Тёмный
No video :(

NATIKISA PENDO - BURUDANI ZA MASHAKA (4) 

Bin Seif
Подписаться 179 тыс.
Просмотров 35 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 мар 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 45   
@zuwenasaleh9613
@zuwenasaleh9613 11 месяцев назад
MashaAllah wazee wazamani hawapendi watoto wao waachane ila wazee wa siku hizi mtihan wapo mtari wa mbele kutoa go ahead za talaka subhanallah
@sabriyasuluh3002
@sabriyasuluh3002 2 года назад
Mashaallah malezi ya kizanzibar mashaallah ntmn zama hiz zijirudie flam ziwe km hiz za madali ya kizanzibar😍😍🥰
@marcomontolivo5922
@marcomontolivo5922 3 года назад
Narejea tena kusema hawa ndo wasanii wa Zanzibar waliokuwa na uwezo wa kufikiri mbali sana nawakubali sana wazee wangu wasani wazamani muangalie mkwe wa zamani anavo amua kesi hio
@mamafatuma138
@mamafatuma138 3 года назад
Pendo alitkiswi kweli mana umelitkisa kweli
@seifhabib5987
@seifhabib5987 3 года назад
Machozi yananitoka kwa kukosa flam zilizokuwa zinatufunza juu ya Maadil ya Mzanzibar,Mzee anakuwa ndo Muamuzi wa Mwisho katika ndoa na sio mume kama sasa.
@chalulumanyenga1151
@chalulumanyenga1151 3 года назад
mze Chita katika ubora wake yani noma Chita mungu amrehemu
@allyboy4153
@allyboy4153 Месяц назад
Mzee yuko sirious kijitu uzima
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 11 месяцев назад
Hammy ana busara sana ,zaidi ya shangazi. alafu vijana wa zamani walikuwa na adabu sana ,ingekuwa ni sasa unafikiri mashaka angemsikiliza huyo hamy,hapo hamy angetolewa nduki na matusi juu.yaani nyakati zingerudi watu wakaishi kwa amani .
@mohammedomar1569
@mohammedomar1569 5 лет назад
Nalikubali sana chimbeni na kwanini umeacha kutuletea mambo mazuri kama haya yuko wapi mifupa 😆😆ila mashaka yashaondoka sasa mashaka kashakua bosi😅😅😅.
@akilihabibu4203
@akilihabibu4203 4 года назад
Daa! Kwakwe hayamaadili ya miaka ya nyuma mazuri sana
@user-wx9xk1sf6b
@user-wx9xk1sf6b 6 месяцев назад
MashaALLAH
@amourmtungo623
@amourmtungo623 6 лет назад
Very interesting 😀. Mashaka bin Tabu creates burudani
@safiyaally4825
@safiyaally4825 5 лет назад
Michezo ya zmn ilikua Na heshima
@amneamne7862
@amneamne7862 3 года назад
sant na baibui old is gold
@husseinramadhan3369
@husseinramadhan3369 7 месяцев назад
chimbeni wewe unajuwa sana kupitiliza
@aishaomar4318
@aishaomar4318 5 лет назад
😁😁😁mambo ni 🔥pendo limejua kutikisika.wasasa watasema kwani kwetu nimeua?
