Mtiga proud of you my brother am from in Tanzania African my brother, jamani tujivunie kuwa mtiga, hapa Tanzania nipeni like za mtiga, mtiga I wish you all the best of your life, 🙏👏👏👏❤️🙏❤️❤️
Kama movie za kibongo zingekuwa simulizi...na mtiga ndie anaesimulia baas ata uongo ungekuwa una sound kama ukweli...big up bro nazikubali simulizi zako sana tu🇰🇪
Ukisoma concept ya black holes utakuja kukubali kuwa hiki n kwlei ..kuna zone inaitwa black holes ambayo ina kani kubwa snaa ya mvutano, kubwa zaidi kuliko ya duniani. ..so ndege ikipita katika hiyo zone itachukua muda kuitoka na pia Hilo eneo haliitambui muda (time) yani ukipita Hilo eneo hauwi infected by Time kama duniani kama vile kuzeeka au mabadiliko ya kimaumbile ...unabakia vilevile hata baada ya miaka hamsinj . Someni kujua habari za black holes
Kama kun mtu alizaa mtoto na akamuacha akiwa na umri wa miaka 10 na yy akiwa na miaka 30! Baada ya ndege kurudi baba atakuwa na miaka 30 mtoto anamiaka 47!😁😁😁
Hakuna linalishindikana kwa MwenyeziMungu, ukifuatilia vizuri unaona historia, kuna vijana walipotea miaka zaidi ya 300, na wakarudi dunia. Kikubwa kila tukio wanadamu hatuna budi kujifunza.
Usicho kijua achana nacho ndege aikupotelea kuzimu bali ilienda kwenye ulimwengu usio na past wala future bali ulimwengu huo una kitu kinaitwa now ninamaanisha 4d na 3d njoo HMG back to africa movement upate somo kuntu.
uzur unamtukana mama yako na mwanamke wako na ndg zako wakike pia ,ww ni wa ajbu sana nilijua tu utakua mtu fulani usiye muelewa mwenye IQ ndg sana ,ndio maana unataja kiungo cha aliyekuzaa ni ajabu sana
Ndio maana ndege zinapotea angani mashetani yanachukua ndege daaha mungu atulinde kwenye safari zetu za anga.. Kama Malaysia Air lines haijaonekana mpaka Leo hata mabaki wala kamba za viatu hawajaziona
Hii story nimeshaisikia hapo mwishoni ndo umedanganya, baada ya pilot kuiondoa ndege ili aende miami ilionekana kwenye rada kwa mda halaf ikapotea tena, hivyo hiyo mambo ya kuwa ndege ilitua na watu wake wakaoekana wapo vilevile ni uongo, hao watu wote wangekuwa ni mastaa na tungeona story zao kwenye mitandao
Ndio unashangaa hii je ile ya train ya mexico ilipotea na kuonekana nchi nyingine miaka kama 40 sikumbuki vizuri ikiwa na abiria walewale teina miaka nyuma zaidi ya ile iliyopotea