Тёмный

NANI KAWAAMBIA IST ZINAUZWA MILIONI 8? ACHENI KUKARIRI 

Dar Auto Broker
Подписаться 278
Просмотров 1,9 тыс.
50% 1

Acheni Kuishi Kwa Kukariri, Sio IST Zote Huwa Zinauzwa Milioni Nane(8) Maana Imekuwa Ni Kama Vile Wimbo Wa Taifa🇹🇿Kila Ukipigiwa Simu Na Wateja Wao Iyo Ndio Kama Default Price Yao
Maisha Hayapo Ivyo Jamani, Toyota IST Ni Gari Kama Zilivyo Gari Nyingine Tena Yenye Unafuu Mkubwa Wa Kuihudumia Ivyo Tunavyowapa Bei Ni Kwamba Zinakidhi Viwango Vya Ubora
Bei Yake Imeanzia TSH 16,500,000/= Maongezi Kama Yote Ukija Kwenye Gari Kukagua Nimemaliza FULL STOP🛑
Kwa Mawasiliano Zaidi
Piga📞+255 747 999 927
Napatikana Sinza Jijini Dar Es Salaam. Karibuni Tupunguziane Bei

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1   
@MussaKimbau-u1o
@MussaKimbau-u1o 2 месяца назад
😁
Далее
Top 10 Magari Bora ya Bei Rahisi  2024
8:26
Просмотров 2,4 тыс.
НЕВОЗМОЖНЫЙ ЭКСПЕРИМЕНТ
00:39
Просмотров 67 тыс.
УДОЧКА ЗА 1$ VS 10$ VS 100$!
22:41
Просмотров 347 тыс.
Вопрос Ребром - Булкин
59:32
Просмотров 1,1 млн
Prices of Cars in Dar es Salaam Tanzania 🇹🇿
8:20