Oooe team bhailam mbn mko harka sana tena 30 sec mko ndani tyr si leo mfnye ile kitu ambyo watu husema nipeni likes watu wangu nko liiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiive ndni ya mombasa kenya
Team Bhailam Kwanini mnapenda kufanya movies za ndogo. Nimepeleleza movies zenu nyingi zinalenga na kuchochea sana ndono, ni ngumu sana kuangalia na mtu mnaehishimiana. Kwa kweli sisi wengine kushindwa kiziangalia. Zingatieni hilo. Ahsante