Тёмный

KIJANA MLEMAVU WA MIGUU ALIYEWEKWA NDANI AFUNGUKA KUDHULUMIWA, MAKONDA AMPA MILIONI 2 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 509 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

30 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 325   
@iddihamisi6320
@iddihamisi6320 8 месяцев назад
Unamuweka mpaka ndani mlemavu kisa kudai haki yake imeniuma sana😢
@abdallahmakombo3866
@abdallahmakombo3866 8 месяцев назад
Alienda kukopa lkn
@mudhihirugara8845
@mudhihirugara8845 8 месяцев назад
Makonda umenikumbusha magufuli unahuruma mungu akujalie
@mornasaidtindwa3622
@mornasaidtindwa3622 8 месяцев назад
Kwakweli adi machozi yana nilenga
@JenerozaKandege
@JenerozaKandege Месяц назад
Mungu akulinde makonda
@medsonulendo4221
@medsonulendo4221 8 месяцев назад
Makonda kwenye utendaji na maamuzi yupo vizur
@bahatigewa4163
@bahatigewa4163 8 месяцев назад
Makooooondaaaaa mungu akupe maisha marefuuuu
@williampaul-h5u
@williampaul-h5u 8 месяцев назад
Mungu akuzidishie kaka Paul makonda
@jogoomohamed2652
@jogoomohamed2652 8 месяцев назад
Mtu muhimu sana kwenye hili taifa.Mkuu Paul Makonda.Nakuombea kheri napia ulinzi wa MWENYEZI MUNGU wakati wote
@YakoboLohay-cs8jn
@YakoboLohay-cs8jn 8 месяцев назад
Po O
@FikiriMloka-ft3yf
@FikiriMloka-ft3yf 7 месяцев назад
Huyu ndiyo rais mtarajiwa 2030
@jogoomohamed2652
@jogoomohamed2652 7 месяцев назад
@@FikiriMloka-ft3yf Hakika tukifanikiwa napia baraka zake MWENYEZI MUNGU huwa zinafuata sehemu zenye maombi ya wengi.Naamini 2030 Mkuu Paul Makonda yatatimia
@SARAPHINAKIBONA
@SARAPHINAKIBONA 8 месяцев назад
Bora umerudi makonda niliomba mungu sana urudishwe
@eggysulle7988
@eggysulle7988 8 месяцев назад
WASUKUMA wanahuruma sana kwakwel,🔥🔥
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 8 месяцев назад
Wanahuruma na wakarim Sana wasukuma halafu wasafi Sana
@AbdallahBahati-cl9rk
@AbdallahBahati-cl9rk 3 месяца назад
Vidio
@eggysulle7988
@eggysulle7988 3 месяца назад
@@zuweinaalhabsya8773 kabisa
@MHDFURNITURE-jn2rx
@MHDFURNITURE-jn2rx 8 месяцев назад
mwaka ntakaonskia makonda anagombea uraisi hapa tz kula yakwanza yakwangu
@saeedally268
@saeedally268 8 месяцев назад
Makonda anafaa kuwa rais haswaa anapiga kazi kweli kweli
@EzraStephano-lp6qr
@EzraStephano-lp6qr 8 месяцев назад
Hakika tunaitaji viongozi kama Hawa kwenye taifa letu.
@UpendoMwashilindi
@UpendoMwashilindi 5 месяцев назад
Duu ira sisi waremavu tunanyanyasika vibaya muno da nampa pore sana
@pancraskazimoto3028
@pancraskazimoto3028 4 месяца назад
Hatariii kwakweli mwenyezi MUNGU ndo kinga yetu atuokoe kwakweli😭😭.
@alisonikihedu9614
@alisonikihedu9614 8 месяцев назад
Makonda mbona unaniweka njiapanda kunamda naichukia ccm lakini nikkuona roho yangu inatulia sababu ninaona nuru
@perfectark6292
@perfectark6292 8 месяцев назад
Mungu Amupe roho ya rais aliyopit Magufuriiii
@raymondnlelwa427
@raymondnlelwa427 8 месяцев назад
Lakini pesa hizi za kugawa kama njugu zinatoka wapi kwani?
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 8 месяцев назад
​@@raymondnlelwa427acha wivu kutoa ni moyo hata waweza kusaidia !!!cha muhimu amesaidika
@HussainMaula-mw8vz
@HussainMaula-mw8vz 8 месяцев назад
Kweli angeweza kua omba omba mungu akubariki makonda na sisi watanzania tupo pamoja na nyinyi ktk ujenzi wa taifa.
