Тёмный

NGUVU ZA MUNGU NDANI YA MTU ANAYEFUNGA NA KUOMBA 

SIRI ZA BIBLIA
Подписаться 106 тыс.
Просмотров 82 тыс.
50% 1

#kuomba#kusali#kufunga#fasting
Maombi ya kufunga yanaweza kukufanya uongezeke kiimani.
Mathayo 17:21 ‘’ [Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga.] ‘’
-Kwa sababu kuna mambo ambayo yatawezekana tu baada ya kufunga, naamini imani yako itaongezeka kupitia matokeo ya kufunga kwako.
Mfano. Ulikuwa ukihitaji kupata kazi kwa muda mrefu sana. Uliomba maombi ya kawaida na bado hukufanikiwa kupata kazi, baada ya kuamua kufunga siku 5 ukajikuta unapata kazi na pia ukawa unapigiwa simu kwamba unahitajika katika kazi 3 tofauti. MUNGU amekujibu ombi lako la kupata kazi na nahakika imani yako itaongezeka sana. Ndio maana nasema hivi maombi ya kufunga yanaweza kusababisha imani yako ikue, hiyo ndio sifa ya kufunga na kuomba kisha kupokee kutoka kwa BWANA.
Naam, tukiujua wakati, kwamba saa ya kuamka katika usingizi imekwisha kuwadia; kwa maana sasa wokovu wetu uko karibu nasi kuliko tulipoanza kuamini
"Warumi 13:11"
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
linktr.ee/sirizabiblia
Instagram Account
/ siri_za_biblia
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

Опубликовано:

 

31 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 208   
@gracekunambi7438
@gracekunambi7438 2 года назад
Amen.. Barikiwa sana mtu wa mungu... Kwa kuendelea kutufunza na kutupatia zaidi na zaidi juu ya maarifa ya kimungu... Nabarikiwa sana na najiona kabisa hali yangu kiroho imeongezeka sitaki kuangalia kitu kingine zaidi ya neno
@user-we1wt2kg8m
@user-we1wt2kg8m Год назад
Nimepata kitu kipya hapa ubarikiwe sana mtumish
@magrethraymond1162
@magrethraymond1162 2 года назад
Hakika kuna nguvu sana katika kufunga asanteh sana mtumishi
@neemametison1477
@neemametison1477 Год назад
🙏 ,mtumishi ,hili nifungu langu,naamini Leo nitafunguliea ktk jina la yesu kristo
@neemaneema6825
@neemaneema6825 2 года назад
Amina.mtumishi Ameni kesho.jumatatu naaza.kufunga.maana.kuna.kitu.umesema.kimenigusa.sasa.iliweze Kujinasuwa.nifunge.kesho.naaza.Asante..sana.mtumishi🙋‍♀️🙋‍♀️
@JuliaMilanz-df5pr
@JuliaMilanz-df5pr Год назад
Asante mtumishi nafunguliwa kwa mafundisho yako barikiwa Sana
@PresciousGold
@PresciousGold 4 месяца назад
Amina 😭😭😭 yani maombi ya kufunga na kuomba yanajibu
@jplacroyance4590
@jplacroyance4590 Год назад
Amen Nabarikiwa sana n'a hili solo kwa kweli. Mungu atwezeshe tujue kuomba na kufunga
@elizabethtarmo3711
@elizabethtarmo3711 2 года назад
Innocent hakika umefanyika baraka kubwa safi barikiwa sana karibu kanisani siku moja by mtumish Gerald Yamoya
@sylviakhasandi8812
@sylviakhasandi8812 2 года назад
Neno la mungu lipewe sifa...nimebarikwa saana
@irenemgimba6556
@irenemgimba6556 2 года назад
Ameni nimeguswa Sana asantee kwamafundisho haya mtumishi 🙏🙏
@fidesassenga4971
@fidesassenga4971 Год назад
Amen
@daftonkizaro1320
@daftonkizaro1320 2 года назад
Barikiwa sana mchungaji naendelea kufuatilia maandiko Yako
@agnethpaul3596
@agnethpaul3596 2 года назад
Asante Sana.... Kuna ukweli KABISA. Mungu akutie nguvu uendelee kuawaangazia watu.
