Baba angu nimaskini lakini anatupenda sana sijuwi angekuwa napesa tungeishi maisha gani nakumbuka kuna kazi alikuwa anafanya alikuwa anaamka sa 11 asubuhi tungali tunalala anarudi usiku tumesha lala yani unakuta haiwezekani kutuona sisi tunaanka amesha enda kazazini natuna lala hajarudi nyumbani kutuona ilikuwa tabu paka ijuma pili akipumzika ndo atuone akawa kilasiku akitoka kazini anatu amsha atuone atupe zawadi zenye ametuleteya walikuwa wanagombana na maman sababu tukiamchwa tunalala tunakawia inakuwa tabu maman kutuamsha asubuhi walikuwa wanagombana sana na maman afu naona gisi mwanangu hapati upendo wababa ake inaniuma sana wallah
Men should learn alot from this interview about being away from your kids no matter what happened btwn you and your co parent you gotta be there for your kids you gotta be present all the time
Kiukwel inaumiza Sana kwa upande wa wazazi pale unapotaman kukaa na mzazi wako hata nusu saa na stry inashindikan mnambulia kukerana tuu it's hard for sure 😭
Yaan hiyo story ya Nana kuhusu baba, imenigusa sana hupo kama mimi😢 inaumiza sana na ndo walivyo wakina baba. Ila hapa duniani kuna wazalishaji na kina baba ila huyo baba ake ana utofaufi na baba angu😢😢 yaani wote ni wazalishaji tu
Umezalishwa na wangapi mpk useme wote ni wazalishaji? Kama umezaa na mmoja why useme wanaume wote ni wazalishaji tu? But pole. Ila nataka kukujuza kuwa si kila mwanaume yupo kama huyo au hao ulozaa nao au baba ulo naye.
Mashallah Mashallah Tabaraka Rahman ChangMoto za ki Dunia ni kawaida Nana muhimu uko mzima usifunjike Moyo endelea na Maisha yako Na Baba yako Msamehe utapumzika moyo.wako Mwenye kusamehe Mungu anampa kheri nyingi cc sote ni Binaadam tunakosea huyo ni Baba yako tuu yy muache na Dhima yake ww usimchukie sawa HABIBTY Nakupenda sana
Pole nana lkn sasa, inauma sana hasa Kwang mm mama Ndo alikuwa nguzo kwangu Alf Mungu akamchukua mapema kwahyo Huwa najikuta na maswali mengi wakat mwingne najiona nimezaliwa bahat mby