Тёмный

UNAPOCHOKA,NANI ANAKUBEBA KATIKA MAOMBI?? // MUHIMU SANA 

SIRI ZA BIBLIA
Подписаться 99 тыс.
Просмотров 83 тыс.
50% 1

MATENDO 12
1 Karibu wakati huohuo, mfalme Herode alianza kuwatesa baadhi ya Wakristo.
2 Alimuua kwa upanga Yakobo, ndugu yake Yohane.
3 Alipoona kuwa kitendo hicho kiliwapendeza Wayahudi, aliendelea, akamkamata Petro. (Hiyo ilifanyika wakati wa sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu).
4 Baada ya kutiwa nguvuni, Petro alifungwa gerezani, akawekwa chini ya ulinzi wa vikundi vinne vya askari wannewanne. Herode alikusudia kumtoa hadharani baada ya sikukuu ya Pasaka.
5 Basi, Petro alipokuwa gerezani, kanisa lilikuwa linamwombea kwa Mungu kwa moyo.
Malaika anamtoa Petro gerezani
6 Usiku, kabla ya siku ile ambayo Herode angemtoa Petro hadharani, Petro alikuwa amelala kati ya askari wawili. Alikuwa amefungwa minyororo miwili, na walinzi walikuwa wanalinda lango la gereza.
7 Ghafla, malaika wa Bwana akasimama karibu naye na mwanga ukaangaza kile chumba cha gereza. Malaika akamgusa ubavuni akamwamsha akisema, “Ondoka upesi!” Mara ile minyororo iliyomfunga mikono ikakatika na kuanguka chini.
8 Malaika akamwambia, “Jifunge mshipi wako, vaa viatu vyako.” Akafanya hivyo. Kisha huyo malaika akamwambia, “Vaa koti lako, unifuate.”
9 Petro akamfuata nje lakini hakujua kama hayo yaliyofanywa na huyo malaika yalikuwa ya kweli; alidhani alikuwa anaota ndoto.
10 Walipita kituo cha kwanza cha ulinzi na cha pili, halafu wakafika kwenye mlango wa chuma wa kuingilia mjini. Huo mlango ukawafungukia wenyewe, nao wakatoka nje. Wakawa wanatembea katika barabara moja na mara yule malaika akamwacha Petro peke yake.
11 Hapo ndipo Petro alipotambua yaliyotukia, akasema, “Sasa najua kwa hakika kwamba Bwana amemtuma malaika wake akaniokoa mikononi mwa Herode na kutoka katika mambo yale yote watu wa Israeli waliyotazamia.”
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
linktr.ee/sirizabiblia
Instagram Account
/ siri_za_biblia
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

Опубликовано:

 

3 ноя 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 2,2 тыс.   
@hamidarose9019
@hamidarose9019 23 дня назад
Bwana yesu asifiwe mtumishi , hakika wewe umetumwa na roho wa mungu , mungu aendelee kunipa kibali cha kuweza kukusikiliza , kwan moyo wangu umechoka sana , nipo ktk gereza lisiloelezeka , naomba msaada wako mtumishi , nazizidi kudidimia kiuchumi , kila nikifanyacho hakuna nachofanikiwa , mm ni wamagonjwa kila kukikucha , roho za kichawi zimenizonga kila sehemu ya maisha yangu , niokoe kwenye hili gereza 🙏🙏
@maryamsylivester8662
@maryamsylivester8662 Год назад
Sina chaguo Naamini umeomba Mengi kwa Ajili yangu kwaniliyokuwa nikiyapitia😭😢 maana Imani yangu Inaniambia Tayari Mungu Amemtuma Malaika wake kwa Ajili yangu Utunzwe na Bwana Yesu Mtumishi wa Mungu Na Ubarikiwe sana Na nitarudi kwaajili ya Ushuhuda kwaatakayoyatenda kwangu 🙏🙏🙏
@harrietmukhemba7680
@harrietmukhemba7680 Год назад
Amen Amen ubarikiwe sana mutumishi wa mungu
@renfridakomba7499
@renfridakomba7499 Год назад
Bwana Yesu asifiwe, nipo ktk mahusiano ambayo sio sahihi ila nashindwa kutoka naomba niombee niweze kutoka
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Год назад
​​@@renfridakomba7499 Omba Toba kwa kuingia kwenye hayo mahusiano Halafu Anza kujitoa Kwa kutumia damu ya Yesu, FUTA Kwa damu ya Yesu km umeingizwa kwenye maagano yyt usiyoyajua Zaburi 51,Isaya 1:18......tubu Halafu Kiri ,sema nafutaa Kwa damu ya Yesu haya mahusiano
@leontinaaugustine4337
@leontinaaugustine4337 Год назад
Mtumishi naomba maombi Kwa ajili ya changamoto yandoa nimarayakwanza kutuma ombihili la ndoa nilikuwanikiomba nawewekupitia yutyubu naomba msaada Kwa hili
@peninabensonpen870
@peninabensonpen870 Год назад
Bwana yesu asifiwe mtumishi wa Mungu roho ya talaka iondoke kwa familia yetu niombee mtumishi wa Mungu
@PascasieShamungabo
@PascasieShamungabo 3 дня назад
Bwana Yesu akubariki Mtumishi wangu. Pengine ili neno ni juu yangu.
