@@middletigervevo si mambo ya kiroho mambo ya kiroho ni nini inatakiwa umfundishe mtu kwa lugha ambayo hata mwingine anaweza kujfunza ninacho jua me nihiki ili tufaulu mbele ya Mwenyezi mungu inatakiwa tumfulahishe yeyetu Mwenyezi mungu daima mpaka mwisho wa maisha yetu ili tupate ahadizake alizo tuahidi na kwa kuacha yote alio yakataza ndio tutafaulu tuache tunayo yajua na tunayo ambiwa na viongozi wadini
Ameen mdogo wangu Jamari Mungu amekuongoza kuyaongea haya sababu hata makanisani au misikitini sasahivi hayahubiriwi haya isipokuwa kanisani kwangu tabata kisukuru Eagt utawasikia wachungaji na mitume wanahubiri kuvunja laana na vifungo lakini kuwaambia watu Mambo ya lazima hamna mwisho unakuja lkn hakuna ajuae Mathayo 24:36 na Bwana Yesu aliapa kwamba lazima yatatokea haya Mathayo 24:35
Mungu atujalie mwisho mwema,tuishi kwa upendo na amani kwani hakuna atakayeishi milele ktk hii dunia,jiulize wangapi ndugu na jamaa hatuko nao? Tumrudie Mungu,wanadamu tunajisahau sana! Like kama tupo pamoja