@binkhalifa6956
@binkhalifa6956 3 месяца назад
Allah akulipe mkuu
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 8 месяцев назад
Amen Mungu Amtangulie
@selemanikilupy1468
@selemanikilupy1468 8 месяцев назад
Mimi Toka najuwa masuala ya siasa watu wangu ndani ya Ccm ni wawili tu KANGI & MAKONDA
@hajihassan5433
@hajihassan5433 8 месяцев назад
Makonda sawa lakini Kagi yule mwizi pale Magereza.
@mamilooutukufu3516
@mamilooutukufu3516 8 месяцев назад
Wew ni musa ulietumwa lwa wana wa Israel (Tanzania) Ombi langu ni moja tu mpe uraisi uyu mjoli wako Watanzania wote sabbu si kwa utetezi huu
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 8 месяцев назад
Piga salute dadadekiiiiiiii Heko makonda
@thabitdaudi9815
@thabitdaudi9815 8 месяцев назад
Metaphorically namuona mama samia alikua amekaa kinyonge sana watu wanamchukulia poa ghafla akasema mnanijua kwel?? Akatoa AK47 akafyatua risasi, ile risasi iliyotoka pale is MAKONDA. GOD BLESS THIS MAN
@estellemwai5402
@estellemwai5402 7 месяцев назад
True
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed 8 месяцев назад
Makonda Katibu Mkuu mpya wa ccm muwe pamoja na kina mchengerwa musifarakanishwe
@mussamdoe4619
@mussamdoe4619 8 месяцев назад
Mkuu Mr mackonda ujio wako wakuja Tanga tunakuomba fika wilaya ya korogwe Kijiji Cha mazinde Kuna shida nyingi zinasababishwa na diwani Kuna lushwa imekisiri Kila upande juu ya diwani malalamoko mengi yanamhusu njoo tufunguke ujiskilizie keamaskio naikiwezekana uondoke nae
@mputaostin3077
@mputaostin3077 8 месяцев назад
KAKA makonda Mungu AKUBARIKI sana kwa haya unayoyatenda. Nakukumbuka ulimsaidia Pascal cassian.
@IbrahimDavid-yn1gl
@IbrahimDavid-yn1gl 8 месяцев назад
Makonda Mungu akubariki saaana endelea katika zamu hiyo ni nafasi yako umewekwa na Mungu ,Mungu ibariki Tanzania na viongozi wetu wote.
@jaredayiera3279
@jaredayiera3279 8 месяцев назад
Makondaa Mungu Aliye Juu Mbinguni Na Akakujalie kila la heri ktk Maisha yako yotee 27/1/2027
@masumbukoclement4582
@masumbukoclement4582 3 месяца назад
Unakipindi kizuli kama Mweshimiwa Magufuri umenikumbusha Kaka
@JamillahThan
@JamillahThan 2 месяца назад
Mungu akubariki makonda hadi nimelia kwa furaha
@HamissTwahaFikirini
@HamissTwahaFikirini 5 дней назад
🙏🙏🙏Mungu akupe maisha marefu unafaa kuwa raisi nakuombea uwe rais
@AbdalaKibugila
@AbdalaKibugila 6 месяцев назад
Freemason
@JenerozaKandege
@JenerozaKandege Месяц назад
Makonda wewe ndiiooo raisi mungu amekuteua baba gombea tukupe kura baba ww ni magufuli mpya tuteetee baba
@BarakaBrayson-rk2wf
@BarakaBrayson-rk2wf 3 месяца назад
Makonda apewe mauwa yake🎉🎉🎉
@hossenibakari
@hossenibakari Месяц назад
Gombea uraisi kaka ila tunaomba muungano udumu kwa kiongozi yoyote atakae kaa nchi hii
@Mundi-oz7os
@Mundi-oz7os 8 месяцев назад
Makonda uwe unachomeiea shati kuanzia leo. UNASIKIA?
@medsonulendo4221
@medsonulendo4221 7 месяцев назад
🤣🤣
@FmYiu-vx2cs
@FmYiu-vx2cs 7 месяцев назад
Magufuri amefufuka ccm sitoki nnaiman shida zimeisha
@Rebmanalextem-g5s
@Rebmanalextem-g5s 2 месяца назад
njoo chadema gombea urais sisi tunakupa unaiweza hii kazi kaka
@nzenzulejoseph22
@nzenzulejoseph22 8 месяцев назад
Milini 2 hizo unampa umezitoa wapi mnasema serikali haina pesa pia dawa mahospitalini hayapo😊
@FadhilSanga-o6q
@FadhilSanga-o6q 7 месяцев назад
Yan majambaz yapo hayawekwi ndan et mlemavu anawekwa ndan hahahhah
@NatashaChebukati
@NatashaChebukati 8 месяцев назад
I wish even kenya tukuwe na mtu kama uyu. I can see this guy to be the president one day.
