Тёмный

Ndugai: Kuna siku nchi itapigwa mnada 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 478 тыс.
50% 1

Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema tozo za miamala ya simu zilipitishwa ili nchi iweze kutekeleza miradi yenyewe, badala ya kutegemea mikopo ambayo imekuza deni la Taifa kufikia Sh70 trilioni.
Amesisitiza haiwezekani miaka 60 baada ya uhuru nchi bado iwe ya kutembeza bakuli.
“Kipi bora, sisi Watanzania kuzidi kukopa na madeni au tubanane hapahapa tujenge wenyewe bila madeni haya makubwa makubwa yasiyoeleweka, ni lini sisi tutafanya wenyewe na vipi?
“Tutembeze bakuli, ndiyo heshima kisha tukishakopa tunapiga makofi…, kuna siku nchi itapigwa mnada hii,” Spika wa Bunge, Job Ndugai

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 842   
@barakajohnh.b9697
@barakajohnh.b9697 2 года назад
Umetufumbua macho namasikio hata siku tukipigwa mnada tujue kuwa ulitwambia Asante sana kwatarifa baba Ndugai Mungu akulinde sikuzote za maisha yako 🙏🙏🙏😭😭
@saidisalumu2953
@saidisalumu2953 Год назад
Lakini wewe na chama chako cha chukuwa chako mapema ndio mmetufikisha hapa
@colestmakoloo1500
@colestmakoloo1500 2 года назад
Umeupiga mwingi ndugai jpm mungu amlaze pema peponi
@hdmsasa3355
@hdmsasa3355 2 года назад
Safi bingwa me nimekuelewa ila wengine watakuelewa Kesho, Maana umeiongelea Kesho sio Leo.
@wilfredelimeleki4543
@wilfredelimeleki4543 2 года назад
Ukweli Ndugai umeongea ukweli.Mbali na wanaokuandama,Mungu akulinde kwa Jina la Yesu.Ukweli utabaki kuwa ukweli tu,hapo umetusemea sisi wananchi.
@chrisskihwele1795
@chrisskihwele1795 2 года назад
Mh. Ndugai, mimi naunga mkono hoja yako kwa zaidi ya 93% kwani, tukiendekeza sana mikopo,ipo siku Nchi itapigwa mnada na MABEBERU. Mimi ningekuwa Rais, ningefanya yafuatayo:- 1. Kuwaomba Watanzania kufunga mkanda kwa awamu awamu ili kuepuka matumizi yasiyo ya lazima. *Hilo lingefanywa kwa sekta na Taasisi zote Nchini. 2.Kudhibiti kwa nguvu zote ubadhirifu wa fedha za umma. 3. Kusimamia ukusanyaji wa mapato na matumizi yake. Kwa kufanya hivyo nadhani nungeweza kuipeleka Nchi yetu kwenye kujitegemea. NB:- Kufanya hayo kunahitaji UZALENDO wa kweli, UJASIRI na MSIMAMO USIOYUMBA. 2
@shabanikorongo9743
@shabanikorongo9743 2 года назад
RIP JPM
@jamesmsalilwa8733
@jamesmsalilwa8733 2 года назад
Nakubaliana nawe kabisa. Tatizo Waafrika wengi wanajidharau, wanajiona ni wao ni dhaifu. Serikalini hawajifunzi kwa JPM? Samia si alikuwa VP wakati huo, alikuwa hajifunzi tu?
@shabaniismail7138
@shabaniismail7138 2 года назад
Ndicho alichokuwa anakifanya raisi MAGUFULI (R.I.P) 😭😭😭😭😭😭
@samwelimoshi5614
@samwelimoshi5614 2 года назад
Ww huyu awez ht kdg kila kitu kimepanda bey anaona mbn hasemi....atoe maamuz magumu kama magu hawwz huyu kamwe
@manish-fp1fb
@manish-fp1fb 2 года назад
Alipongeza mkopo lakini mbele ya Rais,
@kiliantereba6502
@kiliantereba6502 2 года назад
Hapo Ndungao umeongea kisomi. Leo umeongea point mikopo itauza nchi, tujitegemee
@ramadhanimohamed154
@ramadhanimohamed154 2 года назад
Utaweza kujitegea wewe? tozo tuu domo limekutoka mpaka nguo zikapwaya!! Waanze viongozi kujitegemea kwa; kufanya Kazi za nchi mshahara kima cha chini, wasafiri kwa miguu, baiskeli au pikipiki hapo na sis hata wakitutoza matozo hata ya chop hatutapiga domo lkn mishahara, marupurupu minono na magar ya kifahari hatuwezi kujitegemea had I kiama.