@charlesmose9555
@charlesmose9555 2 года назад
Mutumishi ubarikiwe sana endelea kutufunza Amen 🙏
@neemamussa1227
@neemamussa1227 2 года назад
Amina mtumishi ubarikiwe sana
@pamelaomusula1042
@pamelaomusula1042 2 года назад
Amen asante kwa mafundisho nimejifunza nisilojuwa
@dorahbendera6066
@dorahbendera6066 Год назад
Ameni ubarikiwe mtumishi wa mungu.somo zuri neema ya Mungu itusaidie
@maseaJoe8676
@maseaJoe8676 Год назад
Asante sana mtumishi nimejifunza. Amen Amen
@jeremiaholtetia1435
@jeremiaholtetia1435 2 года назад
Amina sana kaka yangu Mungu azidi kukuinuwa my brother tupo pamoja sana
@abumasharihabibu8145
@abumasharihabibu8145 2 года назад
Mimi naishi na mwanaume kwa miaka mitatu atuja funga ndoa je naweza kufunga ikiwa hatuja funga ndoa ni sahihi
@rosaliamutua3403
@rosaliamutua3403 2 года назад
Ameeen Mwenyezi Mungu na akubariki ahsante sana Kwa mafundisho Yako mazuri 🙏🙏
@jacksonstephano7072
@jacksonstephano7072 2 года назад
Nashukuru sana naomba kujua vipindi vyenu iliniweze kufuatilia zaid
@nicodemianarose5216
@nicodemianarose5216 Год назад
Ameen barikiwa mtumishi kuna kitu nimejifunza
@patriciampwage1481
@patriciampwage1481 Год назад
Amina kaka nabarikiwa na mafundisho y'ako mungu akutumie sawa sawa na mapenzi yake
@pendomarco8928
@pendomarco8928 2 года назад
Amina Yesu wangu anitimizie kila hitaji langu kwa kufunga na kuomba
@neemamalisa644
@neemamalisa644 Год назад
Mungu azidi kukubariki kwelii umenifungua kiimani👏👏
@JustineGabriel-y5v
@JustineGabriel-y5v 26 дней назад
Mungu nioneee huruma mimi nilie wako sina pa kwenda wala pa kikimbilia ila kwako tu
@onelovechannel2179
@onelovechannel2179 2 года назад
Barikiwa pia🙏
@nicodemianarose5216
@nicodemianarose5216 Год назад
Amina Mtumishi napenda sana maombi yako
@hellensaiguran219
@hellensaiguran219 2 года назад
Ameeen Mtumishi wa Mungu:Mungu aendelee kukutunza ni kweli kabisa
@thomasErick-wt1bb
@thomasErick-wt1bb 5 месяцев назад
Ameen 🙏🙏 ubarikiwe mtumishi wa mungu...
@user-is6og7uh1p
@user-is6og7uh1p 2 года назад
asante ndugu haswa sisi ambao tuko gulf countries tunapasaa kufunga na kuomba
@gloriaeliasy4860
@gloriaeliasy4860 2 года назад
Amina nikweli kabisa kaka maombi ya kufunga niyana nguvu na majibu makubwa Bwana YESU asifiwe
@vosgeniustv4927
@vosgeniustv4927 2 года назад
Kumbe nguvu ipo katika kufunga na kuomba!
@sirizabiblia5276
@sirizabiblia5276 2 года назад
kabisa
@rozroza7030
@rozroza7030 Год назад
Amen, Thank you the man of God, I really appreciate and am blessed with the word of God 🙏🙏
@daisytarus4971
@daisytarus4971 2 года назад
Wow amazing God bless you
@pascasmathew424
@pascasmathew424 2 года назад
Ubarikiwe sana
@fourgmobile1969
@fourgmobile1969 Год назад
Ameeeen, asante kwa funzo mungu akubariki
@ProsperNgabirano-pn2xy
@ProsperNgabirano-pn2xy 10 месяцев назад
Asante sana Mtumishi wa Mungu ninaimani na mim Nita kuwa ki Roho natamani sana kukuwa maana naangukaga sana ila Nina Imani kukutana nanyi ni mpango wa Mungu mbalikiwe sana
@josephinegravasiano8860
@josephinegravasiano8860 Год назад
Asante sana mtumishi wa Mungu
@fatumakitwara6644
@fatumakitwara6644 Год назад
Amen, ubarikiwe sana mtumishiwa MUNGU......❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥🙏🙏🙏🤲🤲🤲🗣🗣teaching good!!!
@elizabethswai9670
@elizabethswai9670 2 года назад
Mm nimefunga kwaajili ya ndg wangu amepotea,na ninaimani atapatikana
@agnesyjoseph3906
@agnesyjoseph3906 Год назад
Amina, Asante mtumishi
@prettyh7509
@prettyh7509 2 года назад
asante mtumishi nauliza ni sahihi Kwa mwanamke kufunga akiwa katika siku zake
@sirizabiblia5276
@sirizabiblia5276 2 года назад
ni sahihi kabisa, kama hauna matatizo ya kiafya hakikisha unamtafuta Bwana bila kizuizi chochote
@user-sl2fw2ev6o
@user-sl2fw2ev6o 6 месяцев назад
Bwana yesu asifiwe sana mchungaji asante kwa mafunzo na msitati za kunitia nguvu barikiwa saana
@marymaria6544
@marymaria6544 Год назад
Asante mtumishi mungu akubariki.
