10 Years Today Na Ukiicheki Hiyo Freestyle ya NGWAIR Bado Inaeleweka Kama Ni ya Jana Vile...🎤🔥🔥🔥🔥🔥 Adamu Mchomvu Asingemkatisha NGWAIR Angeendelea KU FREE Kwa Styles Mpaka Baadae Sana... SALUTE 🙌🙌🙌🙌🙌
He was real talented aisee... Pumzika kwa amani huko uliko HomeBoy Albert Kenneth Tenyeka Mangweha aka Mimi, Cowize, KaObama, Ngwair King of Freestyle.
Ebwana ee kipind iyo xxl was the best show in town kwafee mchomvu dozen walitengeza combination moja ya hatar sana yaan iyo mida ya 7-10 campus zte wanafunzi na ear phone maskion daah..time imeenda sana
Kina young lunya wanatambiana na niki wapili kuwa wanajua freestyle lkn ngwere alikuwa anajua malambili yao km umeona gwear is freestyle vitu cha studio tu hajaimba mstari wowote wa ngoma