Тёмный

NANDY, BILLNASS WALIVYOUNGANA NA WATOTO WA MASTAA KWENYE BIRTHDAY PARTY YA MTOTO WAO 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 181 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 152   
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Год назад
Kwanza Asante sana kwa kuanza kwa maombi Mwenyezi Mungu akawalinde na awatunze watoto wote katika matendo mema yanayo mpendeza 🥰🥰🙏
@reganntambi8195
@reganntambi8195 Год назад
Nandy na billnass mungh awatunze pamoja na bint yenu mrembo mashallah na akue katika mising ya dini
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Год назад
Watoto wote wazuri jaman mashallah❤pili kitim kitim ndokwanza nmuone Leo mwanao pia kazuri mashallah
@neemamgendwa947
@neemamgendwa947 Год назад
Kilichopatikana kwa maombi,pia kilindwe kwa maombi in jesus name amin..
@sahraabdallah7242
@sahraabdallah7242 Год назад
Kenaya anataka kumfanana she is Lola Kwa mbali wazuri Manshallah
@user-mk8qy5ep8x
@user-mk8qy5ep8x Год назад
Happy birthday kinay baby girl I love you nandy hongela jamn mtot kakufanana ni me zennnn
@annahulilo6719
@annahulilo6719 Год назад
Ooooh..... Nawapenda sn nyie jamni! Mungu azidi kuwalinda na kumtunza wanenu na wote atakaowajalia! Big up kwa wasanii na wote mlioshiriki, Mungu awalinde nyie na watoto wenu, mzidi kushirikiana kwa Upendo.... I real proud of You!!!❤🙏
@IRENEEGIDIUS
@IRENEEGIDIUS Год назад
wahooo kazuri sana katoto nampenda sana nandy na billinass mungu akubaliki sana
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 Год назад
Happy birthday princess ❤Mungu akawe msada kwako kila hiitwapo leo, Mungu awape ushilikiano wazazi mmlee mtoto kwenye njia ya kumpendeza Mungu 💖❣️Kitim tim mwanao mashallah ❤ Mungu awalinde watoto wote duniani 🙏🙏
@anandemungure2500
@anandemungure2500 Год назад
Piga kelele yake Nenga Kwa sala Kali🤝🤔😅😅
@user-tt6jt8pz5m
@user-tt6jt8pz5m Год назад
Mashalaah vtoto vyote cute😂😂😂😂😂katoto ka pil kitimtim kazuri ka kahindi😂😂Ila lola kachangmka ka mamaake tunda.. Katoto ka nandy so cute😂❤❤❤❤❤
@gracemwakibolwa7910
@gracemwakibolwa7910 Год назад
Endeleeni hivyo hivyo Mungu kwanza nimekupenda buree baba mtoto kwa kusema na baba yako wa mbinguni.huyo ndio kila kitu ktk maisha yenu.nice family.
@anandemungure2500
@anandemungure2500 Год назад
Happy birthday beloved daughter ♥️😘
@MariaNdole-sw4ze
@MariaNdole-sw4ze 10 месяцев назад
Asnt sana Kwa jambo mulilofanya mung awabakil happy birthday baby girl
@ceciliahnafula8104
@ceciliahnafula8104 Год назад
Happy birthday 🎉🎂 Naya bill. Bill junior
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Год назад
Mashallah Kwa mara ya kwanza nimemuona mtoto WA pili kitimtim hongera sna pili
@fatumakimaya3872
@fatumakimaya3872 Год назад
Eeeh nilikuwa natafta hii comment n wakwake???😂😂😂😂😂
@iddymtitiko
@iddymtitiko Год назад
​@@fatumakimaya3872ndyo ni wake na hajawahi mpost ndo kwanza leo kameonekana 😊
@dianabrown-bc8yv
@dianabrown-bc8yv Год назад
God bless
@Franciscasanga-gt7gx
@Franciscasanga-gt7gx Год назад
Nengaa ananenepa jmn🥰
@chimpayachimpaya5644
@chimpayachimpaya5644 Год назад
Jaman Mandy ana kengine kibendi au macho yng hayaon vzr
@happielifetips4764
@happielifetips4764 Год назад
Kweli 😂🙌🏽
@AsendeNyota
@AsendeNyota Год назад
😂😂
@sechelelamatemangwa2965
@sechelelamatemangwa2965 Год назад
sio alijifungua kwa op ndio maqn ana kitumbo
@FROLAMWONGI-es8og
@FROLAMWONGI-es8og 11 месяцев назад
Thank you
@MaArrr-mh2so
@MaArrr-mh2so 3 месяца назад
Happy birthday 🎉
@user-qb8ig5tr3c
@user-qb8ig5tr3c 11 месяцев назад
Nawpenda❤❤❤🎉
@user-lm3he5eg4g
@user-lm3he5eg4g 10 месяцев назад
Appibathday
@ngwacahnyagwaswa9979
@ngwacahnyagwaswa9979 Год назад
Jaman mtoto huyu anapendwa ❤❤❤❤❤❤❤❤ had raha
@jenfan8781
@jenfan8781 19 дней назад
1:28 tafuta hela
@angelmalima6091
@angelmalima6091 Год назад
Wow hongera sana watoto wazuri❤
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
Mashallah, nipo natabasam tu hapa, good day guys 😘👍
@rehemaomary3493
@rehemaomary3493 Год назад
Hongera kwa kukuza ila umekosea kutumia Umma mmoja watoto wote hao.
