Тёмный

MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE : MAOMBI ENDELEVU UFUNGUA MALANGO YA FURSA KWA MUOMBAJI. 

MARANATHA ONLINE TV.
Подписаться 45 тыс.
Просмотров 161 тыс.
50% 1

Endelea kufuatilia vipindi mbalimbali na Mahubiri kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Bishop fj katunzi ambae ni Mwalimu wa Neno la Mungu, Mhubiri wa Injili, Mwandishi wa vitabu na mtafiti wa historia ya Kanisa. Pia amekua akiongoza safari za mafunzo katika nchi za ki-Biblia Israel, Misri, Uturuki na Jordani.
⚫️ SIKILIZA MARANATHA GOSPEL RADIO: mixlr.com/maranatha-gospel-radio
⚫️ VISIT LIVE IBADA: ru-vid.com?list...
⚫️ WASILIANA NA MARANATHA ONLINE TV: ( +255 754 367 826 )
⚫️ Email: faithtrustees40@gmail.com
*** OUR PLAYLISTS***
⚫️ HABARI MCHANGANYIKO: ru-vid.com?list...
⚫️ BISHOP FJ KATUNZI IBADA: ru-vid.com?list...
⚫️ MAFUNDISHO: ru-vid.com?list...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: ru-vid.com?list...
⚫️ UCHUMI: ru-vid.com?list...
⚫️ IJUE ISRAEL NA KANISA: ru-vid.com?list...
⚫️ SIMULIZI ZA KUFUNGULIWA: ru-vid.com?list...
⚫️ IFAHAMU CITY CENTER CHURCH: ru-vid.com?list... SIKILIZA MARANATHA GOSPEL RADIO: mixlr.com/maranatha-gospel-radio
⚫️ VISIT LIVE IBADA: ru-vid.com?list...

Опубликовано:

 

20 авг 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 146   
@marysbeautyempire806
Haya Mafundisho Yamenigusa Leo tarehe 16/10/2023.. Nimepata kusikia Neno ambalo litabadili historia ya maisha yangu. Mungu tusaidie sanaa. Semina hii Ilikuwa kwa ajiri yangu na ni kusudi la Mungu kwa ajiri yangu. Nimebarikiwa sanaa
@shirimaoliva7695
Mungu naoma unisaidie mimi na mume wangu maana kwenye majaribu tunayopitia tumefika mwisho bila msaada wa Mungu atuwezi kabisa ,
@mercychebetchematwa134
@mercychebetchematwa134 28 дней назад
Neno lawakati Kwa Hali yangu 2/7/2024
@teresiahasan8535
@teresiahasan8535 Год назад
Mungu akutunze BAB kupitia masomo yko Kuna viwango tunavushwa na Mungu
@user-fj5qe5xe5o
@user-fj5qe5xe5o Год назад
Baba unaniongezea Imani Mungu akubariki na akupe miaka mingi
@elizabethalphonce9906
Huu ujumbe umenibariki Leo 6/6/2024
@UeniceBukuku-rk4st
@UeniceBukuku-rk4st День назад
Daaa asantee baba kwa mafundisho mazur Mungu akuinue
@shirimaoliva7695
Amina Mchungaji Mungu naomba unisaidie nikufuhamu wewe zaidi na niwe mwepesi wa kuomba Toba ili nikawe nguvu ya familiya yangu
@pascmedia1713
@pascmedia1713 Год назад
Amina Baba ubarikiwe sana
@teresiahasan8535
@teresiahasan8535 Год назад
Mungu akutunze BAB kupitia wew Kuna viwango tunavushwa na mungu
@dativadominic7093
Barikiwa sana mtumishi ...Mwenyezi Mungu azidi kukutunza utulishe neno
@user-oy4rg7lo9q
Ubarikiwe sans mtumishi wa mungu neno hili limenikumbusha baba yangu mzazi mungu amulaze Magali pema
@bestcakes7098
Asante Yesu kunihudumia leo kupitia mtumishi wako. Utukufu kwa Mungu🙏
@user-exauceimani
Asante sana kwa mafundisho na maombezi, u barikiwe sana mchungaji na kanisa
@user-dt5zo7kj5s
Asante sana Kwa kutullisha neno zuri MUNGU akubariki
@janejacob1402
Asante MUNGU wa mbinguni nimebarikiwa ameni MUNGU ni mwema sana 🙏
@EmanuelEtlawe-nr8co
@EmanuelEtlawe-nr8co Год назад
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu nabarikiwa na masomo yako mungu azidi kukupa mafunuo
@peterisack5016
@peterisack5016 Год назад
MUNGU akulinde sana mtumishi wa MUNGU
@TulasupaSanga
Narúdi kwa bwana mwalimu naomba uniombee ubarikiwe sana🙏🏿
@elizabethelias3130
Asante Mungu kwa kunikutanisha na hili somo
Далее
Ouch.. 🤕
00:30
Просмотров 9 млн
ZIJUE ISHARA ZA ROHO MTAKATIFU KATIKA NDOTO
20:54
Просмотров 856 тыс.
JAPHET MAGOTI; NGUVU ILIYOPO KATIKA ARDHI VOL. 1
45:47
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: FAHAMU JUU YA MAONO YA HUDUMA.
2:20:42