@liberathaaugustine472
@liberathaaugustine472 3 дня назад
Asante mtumish wa mungu unipe nguvu ya kukutambua wewe mungu wangu ukani itie ñguvu ukatuponye na magonjwa yote.ktk familia yangu nakuomba bwana yesu ukatupe afya njema na familia yangu.
@termankalendo1439
@termankalendo1439 Год назад
Nawapenda sana watumishi wamungu.munatutia moyo kila wakati God bless you always
@ElinuruKaaya-fz1vi
@ElinuruKaaya-fz1vi Месяц назад
Asante nashukuru kwa maombi y jioni hii yameribiki sana ubarikiwe
@edithaabel7858
@edithaabel7858 9 месяцев назад
Asante mtumishi wa Mungu hakika neno hili limeyagusa maisha yangu, nami nimepokea maombezi haya na asante sana Mungu akubariki na madhabahu hii idumu daima katika kutukomboa🤲🙏
@liberathaaugustine472
@liberathaaugustine472 3 дня назад
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu nimejifunza mengi nawaombea watoto wangu uwafunike Kwa dam ya yesu naamini mungu ni mwema ktka maisha yangu bariki biashara zetu bwana yesu asante mungu.
@Aminafatuma-wb6th
@Aminafatuma-wb6th День назад
Asante mtumishi kwaneno nzuri ninahitaji msahadaa was maombi.
@bitihaywajean3563
@bitihaywajean3563 Год назад
Amen mtu wa Mungu, kwa Imani yote yawezekana
@user-oe1cg6tw7y
@user-oe1cg6tw7y 6 месяцев назад
Ni kweli mtumishi wangu unaloongea baba Mimi naitajtaji mtu aniombee kweli kanisa Asante Kwa roho mtakatifu amen
@evelinamnyawami3751
@evelinamnyawami3751 3 дня назад
Naomba mtumishi umwombee Kaka yangu Fanuel ana utajiri wa mdomoni,kwa kuwa ajua Sana kutoka mawazo yanayovusha wengine lakini yenye kabaki vikevile,ninatumia Sana kwa kuwa kwenye familia ndiye mkubwa,hakuna achofanya ni kazi ya kuzungukazunguka kwa marafiki.Kwa kweli inaniuma Sana,Nina imani Mungu atamfungua kwenye hicho kifungo,katika jina la YESU na kwa damu ya YESU.
@ZakayoMaasai
@ZakayoMaasai 12 дней назад
Mungu akubariki sana mtumshi wa mungu kwakubari naneno ya mungu iyi ndoto nimeota mara nyingi sana laki tusidi tuombean maana bila mungu atuwezi chochote
@zedrickwanjaza5263
@zedrickwanjaza5263 Год назад
Mtumishi wa mungu akika umeiguza moyo wangu ni zedrick kutoka western Kenya
@herielizakayonyari71
@herielizakayonyari71 Год назад
Amen .Amen nashukuru kwa Mungu anavyoktumia tunapata ufaammu wa nano la Mungu na maarifa na nguvu iliyomo ndani ya nani la Mungu 37:41 37:41
@EVALISTERABEDNEGOITUNDA
@EVALISTERABEDNEGOITUNDA День назад
Amina Amina Mungu ni mwaninifu
@kawirajoseph8910
@kawirajoseph8910 Год назад
Mimi ni mjane bwana amekufa juzi nafanya kazi Kwa nguvu dio watoto wangu wasilale badala nihinuke katika kibiasara ina zorota tuu niombee nitoke katika umaskini Amen
@AliceBarasa-ko9ul
@AliceBarasa-ko9ul Месяц назад
Bwana asifiwe pst ni Alice mim mmoja ninaye pitia mambo mengi sana Sina ndoa usiku silali mchungaji naomba uniweke kwa maombi
@mercychesang9749
@mercychesang9749 Год назад
Nakusia nikiwa Saudi Arabia nashukuru kwa mafunzo Yako umenifuza mengi mungu hakubariki sana mtumishi wa mungu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@GressGress-fd9xl
@GressGress-fd9xl 20 часов назад
Bwanayesu asifiwe mtumishi wa mungu naomba uniombee nimekuwa mtu wakuumizwa kila mausian nikifikia ndowa panatokea vurugu naitaji furah ya kutuliya na maisha mazuri nilee watoto wangu na kila nikifanyacho nifanikiwe katika kazi yangu nisaidiy mtumishi nimechoka na maisha
@muhondomusabuli1590
@muhondomusabuli1590 23 дня назад
Amen amen mtumishi wamungu bwana asifiwe sana asante❤.