@mudighurayra
@mudighurayra 2 года назад
Kwaiyo una unga mkono tuzidishiwe tozo na kodi au vip mzee
@philemonmunuo5888
@philemonmunuo5888 2 года назад
Huyu ndio ndugai ninayemfaham sio yule aliyeomba msamaha
@goodlucklutabila7527
@goodlucklutabila7527 2 года назад
You are right. Kuomba msamaha kwa kusema aliyosema ndo tatizo. Kulikuwa na haja ya Kubaki na msimamo wako
@aizackkiteme9570
@aizackkiteme9570 2 года назад
Happy nimekupenda Sana kwauliyosema tutakopa mpaka lini mkuu wanchi kasema ataenderea kukopa ajabu akili yake namtu wake nikuwaza mikopo
@selector728
@selector728 2 года назад
Ataendelea sio ataenderea🚮🚮
@deusdebitkowa9657
@deusdebitkowa9657 2 года назад
Spika Ndugai,ulisema kweli. UKWELI UNAUMA SANA. Mungu akujalie maisha marefu baada ya kujiuzulu kwako nafasi ya Uspika. Na usiache sema ukweli utakapokuwa Bungeni wkt wa vikao. Watanzania,tumekuelewa.
@EFRONNGONGONALE
@EFRONNGONGONALE 3 месяца назад
Saw baba
@faustinekulwa2596
@faustinekulwa2596 2 года назад
Ndugai uko sawa kabisa ila umekosea kuomba msamaha ungekaa kimya tu kauli yako ingeendelea kuwa na nguvu
@azzamohamed6649
@azzamohamed6649 2 года назад
Msema kweli mpenzi wa Mungu adui wa mtu baba kwa ili mimi sio adui wako 🙌🙌🙌
@deniskimenyi899
@deniskimenyi899 Год назад
Sasa aliyo yasema Ndugai yame anza kuonekana sana saana kwenye hili la Bandari mimi na shauri uwekezaji uwepo lakini uwe na mkataba wenye manufaa kwa wenye nchi sio mtu kuja na vihela vyake una kubali chapu bila kutafakari. Madeni yatatumaliza na mikopo ndio ina ongeza ukandamizaji saana kwenye bara letu hili la Africa
@nyeurakibura4791
@nyeurakibura4791 2 года назад
Congratulations, mweshimiwa leo umenena vyema. RIP. JPM
@elipokeammari9998
@elipokeammari9998 2 года назад
Hakuna aliyekopa kama huyo mliyekuwa mnamsifia
@danielijackson8700
@danielijackson8700 2 года назад
Ulijilipua mkuu hongera
@masphiamt2665
@masphiamt2665 2 года назад
Kwa kuwa mh ndugai ameshaomba msamaha basi sitasema Sana, ilaa uungwana ninaona hapa ni kuangalia wananchi wanahali gani, kwa nn kama kweli ni mzalendo asianzie kupunguza katika rasilimali zake asaidie wananchi, kwa nn kupitia mhimili wake asipunguze matumizi kama posho, usafiri ule ni ghali kidgo na mengineyo kibaooo tuu. Kimsingi mzee ndugai alitukosea na Kwa kuwa ameomba radhi basi ajifunze zaidi kutafakari
@jimmykampate78
@jimmykampate78 2 года назад
Kwanza watoto wangu jamani mhh, nape uko wap si uliuliza juu ya deni hili bungeni sasa huyu nini wamemnyima ganji Alafu jk aliacha deni la taifa t ngap na JP kaacha ngap jamani maana JP alisema yeye hakop wtz tuwe na umoja hapa hwa wazee hakika watatuuza sana vijana
@uledimtumwa2406
@uledimtumwa2406 2 года назад
MAGUFULI tutakukumbuka daima. Hawa jamaa ndio walifurahi JPM kufa,leo walana wao kwa wao.