@marymaria6544
@marymaria6544 Год назад
Pia natamani sana mungu anifungulishe yarohoni
@mussaisaac
@mussaisaac 2 года назад
Amina umenitia nguvu,nilikua namaombi ya mfungo ya siku 3 na leo nimekamilisha neno limekuja kwa wakati.
@sirizabiblia5276
@sirizabiblia5276 2 года назад
Utukufu kwa Mungu aliye hai
@juniourmgina2663
@juniourmgina2663 Год назад
Ubarikiwe sana kwa MAOMBI
@user-vl8uu1wb3j
@user-vl8uu1wb3j Год назад
Amen na ukiomba hune MTU mweye amevaa nguo nyeupe nini sasa niambie please
@sofiaoman5901
@sofiaoman5901 2 года назад
Mungu akubariki kwa mafundisho umemijenga kiimani
@sirizabiblia5276
@sirizabiblia5276 2 года назад
utukufu kwa Mungu
@estaraberd1245
@estaraberd1245 Год назад
Amina mtumishi Ubarikiwe sana, 🙏🙏
@prosperidinya5864
@prosperidinya5864 11 месяцев назад
Asante Kwa kutuweka karibu na Mungu. Bwana atubariki
@anatholiamsuri7742
@anatholiamsuri7742 2 года назад
Asante sana Mungu akubariki
@anordzabron9441
@anordzabron9441 2 года назад
Ubarikiwe mtumishi wamungu
@LazaroMkungilwa-jy1mv
@LazaroMkungilwa-jy1mv Год назад
Amen mtumishi
@tumsifumartine612
@tumsifumartine612 2 года назад
May God bless you!nabarikiwa sana kwa mafundisho yako
@omarnzeyimana5961
@omarnzeyimana5961 2 года назад
Asante sana ndugu ubarikiwe sana hugo ndio ukweli
@work24onme
@work24onme 2 года назад
ASANTE SANA 🙏🏼 NAOMBA KUJUWA, HOW 🤷🏽‍♀️ , Kivipi? Tuanzie wapi hatua hadi hatua Nina au tuna paswa, INSTRUCTION , etc. - moja kiutakatifu Anza ivi - mbili - tatu - Etc. - Before kufungulia fanya haya - after kufungulia fanya haya - Etc.
@prettyh7509
@prettyh7509 2 года назад
Asante sana Kaka tafadhali mawasiliano yako, mi nasumbuliwa na tabia za ajabu na uadui, zaidi napenda kula hovyo😔
@sirizabiblia5276
@sirizabiblia5276 2 года назад
0758 708804 ujumbe kwa Whatssap
@neemamussa1227
@neemamussa1227 2 года назад
Ubarikiwe sana Mtumishi
@jamesnjamas7019
@jamesnjamas7019 2 года назад
Asanteni sana
@sarahyusuph3269
@sarahyusuph3269 2 года назад
AMEN MTUMISHI UBARIKIWE SANA
@gbolinatimkama-jm4qj
@gbolinatimkama-jm4qj Год назад
Amina bwana anibariki
@beatricemuhonja6064
@beatricemuhonja6064 2 года назад
Amen mtumishi nimepokea mafunzo.