@mariapialakanje3446
@mariapialakanje3446 Год назад
Wahooooo wahoooo so nice jmni nawapenda mnoooo mnoooo
@julianapeason6254
@julianapeason6254 Год назад
safi sana Nandy umeanza kumlisha mama aliekupa mume. Congrats
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Год назад
Happy birthday 🎈🎂 mtoto mzuri ❤❤
@mrambadiana9678
@mrambadiana9678 Год назад
Mozaa mrembo alafu kapo smart nmependa kalivo msubiri mwenzie
@AbigailyBintmfalme-go4lj
@AbigailyBintmfalme-go4lj Год назад
Asante,Mungu kwanza
@julianankulila497
@julianankulila497 Год назад
Ameen katoto kazuri kanaafya kapole hongereni kamefanana na Lola wa tunda 🎉
@user-oi2ph5nj5f
@user-oi2ph5nj5f Год назад
Ni kazurii nandy na nikazurii tenaaaaa❤🤗
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 Год назад
kitukizuri kweli ni watoto tu
@Faustinechalle-yq4xw
@Faustinechalle-yq4xw Год назад
Happy birthday kenaya
@mynambwambo2072
@mynambwambo2072 Год назад
Mi I love lola jmn
@safiyanirram-pf3sv
@safiyanirram-pf3sv Год назад
Mashallha vitt vizuri pia Allha awakuze pili na yeye leo tumemuona kitt chake cha kizungu kizuri
@user-gv5ff6rc1v
@user-gv5ff6rc1v Год назад
Congràtulation
@JenifaFesto
@JenifaFesto 11 месяцев назад
♥️❤️❤️
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 Год назад
Mabibi Kama mashangazi mpaka raha🥰
@user-ys5xx6hw3f
@user-ys5xx6hw3f Год назад
❤🎉🎉ongera mung ampe maisha malefu
@nakilingwembele9504
@nakilingwembele9504 Год назад
❤❤❤❤
@janetahmed6948
@janetahmed6948 Год назад
hongera kwao😊😊
@mariamalongo8803
@mariamalongo8803 Год назад
Happy birthday sweet bby
@NawazShaaban-x2k
@NawazShaaban-x2k 10 месяцев назад
Nengaaa nand
@angelsakaya8019
@angelsakaya8019 Год назад
Happy new age kwakeee more everything baby gal ukuwe katika kimo ukimpendeza mungu na wanadamu
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o Год назад
Tangu lini binadamu wakapendezwa na jambo
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 Год назад
@@user-sv6zy3hc8o 😆😆😆😆😆
@user-uw4qh5oq6b
@user-uw4qh5oq6b Год назад
❤❤❤❤❤ love you
@FROLAMWONGI-es8og
@FROLAMWONGI-es8og 11 месяцев назад
Munguawapemaisha marefu watoto
@ibel4lf
@ibel4lf Год назад
Amen to the prayer
@mariamibrahim6738
@mariamibrahim6738 Год назад
Nzuri sana
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Год назад
Kumbe mtoto wa gladness kifaruku ni Chotara 😢.@pili kitimu timu
@StarMerinyo
@StarMerinyo Год назад
Safi sana nandy kweli birthday niya watoto 🎉
@faimaathuman2876
@faimaathuman2876 Год назад
Wawooo👌👌👌👌
@seifujuma7748
@seifujuma7748 Год назад
Kitt cut kama mashaallah
@neemakihembwe7298
@neemakihembwe7298 Год назад
Nimeipenda sana
@alimanana7564
@alimanana7564 Год назад
Nandy kama ni mjamzito?vile❤
@mwajumabinwa604
@mwajumabinwa604 Год назад
😂😂😂😂 we acha
@neemadavid7587
@neemadavid7587 Год назад
Kwan kuna ubaya jaman c mke wa mtu
@user-cp4yd8rh2v
@user-cp4yd8rh2v Год назад
Hogera sana dada. Nady
@user-cp4yd8rh2v
@user-cp4yd8rh2v Год назад
🎉mugu akulinde 🎉😢😢 kazuri sana kapole San ametuli 0:00
@leakimario8383
@leakimario8383 Год назад
🎉🎉🎉 live long❤
@husnaabubakar7144
@husnaabubakar7144 Год назад
Happy birthday tinaaya