@khadhirkhadharramadhan8448
@khadhirkhadharramadhan8448 2 года назад
Huko nchini Uganda madeni yamesabibsha uwanja wao wandege kuchukliwa kwasabab ya kushindwa kulipa .. nasisi tusikubali hii itokee mungu aepushe hili
@tonitonito90
@tonitonito90 2 года назад
Umeongea point kali sana sitaisha hii point yako daima. Naona viongozi wetu sasa wameamua kuwa wazalendo wa kweli
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 2 года назад
Kusema ukweli watu wanaumia. Ila ndo nchi ilivo Jamani 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@heriethmichaeli8605
@heriethmichaeli8605 2 года назад
Baba alikuwa kiongozi '''' nikweli ' nikweli' nikweli... hakuna tozo ila nchi ilisonga''''''nikweli. Hatukuwa wakukopakopa bado inchi ilisonga''''' nikweli. Ilishiika tanzania na watu wake kama ameshika kibiriti'''' nikweli . Mbele ya baba midomo yote ilifugwa'''' nikwel nikweli nikweli
@mudighurayra
@mudighurayra 2 года назад
Kukopa ame kopa ila lengo lake pengine amalize mradi kwa haraka ili apate alipe, maana tukisema haja kopa deni la taifa lisingekua namna iyo ndani ya miaka 5
@najfathertz6542
@najfathertz6542 2 года назад
Fact kabisa mikopo imezidi bora umesema ukweli
@kunyaobelela4062
@kunyaobelela4062 Год назад
Ulikuwa sahihi kabisa,
@gibishinchambi1971
@gibishinchambi1971 2 года назад
Kama akiri zimeanza kurudi za JPM excellent
@swala2170
@swala2170 2 года назад
Hongera sana Ndugai umeanza kuamka!
@omarsalim57
@omarsalim57 2 года назад
Hongera sana Mh: Ndugai. Upo sahihi
@mwaminidiwani4029
@mwaminidiwani4029 2 года назад
Hivi mbona yaliyofanywa na Magufuli ambayo hayafai hukusimama kukemea mh? Leo kwakuwa tuna rais anayetupa Uhuru wa kuongea ndo unamdhihaki hivyo jaman😭😭😭😭
@mohamedmape9341
@mohamedmape9341 2 года назад
Unafki mtupu alionao
@niwaelnathaniel5450
@niwaelnathaniel5450 2 года назад
Ndo yalivyo haya hajulikani yamesimama wapi ccm au chadema yanaangalia nani anaongoza kwa maslahi yao binafsi
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 2 года назад
Hilo linaonekana babu kwa kweli mshindwe na mregee itakapofikia hapo mungu awapeperushe hao wanzilishi wa mnada wa nchi.
@user-lq9kp3mm5t
@user-lq9kp3mm5t Год назад
Ulilo sema limetimia ipo siku nchii itapigwa mnada imetimia
@ilhamissa5799
@ilhamissa5799 2 года назад
Ukweli una tabia ya kuchelewa kufika lakini unafika tu na unapofika una tabia ya kuwasumbua walio upuuza. Kweli itatuweka huru. Ingawa Ndugai simwamini kabisa lakini kwa hili amenena kweli.