@Mr.HassanHussen
@Mr.HassanHussen 2 месяца назад
Mimi nataka Mungu anisaidie kuiokoa familia yangu ilio katika maisha magumu na vita vya waovu amina🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@dativaoscar2723
@dativaoscar2723 Год назад
Ameen ameen ameen Ubarikiwe sana, Sina la kusema zaidi ya uweza wake Mungu 🙏🙏🙏🙏
@SolangeNshimirimana-jr3kh
@SolangeNshimirimana-jr3kh 15 часов назад
Acha mungu anifungulie njia nyepesi nitoke hapa EE mungu wayakoba Niko mberezako musalabani nanyenyekea unitanguriye unifunguriye unifiki nadamu yamwano yesu hritso ameen🙏🙏
@NaomiBahat-bz6ri
@NaomiBahat-bz6ri 8 дней назад
Mungu naomba unitete kwa kira hari ninayo ipitia kwa jina la yesu kristo amen
@mariabasso7466
@mariabasso7466 Год назад
Bwana yesu asifiwe mtumishi naomba uniombee mambo yangu yamefungwa kila nitakachokifanya hakionekani,na natamani mungu anijalie mume wangu nifunge ndoa
@furahazero6559
@furahazero6559 Год назад
Acha Mungu anifungulie njia nyepesi nitoke hapa EE Mungu wayakobo Niko mbele Zako msalabani Na nyenyekea unitangulie unifinike Na damu ya mwanao yesu Christo Amen
@omegashuma6584
@omegashuma6584 Год назад
Nimimi mtumishi nipo chini sana kiuchumi nahotaji mtu anibebe kiroho
@victorwesamba2520
@victorwesamba2520 10 месяцев назад
😢😢😢😢😢😢😢 Mungu nikumbuke na family yangu roho yavumasikini nimekataa roho ya ugovi Kwa mausianovyangu aut😢😢😢
@user-nd3hy7ot4w
@user-nd3hy7ot4w 13 дней назад
Bwana Yesu asifiwe! Asante Kwa neno, naomba uniombee mtumishi niondokane na madeni najitahidi yaishe ndio yanaongezeka,mme wangu aache ulevi nimeomba sana na kufunga, pia nahitaji mtoto nimefunga na kuomba miaka zaidi ya 20 naliombea na kufunga nimebaki nashukuru Mungu tu naomba maombi.
@user-qc1bk5zn8w
@user-qc1bk5zn8w 10 месяцев назад
Thank you Lord
@alicembonde202
@alicembonde202 2 дня назад
Shallom mutumishi wangu ....mimi maishanyangu nikama hayo ya petro naomaba mbaombi yako Mungu anifungue in jesus name
@PaulDeogratius
@PaulDeogratius День назад
Mtumishi wamungu naomba uniweke kwenye maombi juu ya maisha yangu elimu yangu
@SusanAshle-zj8do
@SusanAshle-zj8do Год назад
Hallelujah... I receive in the name of Jesus Christ...God bless you 🙏🙏
@aminamfikwa2121
@aminamfikwa2121 Год назад
Kuumwa kwa mtoto kila wakati hasa kifua
@aminamfikwa2121
@aminamfikwa2121 Год назад
Naombea na mtoto mwingine hasikii kila unalo mwambia
@angellokibassa4850
@angellokibassa4850 7 месяцев назад
@rodahshikhaya8628
@rodahshikhaya8628 Год назад
Ndoa familia imesambaratika kabisa, naitaji mtu wa kusimama na mimi kwa jina la yesu amen. Rodah from Kenya.
@FaustaShirima
@FaustaShirima 11 месяцев назад
Mungu ndio kimbilio nanguvu rodah nami nautwa fausta shirima kutoka Arusha Tanzania nitakua naww katika maomb Mungu atarejesha furaha yako na Aman yako itarejea
@rodahshikhaya8628
@rodahshikhaya8628 11 месяцев назад
@@FaustaShirima Amen
@user-iv5ec5gj1v
@user-iv5ec5gj1v 2 месяца назад
Asante sana mchungaji , nashindwa hata niandike nini mimi magumu kila kukicha yananiandama mimi
@agnesjoseph2671
@agnesjoseph2671 29 дней назад
Amina mtumishi wa mungu! Nimebarikiwa na maombi yako yamenigusa kwakweli naitaji mtu!
