Тёмный

MPAKA KIWANDANI KWA MASOUD KIPANYA |NINA WATOTO8 |SIPENDI OOH BABY UNAKULA |MTU NA NUSU 

Maximum Tv Online
Подписаться 440 тыс.
Просмотров 34 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 июн 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 57   
@elikundakisanga6215
@elikundakisanga6215 2 года назад
Interview nzuri sana unajua kuuliza maswali nimejifunza mengi kutoka kwa Masoud Kipanya
@LaurenciaKitauli-or8rr
@LaurenciaKitauli-or8rr Год назад
Hongera Kipanya . Hakuna kilichonifurahisha kama Maisha plus . Mungu akujalie maisha marefu . Maisha plus ya kutafuta mkate !
@rehemarwanda6039
@rehemarwanda6039 2 года назад
Masoud Kipanya Z very wise Man
@mwanaishamande8880
@mwanaishamande8880 2 года назад
Mnavipindi vizuri watangazaji wazuri hongera Sana my brother Zahir allah azidi kukufungulia kheri zaidi unachopata ule namasikini wenzio
@miskyabdillah7451
@miskyabdillah7451 6 дней назад
Ktk maisha mawasiliano ni muhim ( kuongea tatizo na kulifanyia kazi ) 🎉🎉🎉
@subirajohn728
@subirajohn728 2 года назад
Masoud umeongea vyema kabisa❤️❤️
@halimajuma1408
@halimajuma1408 2 года назад
Mashallah....ila wamwera pia tunapenda vikao vingiiii...c wanaume si wanawakeee....yan ndoa zaidi ya moja kwetu ni kawaidaaaa
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 года назад
Huyo ni mtoto wa muda mrefu ameanza kazi hiyo ya uchoraji siyo chini ya miaka 30 ni mtoto mzuri sana kwa ubunifu wake wa uchoraji
@mwanaishamande8880
@mwanaishamande8880 2 года назад
Umekuwa mkweli sana kakaangu allah akulinde naakuzidishie rizki zahalali
@drjumamdoe153
@drjumamdoe153 2 года назад
Hakika ww nimkweli dumu katika ukwwli
@jamesmbanga1831
@jamesmbanga1831 2 года назад
Masud nimekua nikikufatilia sana, hasa kwa namna ulivyo na uwezo wa kuwahoji viongozi uwapo ktk vopindi vya radio, unatisha na upende usipende unaakili nyingi.
@yassinsalum1864
@yassinsalum1864 2 года назад
Kaka masudi wanaokupiga hawana akiri upo vizuri
@rahimumlulu9023
@rahimumlulu9023 2 года назад
Kaka Masoud Tutakuiga kwa matendo yako kisha tutakumbuka maneno yako. hakikisha mbele yako ni bora zaidi vinginevyo hatma yako itatuumiza sisi tunaohamisika na fikra zako kama huta ijenga kisawasawa. simama imara. Mungu akupe Subra na Akili kubwaa. Amiin.
@fabiboy4010
@fabiboy4010 Год назад
Hongera sna @masoud kipanya, Tungependa lengo lako la kufanya carton za animation ulitilie msisitizo zaidi naimani itakufanya uingize hela nyingi zaidi ili tu akili na ubunifu wko tufaidike nao
@OnlyRuky
@OnlyRuky 2 года назад
Zahiri hongera unawatangazi wazuri saana Mashaalah. Na niwatangazaji wachanga but utadhani ni watangazaji wamuda mrefu.
@fadhilmadege597
@fadhilmadege597 2 года назад
Hongera sana kk masoud, nimependa sana ubunifu wako
@TemuTV
@TemuTV 2 года назад
Interview kali sana 🙌🙌🙌💯💯💯
@mujingakabwiza5474
@mujingakabwiza5474 2 года назад
Allah bless you for everything in this world and tomorrow Akhenaten Amin
@rahmasalim1989
@rahmasalim1989 2 года назад
Masha'Allah Tabarakallah upo vizuri sana masoud mwenyeez Mungu akuzidishie kila la kheri
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 2 года назад
Amiin Amiin...Allah aendelee kumuongezea maarifa Insha Allah
@shafially879
@shafially879 2 года назад
MashaaAllah.