@husnaseif6511
@husnaseif6511 2 года назад
Kabisa
@user-ig5yn4zp2u
@user-ig5yn4zp2u 3 месяца назад
Tunakuomba mheshimiwa ndugai mungu akuongoze uchukue form uwe raisi wetu . Tumechoka maana nchi yetu ingepata maraus kama jpm awamu tatu tu ingekuwa ulaya
@mkemiachuma7746
@mkemiachuma7746 2 года назад
Umenena kiongozi, ila shida ni kwamba asilimia kubwa ya viongozi wa Tanzania haswa hiki chama upuzi ni mwingi ila ipo siku tutaheshimiana
@rojazslojazz4287
@rojazslojazz4287 2 года назад
Blaza naona umekua sasa umeongea point sana
@saimonnyalusi4069
@saimonnyalusi4069 2 года назад
Mapato yanchi yetu mnapeleka wapi,,, tatizo ninavoona linaanzia kwenye katiba nibora tufanyie malekebisho. Hakuna kitu hapo ndugai upo vzur sana unatetea nchiako
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 месяца назад
hata mama samia mwenyewe kakiti juzi akuwaapisha boss wa TRA na kusema kukopa sio kuzuri bandari inaweza kuendesha wizara 3..hatutaki kukopa ndivo kasema
@muhmmadilutando9561
@muhmmadilutando9561 2 года назад
Jamaa kasema kweli kabisa
@allymuhamed7295
@allymuhamed7295 2 года назад
Kaka leo umesema ukweli. Sasa naona Hayati bado anatenda.😭😭😭😭
@tumainizacharia4984
@tumainizacharia4984 2 года назад
Kuna aliyeongoza kukopa kumzidi Magufuli, anakopa af anakwambia Hela za ndani, kwani deni limeongezeka kwa Kasi wakati Gani??
@justinefelis8772
@justinefelis8772 2 года назад
@@tumainizacharia4984 kunywa 7up nakuja chap kulipa
@happyglorynnko602
@happyglorynnko602 2 года назад
@@tumainizacharia4984 sasa mlisema hakuwa na mahusiano mzuri na wazungu sasa walimkopeshaje fikiri kabla yakusikiliza tuu maneno bila uhakika hii inchi ni kwa manufaa ya wachache usipofikiria utajikuta bendera fata upepo
@mudighurayra
@mudighurayra 2 года назад
@@happyglorynnko602 kwani wazungu 2 ndio wana kopesha hahaha
@michanoboy8948
@michanoboy8948 2 года назад
Naona kaka yako kawa dada tayari
@elwinmlaponi1084
@elwinmlaponi1084 2 года назад
[Darassa] Mungu ana njia zake huwezi hata kumuotea Mungu anachukua hata unachokinyenyekea Unachotegemea nguzo yako kuegemea Ndio maana dini zinasema tuishi kwa ku prepare Look alas, now we breathe like there is no air Should I continue singing? Or let me pray for better days to come Rest in Peace uncle Magu till we meet again Amen
@hemedmella5999
@hemedmella5999 2 года назад
Nyelele alionaga mbali sana kusema adui wetu mkubwa ni Elimu wenye elimu tuu nenda Google fatilia taarifa za deni la taifa kuanzia mwaka 2000 mbaka 2022 Utaelewa achen kumpinga mama wawatu kwa kusema ukweli anakopa lakin kukopa akujaanza leo wengine walisema awakopi ukiendaa mtandaoni tunawaona wamekopa piga kazi mama mungu atakupigania tuu amina
@fuefuenews4578
@fuefuenews4578 2 года назад
Amen! Mungu ametupa utashi, yote yanayoendelea tunayaona na kuyaelewa. Eee Mungu tupatie viongozi shupavu ndani ya amani yetu. Pia mlinde raisi wetu awe na utulivu ktk kila afanyalo tufike salama utakapo
@ramadhanimohamed154
@ramadhanimohamed154 2 года назад
Bora ipigwe mnada naweza nikawa paka wa mzungu nikapata milo mitatu ya uhakika kuliko MTU wa mlo mmoja wa kubahatisha.
@theresiamwandara7990
@theresiamwandara7990 2 года назад
Nimerudi huku baada ya wewe Ndugai kujiuzuru, nilichogundua sisi tusiojulikana huku tuliko ni wajasiri kuliko viongozi tulionao, ulisema ukweli, tena ukaomba radhi tena umejiuzuru.Ndugai ulisema ukweli ila hatujui uliyopitia baada ya kauli yako.