@aksamsemwa5302
@aksamsemwa5302 Год назад
Ameeen napokea uchumi mzuri, elimu, watoto, afya njema, kwa jina la Yesu
@lilianmagava6854
@lilianmagava6854 Год назад
Mungu anitoe kwenye magumu ninayopitia
@zawadsimon7940
@zawadsimon7940 Год назад
Eemungu nakuomb uniepushe n watu wabay kwenyefamiliy yang amina
@lidyanapegwa8154
@lidyanapegwa8154 10 месяцев назад
Ni kweli kabisa nahitaji mtu atakayenisaidia juu ya Afya yangu na afya za familia yangu
@lidyanapegwa8154
@lidyanapegwa8154 10 месяцев назад
Natamani Mungu anitie kwenye gereza la magonjwa mm pamoja na familia yangu
@dafrozasimwanza700
@dafrozasimwanza700 Год назад
Amen mungu akuinuwe sana mtumishi wa mungu
@kisandosamy4924
@kisandosamy4924 11 месяцев назад
Ule ni mimi lutumishi ninaitaji
@lindanyakile2345
@lindanyakile2345 10 месяцев назад
Barikiwa mtumishi wa Mungu nahitaji mtu wa kunibeba ktk MAOMBI maana nakufa na tai shingoni sababu ya uvimbe shingoni ktk mshipa wa damu zaidi ya miaka 12 sasa na pia nimezurumiwa haki zangu zote Kwny ndoa ya miaka 25
@JoyceMajeno
@JoyceMajeno 9 дней назад
Amen mtumish WA mungu ninaomba mungu anitoe kwenye chamangamoto hizi nnazipitia
@ntumbagiselle8285
@ntumbagiselle8285 3 месяца назад
Amen 🙏🏽
@user-dq5kw4tk5n
@user-dq5kw4tk5n 10 месяцев назад
Pastor ubarikiwe sana wewe MUNGU amekutumia kusaidia maisha yangu na maisha ya wengine asante sana
@julianamasanja9434
@julianamasanja9434 27 дней назад
Na mm naomba uniombee pastor
@mbusuromwita4724
@mbusuromwita4724 Год назад
Amen naomba Mungu anitoe kwenye gereza la magonnjwa yote ktka mwili wangu na familia yetu na ukoo wetu ,gereza la madeni yasiyoisha , ,naamini Maombi haya yatafungua Kila kitu
@DeogratiasEmanuel
@DeogratiasEmanuel 3 дня назад
Mungu akubariki mtumishi wa mungu
@user-xo7ns7bc8c
@user-xo7ns7bc8c 16 дней назад
Amina kwa damu ya Yesu Kristo
@evalynependo3824
@evalynependo3824 Год назад
Amen and hallelujah Hallelujah Hallelujah
@maggiemlawa1562
@maggiemlawa1562 11 месяцев назад
Haleluya nmeponywa nafsi na kweli namhitaji MUNGU nimezunguka sana ktk mambo mengi bila kupata upenyo🙌🙌
@stevelebanon8231
@stevelebanon8231 Год назад
Kweli kabisaa ninahitaji mtu wakunisaindia kwa maombi 😢..kwa ajiri ya doa yangu 😢🙏
@MussashilindeLichard
@MussashilindeLichard 10 дней назад
Amin tunashukur mtumishi wa mung kwa neno hill mungu atusaidie amen mungu atufungulie milango ya amina
@JaphetyJaphetyshemhilu
@JaphetyJaphetyshemhilu 2 дня назад
Mimi naomba mungu anivushe katika mapito magumu naaniokoe na pepo la pombe na kamari mtumishi niombee kweli Kila nikipata hela sifanyii kazi yeyote mungu aniokoe kabisaa
@josykogei7647
@josykogei7647 Год назад
Natamani kufunguliwa nielewe neno la mungu pia kupokea uponyaji
@user-qc1bk5zn8w
@user-qc1bk5zn8w 10 месяцев назад
Nahitaji maombi mtumishi napitia magumu Ila naamini mwenyezi mungu
@gfcgghh9138
@gfcgghh9138 Месяц назад
Amen amen, barikiwa zaidi ❤❤❤
@OrestaMwalongo
@OrestaMwalongo 11 дней назад
Amina 10:39
@martherteresa8108
@martherteresa8108 Год назад
Ningependa mungu aniondolee gereza la kupendana na wanaume wa wenyewe ,anipariki na ndoa yangu mwenyewe ,anibariki na kifedha 😢🤲🙏
@agnessmapolu5003
@agnessmapolu5003 Год назад
Mngu nitoe kwenye gereza lá umaskini namagonjwa ya mapepo
@marymaria6544
@marymaria6544 Год назад
Amen
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 9 месяцев назад