@DanKanyange
@DanKanyange 8 месяцев назад
Mungu akubariki sana kwa kumpa mtaji huyo kijana
@masumbukoclement4582
@masumbukoclement4582 3 месяца назад
Sinakitu Cakusema Ndugu yangu 😢😢😢😢
@RukiaShomvi
@RukiaShomvi 5 месяцев назад
Nakupendaga wewe makonda mungu atakulinda kwa Kila baya
@davidpaulbernard
@davidpaulbernard 8 месяцев назад
Kwa mwwndo huu naanza kuiona faraja na kupona kidonda cha kumpoteza jpm
@christianawales2496
@christianawales2496 Месяц назад
Makonda we jembe magu kaacha jembe kaza butu
@brightjoseph498
@brightjoseph498 5 месяцев назад
Mbona simuelewi huyo kijana
@halimaauthman9324
@halimaauthman9324 8 месяцев назад
Kilema mnamuweka ndani hamna huruma 😢
@RehemaSadik-jn1dd
@RehemaSadik-jn1dd 3 месяца назад
Kama namuona magufur aisee mungu akulinde poo
@MagdalenaMatiko
@MagdalenaMatiko 4 месяца назад
Ila huyo mdogo wako kweli mmefanana ngoja aoge
@malimanyanja562
@malimanyanja562 8 месяцев назад
Rais wangu makonda
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂🔥🔥🔥
@malimanyanja562
@malimanyanja562 8 месяцев назад
@@MiriamAbdallah mambo vp
@dottothomas-je6jk
@dottothomas-je6jk 4 месяца назад
Jaman utu hatuna tena ee mungu agalia watu wakoswa marifaa
@FridaMoses235
@FridaMoses235 3 месяца назад
MUNGU akulinde magu wa pili
@MariamNancha
@MariamNancha 3 месяца назад
Nahamia kwako tanzania nimechoka Kenya
@faridaomary5361
@faridaomary5361 5 месяцев назад
Ungebaki tu kuwa msemaji maana duuuh 😢
@Kedmondmazengo
@Kedmondmazengo 3 месяца назад
Naiona roho ya magufuli ndani ya makonda
@ElneySheddy-is1dv
@ElneySheddy-is1dv 8 месяцев назад
Hakika makonda nimaraika ajae💪🙏🤝✍️
@petermboje5839
@petermboje5839 6 месяцев назад
Wale wanaompiga makonda busara zao sio sawa
@danielkamau2554
@danielkamau2554 7 месяцев назад
Roho ya makufuri aikufa inafanya KAZI
@GervasiMwacha
@GervasiMwacha 3 месяца назад
Safi sana kiongozi.
@UWTWilaya
@UWTWilaya 6 месяцев назад
Makonda alivyoapishwa na raisi samiya
@JuniceMollel-e4c
@JuniceMollel-e4c 2 месяца назад
Yani Mungu akubariki na roho yako wewe baba
@omarishorts6028
@omarishorts6028 2 месяца назад
Mtu wa maana kabisa huyo mungu akubariki mkuu
@swabrasabry2366
@swabrasabry2366 3 месяца назад
Vizuri avidumu Mungu tulindie uyu mtu
@HemediAhmedi
@HemediAhmedi 8 месяцев назад
Makonda awe raisi tafaadhali jamani
@FmYiu-vx2cs
@FmYiu-vx2cs 7 месяцев назад
Nalia kwa uchungu mm watu wananyanyaswa
@RafiiMtumbatu-x4l
@RafiiMtumbatu-x4l Месяц назад
😂video za x za kutombana
@Furaha-y4h
@Furaha-y4h 8 месяцев назад
Ah magufuli hoyeee
@TittoMholwa
@TittoMholwa 3 месяца назад
Nakukubali sana makonda ila basi. Tuuuu
@MagrethSalum-u9h
@MagrethSalum-u9h 5 месяцев назад
Urais tunakutaka makonda 2025
@RodahKulela-bd8tu
@RodahKulela-bd8tu 3 месяца назад
N mda tumefungwa but lord can remove all the gap over u..be saved
@hassanalshaqsi6707
@hassanalshaqsi6707 8 месяцев назад
Good work brother MAKONDA Your the best
@isaacmanyala3228
@isaacmanyala3228 8 месяцев назад
Siku moja ,Madonna atahualpa raising wa Tanzania.