@asiasalim9323
@asiasalim9323 2 года назад
Masha ALLAH upo vizur
@vumiliahamisi7046
@vumiliahamisi7046 2 года назад
Maashaallah
@spreadlove5300
@spreadlove5300 2 года назад
Nikiulizwa baby utakula najibu ntakula 🤣🤣🤣💜
@shekhas581
@shekhas581 2 года назад
Masha Allah hodar🔥❤️
@hawaabdallah4782
@hawaabdallah4782 2 года назад
Masha allah
@eyabdimaha3698
@eyabdimaha3698 2 года назад
Hongera sana
@mswahili6247
@mswahili6247 2 года назад
Maximum hongereni sana kwa kweli
@stn4873
@stn4873 2 года назад
Masoud Masoud Masoud 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@abilugome1918
@abilugome1918 2 года назад
Mashaallah
@stn4873
@stn4873 2 года назад
Privacy is Power.
@khdigahk4246
@khdigahk4246 2 года назад
😅😅😅Kipanya mtu na nusu😅
@accountps6595
@accountps6595 2 года назад
Mashallah kaka
@mahungoamirisalehe4980
@mahungoamirisalehe4980 2 года назад
masud wizi wa tend ajili wa Serikali ni shauri ya kuomba mshahara mdogo akitegemea ataiba
@bintalmasi2393
@bintalmasi2393 2 года назад
Interview pekee ya maana mliyowahi kufanya Maximum team.
@asmarajabu5786
@asmarajabu5786 2 года назад
anaogopa kuzaa 😀😀😀
@TheSalma1999
@TheSalma1999 2 года назад
Akili nyingi sana
@arafaomari1832
@arafaomari1832 Год назад
Asalam alykum kaka Masoud nilikuwa nauliza kaka bonda yupo wapi sikuizi
@ibnbaazalrufiji1468
@ibnbaazalrufiji1468 2 года назад
Kweli kaka wengi Ni wavivu,
@mozasaid3869
@mozasaid3869 2 года назад
Mashaallah Masoud umeongea maneno ya mazuri ,
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 2 года назад
" 💯% 💞2👂"
@saddamrashidmohmmedsaddamr7378
@saddamrashidmohmmedsaddamr7378 2 года назад
Nikimuonaga huyu masoud namkumbukaga kaka bonda.wa maisha.plus.duh
@brasswell5985
@brasswell5985 2 года назад
Bonda kwani yuko wapi namkumbuka sana
@netlity5532
@netlity5532 2 года назад
Dak 25:25 😜🔥🔥🔥🔥
@abdallahabdallah8750
@abdallahabdallah8750 2 года назад
Hiyo inaitwa mold
@chunanachu2529
@chunanachu2529 2 года назад
Hodari✋
@hamidakigundula8736
@hamidakigundula8736 2 года назад
MaashaAllah
@hannanommy302
@hannanommy302 2 года назад
Basi utakuwa hauko polite kwenye mapenzi wewe kaka,
@moshizle173
@moshizle173 2 года назад
nikiwa mkubwa,,,nataka kuwa kama wewe masud
@desolz3809
@desolz3809 2 года назад
29:30 👏👏👏👏
@kwisa4899
@kwisa4899 2 года назад
Tunasubilia teuzi ya k kutoka kwa Mama ili hizi Cartoon zipunguze makali
@greenfoodfashion262
@greenfoodfashion262 2 года назад
Naomba kwa Mungu masoud asipewe teuzi ili azidi kuonesha njia na kukosoa kwa kutumia kipaj chake. Teuzi zinapoteza watu mf Mpoto kapotea sasahivi alkuwa anakosoa serikal kistaarab lkn kapotea jumla
@kwisa4899
@kwisa4899 2 года назад
@@greenfoodfashion262 siasa ndio ilivyo
@greenfoodfashion262
@greenfoodfashion262 2 года назад
@@kwisa4899 ni njaa tu. Sababu huwa sio lazma mtu kukubal teuzi.
@kwisa4899
@kwisa4899 2 года назад
@@greenfoodfashion262 uwezi kukata teuzi ya Rais
@greenfoodfashion262
@greenfoodfashion262 2 года назад
@@kwisa4899 hahaha sio kwl, huwa wanapigiwa cm kwanza kabla ya kutangazwa kaka.
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 года назад
Kipenzi changu Kipanya, Allah akuweke 😘
Далее
100❤️
00:19
Просмотров 3,4 млн
NYUMBA INAUZWA ILAZO EXTENSION
1:30
Просмотров 6 тыс.
Mkasi - SO7E06 With Masoud
28:46
Просмотров 49 тыс.