Mtumishi uliyoyaongea yote haya ndio ninayopitia mimi, naamini kupitia maombi haya MUNGU atafanya jambo jipya kwenye maisha yangu 😭😭😭😭😭😭😭 naweza kuwa na furaha siku 2 mwezi nalia Mungu nisaidie
@user-zg3mv9dg6w
@user-zg3mv9dg6w 19 дней назад
Mimi niko hapa jwa hiyo massage mangu niobe sana mti yayeyuke in Jesus might name Amen
@LynetWatson-fj7in
@LynetWatson-fj7in 2 месяца назад
Amen amen napokea msimu mpya
@adelasumaili8149
@adelasumaili8149 Год назад
Namimi naitaji msahada wamaombi kwashida ninazo pitiya katika maisha yangu mimi nilikuwa napenda sana kusoma neno la mungu naku funga siku moja moja nakuhenda ibadani kila ifikapo Sunday lakini kwasasa Sina hamu tena yaku soma neno lamungu nakwenda ibadani amu imenitoka kabisa lakini namshukuru mungu sana kwaku kuleta wewe mtu mishi wake ambaye maombi yako inayo patiya watu nguvu zakusimama imara bila kukata tamaha naamini iposiku kwaimani yangu nita funguliwa milango Asante sana na mungu aku bariki Amina 🙏🙏🙏🙌🙌
@lwambamiriam586
@lwambamiriam586 Год назад
Mimi ni maman miriamu Niko apa kongo naitaji maombi maisha yangu ikokatika jifungo jyagiza Mimi pamoja namume wangu
@adnesadnes8268
@adnesadnes8268 Год назад
Amen amen
@adnesadnes8268
@adnesadnes8268 Год назад
Hatamm nahitaji MTU wakunibeba n mefungu sana
@adnesadnes8268
@adnesadnes8268 Год назад
N mm Mtumishi niko Lebanon napitia changamoto sana nilikuja mwezi wakumi namoja lakini bass aliye nitoa kenya akanirejesha kwa office nimekua napitia shida mm nahitaji kurudi kenya plz nmeomba sana hatanakosa chakuomba tena nahitaj msada nrudi kenya sina msada wowote naomba
@blandinathomas4519
@blandinathomas4519 Год назад
Najua Mungu kupitia mtumishi wako, utafungua vifungo vyote katk maisha ya familia yangu na biashara yangu itakuwa kiuchumi
@benardnzale6025
@benardnzale6025 Год назад
Being from Kenya,I am always inspired by the preaching of Innocent Mashauri.Mungu akubariki sana
@millieholmst6628
@millieholmst6628 Год назад
Kenya🇰🇪
@zawadikimaro4087
@zawadikimaro4087 11 месяцев назад
Mtumishi wa MUNGU. Nahitaji mtumishi wa kuniombea mm napitia changamoto ya kila ninachofanya hela siioni nazidi kushuka madeni yameandamana nami
@user-mq9fr3st5w
@user-mq9fr3st5w 11 месяцев назад
Gereza la.kesi za kusingiziwa na kuchukuliwa mshamba yangu na viwanja vyangu viludishwe
@user-mq9fr3st5w
@user-mq9fr3st5w 11 месяцев назад
Maombi wazazi wangu wapone na watembee waongee kwa jina la yesu
@user-qt7py1yy4p
@user-qt7py1yy4p 7 месяцев назад
Mtumishi naomba Mungu atutoe familiar yetu kwenye liana magomvi na umasikini
@lilianmoshi2245
@lilianmoshi2245 3 месяца назад
Amina nikatoke kwenye hivyo vifungo kwa kina la YESU
@khainzajoan9602
@khainzajoan9602 2 месяца назад
Amina amen amen 🙏 🙌
@celinaduka3346
@celinaduka3346 Год назад
Naomba msaada wa Mungu anitoe katika gereza ya Magonjwa, Madhabahu ya kutofanikiwa ,kukosa Amani katika maisha yangu Mungu afungue familia yangu katika mateso.. Amen
@matildakilufi7739
@matildakilufi7739 Год назад
Amina 🙏🏽 Naomba Mungu aniondolee roho ya mauti kwenye familia yangu, magonjwa ya kufanana ya akili yaliyofatilia watoto wangu waliotangulia mbele za haki, yasiendelee kwenye vizazi vijavyo vya uzao wa tumbo langu Nahitaji mtu wa kusimama na mimi kwenye maombi. Mungu akubariki sana Mtumishi 🙏🏽
@espesifa5661
@espesifa5661 Год назад
Amina mimi na zarauliwa saaanaaa na mme wangu kwajili ya wamalaya mpaka hameniacha mimi na watoto na hameenda kuhishi nao bali ni mengi saaaaaaaanaaaa
@akhanntahena2544
@akhanntahena2544 Год назад
'