@patrickKitambo
@patrickKitambo 2 года назад
Alipigwa kipapai
@khanniebaraka1515
@khanniebaraka1515 2 года назад
Huyu anauchungu na nchi hataki kuona tunavyo nyanyaswa
@jameslaizer4081
@jameslaizer4081 2 года назад
Tuanze kukulaumu wewe na bunge lako la chama kimoja, kwani kuna mkopo unatolewa bila kuidhinishwa na bunge lako la kidemokrasia kama mnavyodai
@makongorowassira6593
@makongorowassira6593 2 года назад
Mkopo bunge hawahusiki kuupata bali wanaingia kwenye kuangalia matumizi ya huo mkopo
@martinmnzava9053
@martinmnzava9053 2 года назад
Hivi mama alikuwa hamsikii Baba JPM akisema na kuonyesha mifano ya utajiri wa Tz, madini kila mahali, bahari kuu kuna utajiri wa samaki, ufugaji, bandari, kilimo cha kisasa vikiboreshwa ni hazina. Hivi huko ikulu bado uvivu wa kufikiri haujawatoka mpaka wanakimbilia kukopa kwa gharama za watoto na wajukuu zetu. Ndugai uko sawa.
@isaacsimon3580
@isaacsimon3580 Год назад
Mara nyingi kwa mswahili ukweli ukisemwa utaitwa uongo na usaliti. Mwanachato watanzania wanakulilia
@mfalmesimba1154
@mfalmesimba1154 2 года назад
Huo ndio msimamo mzee upo vizuri umeona mbali tuendelee kuombea nchi yetu bila kumsahau JPM
@ibrahimrutta464
@ibrahimrutta464 Год назад
Dah nikiisikiliza hii hutuba najiuliza Ndugai km alioteshwa linalo kuja la Bandari
@samtanzania8165
@samtanzania8165 5 месяцев назад
Dah...R.I.P magu
@daringtonbugau5467
@daringtonbugau5467 2 года назад
Ninyi hela mmezificha ajira hamtoi na madeni yanazidi. Acheni kurumbana mjadili maisha ya watanzani. Tunahali ngumu vitu vimepanda bei kila kona.
@mudighurayra
@mudighurayra 2 года назад
Yeye ndio ana tka tuzidi kuongezewa kodi apa au huja mfaham
@josephinanikwelimdacki3330
@josephinanikwelimdacki3330 2 года назад
Mungu yupo kazini
@escaladeokonkwo1048
@escaladeokonkwo1048 12 часов назад
Leo nmerudi Kuangalia tena Baada kuona Tanzania iko nafasi ya 4 Kwa Kukopa nchi za Africa Halafu Sa pesa Znanunilia Magoli ya Simba na Yanga 1G is equal to 5M
@princekapondo5378
@princekapondo5378 2 года назад
Ndugai uko sahihi kabisa wala hujakosea mjomba 👏
@mudighurayra
@mudighurayra 2 года назад
Umemskiliza vzr au una kurupukaa na kufata mkumbo
@FromenaWilly
@FromenaWilly 2 месяца назад
Umenena kitu ndugai hatutaki kupigwa mnada
@johakhimu.mgembe.3297
@johakhimu.mgembe.3297 3 месяца назад
😢Hata kama alikuwa ktk mfumo Ukweri alikuwa na Uthubutu.kwa hilo Umekuwa jasiri kulilia.Mama.Tanzania.❤
@yahayasalum2943
@yahayasalum2943 2 года назад
Prof Mussa Assad mkamshambulia mkmfukuza kazi kwa kusema Bunge letu Ni Dhaifu, sasa Spika mwenyewe anakosoa nini?