@salumame4845
@salumame4845 5 лет назад
michezo yenye kuakisi asili yetu wazanzibar
@aishamohamed5033
@aishamohamed5033 3 года назад
Ahsante mashaka hahahahaha
@is-hakayussuf9981
@is-hakayussuf9981 4 года назад
Hahahahah da mashaka bwan eti nimeskia lkn kwa mbali
@AlkafaaMarket
@AlkafaaMarket Месяц назад
Wazee wabusara wako wapi jamani
@AliHassan-xr3yb
@AliHassan-xr3yb 6 лет назад
Asnate bin sef nakukubali Sana weka Mambo ayo from katar
@rozypatel5672
@rozypatel5672 Год назад
Hilo jina lako mpk najiuliza km ni kweli au ni moja ya bots? 😂 Anyway namba kukuuliza huyu mwenye channel bin Seif wamjua binafsi? Mi namtafuta kumuomva kitu kwny chnnl yake. Unaweza kunipa nambri yake tfdhl ntshkuru kchizi
@alimussa2655
@alimussa2655 5 лет назад
Zanzibar tushaiuzar kwa tamaa ya maslahi ya wachache tu sasa sijuwi wakumlaum nani manake hata hizo burudani hatuna tena
@husnahhhahahausys7810
@husnahhhahahausys7810 5 лет назад
Asante bin seif tupe vitu vizur vya zaman
@rozypatel5672
@rozypatel5672 Год назад
Eti mammy huyu mwenye channel bin Seif wamjua binafsi? Mi namtafuta kumuomba kitu kwny chnnl yake. Unaweza kunipa nambri yake tfdhl mammy husna? Au Mwambie anijibu humu mwenyewe 🙏🙏
@mrwordsthemost7690
@mrwordsthemost7690 6 лет назад
Daah aisee hii zinapatina wapi hizi complete
@is-hakayussuf9981
@is-hakayussuf9981 4 года назад
E mashaka mtukutu nyee eti nje wapi dah hahahahaaa
@shakilamasoud8979
@shakilamasoud8979 6 лет назад
😁😁😁😁ammy mkali mhh
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 5 лет назад
Mashaka ana talenta sana tena wa siku nyingi tunamkubali sana.na pongezi sana kwa Amiii 👏
@raghum1149
@raghum1149 5 лет назад
😂haski lugh
@zuhrazuhra4051
@zuhrazuhra4051 4 года назад
❤❤❤❤❤
@ashasaid3136
@ashasaid3136 4 года назад
Wallahi vitu vzur km hivyo vimpotea,,tulikuw tunapata mafunzo kwa kweli, kweli vya kale dhahabu
@ashasaid3136
@ashasaid3136 4 года назад
Jamanii nataman Zanzibar yetu irudi km zaman
@aishasaid5702
@aishasaid5702 5 лет назад
Wazee wa siku iz wangalimsaidia mkwe wao kutoa vyombo nje wakashangilia
@handhalhandhal4608
@handhalhandhal4608 2 года назад
Talaka lazima ikaliwe Eda sio hapo hapo baada ya talaka unarejea.
@ibrahimsheha215
@ibrahimsheha215 5 лет назад
Cheka kwasana
@aishamohamed5033
@aishamohamed5033 3 года назад
ndo kibiriti hichooo
@amneamne7862
@amneamne7862 3 года назад
zaman wat na adabu
@mohammedbusaidi8505
@mohammedbusaidi8505 6 лет назад
Hhhhh hapana chezea amiiiiy
@hanifaabuobakar3636
@hanifaabuobakar3636 5 лет назад
zanzibar yetu
@makamemufadhil627
@makamemufadhil627 5 лет назад
Hamy
@rahimaally9838
@rahimaally9838 6 лет назад
Kawa kasi sio mkasi lol
@aishamohamed8778
@aishamohamed8778 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@sabriyasuluh3002
@sabriyasuluh3002 2 года назад
Mashaallah malezi ya kizanzibar mashaallah ntmn zama hiz zijirudie flam ziwe km hiz za madali ya kizanzibar😍😍🥰
@akilihabibu4203
@akilihabibu4203 4 года назад
Daa! Kwakwe hayamaadili ya miaka ya nyuma mazuri sana
Далее
NATIKISA PENDO - BURUDANI ZA MASHAKA (3)
16:02
Просмотров 22 тыс.
NDOA BILA DESTURI - BURUDANI ZA MASHAKA
21:26
Просмотров 26 тыс.
Insane Coffee trick EXPOSED 😱☕️ #shorts
00:20
Будзек и рецепт🐝
00:25
Просмотров 130 тыс.
Vituko Vya Halikuniki na Sekembuke Full Movie
7:48
Просмотров 72 тыс.
DCMA Taarab & Kidumbaki Ensemble
29:34
Просмотров 78 тыс.
Taarab: Hakuna buzi
15:29
Просмотров 52 тыс.
TALAKA MPE JIRAAN ~~ MASHAKA NA BINJIWA #3
18:24
Просмотров 54 тыс.
Nimekinai na Umaskini wangu - Mwanahawa Ali
15:13
Просмотров 641 тыс.
USIAMUWE KWA PUPA - MASHAKA -1
13:29
Просмотров 28 тыс.