@emohsteve2186
@emohsteve2186 Год назад
AMEN 🙏🙏
@rehemakiteu
@rehemakiteu Год назад
Naomba Mungu aguse maisha yangu
@lutegemahano817
@lutegemahano817 23 дня назад
Nimeomba sana mtumishi wa Mungu kuhusu uchumi wangu sioni jibu
@SesiliaNyakunga
@SesiliaNyakunga Месяц назад
Amina as mtumish wa bwana
@termankalendo1439
@termankalendo1439 Год назад
Amen let the will of God be done in jesus name
@miriamisaya3878
@miriamisaya3878 Год назад
AMEEEN AMEEEN AMEEEN 🙏🏼
@deborahkelvin4528
@deborahkelvin4528 Год назад
Shalom Mtumishi Ni kweli kabisa Mimi na Watoto wangu tunamuhitaji MUNGU maana Mimi Ni Mama Mimi na Watoto wangu tuna matatizo makubwa Ni kweli tunahitaji Maombi ya nguvu
@deborahkelvin4528
@deborahkelvin4528 Год назад
Tunapitia magumu Nina Mtoto wangu yupo Ujermani na ndio Msaidizi wa hatma yangu kafukuzwa kazi haya na mdogo wake kaolewa Mume wake pia kafukuzwa kazi wote Hawa wanawatoto nahuyu mdogo wake alikua amefungu Saloon lakini Wateja hakuna haya na mdogo wao wa mwisho nae pia Hana kazi inayoeleweka Mimi Mama sasa Niko njia panda kote naona Giza Mtumishi Naomba msaada wa Maombi
@deborahkelvin4528
@deborahkelvin4528 Год назад
Namshukuru Sana MUNGU Kwa Maombi haya Roho Mt ameyaleta kwaajili yangu na familia yangu Asante Roho wa MUNGU
@hildakahaso849
@hildakahaso849 Год назад
Naomba kufunguliwa katika pingu na minyororo pamoja na watoto wangu na mume wangu na jamii yangu yoote madhabahu ya ukoo kuteseka katika masomo yao naomba Mungu atukumbuke ameen
@hildakahaso849
@hildakahaso849 Год назад
Gereza ya mashetani magonjwa umaskini,madeni,ndoa uzinzi naomba kufunguliwa,masomo ya watoto wangu,huduma ya mtoto wangu
@minzaharuni2820
@minzaharuni2820 5 месяцев назад
Amina napokea uponyajinkwa jina la yesu
@CatherineMchopa
@CatherineMchopa Месяц назад
Amin
@user-qc1bk5zn8w
@user-qc1bk5zn8w 10 месяцев назад
Ameeeeeeeeen
@peninahchizi3629
@peninahchizi3629 Год назад
Mtumishi wa mungu yote unayo yasema tunayapitia kwenye family yetu
@zawadikimaro4087
@zawadikimaro4087 Год назад
Bwana YESU kristo asifiwe. Naomba maombi yako kwaaji ya uchumi wangu yaani mtaji wangu umeishia huku ninamadeni mengi naomba mwenyezi MUNGU anisaidie na kunivusha kwenye hili.
@zawadikimaro4087
@zawadikimaro4087 Год назад
Naitwa ZAWADI BETUEL KIMARO nipo dar manispaa ya kinondini kata ya kawe.
@kentkizzy
@kentkizzy 9 месяцев назад
mm naitwa latifa ninayopitia nmengi naomba mungu anisaidie kila unacho kiongea kinaniusu mm baba niombee
@user-cz1lo7im4p
@user-cz1lo7im4p 2 месяца назад
Amin Mungu niondolee shida yenye napitiya
@paulinelula1916
@paulinelula1916 10 месяцев назад
Naomba nipate kazi
@RoseMapunda-qn3nm
@RoseMapunda-qn3nm Месяц назад
Barikiwa mtumishi
@user-vt7mq6ix7r
@user-vt7mq6ix7r 8 месяцев назад
Amen mtumishi,mimi ndio nategemewa katika familia yetu,ila nahisi kuchoka sana maana nafanya kazi yenye mapito mazito inafika maali naona kuacha,ila nikikimbuka nyumbani kulivyo nadondokwa na machozi,naomba maombi
@SimonDaniel-lm6jd
@SimonDaniel-lm6jd Месяц назад
Hakika Mungu aitukuzwe na ahimidiwe kutupatia kwa ajili yako pastor . Kwa maana maarifa haya ni zaidi ya mambo muhimu ya dunia hii . Maana nitajitahidi sana kwa akili zangu na nisifike ila kupitia haya maarifa haya ya Kimungu naona amani na furaha ya kumjua Mungu . Mungu akupe mafunuo zaidi na kubadili fikra za wengi zilifungwa na adui yetu shetani . Mungu atufungie 😭 tuishi utakatifu . Pastor .. Mimi nahitaji niombewe sana ..