@mussajangwa4878
@mussajangwa4878 2 года назад
Ndugai Hongera sana kwa hoja zako Ila hili jambo la mikopo lilipitishwa nyumbani kwako bungeni na ww ukalisimamia!! Sasa ulishindaje kulisimamia huko badala yake unakuja kutupigia kelele hapa Km nchi itauzwa nitumieni zang kwa M pesa
@jonaswingodmushi2608
@jonaswingodmushi2608 2 года назад
Nachokiona hapa ni wengi kutosikiliza hii clip kwa makini! Ndo maana wengi wanamtukana Job! Guys kiukweli sijaona kosa la huyu baba Yuko sahihi kabisa! Kwa hiki alichozungumza kosa ni dogo sana haswa hili la kuongelea nje ya bunge! Lakini kwa hii mikopo mikopo hii si mizuri hata kidogo! Basi Kama vipi watuondolee hizo tozo tuendelee na hiyo mikopo yao! Isitoshe mi naona hii mikopo itawafaidisha baadhi ya watu Ila sisi wa hali ya chini ni kuendelea kuumia tu! R.I.P mjomba Magu
@magomakabanja480
@magomakabanja480 Год назад
Huna Jipya Maana Nanyi Mlikopa na Huyo Mwanakwenda Zake Tena Mlikua Mnakopa Bila Kushirikisha Bunge na. Mama Hakuna wa Kwanza Kukopa Kakuta Marais Wanakopa Halafu Mnavyoonekana Mnaudinidini Mtake Mistake Mama Ndo Rais Wetu na Muhula Ujao Atapita Hana Mpinzani
@amenipasanga9865
@amenipasanga9865 2 года назад
Inauma Sana yan, hii mikopo ina riba kubwa Sana vizazi vijavyo watateseka Mana tutafka point hatukopesheki na tunatakiwa kulipa deni
@KCONE_1
@KCONE_1 2 года назад
We
@ramadhanimohamed154
@ramadhanimohamed154 2 года назад
vitalipa uchumi vilivyokalia hivyo vizazi
@double8tz
@double8tz 2 года назад
fact
@user-ig5yn4zp2u
@user-ig5yn4zp2u 3 месяца назад
Nchi yetu ukiwa kiongozi msimamia haki unaonekana ur so defferent na unapigwa vita balaa lakinini viongozi wasiolitakia mema taifa letu wanashangiliwa sanaa sanaa
@michaelligwa9448
@michaelligwa9448 2 года назад
Zimeanza kurudi akili za enzi za magu
@azizaaziza9113
@azizaaziza9113 2 года назад
Hizi ni rasha rasha za masika bado
@mustaphawelder7022
@mustaphawelder7022 3 месяца назад
Mmmmh siku hizi watanzania, hatutaki kufanya kazi Ila tunataka mikopo kila kukicha
@ambakisyemwanjemba5787
@ambakisyemwanjemba5787 2 года назад
Hiyo ndio kazi ya huu muhimili vyema ujitegemee kuishauri serikali maana inatimiza majukumu yake vyema kabisa na wabunge wamuunge mkono spika maana wao ndio midomo yetu na wenyeviti wa ccm wanao mkosoa Ndugai watulie kabisa.
@lupamwakyusa1582
@lupamwakyusa1582 2 года назад
Daaah kweli watu wamechoka mpaka ndugai kaongea kwa stahili iyoo watanzania tuko nyuma yako
@mudighurayra
@mudighurayra 2 года назад
Peke ako usi tuunganishe na sie
@patrinraura1397
@patrinraura1397 Год назад
Mhe Maneno yako watabaki kuwa Lulu Wewe ni Zao la Hayati Wapendwa wetu waliotangulia mbele ya Haki Mhe. Mwl Nyerere na Mhe Dr Magufuli
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 3 месяца назад
Tooo painful, let crying
@ramadhanimohamed154
@ramadhanimohamed154 2 года назад
Saidia babaa!!!Mbona wagogo wanatembeza bakuli huwasemi, Mama akikopa kwa ajili ya nchi we inakuuma nn?
@geraldbenjamin9302
@geraldbenjamin9302 2 года назад
Yes tunataka nchi ya namna hii, kila mtu awe huru kusema anachoona kinafaa kikubwa havunji sheria
@azizaaziza9113
@azizaaziza9113 2 года назад
Alipokufa magufuri mlishangilia sasa imekuwaje tena?
