Baadhi ya ndugu wa marehemu Agnes Omary, binti wa miaka 14 aliyekutwa amejinyonga jana jijini Dodoma wemeliomba jeshi la polisi kuchunguza kwa kina ili kubaini chanzo cha mtoto huyo kufikia uamuzi huo mgumu.
✍@official_jennifersumi
#azamnewsupdates
29 авг 2024