@ElizabethBahaati
@ElizabethBahaati 19 дней назад
Natamani mungu anibariki na mtoto ju nilikuwa nikilala Kuna nyoka huwa yuwaja na mkono wa kulia kumbe huwa anatumwa akule mayayi wa watoto wangu asante paster Nene lako limenigusa nimepàtà imani🙏🙏
@PaulDeogratius
@PaulDeogratius День назад
Natamani mungu anitoe kwenye magereza yote yanayo kabili maisha yangu
@WANANZENGOCMG
@WANANZENGOCMG 5 месяцев назад
Mungu atatenda
@kijangajhoan645
@kijangajhoan645 9 месяцев назад
Amen mtumishi wa Mungu,, nimebarikiwq na ujumbe,, ukweli nami nahitaji msaada wa mtu wa kusimama nami ktk maombi,, nae ni wewe uliekubali kusimama,, Nahitaji maombi juu ya afya yangu na kiuchumi maana mambo yangu yamefungwa sioni upenyo
@ziadabakari642
@ziadabakari642 8 месяцев назад
Amen mtumishi ubarikiwe Mimi naomba kusaidiwa ktk maombi ,maradhi mwilinimwangu na kwa watotowangu hayaishi ,sipatikazi, maisha ya uchumi magumu, mtihani ktk ndoayangu haiishi,nilishapoteza mtoto mmoja na mpakaleo sijapata naumwa tu maradhi mengi .watu wanatuchukia bila sababu naumiasana mtumishi naomba msaada.
@mercyndunge7119
@mercyndunge7119 3 месяца назад
Amen nashuku kwa uu unjumbe naomba msaada wa maombi ya mbiashara yangu
@Bridgit-py5ku
@Bridgit-py5ku 3 месяца назад
I thank God for you God bless you so much biashara yangu inaendelea na kumalizika sasa nahitaji msaada wa mungu 🙏
@user-tx1zr3kb1j
@user-tx1zr3kb1j 3 месяца назад
Ubarikiwe sana paster neno lako limeniguza katika roho yangu
@AnnaAmosi-xd9ok
@AnnaAmosi-xd9ok 2 месяца назад
Amina napokea
@user-tr1uo4ns9z
@user-tr1uo4ns9z 2 месяца назад
Amen mtumishi hakika Kuna vitu vingi umenigusia naitaji mtu wa kuniombea nipo kwenye geleza la kutafuta ndani ya mda mlefu bila kuona mafanikio naitaji maombi Yako mtumishi wa mungu
@marialukumbi
@marialukumbi Месяц назад
Amina🙏
@betinawakili
@betinawakili 9 месяцев назад
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
@EVALISTERABEDNEGOITUNDA
@EVALISTERABEDNEGOITUNDA День назад
Naomba maombi kwaajili ya familia yangu yote Mungu akafanye jambo katika magumu yote biashara kazi na kila kitu
@user-xh2kh3gm5s
@user-xh2kh3gm5s 3 месяца назад
Niombee mchungaji mtoto.wangu apate mtoto kazi nzuri
@MicalSemu
@MicalSemu 2 месяца назад
Mtimishi wa mungu Asante kwa neno la Leo,naomba Leo ninapoenda kutafuta kazi nipate kazi mzuri na ya kudumu napata kazi nasikia ninapoanza kujijenga TU hapo ndio gafla magonjwa visirani vinatokea naninafutwa kazi naomba uniombee.
@jacymueni1671
@jacymueni1671 8 месяцев назад
Barikiwa sana poster
@alindaalinda4897
@alindaalinda4897 2 месяца назад
Ubarikiwe sana baba
@aminambuligu4571
@aminambuligu4571 Месяц назад
Ameeeen,Neno limenigusa kabisa,Nahitaji kushikwa mkono kabisa.