@azizaaziza9113
@azizaaziza9113 2 года назад
Sasa ndugai si ndiye aliwasimamisha watu bungeni leo na yy kawaje
@bozbun3994
@bozbun3994 2 года назад
Ndugai ..ndugai ...ulikuwepo wakati wa magu ...aliwezaje Nani anaekubali kupitisha haya mamikopo Kama sio wewe na bunge lako ...we ndo dalali wa kwanza kuuza hii nchi..
@mungunimwemakilawakati1299
@mungunimwemakilawakati1299 2 года назад
MHE. NDUNGAI HEBU TUELEZE, INA MAANA MAMA ANAKOPA BILA KUPITISHA BUNGENI?
@alexandermutune6131
@alexandermutune6131 2 года назад
Kwa nini anapinga mkopo?Nchi zote duniani huwa zinakopa ndio miradi ya serilali iweze kuendelea
@RichardJailo-pp7kj
@RichardJailo-pp7kj Год назад
Ndugai tupo pamoja sana hata huku madarasa yamekengwa kwa Hela za corona wananchi wakashindwa kununua meza ya mwalimu😅
@uwezowamunguutendaokazi3043
@uwezowamunguutendaokazi3043 2 года назад
Mungu mkuu aturehem. Taifa alipo sawa.
@michanokhamis6636
@michanokhamis6636 2 года назад
Ww umekosea kwanza tuanze kwako kwenda kzn kw kutumia gri na mafuta ya kwako afu tupunguze mshahara wako kuliko kulipa tozo ili kunufaisha maisha yako mama kopa tu cc wala hatuumii kitu na sku nchi ikiuzwa bc tugawane wote tu ww una mamali mengi kwa tozo zetu.
@alihassani1960
@alihassani1960 2 года назад
Nchi yetu ni tajiri sana hata bila ayo madeni ila sijui tunakwama wapi
@patrickKitambo
@patrickKitambo Год назад
Shida ni tulio wapa viongozi ni vipofu
@herodeshoo8070
@herodeshoo8070 2 года назад
Hata hongkong iliuzwa kwa waingereza na leo ni eneo tajiri duniani
@Magenibundala-nx8xe
@Magenibundala-nx8xe Год назад
ALISEMA UKWELI KABISA TUKAJIFANAYA VIZIWI.
@hamismabula5813
@hamismabula5813 2 года назад
Leo umeongea kianaume,
@oscarsimango6644
@oscarsimango6644 2 года назад
Nimekuelewa sana mh,ifike sehemu wabunge muwe na uchungu na hii nchi
@user-ig5yn4zp2u
@user-ig5yn4zp2u 3 месяца назад
Kweli nchi yetu daah!!!!!
@happyodran4347
@happyodran4347 2 года назад
Pole Ndugai aturakiwi kuendelea kufanya makosa, pole Mungu akupiganie
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 2 года назад
Bora kuwa kilema wa mguu kuliko kilema wa akili, ndugai ana tatizo maana anaongea nje ya bunge lakini ndani ya bunge yeye ndiye anapitisha hayo mambo
@ramadhanzengwe3876
@ramadhanzengwe3876 2 года назад
Yani leo umeamka safi sana huo ndio uzalendo hapo kwa leo tupo pamoja
@mudighurayra
@mudighurayra 2 года назад
Kwaiyo umefurahia kwamba tuengezewe tozo zaidi ya izo zilokuepo au
@user-ej8kd4og1c
@user-ej8kd4og1c Год назад
Huyu mwamba hamkumuelewa na hasa ni unafiki wetu tulionao tukamsakama ,shda huwa hatuendi mbali kifikra nakujiuliza na kutafuta umaana anaomaanisha mtu,Leo hii tunayaona.Tuseme basi bwn huyu anaoma mbali..Tufikie tuache kumshambuli mtu kwa mawazo yake anayoyatoa.sasambona mashafu yanatushuka mkataba wa Dpworld na mikataba mingineambayo hatuijui?Mungu Atupe watz uelewa badala ya Elmu
@ronmbwilo4036
@ronmbwilo4036 2 года назад
huwa na mkubali sana huyu mh: Ndugai
