
@minabuelysee8 Месяц назад
😂😂😂❤
@Monia.2
@Monia.2 Месяц назад
❤❤❤❤❤
Далее
UMWAMPOSA
18:41
Просмотров 50 тыс.
GUBU LA MAWIFI_Ep_01
20:28
Просмотров 146 тыс.
NDOTO YANGU. EP1
16:38
Просмотров 3 тыс.
UDUDU NI MWINGI
12:39
Просмотров 84 тыс.
MALAYA MGENI 💞 Love Story | DONTA TV
22:35
Просмотров 253 тыс.
MARIAM |Season 3| 02
10:36
Просмотров 24 тыс.
JINI MTOTO
5:39
Просмотров 178 тыс.
DEVIL'S HOUSE | Full Movie |.
1:10:32
Просмотров 34 тыс.
NAMTAKA BABA YANGU |1|
18:21
Просмотров 82 тыс.
Must watch new special comedy wait for end 😆🤣
0:49