@user-hx5wp4kg9h
@user-hx5wp4kg9h Год назад
Barkiwa xna mtumishi wa mngu
@dasilvajr9647
@dasilvajr9647 2 года назад
Ubarikiwe sana mtu wa MUNGU
@sirizabiblia5276
@sirizabiblia5276 2 года назад
Amen
@loycejoshua531
@loycejoshua531 2 года назад
Mungu akubaliki sana
@mgesizablon790
@mgesizablon790 3 месяца назад
Amen asante kwa mafundisho mazuri
@MeshackKasanda
@MeshackKasanda 20 дней назад
Amen pastor mungu akubariki
@christermlewa8471
@christermlewa8471 4 месяца назад
Asante Yesu wangu unanifungua Kila siku
@sylviaomwenga8740
@sylviaomwenga8740 Год назад
Amen Amen ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@aishakopose26
@aishakopose26 6 месяцев назад
Asante sana mtumishi wamungu❤
@vivianmapenzi7946
@vivianmapenzi7946 Месяц назад
Ameen uaweza kufunga siku jumapili
@alicemalombo6813
@alicemalombo6813 Год назад
Amen 🙏🙏 glory to God...be.. bless brother ❤️❤️❤️❤️🤲
@nelly-xf6kg
@nelly-xf6kg Год назад
Aminaaaaaaaaaaaaaa ubarikiwe
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 2 года назад
Amen 🙏🌾🌾🌾 mwana wa ufalme
@elizabethfatuma9053
@elizabethfatuma9053 2 года назад
Amen Kubwa Baba Barikiwa Saaana tumeelewa
@alisburundi9657
@alisburundi9657 2 года назад
Asante mungu akubaliki
@MwaduduFatma
@MwaduduFatma 10 месяцев назад
Ameen ..ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@marthabelinda4362
@marthabelinda4362 2 года назад
Mm natamani sana kufunga lakin nashindwa sijui mbona lakin nampenda sana bwana
@sirizabiblia5276
@sirizabiblia5276 2 года назад
Kishinde kinachokuzuia, muujiza wako upo hapo
@christandosi9472
@christandosi9472 2 года назад
Amen MUNGU akubariki sana Inocent🙏
@mwadalungazi6885
@mwadalungazi6885 Год назад
Ameeeeeeen God bless you
@RodahAdonice-dz4sm
@RodahAdonice-dz4sm 3 месяца назад
Barikiwa kwa elimu nzuri
@fourgmobile1969
@fourgmobile1969 Год назад
Ameeeen Ameeeen barikiwa mtumishi wa mungu
@EvaAgustino-w5x
@EvaAgustino-w5x 13 дней назад
Mtumishi wa mungu naomba kuwekwa kwenye group
@msbanisa1149
@msbanisa1149 2 года назад
Asante sana mucungaji
@moreenkasekwa7614
@moreenkasekwa7614 2 года назад
Mungu akubarki sana umenifumbua macho
@lightmfanga2408
@lightmfanga2408 2 года назад
Amina mungu atusaidie
@johnngonyani3038
@johnngonyani3038 6 месяцев назад
Amen mtumishi nimebarikiwa na somo
@peninabensonpen870
@peninabensonpen870 Год назад
Amen Amen Mungu wa mbinguni akubariki mtumishi wa Mungu
@catheafricanbabe8408
@catheafricanbabe8408 2 года назад
🙏🙏🙏🙏mungu akubariki sana
@lizymakonda7844
@lizymakonda7844 2 года назад
God bless you tupo pamoja Kaka.
@user-qo1jx1iq6i
@user-qo1jx1iq6i 7 месяцев назад
Mtumishi wa bwana naomba kuwekwa kwa group😊
@user-ld6fd4kz2u
@user-ld6fd4kz2u 2 года назад
Ubarikiwe saana pasta🙏🙏😭😭
@VIJANAWAYESU12
@VIJANAWAYESU12 Год назад
Amen sana 🙏🏾🙏🏾
@doricemrema2177
@doricemrema2177 2 года назад
Je tutafunga kWA namna gani🙏
@leahkaneza1731
@leahkaneza1731 2 года назад
Amen mtumishi wa Mungu
@user-lz2tp4il5v
@user-lz2tp4il5v 9 месяцев назад
Amen ubarikiwe
@VicentiGordianigabriel-vj6iv
@VicentiGordianigabriel-vj6iv 3 месяца назад
Asante mtumishi
@jayzeem14
@jayzeem14 10 месяцев назад
Asante sana Mtumishi!
@DjSu-rj7tf
@DjSu-rj7tf 9 месяцев назад
Amen thanks so much man of God
@vivianmapenzi7946
@vivianmapenzi7946 Месяц назад
Aki asante sana umenifunza mengi
@MariamMturi
@MariamMturi Месяц назад
Amina mtumishi
@mwinjilistimarcy8375
@mwinjilistimarcy8375 2 года назад
Shukrani sana mtumishi
Далее
UNAOMBA SANA!!!! KWANINI MUNGU HAKUJIBU MAOMBI YAKO???
20:00
БИМ БАМ БУМ💥
00:14
Просмотров 1,7 млн
Best exercises to lose weight ! 😱
00:19
Просмотров 9 млн
AINA TATU ZA MFUNGO
6:24
Просмотров 7 тыс.
JIFUNZE KUZUNGUMZA NA MUNGU
16:47
Просмотров 63 тыс.
JINSI YA KUFUNGA NA KUOMBA $MAOMBI YENYE MAJIBU
11:29
MAOMBI YA ASUBUHI | Sitaogopa
6:06
Просмотров 521 тыс.
JIFUNZE KUKAA KIMYA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
12:39
Просмотров 493 тыс.
ZIJUE ISHARA ZA ROHO MTAKATIFU KATIKA NDOTO
20:54
Просмотров 856 тыс.
TOFAUTI KATI YA KUFUNGA NA KUSHINDA NJAA // Day 4
14:18
MAOMBI YA ASUBUHI | Nitatoka Kwa Furaha
5:47
Просмотров 32 тыс.