@EzekielChalomhola
@EzekielChalomhola 2 месяца назад
Ningekunyoshes mikono maisha yangu pamoja na mambo mengi mabaya kama ungeyasimamia hayo maneno mpaka kufa. Lakini Kwa vile uliomba msamaha huaminiki kamwe
@stevenhinjo9664
@stevenhinjo9664 2 года назад
Good
@gomskitaa4840
@gomskitaa4840 2 года назад
Wkt tunafikisha iyo tilioni 70 wew ulikua nchi ipi mbona atukuwai kukusikia ukikemea iyo
@sumaidgasto4721
@sumaidgasto4721 2 года назад
Ndugai ni mbuge hayo ni maoni yake kama mbuge. Pinga hoja yake sio yeye binafsi, tujenge utaratibu wa kuvumiliana na kupingana bila kugombana bila kutukanana
@peternassari7634
@peternassari7634 2 года назад
@@HH-xp7ei 👏👏👏👏👏
@suphianmsambwa706
@suphianmsambwa706 2 года назад
Kuongea aliongea pointi,alichokosea kutubu,alitakiwa ajihuzuru kimyakimya na msimamo wake huo ndouongozi kusemayamoyoni
@victormushi6641
@victormushi6641 2 года назад
kwani siku hiyo ulikula nini mbona umeongea ukweli kama huo.. huyo ndio wewe sasa..habari za kusema maneno yamechezewa hapana hatukuelewi.
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 Год назад
Mwamba alikuwa sahihi sana,japo walikupinga lakini ulitwambia ukweli kabisa,uishi miaka mingi Ndugai
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 2 года назад
Mbuna hukuyasema haya wakat wa Magu ikiwa alikopa hata zaidi ya miaka kumi ya kikwete na mkapa? Huo Ni unafki jobless goigoi
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 2 года назад
Spika ndugai analaana ya Prof ASSAD ni jipu linaiva taratibu pia ana laaana ya Prof ASSAD
@mlaponiernest9883
@mlaponiernest9883 2 года назад
Ndugai mnafiki, ulikua wapi mwanzoni Kitaumana 2025 mtajua hamjui
@rozinabrendan7741
@rozinabrendan7741 2 года назад
Baba, uko vizuri Mungu akusaidie tutimize malengo
@mgallason...5686
@mgallason...5686 2 года назад
Nilikuwa naangalia clip uliyoomba msamaha, nikajiuliza Kumbe muimili wa bunge uko soft? Nikasema Ngoja nitafute Chanzo ndo naangalia hii clip ambayo umetoa maneno kama spika haswaaa lakini ta tizo ninaloliona ni kama mtu aliyevaa nguo imechanika chanika kama kapigwa bomu Halafu anakwenda kumnyooshea Kidole mtu ambaye nguo yake ina kitobo kimoja tu. Naona Unafiki unavyotamalaki, Mungu atusaidie sana, R.I.P JPM.
@mrsnam6897
@mrsnam6897 2 года назад
Ndio huyu jamaa ni mnafiki sana
@zubedasoud9204
@zubedasoud9204 Год назад
0
@joycejoseph4759
@joycejoseph4759 2 года назад
Uko sahihi kabisa ndugai, mtani asanteeeee ukweli tumeahaujua
@abdulmalickupete9015
@abdulmalickupete9015 2 года назад
Lipumbavu tubanane KWA hella zipi?huyu jamaa amelewa!!!!!?
@kalakido9455
@kalakido9455 2 года назад
Mr job ndugai unaweza kutuambia kabla ya rais ssh deni la taifa lilikua kiasi gani?
Далее
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Просмотров 8 млн
IT'S MY LIFE + WATER  #drumcover
00:14
Просмотров 18 млн
DR SLAA AFUNGUKA A-Z UTEKWAJI WA ALLY MOHAMMED KIBAO
15:08
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Просмотров 8 млн