@RachelfestoMasele-wu5my
@RachelfestoMasele-wu5my Год назад
Nkisema hii ndoa haitadum hawa had watazikana
@user-kn8bm3kt1j
@user-kn8bm3kt1j Год назад
Lola amayaweza😂😂😂😂
@neemajoseph6204
@neemajoseph6204 Год назад
fayma Na Jay
@irenegift
@irenegift Год назад
Mtoto wa glad kifaruku mzurii jmn na pili wa kitimtimu
@sikudhanimohammad7692
@sikudhanimohammad7692 Год назад
Jamani kwani Glad na Pili ni watu wawili tofauti?
@ngwacahnyagwaswa9979
@ngwacahnyagwaswa9979 Год назад
​@@sikudhanimohammad7692😂😂😂😂😂😂😂 mi mwenyew nashangaa😂😂😂😂
@violethtingo7703
@violethtingo7703 Год назад
​@@sikudhanimohammad7692😂😂😂 ni mmoja
@Ummu-Nauthar98
@Ummu-Nauthar98 Год назад
Asa we pili ndo gladys we unawaeka kama watu wawili khaa😂😂
@kiulazepha6041
@kiulazepha6041 Год назад
Nenga kanenepaa 😂😂😂
@kimzymamy6594
@kimzymamy6594 Год назад
❤❤🎉🎉🎉🎉
@elizabetharon6334
@elizabetharon6334 Год назад
Aaah aaah za nn bill
@user-vv3bn6yc7g
@user-vv3bn6yc7g Год назад
Pili kitimutimu dahhh mtoto mzuri
@alirajab921
@alirajab921 Год назад
wema kenda manunu au
@janetahmed6948
@janetahmed6948 Год назад
njo kuona mtoto wa pili
@alimanana7564
@alimanana7564 Год назад
Hata namimi
@samiraaindi
@samiraaindi 9 месяцев назад
Happy birthday Kenaya.
@esperancenathali
@esperancenathali Год назад
Watoto wazuri jamani ❤❤❤ hadi kawivu kananiingia ninavyo hitaji hawa malaika Mungu tu ndo anajuwa
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 Год назад
Usione wivu omba mungu akujaalie wtt wema
@hamadfaki2503
@hamadfaki2503 Год назад
Ww hujapata watoto au hujaolewa
@esperancenathali
@esperancenathali Год назад
Siyo wivu ya ubaya jamani mnaniogopesha s
@salmasururu4622
@salmasururu4622 Год назад
Mungu Hana choyo atakupatia insha'Allah wakati tuu bado usijali
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Год назад
Mungu atakupa kwenye kheri na wewe ameen
@user-ct5yy5mp6n
@user-ct5yy5mp6n Год назад
Una mmt pic
@user-ib5ge6nv8s
@user-ib5ge6nv8s Год назад
Hill toto mumelipa jina baya jibwa
@salamsabdullah-st9pt
@salamsabdullah-st9pt Год назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@TabuAllyyTabuAllyMohammed
@TabuAllyyTabuAllyMohammed Год назад
Cku nyingine weka vijit au toospiki uma Kila mtoto shoga
@Rosefrances-bx4wo
@Rosefrances-bx4wo Год назад
Nengaa mtuupuu
@annayambayamba8614
@annayambayamba8614 Год назад
Ni furaha mtoto kujumuika n'a watoto wenzie amani ikae nanyi wote
@gakatheboy4494
@gakatheboy4494 Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-2nrBKw5EZjc.html
@IreneIsack-qp9ns
@IreneIsack-qp9ns Год назад
Raha sn
@user-bg9cr4pn2p
@user-bg9cr4pn2p Год назад
Kilakitu kikopoa hb
@fatumajumanne5961
@fatumajumanne5961 Год назад
❤❤❤🎉🎂🎉🎊
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Год назад
Nilitaka kushangaa mgeweza wapi kumficha wakati mnataka nanyinyi mjulikane mmezaa
@joycesamwely7896
@joycesamwely7896 Год назад
Ila wamejitahid hatarii
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 Год назад
😆😆😆😆
@Octavinaelisa-fn6js
@Octavinaelisa-fn6js Год назад
Hongera dada angu mtoto kakufanana
@mynambwambo2072
@mynambwambo2072 Год назад
Gigy na maira wakwapi?