@EstherKatungu-cp8fm
@EstherKatungu-cp8fm 26 дней назад
Mtumishi wa Mungu nahitaji uniombee. Ndoto zangu zinapotea kabisa na kuoniombea nguvu za maombi. Mungu aniwezeshe kuishi maisha matakatifu
@JohnCharles4252-wc3lv
@JohnCharles4252-wc3lv 6 месяцев назад
Mungu wa mbinguni akubaliki mtumishi wa mungu Kwa mafundisho yako yakujenga kiroho,kimwili pia na Mimi naomba unisaidie kuniombea maisha uchumi nichangamoto kwenye familia yetu na wazazi wangu wamtumikie mungu na mdogo wangu wamtegemee bwana mungu wao.naitwa John Charles nimeokoka nampenda yesu kama bwana wangu na mkozi wa maisha yangu.
@user-pu4ys8cf5e
@user-pu4ys8cf5e 6 месяцев назад
Asante mtumishi wa Mungu mi napitia mambo magumu Sana kiasi kwamba nimekata tamaa nahitaji maombi yako mtumishi.Mungu akubariki
@CHRISTINEAGULE-nx3lg
@CHRISTINEAGULE-nx3lg 10 месяцев назад
Asante mtumishi wa Mungu ,naomba Mungu anisaidie katika kazi ambayo ntaenda kujaribu mwezi ujao
@mwavitafuraha7244
@mwavitafuraha7244 8 месяцев назад
Ubarikiwe sana kwaujumbe wako mzuri sana 🙏
@norahogero8217
@norahogero8217 19 дней назад
Mtumishi was Mungu kwa kweli umenibariki sana Naomba Sana unibebe kwa maombi Mimi ni mgonjwa miguu inaniuma Sana siwezi kutembea naumwa
@vihendajosephin
@vihendajosephin 10 месяцев назад
Amen amen mtumishi wa mungu,namshukuru mungu,kwaajili ya kukutuma kwa sisi ambao tuko mbali,nko saudi arabia,na wachawi na waganga wamenishambulia wamenipokonya kila kitu sai nko bure hata kiu ya maombi sina,naomba uniweke kwa maombi tafadhali nisiangamizwe na shetani,mungu akubariki xna mtumishi
@user-mc6mh7po1p
@user-mc6mh7po1p 9 месяцев назад
Asante mtumishi wa mungu ni kweli tunapitia changamoto kali sana ,, ashuriwe mungu kwa kuruhusu uwepo wako duniani. Changamoto yangu ni ndoa mtumishi. Kuna binti amejingiza katika jambo la uasherati na mume wangu, nimemuonya zaidi ya mara tatu hasikii,, ananijibu kwa majivuno, jeuri na kiburi, ameng'ang'ania hataki kuacha hali akijua anafanya dhambi. Hali hii imepelekea mpaka mume wangu kuhamisha nguo ndani na kufanya maisha ya wake wawili. Katika ulimwengu wa roho mimi nimekataa,, namuhitaji mume wangu,, mtumishi naomba msaada,,
@AnnetSidi-cr2ze
@AnnetSidi-cr2ze Месяц назад
Amen ,naomba mungu amtembelee boss wangu anilipe mshahara wangu ,nimechoka kilio kila nikumbukapo
@AnnaChikopela-wf1jh
@AnnaChikopela-wf1jh 8 месяцев назад
Amina nimebarikiwa sana
@NaomyDaudi
@NaomyDaudi 4 месяца назад
ameen mtumishi nashukuru kwa mafunzo yako barikiwe san baba ,naomba uniombee niweze kuwa na ujasiri wakati wa kuomba maana kila nikiomba najawa na wasiwasi pleaz mtu wa mungu nahitaji maombi yako pia sometime nashindwa kusoma biblia nikichukua bliblia nafunua then najikuta nimesinzia naomb mtumishi uniombee
Далее
JIFUNZE KUOMBEA NDOTO UNAZOZIOTA KILA SIKU // DAY 7
35:50
NJIA KUU TATU ZA KUMSIKIA ROHO MTAKATIFU
19:24
Просмотров 179 тыс.
NAYEON "ABCD" M/V
03:42
Просмотров 19 млн
HATUA MUHIMU ZA KUKUSAIDIA KUKUA KIROHO
17:37
Просмотров 5 тыс.
FANYA JAMBO MOJA KWA MUDA MREFU - JOEL NANAUKA
29:30
Просмотров 170 тыс.
UNATAKA KUONA MALAIKA WANAKUHUDUMIA??OMBA MAOMBI HAYA
24:32
JIFUNZE KUZUNGUMZA NA MUNGU
16:47
Просмотров 58 тыс.
NAYEON "ABCD" M/V
03:42
Просмотров 19 млн