@IdiOruwa
@IdiOruwa 3 месяца назад
Unasadia watu sana kuja kenye utasadie
@Amani7160
@Amani7160 3 месяца назад
Huyu jamaa anafaa sana katika uongozi
@mussashemganga5803
@mussashemganga5803 8 месяцев назад
Mungu akuongoze kaka kwenye safari zako nalufia tena huna kaka ukifa huozi mkuu
@GloryJumanne-x4w
@GloryJumanne-x4w 24 дня назад
Mungu akutangulie mtu wa mungu
@Kuruthum-tf1vr
@Kuruthum-tf1vr 3 месяца назад
Nimelia wallah zuluma sinjema
@HashimYahaya-hd3zm
@HashimYahaya-hd3zm 3 месяца назад
Makonda wabeja Sana wakoramuno
@RafiiMtumbatu-x4l
@RafiiMtumbatu-x4l Месяц назад
😂video z😮a x za kutombana
@mymunamhozya2820
@mymunamhozya2820 7 месяцев назад
Kweli kabisa baba walipe madeni
@mwajumathomas
@mwajumathomas 8 месяцев назад
Ww do utakuwamkoboziweti
@AzizaMkama
@AzizaMkama 7 месяцев назад
Huyu ndyo rais mtarajiwa
@RafiiMtumbatu-x4l
@RafiiMtumbatu-x4l Месяц назад
X za kutombana video
@NainiLaizer
@NainiLaizer 29 дней назад
Mungu umbariki Makonda
@IbrahimManyanga
@IbrahimManyanga 6 месяцев назад
Dah huyu nim2 wakuigwa jaman
@britonkanumba6828
@britonkanumba6828 8 месяцев назад
Makonda ni mwambaaaa
@tabithakasake8492
@tabithakasake8492 7 месяцев назад
Kuna watu hawana huruma jamani
@MaryTomito
@MaryTomito 4 месяца назад
Dah wasukuma wana huruma sana
@mallemaOg
@mallemaOg 8 месяцев назад
Ila watanzania wanafiki sana sana sana sitaacha kusema hili KUNA MUDA MNAMSENA ETI ANAWAFOKEA VIONGOZI WA SERIKALI
@Ramla-o3z
@Ramla-o3z 3 месяца назад
Makonda wew NI wa peponi
@AlfaniMohammed-zk1hn
@AlfaniMohammed-zk1hn 3 месяца назад
Uwe rais bas makonda
@HamadyDaudy
@HamadyDaudy 2 месяца назад
Ongoz wa kuigwa💯💯
@PendoKaaya-i2t
@PendoKaaya-i2t 27 дней назад
MUNGU akubariki
@MwanahamisiBwanga
@MwanahamisiBwanga 26 дней назад
Jamaniiiiio😢😢😢😢
@debolachaless6220
@debolachaless6220 2 месяца назад
Huwe raisi utusaidie
@josephjeremiah-x5v
@josephjeremiah-x5v 8 месяцев назад
Mashine rest peace magu
@AllyAbdalahAllynzela-wy4wy
@AllyAbdalahAllynzela-wy4wy 3 месяца назад
Ameyatimba huyo
@NikodemuNikodemu-h3f
@NikodemuNikodemu-h3f Месяц назад
Taarifa.yahabar
@LUGOYENGANYALILE
@LUGOYENGANYALILE 15 дней назад
Matukio leo
@LUGOYENGANYALILE
@LUGOYENGANYALILE 15 дней назад
Matukio leo
@shadrackhelemani346
@shadrackhelemani346 4 месяца назад
Bro ww ni kiongozi kwer
@anordndingo
@anordndingo 8 месяцев назад
Kuna wakati nakuchukia sana unapojibizana na wanasiasa.wewe fanya ya mungu Ili taifa letu lipone na laana. Nakumbuka shuleni. Kuna kauli ilikuwa inasema Ili tuendelee twahitaji vitu 4 watu ardhi siasa safi na uongozi Bora je hayo yapo.please simamia Ili
@SaidiMashaka-ei3xh
@SaidiMashaka-ei3xh 5 месяцев назад
ama kwahakika huyu nimagufuri kabisa
Далее
Катаю тележки  🛒
08:48
Просмотров 633 тыс.
NAKUPENDA MWALIMU NIKUVALISHE PETE  STEVE MWEUSI
14:04
TABIA ZA WALUHYA BY: MC JESSY
14:23
Просмотров 742 тыс.