@sifauseni6900
@sifauseni6900 Год назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@judynaro8312
@judynaro8312 Год назад
Heri njema ya kuzaliwa malkia
@esperencenamagajo7166
@esperencenamagajo7166 Год назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤😍🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰😌💃👪💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌹🌹🌹🌹
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 Год назад
Nilizani kiliniki ya watoto wa mastaa
@isamony58
@isamony58 Год назад
bongee la salaaa 😂😂😂😂😂😂😂
@berthampandagoya7143
@berthampandagoya7143 Год назад
Katoto ka pili kiswaswadu kazuri jamani,
@fettyrashid9042
@fettyrashid9042 Год назад
Kama kadhungu 🤭
@zahramohammed2337
@zahramohammed2337 Год назад
Pil jaman ana muharabu😅😅😅😅
@happyfaniabatromeo8010
@happyfaniabatromeo8010 Год назад
😂😂😂😂
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Год назад
Jipya silioni makukuu yote umetuonesha tukuxodowe
@mrambadiana9678
@mrambadiana9678 Год назад
Wivu tu peleka umaskin wako
@gracejonh4022
@gracejonh4022 Год назад
@@mrambadiana9678 🤣🤣🤣🤣
@ramadhaniraphael6955
@ramadhaniraphael6955 Год назад
Upuuzi tu hii habari nayo yakupoteza bando zetu millad angalia habar za uhakika tunakutegemea sio habari za kipuuzi kama hizi za udaku
@beatrice3675
@beatrice3675 Год назад
Nani amekwabia uangalie kwani umeshikiwa kisu🙄🙄😂
@agnesdeusdedit5071
@agnesdeusdedit5071 Год назад
Umelazimishwa
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Год назад
Yamekushindeni kumficha
@paris_tz
@paris_tz Год назад
Hako katoto kanaitwa Nan jamani
@Ummu-Nauthar98
@Ummu-Nauthar98 Год назад
Kenaya
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Год назад
Nyie tena mgemficha.tu kitoto chenyewe kinyofu kipelekeni moshi kikale mtori namaziwa yadero dezo hakina mwili
@giovannajohn3813
@giovannajohn3813 Год назад
Wakwako.mwenye mwili Yuko wapi mbona una wivu wewe
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Год назад
@@giovannajohn3813 hahaha imekuigia dozi
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Год назад
@@giovannajohn3813 wangu sio wabiashara aanikwe mitandaoni tatizo ulimbukeni unakusumbueni kila kitu mitandaoni
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Год назад
@@giovannajohn3813 Nakama igekuwa kila mtu alete mwanawe humu kusigetosha
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Год назад
@@giovannajohn3813 kitoto kinyofu ndio maana mlikificha hilooo kula jiwe bidada
@DeboradoubleStiven
@DeboradoubleStiven Год назад
❤❤❤❤
@user-cl8vx8yx1j
@user-cl8vx8yx1j Год назад
❤❤❤🎉🎉🎉
@hafsaaman908
@hafsaaman908 Год назад
❤❤❤❤❤
Далее
ДОКАЗАЛ ЧТО НЕ КАБЛУК #shorts
00:30
Paula Na Marioo
1:49
Просмотров 2,6 тыс.
ДОКАЗАЛ ЧТО НЕ КАБЛУК #shorts
00:30