Тёмный

NENO LA SIKU | Mathayo 20 | Maombi Ya Kufunguliwa Kwenye Kazi 

Neno La Siku
Подписаться 3,2 тыс.
Просмотров 3,9 тыс.
50% 1

Leo tunasoma kitabu cha Mathayo sura ya ishirini, na tunaenda kufanya maombi ya kufunguliwa kwenye kazi. Vifungo vingi vya kiroho vinapitia kwenye maeneo ya kazi na kuathiri maisha kiujumla.
Na jambo hili halikuanza leo, lakini lilianza tangu mwanzo kwenye bustani ya Edeni. Na mpaka leo shetani anatesa watu kwenye maisha yao kupitia eneo la kazi.
Nakuombea YESU akufungue na akupe ushindi mkuu kupitia maombi haya ya siku ya leo. Damu ya YESU ikufunike. Mungu akubariki sana na kukutunza. Amen

Опубликовано:

 

20 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 36   
@praiseangela6422
@praiseangela6422 6 месяцев назад
Amen and Amen in the name of Jesus Christ
@NeemaaliceK2546
@NeemaaliceK2546 6 месяцев назад
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Kwa aljili ya neno na maombi Kwa ujumla , Mwenyezi Mungu Akuzidishiae pale unapopunguza, na lolote uombalo Mungu wa mbinguni akujalie Kwa Jina la Yesu, Shalom
@adielmero9056
@adielmero9056 6 месяцев назад
Mtumishi ubarkiwe sana uzidi kufungua vifungo vya ibilisi vinavyoharibu maisha ya watu Mungu
@alicekundi3808
@alicekundi3808 6 месяцев назад
Nabarikiwa sana na maombi haya.Mungu Baba akubariki sana Mtumishi 🙏
@margaretmumby2411
@margaretmumby2411 6 месяцев назад
Asante sana mtumishi wa mungu kwa maombi ya kufuguliwa..may GOD lift you higher
@HariytAsd
@HariytAsd 6 месяцев назад
Amen
@asminetaba253
@asminetaba253 6 месяцев назад
Amen ubarikiwe sana mtumishi, 🙏
@rhodamwakatundu5226
@rhodamwakatundu5226 6 месяцев назад
Ubarikiwe sana masihi wa Bwana Yesu
@AnthonyRingoma
@AnthonyRingoma 5 месяцев назад
Asante sana kwa maombi Hayo nimebarikiwa sana na mungu akubariki na azidi kukuinua katika jina la yesu.
@smilewithafrica
@smilewithafrica 3 месяца назад
Na barikiwa sana na maombi haya. MUNGU AMEKUTUMIA MTUMISHI ILI WENGINE TUPONE NA KUOKOLEWA. ASANTE NA BARIKIWA SANA.
@lennyfrank
@lennyfrank 4 месяца назад
Ameen Ameen
@zitashio7920
@zitashio7920 6 месяцев назад
Asante Yesu kwa ajili ya mtumishi wako anaendelea kutufungua hatua kwa hatua
@mkailivin4050
@mkailivin4050 6 месяцев назад
Amen mtumishi ubarikiwe na Mungu azidi kukutunza ili nasi tupate kupona
@smilewithafrica
@smilewithafrica 3 месяца назад
Ameeeen
@JackpayJackpay
@JackpayJackpay 25 дней назад
Amina 👏👏
@doryomary732
@doryomary732 3 месяца назад
Amina
@adielmero9056
@adielmero9056 6 месяцев назад
21:29 21:31
@victoriaaman6628
@victoriaaman6628 6 месяцев назад
Amen Mtumishi Asante sana 🙏
@naomimagoma7593
@naomimagoma7593 6 месяцев назад
Amen, barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@Zogath-h2p
@Zogath-h2p 6 месяцев назад
Amen mtumishi wa mungu ubarikiwe sana
@serinaserina9639
@serinaserina9639 6 месяцев назад
Ameen Ameen baba
@JasmineMsuya-ru7xs
@JasmineMsuya-ru7xs 5 месяцев назад
Ubarikiwe Sana mtumish was mungu
@pamelabracedes9600
@pamelabracedes9600 6 месяцев назад
Amen ubarikiwe sana mtumishi 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@peacemwesiga
@peacemwesiga 3 месяца назад
Nimefunguliwa na uzao wangu❤
@JÉSUSISLORDFOREVER-z1e
@JÉSUSISLORDFOREVER-z1e 6 месяцев назад
😢
@sabinaleonce8243
@sabinaleonce8243 6 месяцев назад
Amina Mtumishi wa Mungu, Mungu akuinue ktk viwango vya juuu
@pendongowi1151
@pendongowi1151 6 месяцев назад
Ameen Man of God 🙏God bless you
@Dorcas-v7h
@Dorcas-v7h 6 месяцев назад
Asante sana mtumisi I'm so blessed and strength
@ComputerRoom-t5q
@ComputerRoom-t5q 6 месяцев назад
Ujumbe wangu, maombi yangu, barikiwa sana mtumishi wetu. Napokea ushindi kwa jina kuu la Yesu
@Celina-sn2fq
@Celina-sn2fq 6 месяцев назад
Amen
@Eunice254-o7x
@Eunice254-o7x 5 месяцев назад
Amen
@sabinaleonce8243
@sabinaleonce8243 6 месяцев назад
Amina
@MarcoPeter-y5n
@MarcoPeter-y5n 5 месяцев назад
Amen
@MarcoPeter-y5n
@MarcoPeter-y5n 5 месяцев назад
Amen
@Africanah100
@Africanah100 6 месяцев назад
Amen
Далее
NENO LA SIKU | Mathayo 21 | Maombi Ya Kuvunja Laana
1:00:23
NENO LA SIKU | Luka 18 | Maombi Ya Kudai Haki Yako
32:29
VYAKULA VYOTE NI SAFI? | Mtume Maliyabwana
2:07:48
Просмотров 1,2 тыс.
AINA YA MAOMBI AMBAYO MUNGU ANAJIBU Mwl Mpoki Jafari
21:44
NENO LA SIKU | Luka 11 | Maombi Ya Kufungua Riziki Yako
33:23
NENO LA SIKU | Luka 17 | Maombi Ya Kushukuru
27:49
Просмотров 8 тыс.